×

Kimataifa

Iran Kulipiza Kifo cha Mwanasayansi wa Nyuklia, Israel Yatajwa

  RAIS wa Iran, Hassan Rouhani, amesema lazima walipize kisasi baada ya mwanasayansi wao wa  nyuklia, Mohsen Fakhrizade, kuuawa huku...

READ MORE

Ujerumani Yaipa Barabara Jina la Waziri Mwanamke Tanzania

MADIWANI katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin, wamepiga kura ya kuondoa jina la barabara moja alilopatiwa kwa heshima gavana mmoja...

READ MORE

Miili 103 Yagundulika Kwenye Kaburi la Halaiki

Kulingana na taarifa iliyochapishwa na vyombo vya habari vya nchi, Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Serikali ilisema kwamba miili 103...

READ MORE

Mwanaume Aliyedaiwa Kufa ‘Afufuka’

Mwaume mmoja kutoka Kaunti ya Kericho nchini Kenya amewashangaza wengi na kuibua gumzo mitandaoni baada ya kudaiwa kufufuka akiwa katika...

READ MORE

Trump Amsamehe Mshauri Wake Aliyekiri Kuidanganya FBI

Rais wa Marekani Donald Trump amemsamehe Michael Flynn, aliyekuwa mshauri wake wa zamani wa masuala ya usalama wa kitaifa, na...

READ MORE

Sudan: Waziri Mkuu Mstaafu Afariki kwa Corona

Waziri mkuu wa zamani wa Sudan, Sadiq al-Mahdi amefariki dunia kutokana na virusi vya corona.Mwanasiasa huyo amefariki dunia wakati akipatiwa...

READ MORE

Serikali Yaanza Kutoa Taulo za Kike Bure

SCOTLAND limekuwa taifa la kwanza duniani kufanya bidhaa za sodo/pedi kugawiwa bure kwa kila mtu. Wabunge walipitisha mswada huo bila...

READ MORE

Mbuzi Apewa Cheti Maalumu

MBUZI mmoja maarufu nchini Msumbiji amepewa cheti maalumu kama sehemu ya mipango ya kuulinda utambulisho wake atakaposafirishwa nje ya nchi...

READ MORE

Mfahamu Gwiji wa Soka Diego Armando Maradona

MMOJA wa wachezaji maarufu nchini  Argentina ambao ilijivunia kipaji cha kipekee, madoido ya ajabu akiwa uwanjani, maono na kasi  yalivyovutia...

READ MORE

Kifo cha Maradona, Rais Atangaza Maombolezo Siku Tatu

RAIS wa Argentina, Alberto Fernandez ,ametangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha gwiji wa soka wa nchi...

READ MORE

Njemba Mbaroni Akigongesha Gari Geti la Kansela Merkel

POLISI katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin, wamemkamata mwanamme mwenye umri wa miaka 54, aliyeligongesha gari lake katika lango la...

READ MORE

Breaking: Diego Maradona Afariki Dunia

MKONGWE wa soka raia wa Argentina, Diego Maradona amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 60 kwa mshtuko wa moyo,...

READ MORE

Urusi Yatishia Kuilipua Meli ya Marekani

SERIKALI ya Urusi imesema moja ya vikosi vyameli zake za kivita kimebaini kuwepo kwa meli nyingine ya kivita ya Marekani...

READ MORE

Mwanamme Afariki Ghafla Ndani ya Daladala

WASAFIRI waliokuwa wamepanda matatu (daladala) katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, waliingiwa na hofu, baada ya mwanamme mmoja kufa ghafla...

READ MORE

Kijana wa Miaka 24 Agombea Urais Uganda

KIJANA John Katumba ameandika historia nchini Uganda  kuwa  mgombea urais  binafsi mwenye umri mdogo akiwa na miaka 24. Katumba alizaliwa...

READ MORE

Rafiki wa Zari Azuia Mali za Ginimbi

MALI za aliyekuwa bilionea maarufu katika ukanda wa nchi za Kusini mwa Bara la Afrika, Genius Kadungure ‘Ginimbi’ (36), zimezua...

READ MORE

Hadi Raha! Mapacha Waoana Siku Moja

Hassan Sulaiman na Hussaini Dey ni mapacha wawili wa kiume wenye miaka 33, wameoa mapacha wenzao wa kike ambao wamefahamika...

READ MORE

Trump Akubali Kukabidhi Madaraka kwa Biden

RAIS Donald Trump amekubali kuanza kwa mchakato rasmi wa kumkabidhi madaraka Rais Mteule Joe Biden kwa kuliambia shirika  linaloshughulikia mabadilishano...

READ MORE

Vyombo vya Habari Uganda Vyagoma Kurusha Hotuba ya Museveni

VYOMBO vya habari binafsi nchini Uganda, vimekataa kurusha hotuba ya Rais Yoweri Museveni ambayo alikuwa amepanga kufanya kila Jumapili, kuanzia...

READ MORE

Waliokufa Kwenye Maandamano Uganda Wafikia 45

Polisi nchini Uganda imesema kuwa idadi ya vifo vya vilivyotokea katika maandamano ya wiki iliyopita imeongezeka na kufikia watu 45....

READ MORE

Zuma Kufunguliwa Kesi Mpya ya Jinai

RAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma,  huenda akafunguliwa mashtaka ya jinai baada ya kukaidi amri ya mahakama kurejea...

READ MORE

Rais Mahakamani Akituhumiwa Ufisadi

NICOLAS SARKOZY, rais wa zamani wa #Ufaransa anayetuhumiwa kujaribu kutoa hongo kwa jaji na kupelekea ushawishi kwenye kampeni za mwaka...

READ MORE

EU Yaitaka Marekani Kusitisha Hukumu ya Kifo

JUMUIYA  ya Umoja wa Ulaya (EU) imetoa wito kwa Serikali ya Marekani kusitisha utekelezaji wa hukumu ya kifo iliyoanza kutekelezwa...

READ MORE

Wachoma Moto Bunge Kupinga Bajeti

MAMIA ya waandamanaji wanaopinga Serikali ya GUATEMALA wamechoma moto sehemu ya jengo la Bunge wakipinga Bbjeti iliyopitishwa siku chahe zilizopita...

READ MORE

Uchaguzi Watishia Kuanzishwa Nchi Nyingine

CAMEROON inatarajia kufanya uchaguzi Desemba 6, mwaka huu licha ya kuwepo tishio la mapigano kutoka kwa makundi yanayotaka kujitenga na...

READ MORE

Shigongo Atangazwa Mwanafunzi Bora Wahitimu Chuo Kikuu – Video

  MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, ametajwa kuwa miongoni mwa wanafunzi bora watatu ambao ni wahitimu wa...

READ MORE

Vita ya Biden na Trump Yazidi Kukolea

RAIS mteule wa Marekani, Joe Biden, amelaani kitendo cha, Donald Trump kutokubali kuwa ameshindwa katika uchaguzi wa rais na kwamba...

READ MORE

Georgia Yarudia Kuhesabu Kura, Biden Amgaragaza Trump Tena

  RAIS Mteule wa Marekani, Joe Biden (78),  ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa Jimbo la Georgia baada ya zoezi la...

READ MORE

Ndege za Boeing 737 Max Zaruhusiwa Kusafiri

MAMLAKA ya Safari za Anga Marekani (FAA),  imetia saini ya kukubali kuanza  kufanya safari  kwa ndege aina ya Boeing 737...

READ MORE

Trump Amfuta Kazi Mkuu wa Usalama wa Uchaguzi

RAIS Donald Trump wa Marekani  amesema “amemfuta kazi ” mkuu wa usalama wa mtandao na shirika la usalama na miundombinu...

READ MORE

Twiga Mweupe Duniani Afungwa Kifaa cha Kumfuatilia

TWIGA mweupe duniani huko kaskazini-mashariki mwa Kenya amewekewa kifaa cha kumfuatilia, wahifadhi mazingira wanasema.   Twiga huyo alisalia peke yake...

READ MORE

Wabongo Wanne Wahukumiwa Kenya

Watanzania watatu kati ya wanne wanashikiliwa nchini Kenya baada ya kushindwa kulipa faini ya Sh105,000 za Kenya (zaidi ya Sh2.1...

READ MORE

Mapya: Chanjo ya Moderna Inazuia Covid-19 kwa 95%

CHANJO mpya inayozuia ugonjwa wa Covid-19 ina karibu 95% ya ufanisi , data kutoka Kampuni ya Marekani Moderna inaonesha, Matokeo...

READ MORE

Fuvu la Binadamu la Miaka Milioni 2 Lafukuliwa

Watafiti kutoka Australia wamesema wamegundua fuvu la binadamu lenye miaka milioni mbili nchini Afrika Kusini ambalo litatoa ufahamu zaidi kuhusu...

READ MORE

Corona: Waziri Mkuu wa Uingereza Ajipeleka Karantini Tena

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ametangaza kujitenga baada ya kukutana na Mbunge wa Ashfield, Lee Anderson ambaye baadaye alithibitishwa...

READ MORE

Obama: Marekani Imegawanyika Kambi Mbili

RAIS wa zamani wa Marekani, Barack Obama, amesema, matokeo ya uchaguzi wa mwaka huu yamedhihirisha kuwa, kuna mpasuko mkubwa wa...

READ MORE

Rais Peru Ajiuzulu Siku 5 Baada ya Kuapishwa

ALIYEKUWA Rais wa Mpito wa Peru, Manuel Merino, ametangaza kujiuzulu wadhifa huo  ikiwa ni siku tano tangu kuchaguliwa baada ya...

READ MORE

Trump Akiri Biden Kushinda Uchaguzi

  RAIS wa Marekani ambaye pia alikuwa anatetea kiti chake kwa tiketi ya Chama cha Republican, Donald Trump, kwa mara...

READ MORE

Mchungaji Bushiri Atoroka Sauz Baada ya Dhamana

MCHUNGAJI maarufu Barani Afrika, Bushiri na  mke wake Mary, wametoroka nchini Afrika Kusini na kurejea kwao Malawi baada ya kuachiwa...

READ MORE

Tanzia: Rais Rawlings wa Ghana Afariki Dunia kwa Covid-19

  RAIS Mstaafu wa Ghana, Jerry Rawlings (73), amefariki dunia nchini humo kutokana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi...

READ MORE