×

Kimataifa

Denti Aanguka, Afa Akijibu Swali La Hesabu

Binti mmoja wa miaka nane alianguka na kufariki aliposimama kujibu swali la hesabu katika shule ya msingi ya New View...

READ MORE

Tanzia: Mke wa Clatous Chama Afariki Dunia

KIUNGO wa Klabu ya Simba na Timu ya Taifa ya Zambia, Clatous Chama (29) amefiwa na mke wake Bi. Mercy...

READ MORE

Waliochanjwa Kenya Kuchanjwa Tena

WIZARA ya Afya ya Kenya imezishauri hospitali kuacha kutoa dozi ya kwanza ya chanjo ya AstraZeneca kwa ajili ya kujikinga...

READ MORE

Watu Laki 4 Watoroka Mlipuko wa Volkano Congo

UMOJA wa Mataifa umesema kwamba zaidi ya watu 400,000 wametoroka Mji wa Goma nchini DR Congo kutokana na hofu ya...

READ MORE

Qatar Kutoa Dola Mil.500 Kuijenga Gaza

QATAR imesema itatoa msaada wa dola milioni 500 ili kuijenga tena Gaza, kufuatia mashambulizi ya anga ya siku 11 yaliyofanywa...

READ MORE

Zuma Akanusha Mashtaka Yote 18 ya Ufisadi

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amekana mashtaka yote 18 ya ufisadi anayokabiliwa nayo katika mahakama ya Pietermaritzburg...

READ MORE

Mwanamke Aamua ‘Kuolewa na Roho Mtakatifu’

Mwanamke mmoja kutoka kaunti ya Pokot Magharibi nchini Kenya amemtema mumewe kwa madai kwamba aliagizwa na Mungu kufunga ndoa na...

READ MORE

Mwanamke Aolewa na Wanaume Saba

Mwanamke mmoja ambaye ni Mganga wa Kienyeji nchini Nigeria ameweza kuolewa na wanaume saba tofauti, amesema wanaume wake hawawezi kumsaliti...

READ MORE

Supermoon: Mwezi Mkubwa Mwekundu Utaonekana Wapi?

MAPEMA tarehe 26 mwezi Mei utakuwa katika wakati maalum. Kupatwa kwa mwezi mwaka 2021 kunafanyika huku mwezi ukitarajiwa kuwa mkubwa...

READ MORE

Mwili wa Mugabe Kufukuliwa

Kiongozi wa kitamaduni nchini Zimbabwe ameaamuru kwamba mabaki ya rais wa zamani wa nchi hiyo Robert Mugabe yafukuliwe na kuzikwa...

READ MORE

Bunge la Uganda Lapata Spika Mpya

JACOB Oulanyah, Mbunge wa Kaunti ya Omoro Kaskazini mwa Uganda, ameteuliwa kuwa Spika wa Bunge la 11. Alishinda uchaguzi kwa...

READ MORE

Mali: Rais, Waziri Mkuu Washikiliwa na Jeshi

Maafisa wa kijeshi wa Mali waliokasirishwa na mabadiliko ya baraza la mawaziri wanamshikilia Rais na Waziri Mkuu katika kambi ya...

READ MORE

Goma Yakabiliwa na Uhaba wa Chakula Baada ya Volkano

UHABA mkubwa wa vyakula umeanza kushuhudiwa katika mji wa Goma, Jamuhuri ya kidemokarsi ya Congo wakati ambapo idadi kubwa ya...

READ MORE

Binti Mfalme wa Dubai Aliyetoweka Miezi Kadhaa, Aonekana Mtandaoni

PICHA iliyochapishwa wiki hii kwenye akaunti mbili za umma za Instagram inadai kuonyesha Princess Latifa, binti wa Mfalme wa Dubai,...

READ MORE

Mji Ambao Wanawake Wasioolewa Hawapangishwi Nyumba

WANAWAKE wasio na waume wanabaguliwa na wamiliki wa nyumba za kupangisha mjini Lagos, lakini hakuna changamoto inayokosa ufumbuzi. Idongesit Udoh...

READ MORE

Watu 15 Wafariki Kwenye Mlipuko wa Volkano

TAKRIBANI watu 15 wamethibitishwa kufariki kutokana mlipuko wa volkano uliotokea katika Mlima wa Nyiragongo, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya...

READ MORE

Watu 3,000 Wakimbilia Rwanda Baada ya Volcano Kulipuka

  MAELFU ya watu wamekimbia makazi yao nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya volkano kubwa kulipuka.   Chemchemi...

READ MORE

Mfahamu Kiongozi wa Hamas Anyepngoza Mapigano ya Israel

  KIONGOZI maarufu wa kikundi cha wapiganaji wa Kipalestina Hamas, Yahya Sinwar, amekuwa na nyadhifa za ngazi ya juu za...

READ MORE

MC Yamkuta Ukumbini Alipogundua EX Wake Ndo Bibi Harusi

KISANGA kimezuka katika harusi eneo la Mwatate, Taita Taveta nchini Kenya baada ya jamaa aliyekuwa akisherehesha sherehe ya harusi hiyo...

READ MORE

Israel na Palestina Wasitisha Mapigano

Mashambulizi baina ya Israel na Palestina yamesimamishwa, baada ya siku 11 za ghasia kati ya pande hizo mbili. Israeli imeukubali...

READ MORE

Israel Wakubali Kusitisha Mapigano Dhidi ya Palestina

    MAELFU ya Wapalestina wamemiminika mitaani kushangilia makubaliano ya kusitisha mashambulizi kati ya Israel na wanamgambo wa Hamas, makubaliano...

READ MORE

Babu Ajichimbia Kaburi na Kujenga Mnara, Anunuliwa Jeneza

Katika kile wengi wanaweza kuelezea kama jambo lisilokuwa la kawaida, mwanaume Mnigeria akiwa bado hai na buheri wa siha, Chifu...

READ MORE

Wananchi Washindwa Kupata Usingizi Kisa Mabomu

Mashambulizi ya anga na maroketi yalioendelea kuvurumishwa katika mzozo Israel na Gaza yamegharimu maisha ya watu zaidi huku miito ya...

READ MORE

Bill Gates Aondoka Microsoft Huku Akituhumiwa Kuchepuka

KAMPUNI ya Microsoft ilikuwa inamchunguza mwanzilishi mwenza wake, bilionea Bill Gates juu ya madai ya madai ya kuwa na uhusiano...

READ MORE

Taharuki! Familia Yakuta Jeneza Mlangoni

Familia katika kijiji cha Ebunyang’anyi kata ya Bunyala, Kakamega nchini Kenya imepatwa na mshtuko baada ya kuamka na kupata jeneza...

READ MORE

Kufuru! Bilionea Jeff Bezos Anunua Boti ya Sh Tril 1.16

MIONGONI mwa stori inayo-make headleine ulimwenguni ni kuhusu bilionea wa dunia, Jeff Bezos kununua boti iliyoitwa “superyacht“… hii imeamsha hamu...

READ MORE

Waliofariki Ukanda Gaza Wafikia 132

IDADI ya watu waliouawa kwa mashambulizi Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza imefikia 132, ambapo 32 kati yao ni watoto...

READ MORE

Masharti Mapya ya WhatsApp Kuanza kesho

WhatsApp imetaja Jumamosi ijayo kuwa siku ya mwisho kwa mamilioni ya wateja wake kukubali masharti mapya ya utumiaji wa mtandao...

READ MORE

Mahakama ya Juu Kenya Yamzuia Rais Kubadili Katiba

MAHAKAMA ya Juu nchini Kenya imeamua kwamba mageuzi ya kikatiba yanayoungwa mkono na Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi mkuu wa...

READ MORE

Kampuni Yatangaza Nafasi za Kazi za Kulala

Kampuni moja nchini Marekani ambayo hutoa vidokezo vya usingizi imetangaza nafasi za kazi ya weledi wa usingizi sawa na takribani...

READ MORE

Maroketi ya Israel Yaua Wapelestina 36

WAPELESTENA 36 wameuawa na wengine 250 kujeruhiwa kufuatia shambulio la maroketi ya Israel, Kundi la Wapiganaji wa Kipalestina la Hamas...

READ MORE

Taliban Yasitisha Vita Kupisha Sikukuuu ya Eid-al-Fitr

KUNDI la Taliban nchini Afghanistan limetangaza siku tatu za kusitisha vita kote nchini humo kwa ajili ya kutoa nafasi ya...

READ MORE

Pasta Yamkuta, Afumaniwa Akichepuka na Mke wa Mtu

Pasta wa Kanisa la African Divine eneo la Lugari, Kaunti ya Kakamega nchini Kenya ambaye alifumaniwa akifanya ngono na mke...

READ MORE

Rais Salva Kiir Avunja Bunge

RAIS wa Sudan Kusini Salva Kiir amelivunja bunge, hatua inayotoa njia ya uteuzi wa wabunge kutoka pande kinzani katika nchi...

READ MORE

Rais Kagame Kuweka Kiwanda Chanjo ya Corona

Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema Taifa lake litakuwa la kwanza kuleta chanjo ya mRNA barani Afrika wakati Afrika ikipambana...

READ MORE

Mafarao Walivyozikwa na Wahudumu Wao Wakiwa Hai

Ni ugunduzi ambao hadi sasa unaendelea kuwashangaza watafiti wa Misiri ya kale kuhusu aina ya kafara ambapo mafarao walizikwa pamoja...

READ MORE

Mabaki ya Roketi ya China Kuanguka na Kulipuka Duniani

Mabaki ya roketi ya China yanatarajiwa kuanguka na kulipuka duniani bila kudhibitiwa kwa namna yeyote wikendi hii. Bado haijafahamika ni...

READ MORE

Binti Albino Aliyetelekezwa China Kuwa Mrembo Maarufu Duniani

Wakati Xueli alipokuwa mtoto, wazazi wake walimtelekeza katika bustani ya nyumba ya kulelea yatima. Nchini China, kuwa albino ni laana. Hali hiyo...

READ MORE

Magereza Yaliyogeuzwa Kuwa ‘Machinjio’

Katika historia ya uhalifu kuna maeneo ambayo huwa hayazingatiwi sana kama hatima ya watu wanaokamatwa kwa makosa mbali mbali ....

READ MORE

Sheikh Auawa Msikitini Akiongoza Ibada

Kiongozi mkubwa wa Kiislamu mashariki mwa DRC ameuawa kwa kupigwa risasi wakati akisali kwenye msikiti mkuu mjini Beni. Mtu mwenye...

READ MORE