×

Ijumaa


KAJALA, WEMA VISASI HADI KIFO

Chuki na visasi bado vimetawala kwa mastaa wakubwa wawili waliokuwa marafiki wa sinema za kibongo, kajala Masanja ‘kay’ na Wema isaac Sepetu baada ya kila

SOMA ZAIDI


MAJUTO: SITAKI KUFA NA MTU

KOMEDIANI mwenye jina kubwa Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’, amevunja ukimya kuwa, katika umri alionao kwa sasa wa zaidi ya miaka sitini, hataki kulumbana na

SOMA ZAIDITID: SIJARUDIA MADAWA JAMANI

  MKONGWE kunako Muziki wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed ‘TID’ amewajia juu wanaoendelea kumhusisha kurudia matumizi ya madawa ya kulevya kwa kusema kuwa hakuna kitu

SOMA ZAIDI


SAIDA KAROLI AIBIWA, ATISHIWA KIFO

DAR ES SALAAM: Mwanamama anayefanya vizuri kupitia Muziki wa Asili Bongo, Saida Karoli siku chache zilizopita alivamiwa na watu wasiojulikana na kumuibia yeye na wacheza

SOMA ZAIDI
Ukaribu na Bella Umenibeba!

MSANII wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ amefunguka kuwa, ukaribu alionao na staa wa Muziki wa Dansi, Christian Bella ‘Obama’ umembeba kwa kiasi kikubwa.

SOMA ZAIDI