×

Habari

VIDEO: Sakata la Madawa ya Kulevya Sheikh Mkuu wa Dar Amuunga Mokono Makonda

IKIWA ni mwendelezo wa kupambana na matumizi ya madawa ya kulevya hapa nchini,  hatimaye viongozi wa dini wajitokeza kumuunga mkono...

READ MORE

Manji, Gwajima Waondolewa Sentro, Huenda Wamepelekwa kwa Mkemia Mkuu

Taarifa zinaeleza Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji na Askofu Josephat Gwajima wameondolewa katika kituo Kikuu cha Polisi cha Dar es...

READ MORE

Vita ya dawa za kulevya yatinga Shinyanga

SHINYANGA: Vita dhidi ya dawa za kulevya imetua mkoani Shinyanga ambapo  jumla ya watu 17 wanaotuhumiwa kuwa ni watumiaji wa...

READ MORE

Mahakama Yatupilia Mbali Pingamizi la Serikali, Yampa Dhamana Tundu Lissu

Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka manne ya uchochezi....

READ MORE

Makonda Atibua 40 ya Mdogo wa Tiffah…

Na WAANDISHI WETU| AMANI| HABARI DAR ES SALAAM: Ikiwa imebakia saa 72 ifike 40 ya mtoto wa pili wa Mbongo...

READ MORE

Manji Akamatwa Tena Wakati Akitoka Sentro, Arudishwa Ndani

MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga na Diwani wa Kata ya Mbagala,  Yusuf  Manji leo amefikakatika Kituo Kikuu cha Polisi Dar, ...

READ MORE

Tundu Lissu Apandishwa Kizimbani na Kusomewa Mashitaka Manne ya Uchochezi

DAR ES SALAAM: Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka...

READ MORE

Gwajima Atinga Sentro Dar na Kundi la Wafuasi

  DAR ES SALAAM: Askofu Josephat Gwajima ameripoti katika Kituo Kikuu cha Polisi  ili kuhojiwa baada ya Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

Simiyu: Mkuu wa Mkoa Amsimamisha Kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima

SIMIYU: Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima John Aloyce...

READ MORE

SIMIYU: Mkuu wa Mkoa Amfuta Kazi Mhandisi wa Mkoa

SIMIYU: Mhandisi wa Ujenzi wa Sekretarieti ya Mkoa wa Simiyu, Deusdedit Mshuga amesimamishwa kazi kwa kukabiliwa na mashtaka matatu. Akizungumza...

READ MORE

Kesi ya Bosi wa Jamii Media Yapigwa Kalenda

DAR ES SALAAM: Kesi inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo na mwenzake Mike Mushi imesogezwa mbele hadi Machi...

READ MORE

Sakata la Madawa: Wema Afikishwa Kortini Kisutu, Aachiwa Kwa Dhamana

DA RE SALAAM: Msanii wa Bongo Movie, Wema Sepetu na wafanya kazi wake wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...

READ MORE

Gwajima: Makonda Angenitumia Samasi Ningeelewa

BAADA ya jana jina lake kutajwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na kutakiwa kufika kesho katika Kituo...

READ MORE

Manji Aripoti Kituo Kikuu cha Polisi, Dar

MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga na Diwani wa Kata ya Mbagala kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Manji,...

READ MORE

Zari Hajui Kuamsha Popo….

AKIFANYA mahojiano katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm, Zarina Hassan, ‘Zari the Boss Lady’ sambamba na mpenzi Diamond...

READ MORE

Gigy Akiri Kuchoropoa Mimba 3

STORI: WAANDISHI WETU | AMANI | HABARI MWANADADA ambaye ni video queen na mtangazaji wa kituo kimoja cha redio Bongo,...

READ MORE

Recho: Umesifiwa kukimbia Mpaka Ukapitiliza Kwenu

    STORI: HASHIM AZIZ | AMANI | MAKALA “…Kutenda kosa siyo kosa kurudia kosa ndiyo kosa, ahsante kwa kunielewa aaaah!...

READ MORE

Ruck Baby: Nipo Tayari Kuolewa na Gadner

STORI: MAYASA MARIWATA | AMANI | SHOW BIZ – EXTRA MWANADADA anayechipukia kwenye ulimwengu wa muziki Bongo, Rucky Baby ambaye...

READ MORE

50 Cent Aipaisha Video ya Diamond Platnumz na Ne-Yo

Tovuti ya thisis50.com ilianzishwa na idara mpya ya habari iliyo chini ya Rapper maarufu wa Marekani 50 Cent mwaka 2007 kwa...

READ MORE

Makonda Aitwa Bungeni Kujieleza Kwa Madai ya Kutoa Kauli za Dharau Dhidi ya Bunge

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kauli moja limewaita mbele ya Kamati yake ya Haki, Maadili na Madaraka...

READ MORE

Mali za Kanumba Apewa ‘Pacha’ Wake

Na MAYASA MARIWATA| GAZETI LA AMANI| SHOW BIZ XTRA KATIKA hali isiyotarajiwa mama wa staa asiyechuja Bongo, marehemu Steven Kanumba...

READ MORE

Kama Unampenda kwa Dhati, Huwezi Kushindwa Kumsamehe

MAKALA: AMANI | SINDANO ZA MASTAA |  RAMMY GALLIS | MIGOGORO | ELIMU  | MAPENZI  | UHUSIANO   Ni matumaini...

READ MORE

Duma: Bongo Movi Inatia Kinyaa

Na ALLY KATALAMBULA| GAZETI LA AMANI| SHOW BIZ XTRA MSANII wa filamu aliyewahi kutamba na tamthiliya ya Siri ya Mtungi...

READ MORE

Madee: Sijaishiwa Ubunifu

Na ALLY KATALAMBULA| GAZETI LA AMANI| SHOW BIZ XTRA Rapa asiyechuja kwenye sayari ya muziki wa Bongo fleva ambaye kwa...

READ MORE

Magazeti Yote ya Leo, Alhamisi, Februari 9, 2017

  Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Februari 9, 2017. Ni yale...

READ MORE

Liverpool Imejiishia Kimyakimya

CHAMPIONI  | LIVERPOOL, England LIVERPOOL awali ilikuwa inapewa nafasi kubwa zaidi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu...

READ MORE

Shinda Nyumba Droo ya Kwanza Yafanyika kwa Kishindo

Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Global Publishers, Soud Kivea (kulia) akikabidhi zawadi ya fulana kwa mshindi. Mr. Shinda Nyumba akichanganya...

READ MORE

Lissu Apeleka Maombi ya Dhamana Mahakama Kuu

DAR ES SALAAM:  Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kupitia Wakili wake Peter Kibatala wamepeleka maombi Mahakama Kuu  kuomba apewe...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Ziara ya Kushtukiza Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipofanya ziara ya kustukiza katika uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Dogo Ahaha Kumuokoa Wema Polisi

STORI: IMELDA MTEMA NA DENIS MTIMA | RISASI MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Wakati hali ikiwa bado tete kwa Miss Tanzania...

READ MORE

Daktari Atoa Siri Nzito ya Aliyetobolewa Macho

DAKTARI Bingwa wa Macho wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Christine Mataka ambaye alimpokea na kumhudumia, Said Mrisho anayedaiwa kutobolewa...

READ MORE

Rais Magufuli Apokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi wa Nchi Sita

Rais Magufuli apokea hati za utambulisho ya Balozi wa Saudi Arabia Mohamed Mansour Al Malek. Rais Magufuli apokea hati za...

READ MORE

Manji Amcharukia Makonda Kutajwa Sakata la Madawa

MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga na Diwani wa Kata ya Mbagala kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Yusuf Manji amemcharukia...

READ MORE

Sakata la Madawa: Kauli ya Chadema Baada ya Makonda Kumtaja Mbowe

DAR ES SALAAM: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema muendelezo wa kukamatwa kwa viongozi wa chama hicho hakuwayumbishi bali...

READ MORE

Madai: Wema Apelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali

Na Musa Mateja | Global Publishers Taarifa zilizotufikia zimeeleza kuwa, msanii wa Bongo Movie, Wema Sepetu hajafikishwa mahakamani Kisutu leo...

READ MORE

Bondia Mfaume Aeleza Alivyompasua Matumla Fuvu La Kichwa

BONDIA: Mfaume Mfaume ambaye ndiye aliyepambana ulingoni na bondia Mohammed Rashid Matumla aliyelazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akiendelea na...

READ MORE

Sakata la Madawa: Majina 65 Aliyoyataja Makonda Haya Hapa

MKUU wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda ameanza kwa Kumshukuru Rais wa Jamuhuri. Paul Makonda asema anataka wauzaji...

READ MORE

Afande Sele: Ilibakia Hivi tu Nibebe Unga

STORI: NA OJUKU ABRAHAM | RISASI MCHANGANYIKO| DAR ES SALAAM: Wakati joto la watu wanaohusishwa na madawa ya kulevya likizidi...

READ MORE

Makonda Ataja Majina Mengine 65 ya Watuhumiwa wa Kuuza ‘Unga’, Wamo Mbowe, Manji, Idd Azzan na Gwajima

DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametaja majina ya watuhumiwa wengine 65 wa madawa...

READ MORE