Kampuni ya ndege binafsi ya nchini Marekani ya Love Cloud imeanza kutoa huduma kwa wapenzi wanaohitaji kushiriki tendo la ndoa...
READ MOREKijana mwenye matatizo ya akili, Steve Olumbe amemvamia, kumkatakata kwa mapanga na shoka kisha kumuua bibi yake, Priscilla Were mwenye...
READ MOREPOLISI katika Jimbo la Maharashtra katika Wilaya ya Aurangabad, Mumbai nchini India wamewakamata kijana mmoja na mama yake kwa madai...
READ MOREGAVANA wa Kaunti ya Kitui nchini Kenya Charity Ngilu amesema kuwa serikali ya kitaifa na ile ya kaunti yake zitagharamia...
READ MOREJESHI la Polisi nchini Nigeria wanasema wanaendelea kuchunguza tukio la vifo vya watoto nane wa familia mbili tofauti, waliokutwa wamekufa...
READ MOREWAFUNGWA kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha baada ya Gereza Kuu la Gitega nchini Burundi, kuteketea kwa moto Jumanne ya Desemba 7,...
READ MORETUKIO lisilo la kawaida limesababisha huzuni kutanda katika Mji wa Kabete nchini Kenya baada ya askari wa jeshi la polisi,...
READ MOREZAIDI ya watu 180,000 wametia saini maombi ya kudai haki baada ya kifo cha mwanafunzi Sylvester Oromoni wa shule ya...
READ MORENi fursa ya kipekee kujivinjari katika jiji la Dubai! Ndivyo unavyoweza kutafisiri kile kinachosubiriwa kwa hamu na Watanzania wengi ambapo...
READ MOREJESHI la Polisi katika Jimbo la Ogun, Kusini Magharibi mwa Nigeria wanamshikilia mwanaume aliyefahamika kwa jina la Biodun Adebiyi kwa...
READ MOREMAHAKAMA nchini Rwanda imemhukumu kifungo cha miaka mitano jela aliyekuwa mkuu wa gereza kuu la Kigali kwa kuiba fedha kutoka...
READ MOREShughuli za uokoaji ziliendelea siku ya Jumapili kufuatia ajali mbaya iliyotokea Jumamosi katika mto wa Enziu, kaunti ya Kitui huku...
READ MOREZaidi ya watu 20 wamefariki dunia Jumamosi Desemba 4 wakati basi lao lililokuwa likielekea kwenye harusi liliposombwa na Mto Enziu...
READ MOREMahakama ya nchini Libya imeamua kwamba Mtoto wa Gaddafi, Seif al Islam anaruhusiwa kugombea kiti cha Urais nchini humo na...
READ MOREWAENDESHA mashtaka katika kitongoji cha Detroit wamemfungulia mashtaka ya ugaidi na mauaji ya kukusudia mvulana wa miaka 15 anayetuhumiwa kuwafyatulia...
READ MOREMzee Gideon Kisira Cherowo (73) Mkazi wa Birunda nchini Kenya amemfungulia kesi Mtoto wake aitwaye Washington Chepkombe akitaka akatwe asilimia...
READ MORENia ya kampuni ya Kampuni ya Honest Marijuana inayolima bangi kuwekeza nchini Tanzania imeibua mjadala kuhusu iwapo nchi inapaswa kuhalalisha...
READ MOREJeshi la Polisi katika Kaunti ya Kiambu nchini Kenya, imefanikiwa kukamata simu zaidi ya 30 na watuhumiwa 12 wa matukio...
READ MOREMwanaume mmoja, Paul Murage Njuki (35), mkazi wa Kijiji cha Kathata, Gichugu, Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya, anashikiliwa na jeshi...
READ MOREWatu wenye silaha wamewateka nyara zaidi ya vijana 100 kutoka kijiji cha Naulala katika Mkoa wa Niassa kaskazini mwa Msumbiji,...
READ MOREEmma Coronel Aispuro amehukumiwa adhabu ya kutumikia jela miaka mitatu kwa makosa ya ulanguzi wa dawa za kulevya na utakatishaji...
READ MORERais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, ameiomba Mahakama ya rufaa kuwazuwia wabunge wanaofanya uchunguzi wa ushiriki wake kwenye ghasia...
READ MOREMILIONEA mwenye umri mdogo wa miaka 26, Raia wa New Zealand Jake Millar amefariki Duniani akiwa nchini Kenya katika kifo...
READ MOREMsemaji wa Jeshi la Polisi nchini Uganda Fred Enanga, amesema kwamba jeshi hilo linamshikilia mwanaume mmoja aitwaye Paul Mubiru, ambaye...
READ MOREKampuni ya kutengeneza roboti ya nchini Urusi inatafuta sura ya binadamu atakayekubali kulipwa ili kuitumia kwenye bidhaa yake mpya ‘Promobot‘....
READ MOREKijana anayefahamika kama Mathew David Hughes aliyetaka kumuua Rapa Eminem kwa majaribio kadhaa mwaka 2020 aingia tena matatizo baada ya...
READ MOREMAHAKAMA ya kupambana na rushwa nchini Kenya imeagiza akaunti ya benki ya ya mwanafunzi, Felesta Njoroge (21) ifungwe kwa siku...
READ MOREKUNDI la mataifa tajiri duniani ya G7 leo hii limefanya mkutano wa dharura kuhusu aina mpya ya kirusi cha Covid-19...
READ MOREShirika la Afya Duniani (WHO), Novemba 26, 2021 liliripoti uwepo wa aina mpya ya kirusi cha Uviko-19 kiitwacho “Omicron”, kinachosemekana...
READ MOREWatu wanne wameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi, tukio lililotokea huko nchini Kenya. Wakazi wa eneo...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta...
READ MOREBaada ya kusambaa kwa video inayomuonesha mchuuzi wa Senene aliyekuwa akiuza bidhaa zake ndani ya Ndege ya Shirika la Ndege...
READ MOREVIKOSI vya usalama vya vya ulinzi wa raia nchini Nigeria vimemkamata mwanaume mmoja kwa jina, Elisha Effiong, kwa madai ya...
READ MOREJESHI la Polisi nchini Somalia limethibitisha vifo vya raia wanane katika shambulio la bomu la kujitoa muhanga katika mji mkuu...
READ MOREMTOTO wa kiume wa aliyekuwa kiongozi wa Libya hayati Muammar Gaddafi aitwaye Saif al-Islam Gaddafi ameenguliwa katika kinyang’anyiro cha kuwania...
READ MORELoise Martha Musyoka, mwalimu kutoka nchini Kenya Kaunti ya Nairobi wa shule ya Kayole ameshutumiwa kwa kosa la kumbaka mwanafunzi...
READ MOREMMAREKANI mwenye asili ya Afrika, Kevin Strickland mwenye umri wa miaka 62 ameachiliwa huru mara baada ya kutumikia kifungo cha...
READ MOREPolisi nchini Uganda wameondoa mabegi yametelekezwa mtaani katika Mji Mkuu nchi hiyo, Kampala baada ya kusababisha hofu ya mabomu mjini...
READ MOREShirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limeitangaza rasmi tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa...
READ MORESERIKALI ya Uholanzi imeanza kuwapeleka Wagonjwa wa Covid – 19 Nchini Ujerumani kutibiwa ili kupunguza msongamano kubwa unaozizonga Hospitali za...
READ MORE