×

Habari

Afikishwa Mahakamani kwa Kumuita Rais Magufuli ni Kilaza

ELIZABETH Asenga (40), mkazi wa jijini Dar es Salaam amepandishwa kortini jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma...

READ MORE

Aliyoyanena Rais Magufuli Leo Akiwa Pemba

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wananchi wa Pemba katika Uwanja...

READ MORE

Rais Magufuli Awasili Pemba kwa Ziara ya Kikazi ya Siku Mbili

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Asubuhi ya leo tarehe 02 Septemba, 2016 amewasili...

READ MORE

Mr. Championi anadi muonekano mpya wa Ijumaa Kisemvule

Wasoamaji mbalimbali wa eneo la Kisemvule Mkuranga Mkoa wa Pwani wakizingira gari la matangazo kwa ajili ya kununua gazeti la...

READ MORE

Uturuki Yatangaza Kifo cha Rais wa Uzbekistan

Serikali ya Uturuki imetangaza kuwa Rais wa Uzbekistan, Islam Karimov amefariki dunia, licha ya kutokuwa na habari rasmi kutoka kwa...

READ MORE

Vodacom Yaendelea Kugawa Mpunga kwa Wateja Wake

Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu ( kushoto) akimkabidhi kitita cha shilingi Milioni 5/= Hassan  Mfaume (kulia) alizojishindia kupitia promosheni...

READ MORE

CUF Waondolewa Pemba Kupisha Mkutano wa Rais Magufuli

Jeshi la Polisi Wilaya ya Chakechake, Pemba limezuia kufanyika mkutano na vyombo vya habari wa Chama Cha Wananchi (CUF) uliokuwa...

READ MORE

Satelaiti ya Facebook ya Masafa ya Kasi Afrika Yaharibiwa

Mwanzilishi wa kampuni ya Facebook Mark Zuckerberg amelezea kusikitishwa kwake baada ya satelaiti ambayo Facebook ingeitumia kwa mawasiliano ya kasi...

READ MORE

RC Makonda: Oktoba Mosi 2016 ni Siku ya Kupanda Miti

Siku moja baada ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kuahirisha kufanya maandamano na mikutano nchi nzima kupitia oparesheni...

READ MORE

Melania Trump Alishtaki Gazeti la Daily Mail Kuhusu Tuhuma za Ukahaba

Melania Trump amelishtaki gazeti la Daily Mail la Uingereza pamoja na mwanablogu wa Marekani akitaka alipwe $150m (£114m) kuhusiana na...

READ MORE

Magazeti ya Leo Septemba 2, 2016

               

READ MORE

Rais Magufuli Awapongeza JWTZ Kwa Kutimiza Miaka 52

Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kuwaunga mkono na kuwatumia wahandisi wa ndani wenye ujuzi mbalimbali katika utekelezaji wa miradi...

READ MORE

JPM Kubadili Noti Kuwakomoa Walioficha Mabilioni Majumbani

Rais John Magufuli amewataka watu walioficha fedha majumbani kuziachia ziingie kwenye mzunguko vinginevyo anaweza kuamua kuzibadili ili wakose mahali pa...

READ MORE

Awamu ya Pili Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi 2016

Ofisi ya Rais -TAMISEMI inatangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya Pili (Second Selection) kwa...

READ MORE

UVCCM Yaivaa Chadema Kutofanya Maandamano ya UKUTA

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), umewavaa viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kile walichodai...

READ MORE

Hali Ilivyokuwa Wakati wa Kupatwa kwa Jua Rujewa

Jua lilivyokuwa likionekana kupitia miwani maalum ya kuchuja mionzi ya jua mjini Rujewa wilayani Mbarali mkoani Mbeya leo. Raia wa...

READ MORE

Baada ya Kutoka Nigeria, Mark Zuckerberg Aibukia Kenya

MWANZILISHI na CEO wa Facebook, Mark Zuckerberg amewasili nchini Kenya leo kwa ziara ya kufundisha elimu ya biashara na miundombinu...

READ MORE

Acer Yazindua Laptop Yenye Kikoo Kilichopinda

Kampuni ya Vifaa vya kielektroniki ya Acer imezindua laptop ya kwanza yenye kioo kilichojipinda. Acer inasema kuwa uvumbuzi huo utaiwezesha...

READ MORE

Malima: Nataka Kuleta Mapinduzi Bongo Muvi

Director Malima. Na Leonard Msigwa/GPL DAR ES SAALAM: Soko la filamu nchini “Bongo Muvi” limepata muongoza filamu “director” mpya na...

READ MORE

Gazeti la Amani Lawapagawisha Watu Dar

     Mohamed Mrisho mkazi wa Vikindu akisoma kwa makini gazeti la Amani. Omari mkazi wa Vikindu akifuatilia kilichoandikwa kwenye gazeti...

READ MORE

Mwanzilishi wa Facebook Alivyokutana na Akina Yemi Alade Nigeria

Lagos, Nigeria MWANZILISHI na mmiliki wa mtandao maarufu duniani wa Facebook, Mark Zuckerberg juzi Jumanne alianza ziara yake ya siku...

READ MORE

Rais JPM Acharuka, Ataka Kuzibadili Noti

Rais Dk. John Pombe Magufuli. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli leo amekutana na kuzungumza...

READ MORE

Miundombinu ya Barabara Polisi Mabatini, Dar… Sikio la Kufa!

Gari likipita eneo hilo kwa tabu.  Bajaj nayo ikipita kwa tabu. Mjumbe wa Mtaa wa Polisi Mabatini, jijini Dar es...

READ MORE

Ishu ya Uenyekiti wa Lipumba CUF, Msajili Amuweka Kikaangozi Maalim Seif

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa nchini imemuandikia barua Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif...

READ MORE

Hatimaye Aliyekuwa Rais wa Brazil Aenguliwa Rasmi Madarakani

Aliyekuwa Rais wa Brazil, Dilma Rousseff. Rais Mpya wa Brazil, Michel Temer amesema nchi yake inaingia katika enzi mpya ya...

READ MORE

Madalali wa NHC Wavamia Bilicanas, Wawatupia Virago Tanzania Daima

Dar es Salaam Madalali wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wamefika katika ofisi za gazeti la  Tanzania Daima zilizopo...

READ MORE

Updates: Kutoka Rujewa Katika Kupatwa kwa Jua

Saa 11:03 AM Takribani theluthi moja ya jua imefunikwa na  mwezi     Saa 9:48 AM Watu waambiwa wajikusanye katika makundi...

READ MORE

Kisa Ali Bongo Kutangazwa Rais, Majengo ya Bunge Yachomwa Moto

Fujo zimezuka katika Mji Mkuu wa Gabon, Libreville baada ya Rais Ali Bongo kutangazwa jana Jumatano mchana kuwa mshindi wa...

READ MORE

Watu Zaidi ya 20 Mbaroni Oparesheni ya Kusaka Majambazi Vikindu

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema limewakamata zaidi ya watu 20 ambao kati yao wanahusishwa na...

READ MORE

BancABC Yashinda Tuzo ya Kuongoza Miamala Mitandaoni Tanzania

Mkuu wa Kitengo cha wateja binafsi na wafanyabiashara wadogo wa BancABC, Bi. Joyce Malai akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)...

READ MORE

Katibu Wizara ya Afya ‘Awawakia’ Waganga wa Tiba Asilia

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Michael O. John akisoma taarifa yake mbele ya...

READ MORE

Vyama vya Bodaboda Vyaungana na Mbowe Kuhusu Ukuta

Mwenyekiti wa Chama cha Waendesha Bodaboda Wilaya ya Kinondoni, Almano Mdede (katikati) akisoma taarifa yake kwa wanahabari (hawapo pichani). WAKATI...

READ MORE

JPM Akutana na Mwenyekiti wa Taasisi ya Africa Matter Ltd. Ya Uingereza

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Taasisi ya Africa Matters...

READ MORE