×

Habari

Kortini kwa kuendesha gari akiwa amesimama

Mtu mrefu ameshtakiwa kwa kuendesha gari akiwa amesimama baada ya kukiri kupeleka gari vibaya. Adam Elliott alituhumiwa kwa kuwaonyesha madereva...

READ MORE

Mkenya ajiunga na klabu ya China kwa Ksh. Mil 467

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars Michael Olunga amejiunga na klabu iliopandishwa daraja katika ligi ya China...

READ MORE

Trump Akubali Kuiuzia Kenya Ndege za Kivita

Marekani imekubali kuiuzia serikali ya Kenya ndege za kivita na vifaa vingine vya kijeshi, kwa kima cha Dola Milioni 418...

READ MORE

Mzee Majuto Awafungukia Wanaosambaza Taarifa Kuwa Amefariki

AKIFANYA Kipindi cha  XXL ya Clouds FM leo Januuary 24, 2017, mtangazaji Soudy Brown amezungumza na mchekeshaji maarufu hapa Bongo,...

READ MORE

Snura: Natamani kufanya Shoo, Wimbo au Filamu na Shilole

MWANADADA anayetamba na ngoma ya ‘Shindu’ Mwaga Maji Tucheze Kama Kambare, Snura Mushi (pichani) ameeleza kiu yake ya kutaka kufanya...

READ MORE

Orodha ya Wasanii na Filamu Zinazowania Tuzo za Oscar 2017

Filamu ya La La Land iliyotoka Disemba mwaka 2016 iweke rekodi katika tuzo za Oscar za mwaka huu baada ya kutajwa...

READ MORE

Rais Magufuli Kuzindua ‘Mwendo Kasi’ Dar, Kesho

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dk. John Pombe anatarajia kufanya uzinduzi rasmi wa huduma ya mabasi yaendayo...

READ MORE

Kwa nini uchoshwe na chakula cha usiku?

Uhali gani shoga yangu? Kiafya mwenzako kama ulivyoniacha jana, kama ni mzima ni jambo la kumshukuru lakini pia kwa wale...

READ MORE

Picha: Wakazi wa Goba Wachangamkia Shinda Nyumba Awamu Ya Pili

Madereva bodaboda wakiangalia kuponi ya Shinda Nyumba kwenye Gazeti la Uwazi leo. Afisa Masoko, Kefa akiendelea kutoa elimu ya kujaza...

READ MORE

TFF yaipiga Yanga faini ya Tsh. Mil 1 kwa kuvunja sheria

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limemwondoa Mwamuzi Hussein Athuman kwenye orodha ya waamuzi wa Ligi Kuu ya Vodacom...

READ MORE

Kabila la wala watu-3: Kumbe Mtoto wa Makamu wa Rais wa Marekani Aliliwa na Watu Hao

   ENDELEA ILIPOISHIA: Uombaji radhi ulifanyika katika shughuli maalum iliyoandaliwa na viongozi wa Jimbo la East New Britaish na shughuli...

READ MORE

Haya Ndiyo Anayoyafanya Mbunge Ridhiwani Kikwete Akiwa Nyumbani

MBUNGE wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete ametupia picha mtandaoni ikimuonesha akiwa nyumbani kwake huku akitimiza majukumu yake ya malezi...

READ MORE

CCM Yawashukuru Watanzania Kwa Ushindi wa Ubunge, Madiwani

Katibu wa Siasa, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha  Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole akizungumza na  vyombo vya habari. …Akisikiliza kwa...

READ MORE

Polisi Yaua Majambazi 2 Mwanza

MWANZA: JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza limewaua watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wakati wakijaribu kutoroka. Imeelezwa kuwa tukio...

READ MORE

Raheem Sterling Anunua Jumba la Kifahari, Bofya Ucheki Mapicha

Staa wa Manchester City, Raheem Sterling amenunua jumba la kifahari lenye thamani ya pauni milioni 3.1.   Jumba hilo liko...

READ MORE

Trump Kaanza Kutumbua Majipu, Aawafuta Kazi Mabalozi Wote wa Marekani Duniani

Kwa mujibu wa  The Independent na ParsToday wanasema kuwa Rais Donald Trump wa Marekani amewafuta kazi mabalozi wote wa nchi...

READ MORE

Ajali ya Basi na Lori la Mbao Yaua na Kujeruhi 32 Iringa

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 32 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la Vitu Laini linalofanya safari zake kutoka vijiji...

READ MORE

Manara Atangaza Kumposa Wema Sepetu

Haji Manara (Kushoto), Wema Sepetu (Kulia). Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Haji Sunday Manara...

READ MORE

Watanzania Waombwa Kuhudhuria Tamasha la Sauti za Busara

Kutoka kushoto ni Meneja wa Sauti za Busara,  Ramadhan Journey, Mkurugenzi Mtendaji wa Tamasha hilo,  Yusuf Mahmoud, Mwenyekiti wa Bodi...

READ MORE

Trump Afuta Biashara ya Marekani na Nchi Za Pasifiki

Rais Mteule wa Marekani Donald Trump.  RAIS WA MAREKANI Donald Trump amefanya kile alichokiita siku yake ya kwanza kuanza kazi...

READ MORE

Chemsha Bongo Shinda Nyumba ya Pili

SHINDA NYUMBA Awamu ya Pili ipo kwa ajili yako, kwa uwingi wa zawadi kushinda ni lazima. Ni kwa shilinig 500/=...

READ MORE

Kauli ya Tundu Lissu Kuhusu Ushindi wa CCM Chaguzi Ndogo

Na. Tundu Lissu Waheshimiwa na makamanda poleni kwa mapambano na hongereni kwa kazi kubwa mliyoifanya kwenye chaguzi hizi. Naona kila...

READ MORE

Zitto Kabwe Atoa Waraka Kuhusu Marudio ya Uchaguzi

Nachukua fursa hii kuwapongeza Sana kwa kazi kubwa mliyoifanya kwenye chaguzi ndogo za udiwani na ubunge zilizomalizika hivi punde nchi...

READ MORE

Mtatiro Ametoa Kauli Hii Baada ya CUF Kuburuzwa na Uchaguzi Mdogo

Na. Julius S. Mtatiro Goodmorning. Katika uchaguzi huu mdogo CUF ilikuwa inatetea kata 1 ya Kimwani Muleba na CHADEMA ilikuwa...

READ MORE

JPM Amesema Haya Baada ya CCM Kushinda kwa Kishindo Uchaguzi wa Marudio

Mwenyekiti  wa Taifa wa CCM, Rais John Magufuli amesema ushindi wa CCM wa ubunge na madiwani katika Uchaguzi Mdogo uliofanyika...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania, Leo Jumanne Jan. 24, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, January 24 2016. Ni yale ya Hardnews,...

READ MORE

Marais Waliowahi Kukomba Mikwanja wa Serikali na Kusepa Nazo

Zaidi ya dola milioni 11 zinaripotiwa kutoweka kutoka kwa hazina ya taifa nchini Gambia, kufuatia kuondoka kwa kiongozi wa muda...

READ MORE

Hiki Ndicho Kilichotokea Saa 24 Kabla ya Kifo cha Patrick Mafisango

     Mafisango enzi za uhai wake. NA MWANDISHI WETU| CHAMPIONI|, Dar es Salaam USIKU wa Jumanne ya Aprili 15, 2012...

READ MORE

Tanzania na Uturuki Zatiliana Saini Mikataba 9 ya Makubaliano ya Kiuchumi

 Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan na mkewe wakipokea mashada ya maua kutoka kwa watoto walipowasili Ikulu...

READ MORE

Hofu yatanda, Ngoma hatacheza tena Yanga

 Na Sweetbert Lukonge, Gazeti la Championi, Toleo la Jumatatu, Jan. 23, 2017 Mzambia, Donald Ngoma, hivi sasa yupo nchini kwao Zimbabwe...

READ MORE

Waziri Kairuki Ahamishwa na Lori la Jeshi Kwenda Dodoma

DAR ES SALAAM: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Angellah J. Kairuki,  leo January 23 2017...

READ MORE

Rasmi Okwi Afunguka Kuhusu Yanga

Musa Mateja, Gazeti la Championi, Toleo la Jumatatu, Jan. 23, 2017 HATIMAYE kwa mara ya kwanza straika anayesubiriwa kwa hamu...

READ MORE

Ushahidi Dhidi ya Mkurugenzi wa ATCL Waendelea Kisutu

USHAHIDI dhidi ya aliyekuwa Mkurugenzi  Mtendaji  wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mataka,  umeendelea leo  katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Haya Ndio Majibu ya Mrithi wa Kanumba Kuhusu Lulu

Fredy Swai na Mama Kanumba. KUTOKANA na hivi karibuni mama wa aliyekuwa staa mkubwa wa filamu, Steven Kanumba, Flora Mtegoa...

READ MORE

Prof. Lipumba Anusurika Kupigwa na Vijana wa UKAWA

Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba amedaiwa kunusurika kupigwa na...

READ MORE

Mtoto wa Mbunge Anaswa Usiku na Golikipa Timu ya Mtibwa Sugar

  Naima Shaaakiwa na Saidi Mohamed ‘Nduda’. Dar es Salaam: Binti wa aliyekuwa Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shaa (CCM), Naima...

READ MORE

Pichaz: Maandalizi ya Ujio wa Video Mpya ya Chege

Chegge na Muongozji wa Video Destro   KELELE ZA CHURA wa Chege Chingunda na Nandy video yake ipo jikoni, hivi...

READ MORE