×

Kimataifa

Ukweli Kuhusu Wanafunzi Kukimbia Kipimo Kipya cha Corona

VIDEO inayosambaa mtandaoni inaonyesha madai ya uongo ya wanafunzi wa shule wakiwa wanakimbia kuchomwa chanjo ya corona kwa lazima.  ...

READ MORE

Papa Ateua Mwanamke wa Kwanza Sinodi ya Maaskofu

KIONGOZI  wa kanisa katoliki duniani,  Papa Francis,  amemchagua mwanamke wa kwanza kuwa katibu katika baraza la mkutano wa maaskofu.  ...

READ MORE

Yamkuta Baada ya Kurithi Mke wa Jamaa Aliyezushiwa Kufa

SEKESEKE limezuka katika nyumba moja eneo la Aboloi Teso, nchini Kenya, baada ya jamaa kurejea nyumbani kwake na kumshambulia jirani...

READ MORE

Libya Yaunda Serikali ya Mpito

WAJUMBE wa pande hasimu kisiasa nchini Libya jana Februari 5, 2021, wamefanikiwa kumchagua waziri mkuu na wajumbe watatu wa baraza...

READ MORE

Upandikizaji wa Kwanza wa Uso na Mikono

MMAREKANI Joe DiMeo (22), alifanyiwa upasuaji wa kwanza wa uso na mikono wa saa 23 huko New York, NYU Langone,...

READ MORE

Jaji Yamkuta, DNA Yabaini Watoto 3 wa Ndoa si Wake

JAJI mmoja kutoka jimbo la Delta, Nigeria, kwa jina Anthony Okorodas, amefichua kuwa si baba halisi wa watoto watatu kutoka...

READ MORE

WHO Yainyima Tanzania, Burundi Chanjo ya Corona

Shirika la afya duniani WHO limetangaza mpango wa muda kuhusu jinsi nchi zitakavyopewa chanjo za corona mwaka huu, huku Tanzania...

READ MORE

Kilichomkuta Gavana Sonko Mahakamani

Gavana wa zamani wa Nairobi Mike Sonko amekanusha mashitaka 12 dhidi yake, ikiwa ni pamoja na ghasia na wizi wa...

READ MORE

Aonekana Akifanya Ngono Wakati Mahakama Ikiendelea

Wakili Héctor Cipriano Paredes amezua gumzo nchini Peru na duniani kwa ujumla mara baada ya kufanya ngono na mwanamke mmoja...

READ MORE

Sudan Kusini Yarudisha Nyuma Majira ya Muda Wake

  NCHI ya Sudan Kusini imerudisha nyuma muda wake kwa saa moja nyuma. Waziri wa Ajira, Bi. Mary Hillary Wani...

READ MORE

Yemen: Jeshi Latangaza Kumuua Kamanda wa Houthis

Jeshi la Yemen limetangaza kumuua kamanda mmoja wa Houthis pamoja na watu wengine kadhaa wanaohusika na vikosi hivyo vya kijeshi...

READ MORE

Bobi Wine Aanza Mchakato Kupinga Matokeo

CHAMA cha NUP kimesema maandalizi yote muhimu yamefanyika na leo wanatarajia kuwasilisha ombi la kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika...

READ MORE

Marekani Yasitisha Chanjo kwa Wafungwa

  WIZARA ya Ulinzi ya Marekani imesema itasimamisha mpango wake wa kuwapa chanjo dhidi ya COVID-19 wafungwa wa makosa ya...

READ MORE

Jeshi Myanmar Lamkamata Kiongozi wa Nchi, Latangaza Hatari

JESHI la Myanmar limetangaza hali ya dharura likidai kufanyika udanganyifu wa kura katika uchaguzi, baada ya kuwakamata viongozi kadhaa akiwemo...

READ MORE

Maandamano Yafanyika Ufaransa Kupinga Sheria ya Usalama wa Taifa

Maelfu ya waandamanaji wamejitokeza katika miji kadhaa nchini Ufaransa kupinga muswada wa usalama ambao wanasema utawazuia watu kurekodi na kuchapisha...

READ MORE

Breaking News: Waziri Mkuu DRC Ajiuzulu

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), Sylvestre Ilunga Ilunkamba,  amejiuzulu rasmi wadhifa huo na kuwasilisha barua yake...

READ MORE

Waziri Ashindwa Kueleza Walipopelekwa Waliokamatwa na Wanajeshi

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa Uganda, Jenerali Jeje Odongo amesema, anashindwa kueleza mahali walipopelekwa watu waliochukuliwa na wanajeshi...

READ MORE

Tanzia: Mwigizaji Mkongwe Cicely Tyson Afariki Dunia

  MWIGIZAJI mkongwe wa Marekani, Cicely Tyson, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 96. Dunia itamkumbuka kama mwanzilishi kwenye...

READ MORE

Kifurushi cha Sumu Chakutwa Ikulu, Wasaidizi wa Rais Waugua Ghafla

  WASAIDIZI wawili wa Rais wa Tunisia wameugua baada ya kufungua kifurushi kilichofikishwa katika ofisi yao kilichoshukiwa kuwa na sumu,...

READ MORE

WHO Kuanzisha Uchunguzi Chimbuko la Corona Wuhan

WATAALAMU kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) wameanza kuchunguza chimbuko la virusi vya corona kwa kutembelea hospitali moja mjini Wuhan...

READ MORE

Mwalimu wa Kike Jela kwa Kufanya Ngono na Mwanafunzi Wake

MWALIMU ambaye ni mke wa mtu amekutwa na hatia baada ya kukutwa na hatia ya kumshawishi mwanafunzi wake wa kiume...

READ MORE

Maharusi Waliotumia Baiskeli Wazua Gumzo

Mwanamke aitwaye Paulina Daudi (30) mkazi wa Mtaa wa Mageuzi kata ya Ndembezi Manispaa ya Shinyanga ameuawa kwa kupigwa ngumi...

READ MORE

Afariki Baada ya Kupewa Chanjo ya Corona

  TIM ZOOK, mtaalam wa mashine za x-ray, kutoka Santa Ana, California, Marekani,  aliyefurahia kuchanjwa dhidi ya virusi vya corona,...

READ MORE

Waziri Mkuu Apewa Saa 24 Kujiuzulu

Wabunge wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamepiga kura kumuondoa madarakani Waziri Mkuu, Sylvestre Ilunga Ilukamba na wamempa saa 24...

READ MORE

Biden, Putin Wajadili Mahusiano ya Urusi na Marekani

RAIS wa Marekani Joe Biden amezunguza kwa njia ya simu na mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin, na kujadili masuala kadhaa...

READ MORE

Ulaya Yajizatiti Dhidi ya Wimbi Jingine la ‘Corona’

  BARA la Ulaya limeingia katika kipindi kipya cha hatari katika vita dhidi ya virusi vya corona wiki hii kwa...

READ MORE

Anaswa Airport Akisafirisha Shehena ya Vinyonga

MWANAMME mwenye umri wa miaka 56 ambaye hakutambuliwa zaidi amekamatwa na mamlaka nchini Austria katika uwanja wa ndege wa Vienna...

READ MORE

Mahakama: Bobi Wine Aachiwe

Mahakama nchini Uganda imeamuru vikosi vya usalama kuacha kuizingira nyumba ya kiongozi wa upinzani Bobi Wine, ambaye kifungo chake cha...

READ MORE

Rais Ajitangaza Hadharani Kuambukizwa ‘Corona’

  RAIS wa Mexico, Andres Manuel Lopez Obrador,  kupitia akaunti yake ya Twitter ametangaza kupata maambukizi ya virusi vya ugonjwa...

READ MORE

Wachezaji 4, Rais, Rubani Wafariki kwa Ajali ya Ndege Brazil

WACHEZAJI wanne akiwemo rais wa klabu ya soka ya Palmas, Brazil, na rubani wamefariki katika ajali ya ndege ndogo jana,...

READ MORE

Virusi Vipya vya Corona Vyazua Hofu Uingereza

WAZIRI Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amesema utafiti wa awali unaonyesha kuwa virusi vipya vya ugonjwa wa corona vilivyojitokeza Uingereza...

READ MORE

Wachawi Waapa Kumroga Aliyechoma Moto Kanisa Lao

MAMBO yaligeuka mnamo Alhamisi, Januari 14, 2021, mnamo saa kumi na moja asubuhi wakati mtu asiyejulikana aliteketeza jumba la “Halloween...

READ MORE

Zimbabwe: Waziri wa Nne Afariki kwa Corona

WAZIRI  wa Usafirishaji wa Zimbabwe, Joel Biggie Matiza, amefariki dunia kwa kuugua COVID 19 jana katika Hospitali ya St. Annes...

READ MORE

Makamu wa Rais Aliyegomea Mawaziri Kutibiwa Nje, Augua, Apelekwa China

Makamu wa Rais Zimbabwe, Jen. Mst. Dkt. Constantino Chiwenga amesafirishwa kwa ndege kwenda China jana jioni kufuatia hali yake ya...

READ MORE

Trump Aaanza Maisha Mapya ‘Uraiani’

  ALIYEKUWA Rais wa Marekani, Donald Trump, ameanza maisha ya kawaida kama raia wengine akiwa katika uwanja wake wa golfu...

READ MORE

Aliyetengeneza Keki Zenye Maumbo ya Sehemu za Siri Akamatwa

Mwanamke mmoja nchini Misri ameshikiliwa na polisi kwa muda baada ya kushutumiwa kutengeneza keki zenye maumbo ”yasiyo na heshima” vyombo...

READ MORE

Kenya Kupokea Dozi Milioni 24 za Chanjo ya Corona

Kenya inatarajia kupokea dozi milioni 24 za chanjo ya ugonjwa Corona iliyotengenezwa na kapuni ya Astrazeneca na chuo kikuu cha...

READ MORE

Ufaransa Yagoma Kuiomba Radhi Algeria

RAIS  wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ameondoa uwezekano wa nchi yake kuomba msamaha rasmi kwa dhuluma ilizozifanya nchini Algeria. Ofisi yake...

READ MORE

Askofu Avuliwa Cheo kwa Kuzini na Mke wa Mtu

KANISA la Anglikana nchini Uganda limemvua cheo aliyekuwa askofu mkuu wa kanisa hilo, Stanley Ntagali, na kusitisha utendaji waKE WA ...

READ MORE

EU Kuziruhusu Tena Ndege za Boeing 737 Max

UMOJA wa Ulaya (EU) umepanga kutoa idhini kwa utumiaji wa ndege za abiria aina ya Boeing 737 Max kuanzia wiki...

READ MORE