×

Habari

Mkurugenzi wa CIA Amtaka Trump Achunge Mdomo Wake

  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA), John Brennan amemuonya Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump kuwa...

READ MORE

EPL: Man U Watoa Sare ya 1-1 na Liverpool, Old Trafford

Paul Pogba akiomba msamaha baada ya kuunawa mpira ndani ya 18 na kusababisha penati iliyochezwa na James Milner aliyeifungia Liverpool...

READ MORE

Wafungwa 30 Wauawa Gerezani, Wengine Wakatwa Shingo

BRAZIL: Wafungwa zaidi ya 30 wameripotiwa kufariki dunia huku wengine wakiwa wamekatwa shingo zao kufuuatia kuzuka kwa mapigano baina ya...

READ MORE

Demu wa Kalala Junior Akumbwa na Sekeseke la Fumanizi Live

DAR ES SALAAM: Mwigizaji wa Bongo Movies, Mumy Mushi ambaye miezi kadhaa iliyopita aliripotiwa kuwa kwenye uhusiano matata wa kimapenzi...

READ MORE

Kisa John Lewis, Wabunge Democratic Wagoma Kuhudhuria Kuapishwa kwa Trump

MAREKANI: Wabunge kadhaa wa Chama cha Democratic nchini Marekani wamesema kuwa hawataudhuria sherehe za kuapishwa kwa Donald Trump kuwa rais...

READ MORE

Matokeo ya Mitihani wa Taifa Darasa la Nne 2016 Yametoka, Boya Hapa Kuyatazama

BOFYA HAPA KUTAZAMA ==>MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2016

READ MORE

Top 10 Ya Nyimbo Zinazokimbiza Maisha Basement, Kuchezwa Live leo Maisha Zote

1. Lameck Ditto – Moyo Sukuma damu 2. Darassa ft Ben Pol – Muziki 3. Mwana Fa Ft Vanessa Mdee...

READ MORE

Multichoice Yatoa Shukrani kwa Vyombo vya Habari Nchini

KAMPUNI ya Multichoice Tanzania inayouza Ving’amuzi vya DSTV, imevishukuru vyombo vyote vya habari vya hapa nchini kwa ushirikiano wao kwa...

READ MORE

Video: Simba Walivyotua Dar Baada ya Kichapo cha Azam FC na Kuzomewa

DAR ES SALAA: TIMU ya Simba SC yenye makao yake makuu Mtaa wa Msimbazi, imerejea leo jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Chadema Yapania Kumtoa Mahabusu Lema

Godbless Lema (wa pili kushoto) akirudishwa mahabusu. CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimejipanga kuhakikisha Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless...

READ MORE

Baada Ya Kuripoti Kombe La Mapinduzi, Mwandishi Afariki Dunia

Amina Athumani enzi za Uhai wake. MWANDISHI wa Habari za michezo wa magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, Amina Athumani...

READ MORE

Mrisho Mpoto Aungana na China Kutokomeza Ujangili Nchini

Mwanamuziki wa Muziki wa Asili Bongo, Mrisho Mpoto ameipokea kwa furaha kauli ya Nchi ya China kutaka kukomesha biashara haramu...

READ MORE

Magazeti ya Leo Jumapili, Januari 15, 2017 Yako Hapa

Soma kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Jumapili, Januari 15, 2017. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa...

READ MORE

Ulizeni Tena Kwanini Nilimkabidhi Bendera Diamond: Waziri Nape

DAR ES SALAAM: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye January 11, 2017 alimkabidhi nyota wa Afro Pop,...

READ MORE

Miriam BSS afanyiwa kitu mbaya usiku!

    RICHARD BUKOS, RISASI DAR ES SALAAM: Mwanamuziki wa Taarab, Mar­iam Mohammed Uwesu ‘Mariam BSS’ Jumapili aliyopita alijikuta akimwagiwa kojo...

READ MORE

Shinikizo la Damu

Shinikizo la juu la damu (presha) hutokea pale moyo unapodunda na kusukuma damu nyingi lakini damu hiyo ikashindwa kusambaa kwa...

READ MORE

Msongo wa mawazo kwa wanawake (Depression)-3

ILIPOISHIA   Hisia tulivu humsaidia mtu kukabiliana na vikwazo maishani mwake ambavyo wengine wasingeweza. Huwa na uwezo mkubwa wa kupitia...

READ MORE

Miss TZ akatwa Mapanga

Na Richard Bukos, Gazeti la Risasi Toleo la Jan 14, 2017 DAR ES SALAAM: INASIKITISHA SANA! Mrembo aliyefahamika kwa jina...

READ MORE

Kadja Nito: Mahaba anayonipa mume wangu sijutii kubadili dini! (+Video)

MAMBO vipi mpenzi msomaji  wa Mpaka Home, kwetu mambo yanaendelea kuwa mazuri kwa sababu tunakupa kitu kilicho bora. Wiki hii...

READ MORE

Warembo Wapanga Foleni Studio kwa Diamond Usiku wa Manane

Wakati mzazi mwenza wa mkali wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss...

READ MORE

Video: Diamond Platnumz Ndani ya Gabon Finali za AFCON Noma

Diamond Platnumz Ndani ya Gabon Finali za AFCON Noma

READ MORE

Huyu Ndiye Mshindi wa Betting Mechi ya Azam na Simba

TOVUTI ya Global Publishers ambayo ni namba moja hapa nchini kwa habari za burudani, michezo, kitaifa, kimataifa, siasa, breaking news...

READ MORE

Mwigulu Nchemba Aongoza ‘Police Family Day’

Timu ya polisi ikikipiga vilivyo katika timu iliyokuwa imeundwa katika kusherehekea siku hiyo. Timu ikiendelea kukipiga vilivyo katika Viwanja vya...

READ MORE

Eti Ray Ashangaa Chuchu Kujifungua

Stori: Imelda Mtema, Gazeti la Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: KITUKO! Wakati pongezi za kufa mtu zikielekezwa kwa muigizaji Vincent...

READ MORE

Alichosema Mwenyekiti wa TEC Juu ya Ukame Nchini

Mwenyekiti wa TEC na Askofu wa Iringa, Tarcisius Ngalalekumtwa.

READ MORE

Mwalimu Ahukumiwa Miaka 10 Gerezani Kwa Kubeba Mimba ya Mwanafunzi wake

Mwalimu mmoja wa Shule ya elimu ya kati ya Houston, Marekani, Alexandria Vera (24). Mwalimu mmoja wa Shule ya elimu...

READ MORE

Lulu Anaweza Kuwa Mkulima – Mama Lulu

Na Mwandishi wetu, Gazeti la Risasi Jumamosi, Toleo la Jan 14, 2017 MAMA wa mwigizaji, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila...

READ MORE

Baada ya Simba Kupewa Kichapo na Azam Hizi Ndizo Kejeli za Watani Wao wa Jadi Mitandaoni

  JANA usiku Januari 14, 2017 kulikuwa na mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi uliopigwa kwenye uwanja wa amaan,...

READ MORE

Video: Wiki Moja Baada ya Ndoa, Masele Chapombe Amtongoza Upya Mkewe

IKIWA ni takribani wiki moja tu baada ya msanii maarufu wa vichekesho hapa nchini, Cyprian Masele ‘Masele Chapombe’ kufunga ndoa...

READ MORE

Picha+Video: Diamond Atua Gabon Apokelewa na Rais Bongo, Kutumbuiza AFCON 2017 Leo

MKALI wa Afro Pop, Diamond Platnumz jana alitua nchini Gabon na kupkelewa na rais wa nchi hiyo, Ali Bongo ambapo...

READ MORE

Harusi za Gharama Kubwa, Sherehe Mahotelini Vyapigwa Marufuku

SOMALIA: Mji wa Bula Hawa nchini Somalia umepiga marufuku harusi za gharama ya juu ili kuwashawishi vijana wengi zaidi kuoa....

READ MORE

Ufafanuzi wa Wizara ya Nishati Kuhusu Tuhuma za Profesa Muhongo Kushiriki Kupandisha Bei ya Umeme

Wizara ya Nishati na Madini inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu kikao cha Waziri wa Nishati na Madini na Ujumbe wa Benki...

READ MORE

Maskini… Snura alizwa na mwanaye

IMELDA  MTEMA, Gazeti la Risasi Jumamosi, Toleo la Jan 14, 2017 MWANAMUZIKI wa miondoko ya mduara, Snura Mushi, amefunguka kuwa...

READ MORE

Afande Sele awaomba msamaha mashabiki zake

Stori: Gladness Mallya, Gazeti la Risasi Jumamosi, Toleo la Jan 14, 2017 BAADA ya kutangaza kuachana na siasa, mwanamuziki wa...

READ MORE

Azam FC Yashinda Fainali Kombe la Mapinduzi, Yaichapa Simba SC Bao 1-0

Azam FC wameifunga Simba  SC kwa bao 1-0 kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar, na kufanikiwa kutwaa Kombe la Mapinduzi...

READ MORE

Queen Darleen: Sitongozwi, natongoza

Na Imelda Mtema | Gazeti la Risasi Jumamosi Toleo la Jan 14, 2017 MWANAMUZIKI ambaye ni memba wa Kundi la...

READ MORE

Magazeti ya Leo Jumamosi, Januari 14, 2017 Yako Hapa

Soma kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Jumamosi, Januari 14, 2017. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa...

READ MORE