×

Habari

GLOBAL TV ONLINE – LIVE: Wema Sepetu Alivyorudisha Kadi ya CCM na Kujiunga CHADEMA (Video)

STAA wa filamu Bongo, Wema Isac Sepetu, leo Ijumaa, Februari 24, 2017 ametangaza rasmi kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na...

READ MORE

Simba Vs Yanga Iwe mvua, jua lazima mpigwe

STORI: Khadija Mngwai na Wilbert Molandi | CHAMPIONI SIMBA na Yanga zinatarajiwa kukutana kesho katika Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja...

READ MORE

Wachina Wamtapeli Wastara Mamilioni

STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma (pichani) amejikuta katika wakati mgumu baada ya kutapeliwa mamilioni ya fedha na kampuni...

READ MORE

Rais Mwinyi Ahudhuria Sherehe ya Uhuru Wa Kuwait Usiku wa Kuamkia Leo Dar

Rais Mstaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi akipokea zawadi ya mchoro toka kwa Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem al Najem...

READ MORE

Eric Shigongo Kufundisha Mbinu za Kufanikiwa, Live Kupitia Global TV Online, Leo Ijumaa

Ni kila siku ya Ijumaa kuanzia saa 10:00 jioni, upate kujifunza mbinu za kufanikiwa katika kipindi hiki kigumu cha uchumi.

READ MORE

UDSM: Hatujawahi Kudahili Wanafunzi Vilaza

Siku moja baada ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kutangaza utata wa udahili wa wanafunzi wa vyuo vikuu, wadau...

READ MORE

Leicester City Wamtimua Kocha Wao Claudio Ranieri

LEICESTER, ENGLAND; TAARIFA ya kusikitisha ikufikie wewe mpenda soka popote ulipo kwenye kona ya dunia. Hii ni baada ya usiku...

READ MORE

Kutokwa na Uchafu Ukeni ‘Leukorrhea’

Na Dk CHALE| GAZETI LA IJUMAA| AFYA HII  siyo  hali ya kawaida mwanamke kutokwa na majimaji au uchafu ukeni au...

READ MORE

Lwandamina Amfungukia Ngoma

Omary Mdose na Said Ally | CHAMPIONI WAKATI utata wa mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma kucheza au kutocheza katika mchezo...

READ MORE

Idris Sultan Aganda Kifuani kwa Uwoya, Watu Waguna

Na MUSSA MATEJA| GAZETI LA IJUMAA| STAR MIX MTANGAZAJI wa Choice FM ambaye pia ni mchekeshaji maarufu Bongo, Idris Sultan...

READ MORE

Mimba ya Mapacha Yamsumbua Beyonce

STAA wa muziki, Beyonce Knowles kila mtu anajua alivyobeba mapacha tumboni kwake kwa sasa baada ya kutangaza na kuonesha tumbo...

READ MORE

Fezza kumbe Ameachwa Kabla ya Valentine’s Day

Na MWANDISHI WETU| GAZETI LA IJUMAA| HABARI HII ikufi kie wewe mpenda burudani na ubuyu wa town! Msanii wa Bongo...

READ MORE

Dondoo Muhimu Katika Kuyasaka Mafanikio!

Na AMRANI KAIMA| GAZETI LA IJUMAA| SAIKOLOJIA, MAISHA NA WEWE MPENZImsomaji wangu, mafanikio ni kitu ambacho kila mtu anatamani kukipata...

READ MORE

Mkuu wa Upelelezi Wilaya Aliyeuawa Kibiti Alivyoagwa

RPC Pwani, Bonaventura Mushongi akiaga mwili wa marehemu. Mkuu wa Upepezi wa Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani, OC CID, Peter...

READ MORE

Video: Kauli ya Billnas Kuhusu Ku-date na Nandy

STAA wa ngoma ya Mazoea, Billnas amefunguka kuhusu kutajwa kuwa anatoka kimapenzi na msanii mwenzake, Nandy. Tazama full intervie, Billnas...

READ MORE

Maswali Matano ya Kuuawa kwa Mpelelezi…

Na MWANDISHI WETU| GAZETI LA AMANI| HABARI PWANI: Taarifa kutoka Kibiti wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani zinasema, mpelelezi wa wilaya...

READ MORE

Leila, Amigo Kufunika Miaka 10 ya Jahazi

MKONGWE na mmoja wa waanzilishi wa Kundi la Jahazi Modern, Leila Rashid anatarajiwa kuungana na mrithi wa Mzee Yusuf, Prince...

READ MORE

Waziri Mahiga Abainisha Kisa cha Watanzania Kutimuliwa Msumbiji

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga amesema...

READ MORE

Galatone: Muziki Unatunza Familia Kiaina

Na GABRIEL NG`OSHA| GAZETI LA AMANI| SHOWBIZ XTRA MSANII wa muziki wa Bongo Fleva Ahmed Sadala ‘Galatone’ amefunguka kuwa pamoja...

READ MORE

VIDEO: Kali ya Wema Sepetu Kuhamia CHADEMA

STAA wa Bongo Movies, Wema Sepetu amedaiwa kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

Wema Sepetu Ahamia CHADEMA

Kutoka kushoto ni Mama Wema, Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya pamoja na staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu. Wema...

READ MORE

#GlobalUpdates: WhatsApp Waleta Update Mpya Inayofanana na ‘Snapchat Stories’.

Kama wewe ni mtumiaji mzuri wa Snapchat na Instagram stories basi nina imani utaenjoy update mpya ya ‘WhatsApp status.’ Ushindanni...

READ MORE

Rais Yoweri Museven, Rais Danny Faure Kuzuru Tanzania Hivi Karibuni

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na wanahabari leo.

READ MORE

#GlobalUpdates: Sayari Nyingine 7 Zinazofanana na Dunia Zagunduliwa

Wataalamu wa masuala ya anga za juu wa Marekani wakishirikiana na wengine duniani, wamefanya ugunduzi mkubwa wa sayari saba zenye...

READ MORE

Wolper Amtema Rasmi Harmonize

Na WAANDISHI WETU| GAZETI LA AMANI| HABARI DAR ES SALAAM: Msanii wa sinema za Bongo, Jacqueline  Wolper amefunguka kuhusu kuachana...

READ MORE

Chin Bees Staa Aliyefichwa na Mastaa

Na GABRIEL NG`OSHA| GAZETI LA AMANI| SHOWBIZ XTRA MUZIKI ili ukamilike unahitaji mtunzi, mtayarishaji, muimbaji na wengineo. Watayarishaji na watunzi...

READ MORE

#BongoCelebrityNews: Irene Uwoya Atangaza Kuanzisha Kanisa Lake

STAA wa Bongo Movies, Irene Uwoya amesema kuwa ana mpango wa kuwa Mchungaji pamoja na kumiliki kanisa lake yeye mwenyewe...

READ MORE

Man Fongo Amuita Bozi Kwenye Singeli

Na GABRIEL NG`OSHA| GAZETI LA AMANI| SHOWBIZ XTRA MAKUBWA! Kufuatia ugumu wa maisha kwenye tasnia ya sanaa nchini, msanii wa...

READ MORE

TCU Yatangaza Majina ya Wanafunzi Vyuo Vikuu Wasio na Sifa- Bofya Hapa Kuyasoma

TANGAZO LA UHAKIKI WANAFUNZI VYUO VIKUU by GLOBAL PUBLISHERS  Hapa chini ni majina ya wanafunzi wanaoendelea na masomo katika Chuo...

READ MORE

Daz Baba Atokwa na Povu Kisa Madawa

Na ALLY KATALAMBULA| GAZETI LA AMANI| SHOWBIZE EXTRA MWANAMUZIKI mkongwe wa Bongo Fleva aliyewahi kubamba na Kundi la Daz Nundaz,...

READ MORE

Mtoto: Baba Alimuua Mama Nikishuhudia

MONTGOMERY COUNTY, Texas MTOTO wa miaka 11, amewaambia polisi tukio zima juu ya baba yake kumchoma kisu mama yake na...

READ MORE

#GlobalUpdates: Instagram Kuruhusu Posts Za Picha, Videos Mpaka 10 Kwa Wakati Mmoja!

Kwa wale watu wangu ambao hupata wakati mgumu kuchagua picha ama video gani ya kupost Instagram, usijali Instagram wana solution...

READ MORE

Wito: Mamlaka na Taasisi Ziwatumie Wahitimu wa Chuo cha Maji

MKUU wa Chuo cha Maji (Water Institute) kilichoko jijini Dar es Salaam, Shija Kazumba,  ameziomba mamlaka za serikali na taasisi...

READ MORE

Magazeti Yote Ya Leo, Alhamisi, Februari 23, 2017

Hapa nimekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Februari 18, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Wema, Wolper, Aunt Ezekiel Kupofuka

STORI: Na Gladness Mallya na Imelda Mtema | Risasi Jumatano DAR ES SALAAM: Mtindo wa maisha ya kisasa kwa wasichana...

READ MORE

Kwa mbio za Diamond, Kiba ana haya ya kufanya!

STORI: Na Andrew Carlos | RISASI JUMATANO| Risasi Vives ALLY Saleh Kiba, ni msanii mkubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki....

READ MORE