×

Habari

Vodacom Yawaletea Wateja Wake Promoshe ya “Jiongeze na M-Pawa”

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao (kulia)  akizungumza kwenye uzinduzi wa  promosheni ya ‘Jiongeze na M-Pawa’ inayoendeshwa na kampuni yake...

READ MORE

Chadema Wasitisha Maandamano ya UKUTA

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kisitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike nchi nzima kesho Septemba Mosi yaliyopewa jina la UKUTA....

READ MORE

Rais JPM Ateua Katibu Mkuu Mpya Wizara ya Fedha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 31 Agosti, 2016 amemteua Bw. Doto M....

READ MORE

Waendesha Bodaboda Nao Wautosa ‘UKUTA’

Dar es Salaam VIONGOZI Umoja wa Vyama vya Waendesha Bodaboda Mkoa wa Dar es Salaam leo wamewapiga marufuku wanachama wao...

READ MORE

Waziri Aliyesinzia Mkutanoni Auawa Korea Kaskazini

Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un. Waziri wa Elimu nchini Korea Kaskazini ameuawa na maafisa wa serikali kwa kusinzia wakati...

READ MORE

JWTZ Kurusha Ndege za Kivita Katika Anga la Dar, Septemba 1

Kesho Alhamisi, Septemba Mosi mwaka huu inataraji kuingia katika histori ya Tanzania kutokana na matukio ambayo yanataraji kufanyika siku hiyo,...

READ MORE

Maonesho ya Biashara ya Afrika Mashariki Yafunguliwa Rasmi Mwanza

Mkuu wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Dkt.Leonard Massale, hii leo akifungua Maonesho ya Biashara ya Afrika Mashariki yanayofanyika Jijini...

READ MORE

Uwazi Lapasua Anga Vikindu, Kongowe

Mzee Makarani Shaweji mkazi wa Vikindu akisoma Gazeti la Uwazi. Fundi Mwinyi Chande akisoma Uwazi, pembeni ni muuzaji wa gazeti...

READ MORE

Tamko la Watetezi wa Haki za Binadamu Kuhusu Mauaji ya Polisi, Mbande

Mtandao wa Watetezi wa Waki za Binadamu (THRDC) kwa niaba ya wanachama wake tunalani vikali maujai ya askari wa jeshi...

READ MORE

Mosore: Sitambui Kusimamishwa na Mbatia

Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Leticia Mosore,  akizungumza na wanahabari leo. ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi,...

READ MORE

NSSF Yatoa Msaada Kujenga Shule ya Sekondari Lindi Iliyoungua

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amepokea msaada wa sh. milioni 50 kutoka Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ili...

READ MORE

Shambulio Laua 5 Nje ya Hoteli Somalia

WATU watano wameuwa katika shambulio la bomu lililotokea leo nje ya hoteli moja ya kitalii katikati ya Mji wa Mogadishu...

READ MORE

Watumishi Wapya 71,496 Kuajiriwa Hivi Karibuni

Serikali inatarajia kutoa ajira mpya zipatazo71,496 kwa mwaka huu wa fedha baada ya kukamilika kwa zoezi la kuwaondoa wafanyakazi hewa...

READ MORE

Lowassa Atoa Waraka Kuhusu Kukamatwa Kwake

WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ametoa waraka akisema kitendo cha askari wa Jeshi la Polisi kuwakamata wakati wakiwa kwenye...

READ MORE

Hivi Ndivyo Kupatwa Kwa Jua Kutakavyokuwa

Muonekano wa jua litakavyokuwa wakati wa kupatwa kwa jua. KESHOKUTWA Septemba 1, 2016 litatokea tukio kubwa la angani ambapo kutakuwa...

READ MORE

Mkazi wa Kijitonyama Dar Akamata Mpunga wa Vodacom Milioni 5

Meneja Msimamizi wa masuala ya Usalama wa Vodacom Tanzania, James Wawenje (kulia)  na  Ofisa Msimamizi wa bodi ya michezo ya...

READ MORE

Lema Aruhusiwa Kutoka Hospitalini

Arusha. Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema ameruhusiwa kutoka hospitali ya Aga Khan alikolazwa jana kwa matibabu baada ya...

READ MORE

Apple Kulipa Kodi Iliyokwepa Ireland

TUME ya Ulaya inatarajiwa kuiamrisha kampuni kubwa ya teknolojia ya Apple kulipa mabilioni ya dola kama kodi iliyokwepa kuilipa. Hii...

READ MORE

M/Kiti wa Kijiji Achapwa Bakora Mkutanoni

Mwenyekiti wa Kijiji cha Simike, Kata ya Lufingo wilayani Rungwe, Efram Kapondany’a amechapwa bakora mbele ya mkutano wa hadhara baada...

READ MORE

Sababu za UVCCM Kusitisha Maandamano

Umoja wa Vijana wa CCM tuliutangazia umma na dunia kwamba ifikapo Agosti 31 mwaka huu tutaitisha maandamano ya amani nchi...

READ MORE

Wakili Alivyopinga Tundu Lissu Kusomewa Mashitaka Mapya

Upande wa Jamhuri katika kesi inayomkabili Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu na wahariri wa Gazeti la Mawio iliyopo...

READ MORE

Lowassa, Mbowe Watakiwa Kuripoti Polisi Leo

Viongozi waandamizi wa Chadema akiwamo Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana walikamatwa na Jeshi la Polisi wakati wakiwa katika...

READ MORE

Lipumba Aendelea Kung’ang’ania Uenyekiti Wake CUF

Katika hali isiyokuwa ya kawaida Prof Lipumba ameendelea Kung’ang’ania kiti cha uenyekiti wa chama chake cha CUF na kusema kikao...

READ MORE

Mrema Awataka Mahakimu Kuwa Makini na Hukumu za Watumia ‘Unga’

Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Parole, Augustino Mrema akizungumza na wanahabari. Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Parole nchini,...

READ MORE

Mbowe, Lowassa, Mnyika na Dkt. Mashinji Wakamatwa na Polisi, Dar

Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kilichokuwa kinafanyika katika Hoteli ya Giraffe iliyopo Mbezi jijini Dar, kimezingirwa na jeshi la...

READ MORE

Lema Apandishwa Kizimbani kwa Kesi Mbili Tofauti, Aachiwa kwa Dhamana

Dar es Salaam. Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chadema, Godbless Lema amepandishwa mahakamani leo katika kesi mbili tofauti....

READ MORE

Airtel Money Timiza Yafanya Semina na Mawakala Mkoa wa Mwanza

Msimamizi mkuu wa uelimishaji wa huduma ya Airtel Money Timiza, Rwebu Mutahaba akitoa semina kwa Mawakala wa mihamala ya fedha...

READ MORE

Masaju Avionya Vyama vya Siasa, Avitaka Viheshimu Kauli ya Polisi

Dar es Salaam Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, leo amevionya vyama vya siasa kutumia maneno yanayovunja amani na usalama...

READ MORE

Nape Azifungia Radio 5 na Magic FM Kwa Uchochezi

Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye, ametangaza kuvifungia vituo vya Radio 5 Arusha na Magic Fm Dar...

READ MORE

Lema Aendelea Kugoma Kula Akiwa Mahabusu, Kufikishwa Mahakamani Leo

MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), ameendelea kugoma kula kwa siku ya tatu mfululizo tangu alipokamatwa Oktoba 26 mwaka...

READ MORE

Prof. Lipumba, Magdalena Sakaya na Abdul Kambaya Wavuliwa Uanachama CUF

Chama Cha Wananchi (CUF) kimewasimamisha uanachama aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba na Katibu Mkuu wa chama hicho...

READ MORE

Gaidi Mtoto Auawa Mkuranga (Video)

Itazame Video yake hapa;

READ MORE

Usikose Semina Hii ya Fahamu Talk 2016

Dk. Chris Mauki. Ni watu wengi sana wakiwemo vijana wanaingia kwenye mahusiano bila ya ufahamu wa kutosha na baadaye kwa...

READ MORE

Tahadhari ya Kuwepo Upepo Mkali na Mawimbi Makubwa

TAHADHARI: Upepo mkali na mawimbi makubwa vinatarajiwa katika maeneo ya ukanda wa Ziwa Victoria na yale ya Pwani kuanzia kesho...

READ MORE

Afya ya Lema Mbaya Baada ya Kususia Chakula Mahabusu

Godbless Lema. Afya ya Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema imeripotiwa...

READ MORE

DC Atoa Mwezi 1 Waliovamia Hifadhi Kuhama

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Miraji Jumanne Mtaturu akimsikiliza Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Kaugere, Beatus Kapatya akitoa taarifa juu...

READ MORE

Kifahamu Kipindi Kipya Cha ‘Chukua Hatua’ Kinachohusu Vijana Dodoma

 Watangazaji wa kipindi kipya cha CHUKUA HATUA Happy Balisidya na Mohammed Hammie, siku ya kwanza walipokutana wakati wa maandalizi ya...

READ MORE

Trump Asisitiza Kujenga Ukuta Kuzuia Wahamiaji

Mgombea Urais wa Chama cha Rupublican nchini Marekani, Donald Trump amesema kuwa atabuni mfumo ambao utasaidia serikali yake kudhibiti uhamiaji...

READ MORE