×

Habari

Yanga, Mtibwa Hakuna Mbabe

MCHEZO kati ya Yanga na Mtibwa Sugar uliyochezwa katika Uwanja wa Jamhuri,  Morogoro umemalizika kwa suluhu.  Timu hizo  zimememnayana leo...

READ MORE

Ajali ya Mabasi Yatokea Milima ya Kitonga Iringa

IRINGA: Basi la Abood lililokuwa likitokea Iringa kwenda Dar es Salaam limeligonga kwa nyuma basi la Happy Nation lililokuwa likitokea...

READ MORE

Makamba Atoa Ripoti ya Oparesheni Kusitisha ‘Viroba’

SERIKALI kupitia Waziri  wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira,  January Makamba,  imesema kupitia kikosi-kazi cha kitaifa cha...

READ MORE

Live Update: Yanga Kumenyana na Mtigwa Jamhuri

  HALI ilivyo hivi sasa Uwanja wa Jumhuri Morogoro kuwa nasi kwa taarifa zaidi…   \ Mpira unaanza muda huu...

READ MORE

Waandishi wa Risasi Wauziwa Cocaine

Stori: WAANDISHI WETU| RISASI JUMAMOSI| HABARI DAR ES SALAAM: Vita bado nzito! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia vitendo vya uuzaji...

READ MORE

Meya Kinondoni Azindua ‘Sitta Cup 2017′

MEYA wa Wilaya ya Kinondoni na Diwani wa Kata ya Msasani jijini Dar es Salaam, Benjamini Sitta amezindua michuano ya...

READ MORE

Makonda: Mafanikio Vita Dhidi ya Madawa ya Kulevya Yaonekana

MKUU  wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema kelele zinazoendelea dhidi yake ni dalili za mafanikio katika vita...

READ MORE

Yanayojiri Kanisani Kwa Gwajima Leo Jumapili (+Mubashara Video)

AKIONGOZA ibada katika Kanisa lake la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat  Gwajima,  leo Jumapili,  amesema kuwa kilichotokea ni rasharasha  na...

READ MORE

Robert Mugabe Ndiye Kiongozi Mzee Zaidi Duniani, Mzee Mwinyi ni wa 42 Waliostaafu

Na WALUSANGA NDAKI| RISASI JUMAMOSI| NAJUA WAJUA, NAKUJUZA ZAIDI KWA viongozi wazee zaidi duniani walioko madarakani, Rais Robert Gabriel Mugabe...

READ MORE

Uaminifu ni Muhimu Kuliko Mapenzi

UKIFANYA tathimini za kina, utagundua mapenzi ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku. Mapenzi ni kichocheo cha furaha,...

READ MORE

Dc wa Kinondoni Ampa Shavu Mkewe Mtandaoni

KWA maneno yaliyo jaa mahaba Mkuu wa Wilaya ya Kinondini Mkoani Dar es salaam Ali Hapi, amemsifia mkewe kwa kumvumilia...

READ MORE

Gigy Money Atapeliwa Mtandaoni

BAADA ya kuhakiwa akaunti yake Instagram, Msanii wa kuuza nyago kwenye Video Queen wa Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’, ameendelea...

READ MORE

VIDEO: Hii Ndiyo Safari ya Muziki ya Producer King Lufa Aliyetengeneza ‘Bilima’ ya Nuh Mziwanda

UMEWAHI kuinyaka hii mtu wangu wa dhahabu? Kama wewe ni mfuatiliaji wa tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, lazima utakuwa...

READ MORE

Simba Washikwa Sharubu na Mbeya City… Sasa Kazi Kwenu Yanga

KLABU ya Simba imeng’ang’aniwa na Mbeya City huku ikilazimishwa sare kutoka sare ya bao 2-2, katika mchezo uliopigwa leo kwenye...

READ MORE

Live Kutoka Taifa: Simba 2 Vs 2 Mbeya City

MPIRA UMEKWISHAA -Agyei anaokoa vizuri mpira wa kona na kuwa kona tena.Ungeweza kujaa moja kwa moja, inachongwa tena, anaokoa tena...

READ MORE

Johari, Chuchu Kimenuka Tena!

Na Mwandishi Wetu | RISASI JUMAMOSI  | DAR ES SALAAM Warembo wa Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’ na Chuchu Hans...

READ MORE

Hiki Hapa Kikosi cha Simba Vs Mbeya City Leo, Juuko Benchi

1. Daniel Agyei 2. Hamadi Juma 3. Mohamed Zimbwe 4. Abdi Banda 5. James Kotei 6. Jonas Mkude (nahodha) 7....

READ MORE

Sentensi 5 za Rais Magufuli Akiwa Mtwara Leo

RAIS wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania, DKt. John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi ujenzi wa gati bandari ya Mtwara,...

READ MORE

Serengeti Boys Waitembelea Sober House ya Bagamoyo

NA MUSSA IBRAHIM BAGAMOYO: Wachezaji wa Timu ya Soka ya Taifa ya Vijana Chini ya Miaka 17 (Serengeti Boys) wamefanya...

READ MORE

Jamani… Mama Wema Mikononi Mwa Polisi?

Stori: MWANDISHI WETU | RISASI JUMAMOSI DAR ES SALAAM: Msala tena! Baada ya mwanaye kukamatwa na kushtakiwa kwa tuhuma za...

READ MORE

#GlobalMusic: Kwenye Rotation Yako Weekend Hii, Iweke Na Hii ‘Sweet Love’ Ya Heri Muziki – (Audio)

Bado nazidi kuzisogeza kwako kali za kuwa nazo weekend hii kwenye rotation ya playlist yako. Its Saturday ya March 04...

READ MORE

Simba: Mbeya City mmekuja wakati mbaya

Said Ally na Omary Mdose | CHAMPIONI| DAR ES SALAAM SIMBA leo Jumamosi inacheza na Mbeya City mechi ya Ligi...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Vera Sidika Achoshwa Na Maisha Ya Kuishi Peke Yake, Adai Bora Kufanya Haya…

Baada ya kuweka wazi mahusiano yake na tajiri mmoja wa Nigeria aishie Dubai, socialite maarufu East Africa Vera Sidika anaendelea...

READ MORE

Jacqueline Wolper Akerwa na Harmorapa

NA IMELDA MTEMA | RISASI JUMAMOSI | MIKITO NUSUNUSU STAA wa fi lamu za Kibongo, Jacqueline Wolper ameeleza  kukerwa na...

READ MORE

JIKE SHUPA: Najilipua Pombe Kali Kimtindo!

NA IMELDA MTEMA | RISASI JUMAMOSI | MPAKA HOME NIAJE mtu wangu wa dhahabu? Mimi na wewe sehemu yetu ya...

READ MORE

Baada ya Wema Sepetu Kuhamia Chadema… Hii ni Kauli ya Lulu Kujiunga na Siasa

Stori: IMELDA MTEMA | RISASI JUMAMOSI| DAR ES SALAAM ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anajivunia uamuzi wake wa kutojihusisha na...

READ MORE

Jitihada za RC Makonda Zimeuleta Uwanja Huu wa Soka wa Bandari, Dar

  RC Makondana Balozi wa China nchini Tanzania, Dr. Lu Youqing wakizindua mradi huo. Bila shaka kila mmoja wetu anakumbuka ahadi...

READ MORE

Babu Pluijm atimuliwa Yanga

Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge | CHAMPIONI | DAR ES SALAAM RASMI Yanga imemtimua mkurugenzi wake wa ufundi, Hans van...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti Yote ya Tanzania Leo Jumamosi Machi 4, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo,Machi 04, 2017. Ni yale ya Hardnews,...

READ MORE

VIDEO: Tazama Lema, Mkewe na Watoto Walivyoangua Kilio Mahakamani

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha, imemuachia huru Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbles Lema (CHADEMA) kwa dhamana ya shilingi...

READ MORE

VIDEO: Baada ya Kuachiwa Huru, Hii ni Sentensi ya Lema kwa Rais Magufuli

MBUNGE wa Arusha Mjini kwa Tiketi ya Chadema, Godbless Lema leo Machi 3, 2017 ameachiwa huru na Mahakama Kuu Kanda...

READ MORE

Wasanii Wawili Kumenyana Fainali ya Wikienda Music Search (WMS)

WASANII wawili wa Muziki wa Bongo Fleva, wamefanikiwa kuingia kwenye fainali ya Shindano la Wikienda Music Search (WMS) linaloendeshwa na...

READ MORE

Vyeti Kumng`oa Rc Makonda?

Na MWANDISHI WETU| GAZETI LA IJUMAAA| HABARI DAR ES SALAAM: Sintofahamu! Jumapili iliyopita kwenye mahubiri ya ibada ya Kanisa la...

READ MORE

Jukwaa la Katiba Lajadili Mwendelezo wa Mchakato wa Katiba

MKUTANO  mkuu wa kitaifa wa Jukwaa la Katiba Tanzania leo umejadili mambo mbalimbali yakiwemo pia masuala ya maslahi ya Zanzibar...

READ MORE

Alichokiandika Wema Baada ya Lema Kupata Dhamana

Leo Machi 03, 2017  Wema ameandika ujumbe baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, kutoa dhamana kwa Mbunge wa Arusha...

READ MORE