×

Kimataifa

Shujaa wa Kenya Westgate Aidhinishwa Kuwa Seneta

Mfanyabishara Abdul Haji, aliyepata umaarufu kwa kukabiliana na wanamgambo waliovamia duka la Westgate katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, mwezi...

READ MORE

Taasisi za Mafuta za Saudi Arabia Zashambuliwa

WAASI wa Houthi nchini Yemen wenye mafungamano na Iran wamerusha ndege 14 zisizo na rubani na makombora 8 katika taasisi...

READ MORE

Utafiti: Wanaume Wanaathirika Zaidi na Covid 19 Kuliko Wanawake

UMOJA wa Mataifa umesema virusi vya Corona vinasababisha vifo kwa wanaume wengi zaidi Barani Afrika kuliko wanawake ambao wao wanaandamwa...

READ MORE

Mlima wa Dhahabu Wagunduliwa DRC, Wanakijiji Waushambulia

Serikali ya DR Congo ililazimika kutuma maafisa wa polisi kuimarisha usalama katika eneo ambalo kanda moja ya video iliwaonyesha wanakijiji...

READ MORE

Kenya Yatangaza Kutopokea Mahindi Kutoka Tanzania na Uganda

Mamlaka ya Kilimo na Chakula ya Kenya imedai uchunguzi umebaini kuwa mahindi yanayoingia kutoka Tanzania na Uganda sio salama kwa...

READ MORE

Papa Francis Aongoza Misa ya Kihistoria Baghdad

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis ameadhimisha Ibada ya Misa katika Kanisa Katoliki la Walkadea la Mtakatifu Joseph mjini...

READ MORE

Mrembo Apewa Talaka, Kisa Kagoma Kupigiwa Tunguli

KISURA mmoja aliyeolewa miezi mitatu iliyopita katika boma moja eneo la Iriani, Tharaka nchini Kenya amejikuta matatani baada ya kupewa...

READ MORE

Adakwa Akiharibu Maiti Mochwari

MHUDUMU wa zamani wa mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Iten, Kaunti ya Elgeyo-Marakwet, nchini Kenya, amekamatwa na maafisa wa...

READ MORE

Papa Kutembelea Iraq Licha ya Hofu ya Usalama

PAPA Francis atasafiri kwenda Iraq leo Ijumaa katika ziara ya kwanza rasmi nchini humo na safari yake ya kwanza ya...

READ MORE

Taharuki! Mamba Watoroka Wanapofugwa

Idadi isiyofahamika ya mamba wadogo hawajulikani walipo baada ya kutoroka katika shamba wanapofugwa eneo la Cape Magharibi Afrika Kusini Jumatano,...

READ MORE

Kitendawili! Nani Kuanza Kuchanjwa Corona Kenya?

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema wahudumu wa afya ndio watakaokuwa wa kwanza kupokea chanjo ya Covid 19 kwani wapo...

READ MORE

Chombo cha Anga za Mbali cha Bilionea Elon Chatua Salama

KAMPUNI inayotengeneza vyombo vya anga za mbali SpaceX imefanikiwa katika majaribio ya  moja ya vyombo vyake vya Starship Prototypes katika...

READ MORE

TAHARUKI! Tetemeko Lapiga Ugiriki

  TETEMEKO la ardhi lenye ukubwa wa 6.3 katika kipimo cha richter limekumba eneo la kati mwa Ugiriki leo na...

READ MORE

Serengeti Yatangazwa Kivutio Bora Zaidi Duniani

MBUGA ya wanyama ya Serengeti nchini Tanzania imechaguliwa kuwa mshindi wa vivutio vya utalii duniani na kampuni ya Tripadvisor. Tuzo...

READ MORE

Wachina Wanaswa Sauz na Shehena ya Chanjo Feki za Corona

POLISI  nchini China na Afrika Kusini wamekamata maelfu ya dozi feki za chanjo ya Covid-19 na kuwakamata wahusika, polisi wa...

READ MORE

Wasiopata Chanjo ya Corona Marufuku Kuingia Makka

TAIFA  la Saudi Arabia limesema waumini wa dini ya Kiislamu watakaoruhusiwa kuhudhuria Ibada ya Hijja mwaka huu 2021 wanapaswa kuthibitisha...

READ MORE

Kambi ya Kijeshi Iraq Inayotumiwa na Marekani Yapigwa Makombora

  Muungano wa Jeshi unaoongozwa na Marekani nchini Iraq pamoja na jeshi la nchini hiyo, umesema kuwa takriban roketi 10...

READ MORE

Walimu Wakatana Mapanga Wakigombania Penzi la Mwanafunzi

POLISI katika Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya wamemkamata mwalimu wa Shule ya Upili ya Wasichana ya Karoti baada ya kudaiwa...

READ MORE

Spika: Wafuasi 458 wa Bobi Wine Wamepotea

  CHAMA cha National Unity Platform (NUP) kimesema kwamba takriban raia 458 wa Uganda hawajulikani walipo wala hakuna taarifa zozote...

READ MORE

Kaka Wawili Wauana Baada ya Wake Zao Kuchapana Makonde

WENYEJI wa Kaniga Makome eneo bunge la Muhoroni, kaunti ya Kisumu nchini Kenya wameachwa midomo wazi kufuatia kisa kilichosababisha kaka...

READ MORE

Mahakama Ubelgiji Yaamuru Jino la Lumumba Lirudishwe DRC

MAHAKAMA mjini Ubelgiji imeamuru kwamba jino lililochukuliwa kutoka kwa maiti ya shujaa wa Uhuru wa taifa la DRC wakati huo...

READ MORE

Brazil: Watu 1,641 Wafariki kwa Corona Siku Moja

BRAZIL imerekodi idadi kubwa ya vifo vinavyotokana na ugonjwa wa Covid-19 kwa siku baada ya watu 1,641 kufariki kwa ugonjwa...

READ MORE

Gwiji wa Reggae, Swahiba wa Bob Marley Afariki Dunia

MWANAMUZIKI huyo, kutoka Kingston, Jamaica, alikuwa mmoja waanzilishi wa bendi ya The Wailers pamoja na rafiki yake wa utotoni, Bob...

READ MORE

Bilionea Atoa Ofa ya Kwenda Mwezini

BILIONEA wa Japan, Yusaku Maezawa, amewakaribisha watu wanane  kujiunga nae kwa ajili ya safari ya kuutembelea mwezi katika ndege maalum...

READ MORE

Aibomoa Nyumba ya Mil 154 Aliyomjengea Girlfriend Wake

NYUMBA yenye vyumba vinne ya huko Mpumalanga nchini Afrika Kusini imebomolewa yote kufuatia mgogoro kati ya wapenzi. Video zinazoonyesha nyumba...

READ MORE

Padre Aliyewanyanyasa Watoto Kingono Afia Gerezani

Padri wa zamani wa Kanisa Katoliki ambaye alifungwa jela kwa kuwanyanyasa kingono watoto watatu pamoja na mwanafunzi aliyekuwa akisomea upadri...

READ MORE

Zimbabwe: Makamu wa Rais Ajiuzulu

Makamu wa Rais wa Zimbabwe, Kembo Mohadi amejiuzulu kufuatia ripoti za Vyombo vya Habari nchini humo kuhusu mienendo yake isiyo...

READ MORE

Mbunge Amwaga Mauno Hadharani Akicheza Waah ya Mondi

Mbunge wa Malindi nchini Kenya Aisha Jumwa amewachangamsha wakazi wa Matungu baada ya kunengua kiuno chake akicheza wimbo wa Diamond...

READ MORE

Bobi Wine na Hofu ya Kumiliki Gari la Kifahari

KIONGOZI wa upinzani wa Uganda Robert Kyagulanyi, maarufu Bobi Wine amejikuta akiwa katika hofu kubwa kwa madai ya kuwa na...

READ MORE

Huawei Yaunga Mkono Malengo ya Maendeleo Endelevu ya UN

Kampuni ya Huawei imeunga mkono Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa (UN SDGs) katika kujenga ulimwengu wa kijani,...

READ MORE

Saudia Yakanusha Bin Salman Kuhusika Kifo cha Khashoggi

SAUDI ARABIA imekanusha vikali ripoti ya kijasusi iliyotolewa na Marekani ikifichua kuwa mrithi wa kiti cha ufalme wa nchi hiyo...

READ MORE

Maajabu! Jogoo Amuua Mmiliki Wake kwa Kumchoma Kisu

MTU mmoja ameuawa na Jogoo wake aliyekuwa amefungwa kisu mguuni kwa ajili ya mchezo uliopigwa marufuku wa kupambanisha jogoo Kusini...

READ MORE

Marekani Yaidhinisha Chanjo Mpya ya Corona

TAIFA la  Marekani jana Februari 28 imeidhinisha chanjo ya kampuni ya Jonhson & Johnson kwa matumizi ya dharura, na kuipatia...

READ MORE

Wasichana Zaidi ya 300 Watekwa Nigeria

WASICHANA zaidi ya 300 wa shule ya sekondari, wametekwa nyara Februari 25, 2021,  na wanaume waliokuwa na silaha ambao hadi...

READ MORE

Polisi Waliomuua Prude Waachiliwa Bila Hukumu Marekani

POLISI waliosababisha kifo cha raia mwenye asili ya Kiafrika, Daniel Prude, ambaye alizuiliwa uchi katika Jiji la New York, Marekani...

READ MORE

Mahakama Yaamuru Mwanaume Kumlipa Mkewe kwa Kazi za Nyumbani

MAHAKAMA ya talaka ya Beijing imemuamuru mwanaume kumlipa fidia mke wake kwa kazi alizofanya katika kipindi chote walichooana, katika uamuzi...

READ MORE

Simbachawene Avionya Vyombo vya Habari vya Kenya

BALOZI  wa Tanzania nchini Kenya Dkt. John Simbachawene, amevitaka vyombo vya habari vya nchini Kenya kuripoti taarifa zenye uhakika kuhusu...

READ MORE

Elon Musk Apoteza Taji la Tajiri Zaidi Duniani

ELON MUSK  amepoteza taji lake la kuwa mtu tajiri zaidi duniani baada ya thamani ya hisa za kampuni yake ya...

READ MORE

Mwili wa Balozi wa Italia Waagwa DRC

GAVANA wa Kivu Kaskazini, Carly Nzanzu, na Mshauri Mkuu wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wameongoza maafisa...

READ MORE

Mtandao wa Spotify Kuzinduliwa Afrika Mashariki

MTANDAO  wa Spotify unatarajiwa kuzindua huduma zake katika masoko 85 mapya katika hatua ambayo itawafikia watu zaidi ya bilioni moja....

READ MORE