×

Kimataifa

Amnyonga Mwanaye Kisa Fedha za Corona

Raia mmoja katika Wilaya ya Kalaki nchini Uganda (35), anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kumnyonga hadi kufa...

READ MORE

Maelfu Wamiminika Kumuona Ng’ombe Mfupi Zaidi Duniani

WATU wamekuwa wakifika kwa wingi katika shamba moja la mifugo huko Bangladesh kumuona kiumbe maarufu ng’ombe mbilikimo kwa jina Rani....

READ MORE

Boris Alaani Ubaguzi wa Rangi

WAZIRI Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amelaani ubaguzi wa rangi uliojitokeza katika mitandao ya kijamii dhidi ya wachezaji wa England...

READ MORE

Wanaotuhumiwa Kumuua Rais wa Haiti Wakamatwa – Video

KUNDI la maharamia 28 wa kigeni, pamoja na wanajeshi wastaafu wa Colombia, walimuua Rais wa Haiti Jovenel Moïse mapema wiki...

READ MORE

Trafiki Aporwa Simu Barabarani Akiongoza Magari – Video

VIDEO ya askari wa usalama barabarani katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, akiibiwa siku yake ya mkononi na wanaume watatu...

READ MORE

Trump Afungua Kesi Dhidi ya Twitter, Facebook na Google

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amefungua mashtaka dhidi ya kampuni za Twitter, Facebook na You Tube.Trump mwenye umri...

READ MORE

Fahamu Waliyomuua Rais wa Haiti, Walivyopenya Kwenye Himaya Yake

Jeshi la Polisi nchini Haiti limewaua watu wanne na kuwakamata wengine wawili kwa tuhuma za kumuua Rais wa nchi hiyo,...

READ MORE

Zuma Kupata Dhamana Baada ya Miezi Minne

WAZIRI wa sheria wa Afrika Kusini Ronald Lamola amesema rais wa zamani wa nchi hiyo Jacob Zuma ambaye ameanza kutumikia...

READ MORE

Museveni Aagiza Waliomzushia Kifo Wakamatwe

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuna haja ya kuwakamata raia wa taifa hilo wanaotumia mitandao ya kijamii vibaya.  ...

READ MORE

Hili Ndipo Eneo Safina ya Nuhu Ilipozama?

Nessebar ni mji wa zamani uliopo kandakando ya kisiwa. Kisiwa hicho kipo nusu maili ya nyumba moja ya mvuvi iliopo...

READ MORE

Jamaa Amuua Babu ‘Mchepuko’ wa Mkewe

Mwanaume mmoja (40) mkazi wa kijiji cha Teso,Kusini mwa kaunti ya Busia nchini Kenya anashikiliwa katika kituo cha polisi cha...

READ MORE

Breaking: Rais Zuma Ajisalimisha Polisi

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, amejisalimisha polisi kuanza kifungo cha miezi 15 jela baada ya kuhukumiwa kwa...

READ MORE

Rais Kenyatta Kuzindua Miradi Usiku Kwazua Mijadala

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amekosolewa na raia wa nchi hiyo kwa kuzindua miradi wakati wa saa za amri ya...

READ MORE

Zimbabwe Yatoa Noti Mpya ya Thamani ya Juu Zaidi

Kuanzia Jumatano nchini Zimbabwe itasambazwa noti mpya ya dola 50, ikiwa ndio yenye thamani kubwa zaidi kuwahi kutolea Zimbabwe tangu...

READ MORE

Mke wa Rais wa Haiti Hajafariki

Mke wa aliyekuwa Rais wa Haiti Jovenel Moïse (aliyeuawa jana kwa shambulio), Bi. Martine Moïse (47) hajafariki kama ilivyoripotiwa awali...

READ MORE

Breaking: Rais wa Haiti Auawa Kwenye Makazi Yake

Rais wa Haiti Jovenel Moise ameuawa katika shambulio dhidi ya makazi yake mjini Port-au-Prince – amesema kaimu Waziri mkuu Claude...

READ MORE

Nabii Paul: Niliwaona Malaika Wakimbeba TB Joshua

KATIKA video iliyosambaa sana, mjumbe wa Mungu Nabii Paul alitabiri kwamba aliwaona malaika, waliomchukua Nabii TB Joshua kutoka duniani.  ...

READ MORE

Pasta Asherehekea Kifo cha TB Joshua

PASTA mmoja wa Uganda alisherehekea kifo cha Nabii Temitope Balogun Joshua, almaarufu TB Joshua, akimtaja marehemu kama “mchawi mkuu barani...

READ MORE

Mzozo Waibuka Mazishi ya Rais Kaunda

BAADHI ya wanafamilia ya Rais wa zamani wa Zambia, Dkt. Kenneth Kaunda wamekwenda kortini kujaribu kuzuia mazishi yake katika uwanja...

READ MORE

Kachero Ofisi ya DCI Afa Kwenye Send-Off

Kachero mmoja kwenye Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) nchini Kenya maarufu kwa jina la Shiru,...

READ MORE

Watoto Wamuua Baba Yao, Watupa Mwili Wake Kisimani

Katika hali ya kushangaza huko nchini Kenya Watoto wawili wamemuua baba yao huku chanzo cha mgogoro kinatajwa kuwa ni kugombea...

READ MORE

Moto wa Ajabu Waibuka Kwenye Ibada ya Mazishi ya TB Joshua

MOTO umezuka na kuzua taharuki kwa waumini na waombolezaji katika Kanisa Kuu la Kikristo la Mataifa la mhubiri wa kimataifa,...

READ MORE

Mwanafunzi Akutwa Ameuawa Chumba cha Kupanga

MWANAFUNZI mmoja wa Chuo cha KMTC mwenye umri wa miaka 23 amekutwa amefariki kwenywe nyumba yake aliyokuwa amepanga huko Oriang...

READ MORE

Pacha Alivyookoa Maisha ya Mwenzake Akipumulia Mashine

Ushawahi kusikia kuwa mapacha wana nguvu kubwa sana za kiroho? Ingawa Wanasayansi bado hawajasema kitu kuhusu hilo, kuna watu wanaosema...

READ MORE

Uingereza Kuondoa Vizuizi vya Corona

WAZIRI MKUU wa Uingereza Boris Johnson  ,  ametangaza hatua ya kuondoa vizuizi vya kudhibiti kusambaa virusi vya Corona, vya uvaaji...

READ MORE

Kifo cha Mwamba Aliyeoa Wake 20 na Wasemacho Madaktari

Hija Nulu Ssemakula anayeaminika kuwa na familia kubwa ya watoto 115, wake 20 na wajukuu 300, amefariki dunia Julai Mosi...

READ MORE

Mazishi ya TB Joshua Kuanza Leo

Tukio la kuwasha mishumaa linalotarajiwa kufanyika leo (Jumatatu) litaanzisha rasmi utararibu wa mazishi ya aliyekuwa muhubiri mashuhuri wa Nigeria na...

READ MORE

Bilionea Jeff Bezos Ang’atuka Amazon

BILIONEA namba mbili duniani, mwanzilishi na mmiliki wa Kampuni ya Amazon, Jeff Bezos on leo Jumatatu, Julai 5, 2021, atakabidhi...

READ MORE

Zuma Agoma Kwenda Jela: Sijisalimishi Ng’o

Rais wa zamani wa Afrika Kusini aliyeagizwa kujisalimisha mwenyewe kwa polisi ili kuanza kifungo cha miezi 15 jela kwa kupuuza...

READ MORE

Mzee Aliyejichimbia Kaburi Sasa Kajinunulia Jeneza

MWANAUME mwenye umri wa miaka 74 kutoka Maragua, Kaunti ya Murang’a, nchini Kenya ambaye alitamba mitandaoni baada ya kujichimbia kaburi...

READ MORE

Wafuasi wa Rais Zuma Wazingira Nyumbani Kwake Asikamatwe

WAFUASI wa rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma wametengeneza kile wanachokiita ‘ngao ya binadamu’ nje ya nyumba yake...

READ MORE

TB Joshua Afariki Dunia – Video

MHUBIRI maarufu nchini Nigeria, Barani Afrika na Duniani kote, Nabii Temitope Balogun Joshua maarufu kama TB Joshua ambahe ni mwanzilishi...

READ MORE

Anaswa Live Akipakua Asali ya Jirani Yake Aamrishwa Achangie Mahari

JAMAA mmoja kutoka eneo la Seme, Kisumu nchini Kenya amejikuta pabaya na kulazimishwa kuchangia mahari baada ya kunaswa peupe akipakua...

READ MORE

Jamaa Aliyewahi Kumshtaki Mungu Mahakamani, Yupo Hai

Seneta Ernie Chambers wa jimbo la Nebraska, Marekani mwaka 2008 alimshitaki Mungu akiiomba Mahakama itoe zuio la kudumu dhidi ya...

READ MORE

Homa ya Mafua ya Ndege Yaibuka China

RAIA mmoja wa China mwenye umri wa miaka 41 amethibitishwa kuwa na kisa cha kwanza cha maambukizi ya homa ya...

READ MORE

Huzuni- Pacha Wafa Baharini Wakiwa Wamekumbatiana

FAMILIA katika eneo la Gasi, Kaunti ya Kwale nchini Kenya imeghubikwa na simanzi baada ya watoto wao pacha kupatikana wamefariki...

READ MORE

Mkosoaji wa Ikulu Atiwa Nguvuni

Polisi ya Urusi imemkamata Dmitry Gudkov mmoja ya wakosoaji wakubwa wa ikulu ya Kremlin na taarifa zinasema huenda atakabiliwa na...

READ MORE

Katibu wa Chama cha Wasioamini Uwepo wa Mungu Ajiuzulu

CHAMA cha Wasioamini Uwepo wa Mungu Nchini Kenya (AKS) kimepata pigo kubwa kufuatia kujiuzulu kwa katibu wao Seth Mahiga baada...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Uingereza Afunga Ndoa

WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amefunga ndoa na Carrie Symonds katika sherehe ndogo iliyofanywa kwa siri huko Westminster Cathedral....

READ MORE

Kim Aagiza Muuza Filamu Kupigwa Risasi Hadharani

  MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Lee, ameuwawa kwa kufyatuliwa risasi pamoja na familia yake huko Wonsan Korea ya...

READ MORE