×

Kimataifa

Kansela wa Austria Kujiuzulu kwa Kashfa ya Rushwa

KANSELA wa Austria Sebastian Kurz ametangaza kuwa atajiuzulu nafasi yake kutokana na shinikizo la kuhusishwa na tuhuma za ufisadi, Kurz...

READ MORE

Jamaa Anaswa Akichepuka na Mke wa Mtu, Afungwa Kwenye Gunia

Kisanga cha aina yake kimezuka katika eneo moja mjini Embu nchini Kenya baada ya jamaa kufungwa kamba miguuni na kutiwa...

READ MORE

Sierra Leone Yafuta Adhabu ya Kifo

Sierra Leone imefuta rasmi adhabu ya kifo, baada ya Rais Julius Maada Bio kusaini muswada wa sheria mpya unaokataza adhabu...

READ MORE

Sokwe Ndakasi Afariki Dunia

Sokwe anayefahamika kwa jina la Ndakasi, aliyepata umaarufu kupitia picha iliyopigwa mwaka 2019 akiwa ameweka pozi katika ‘selfie’ na mhifadhi...

READ MORE

Amuua Mwenzake Wakigombani Mwanamke

Mwanamume mmoja nchini Kenya ambaye jina lake halikufahamika anadaiwa kumuuwa kwa kumpiga na jiwe kichwani mwanaume mwenzake David Maina (35),...

READ MORE

Kanali Doumbouya Amteua Beavogui Kuwa Waziri Mkuu

Kiongozi wa jeshi la Guinea amemtaja mfanyikazi wa zamani wa serikali Mohamed Beavogui kama waziri mkuu kusimamia mabadiliko ya utawala...

READ MORE

Tetemeko la Ardhi Laua 20 na Kujeruhi Zaidi ya 300 Pakistan

TAKRIBANI watu 20 wakiwemo watoto saba wamefariki dunia na wengine zaidi ya 300 kujeruhiwa, katika tetemeko lililoipiga Pakistan usiku wa...

READ MORE

Charles Quansah; Muuaji Hatari Zaidi Kuwahi Kutokea Nchini Ghana

-Alikuwa akiwabaka kisha kuwaua kwa kuwanyonga au kuwachinja wanawake -Alikuja kukamatwa baada ya kuchomwa na mpenzi wake aliyewapigia simu polisi...

READ MORE

Aishi na Kisu Tumboni kwa Miaka 3

David Mlilo mkazi wa nchini Zimbabwe amepanga kuishtaki hospitali ya Hippo Valley Medical Centre baada ya kugundua kuwa madaktari wa...

READ MORE

Uhaba wa Wanafunzi, Kondoo Waandikishwa Shule

Mkulima mmoja nchini Ufaransa amewashangaza watu ulimwenguni baada ya kuwaandikisha shule kondoo wake 15 ili kukamilisha idadi ya wanafunzi inayotakiwa...

READ MORE

Utajiri wa Mark Zuckerberg Waporomoka

Utajiri wa Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg umeanguka kwa wastani wa USD bilioni 5.9 hadi USD bilioni 7 (takribani Tsh...

READ MORE

Huduma za Facebook, Instagram na WhatsApp Zarejea

HUDUMA za mitandao ya kijamii ya Facebook, WhatsApp na Instagram zimerejea tena kwa watumiaji wake kama kawaida baada ya kukatika...

READ MORE

Mende Avuruga Hotuba ya Rais

  WAKATI Kampeni za uchaguzi nchini Ufilipino zikikaribia kufika tamati na mgeni ambaye alikuwa hajaalikwa aliamua kumtembelea rais wa nchi...

READ MORE

Sanamu la George Floyd Laharibiwa Tena

SANAMU la Marehemu George Floyd lililopo Jini New York Marekani laharibiwa tena Jumapili ya October 3,2021 Kwa mujibu wa Polisi...

READ MORE

Mpiga Picha Afuta Picha za Maharusi Baada ya Kunyimwa Chakula

KISA kimoja cha kushangaza kimewaacha watu midomo wazi baada ya mpiga picha mmoja aliyetofautiana na mwajiri wake wakati akipiga picha...

READ MORE

Maeneo Ambayo Mwanamke Yeyote Duniani Haruhusiwi Kukanyaga

MATEMBEZI ni jambo zuri sana, linalomuwezesha mtu kuyafahamu maeneo ambayo vinginevyo usingeyajua, hususani wakati wa likizo. Sio tu kwamba kutembea...

READ MORE

Mali za Siri za Familia ya Kenyatta Zafichuliwa

Familia ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, ambayo imetawala siasa za nchi hiyo tangu uhuru, ilimiliki kwa siri mtandao wa...

READ MORE

Jamaa Avumbua Mashine ya Kusonga Ugali kwa Dakika 3

UGALI ni chakula kinacholiwa sana barani Afrika. Huenda kikawa ndio chakula chenye umaarufu mkubwa Afrika, kikitokana na nafaka hasa ya...

READ MORE

Nyayo za Binadamu wa ‘Kale Zaidi’ Aliyeishi Miaka 23,000 Zapatkana

MATOKEO ya hivi karibuni ya ugunduzi katika juhudi za kutafuta binadamu walioishi kabla ya historia kuanza kuandikwa ambao waliishi miaka...

READ MORE

Aliyemdhihaki Mtume Muhammad kwa Katuni Afariki

  MCHORAJI maarufu wa vibonzo raia wa Sweden ambaye alichora mchoro wa kichwa cha Nabii Muhammad kwenye kiwiliwili cha mbwa...

READ MORE

Wanawake Waandamana Kupinga Kuzuiwa Kutoa Mimba

MAELFU ya watu wameandamana katika majimbo yote 50 ya Marekani kuunga mkono haki ya utoaji mimba. Wameamua kuandamana kupinga sheria...

READ MORE

Wananchi Brazil Waandamana Rais Aondolewe

MAELFU ya wananchi wa Brazil wameandamana tena nchini humo wakitaka rais wa nchi yao Jail Bolsonaro, aondolewe madarakani, kuhusiana na...

READ MORE

Mwanaume Afunga Ndoa na Rice Cooker

MWANAUME mmoja nchini Indonesia, Khoirul Anam amefunga ndoa na Rice Cooker ili liwe ndo mke wake. Ndoa hiyo imefungwa tarehe...

READ MORE

Wanawake Waandamana Kupinga Kuzuiwa Kutoa Mimba

Maelfu ya wanawake wameandamana katika miji kadhaa nchini Marekani kupinga kampeni ya kihafidhina inayolenga kudhibiti au kuzuia huduma za kutoa...

READ MORE

Rais Duterte Atangaza Kustaaafu Siasa

RAIS Rodrigo wa Ufilipino,  Duterte (76) amesema anajiuzulu siasa na hatagombea katika uchaguzi wa mwakani (2022) katiba ya nchi hiyo...

READ MORE

Penzi la Kweli Linavyoitikisa Ngome ya Kifalme Japani

Mako, mpwa wa Mfalme wa Japani Nahurito, amezama kwenye penzi zito la kijana Komuro ambaye ni Mwanasheria. Ndoa ya Mako...

READ MORE

Kanali Doumbouya Aapishwa Kuwa Rais wa Mpito Guinea

  KIONGOZI  aliyeongoza  mapinduzi nchini Guinea mwezi uliopita , Kanali Mamady Doumbouya amekula kiapo cha kuwa rais wa mpito jana...

READ MORE

Transparent Automobile: Magari Yaliyotengenezwa kwa Vioo Vitupu

HEBU vuta picha, upo kwenye mihangaiko yako katikati ya Jiji la Dar es Salaam, ghafla linatokea gari mbele yako! Limetengenezwa...

READ MORE

Kiongozi wa Kijeshi wa Guinea Kuapishwa Kuwa Rais Leo

KIONGOZI  wa kijeshi nchini Guinea Kanali Mamady Doumbouya anatarajiwa kuapishwa leo kama rais wa mpito sherehe ya kuapishwa kwake itafanyika...

READ MORE

Ethiopia Yafukuza Maafisa 7 Umoja wa Mataifa

MAAFISA saba wa Umoja wa Mataifa wamepewa muda wa saa 72 kuondoka Ethiopia kwa kile ambacho serikali ya nchi hiyo...

READ MORE

Kim Arejesha Mawasiliano ya Simu na Korea Kusini

KIONGOZI wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un ametangaza kurudisha laini za mawasiliano ya simu na Korea Kusini mwanzoni mwa mwezi...

READ MORE

Jua la Bandia Kuanza Kufanya Kazi 2035

NCHI ya China ni miongoni mwa mataifa yaliyopiga hatua kwenye upande wa Teknolojia na hivi karibuni wameweka rekodi mpya baada...

READ MORE

Mtu Mchafu Kuliko Wote Duniani, Hajaoga kwa Miaka 65 – Video

JE, wewe huwa unapenda kuoga au hupendi kuoga. Kama hupendi kuoga basi nadhani leo utafarijika baada ya kufahamu kuwa yupo...

READ MORE

Korea Yarusha Kombora Jingine

JESHI la Korea Kusini limesema Korea Kaskazini imerusha kombora moja kuelekea katika Bahari ya Mashariki, huku Korea Kaskazini ikisema hakuna...

READ MORE

Mwanamke Amkimbia Mume Mtarajiwa Siku ya Harusi

Jackline Wanjiru kutoka Kenya aliamua kuchanja mbuga muda mfupi kabla ya harusi yake baada ya kugundua kuwa bwana harusi Alfred...

READ MORE

Bwana Harusi Avunjika Mgongo Baada ya Kurushwa Hewani

MWANAUME mmoja aliyekuwa akifanya sherehe ya ndoa yake na mkewe baada ya kufunga ndoa amevunjika mgongo baada ya marafiki zake...

READ MORE

Waliochanjwa Corona Hakuna Aliyefariki

Utafiti uliofanywa na wanasayansi nchini Uganda umebaini kuwa chanjo ya UVIKO-19, imepunguza vifo vya corona nchini humo.   Matokeo ya...

READ MORE

Majeneza Yenye Miili ya Watu Yaelea Mitaani

KATIKA hali ya kushangaza, majeneza yenye mabaki ya miili ya watu yameonekana yakielea na kuzagaa mitaani katika Jimbo la Louisiana...

READ MORE

Daktari Awaua Wanawe kwa Sindano

DAKTARI mmoja katika eneo la Nakuru nchini Kenya anadaiwa kuwaua wanawe wawili wenye umri wa miaka mitano na mitatu kwa...

READ MORE

Daktari Bingwa Jela kwa Kutaka Kumuua Mkewe kwa ‘Sindano  ya Mapepo’

DAKTARI mmoja nchini Uingereza ambaye ni raia wa Misri, Hossam Metwally amehukumiwa kwenda jela miaka 14 baada ya kukutwa na...

READ MORE