GAZETI la mtandaoni la KINEDA limeripoti habari yenye msisimko wa kipekee, ambapo mwanamme mmoja aitwaye Jian Feng, amemshitaki mkewe kwa...
READ MOREZaidi ya watu 50 wanahofiwa kupoteza maisha, baada ya kufukiwa na kifusi wakiwa kwenye machimbo ya dhahabu katika eneo la...
READ MOREFAMILIA ya mtayarishaji wa muziki wa Bongo Fleva, Paul Matthysse ‘P Funk Majani’, ambao wamempoteza mama yao, Aunt Sheilah, juzi...
READ MORESIRAPHOP MASUKARAT (18), raia wa Thailand, majuzi aling’atwa na nyoka sehemu za siri wakati akijisaidia chooni. Amesema nyoka huyo alitokea...
READ MOREFADJI MAINA amekuwa mwanasayansi wa kwanza kutoka nchini Niger kufanya kazi na Shirika la Anga za Juu la Marekani...
READ MORECHAMA tawala cha Afrika Kusini, African National Congress (ANC), kimemuita Rais wa Marekani, Donald Trump kuwa mtu “anayesababisha uhasama, mwenye...
READ MOREMAKAMU wa Rais wa Afghanistan, Amrullah Saleh, amenusurika kifo baada ya watu wanaosadikiwa kuwa wapiganaji wa kundi la Taleban, kushambulia...
READ MOREHATIMAYE mfungwa aliyemshambulia mwimbaji wa RnB duniani, Robert Kelly. maarufu R Kelly wakiwa gererani amejitokeza na kuzungumza sababu hasa za...
READ MOREZAMBIA inaomboleza kifo cha samaki wake mkubwa katika Chuo Kikuu cha Umma cha Copperbelt (CBU). Samaki huyo aliyejulikana kama ameombolezwa...
READ MOREWAFUNGWA katika Gereza la Bunia mkoani Ituri, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wanakabiliwa na baa la njaa, baada...
READ MOREBABU mwenye umri wa miaka 100 aliyekuwa anatumikia kifungo cha maisha jela kwa kosa la mauaji nchini Nigeria ameachiwa huru...
READ MOREKIONGOZI wa maandamano nchini Belarus, Maria Kalesnikava, amechukuliwa na watu wasiojulikana waliovalia barakoa na kumtia kwenye gari katika eneo la...
READ MOREMbunge wa Jimbo la Emurua Dikirr nchini Kenya, Johanna Ng’eno amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kumkashifu Rais Uhuru Kenyatta...
READ MOREOta Benga alitekwa nyara huko ambako sasa kunafahamika kama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwaka 1904 na kupelekwa Marekani, lengo...
READ MORENaibu wa Waziri wa Uchukuzi wa Kenya, Chris Obure amefichua kuwa vifurushi 21 vilivyokuwa na vifaa vya matibabu vilivyotolewa na...
READ MORECHUO Kikuu cha Namibia, kitengo cha dawa ya mifugo, kinawafundisha mbwa kubaini virusi vya corona kwa kunusa. Mpango wa nchi...
READ MOREJESHI la Lebanon limesema limegundua tani zaidi ya nne za madini ya kemikali ya ammonia nitrate karibu na lango la...
READ MOREMTU mmoja mweusi nchini Marekani, Daniel Prude, amefariki dunia baada ya kundi la polisi nchini humo kumvalisha kofia na kisha...
READ MORERAIS wa Mali aliyepinduliwa hivi karibuni, Ibrahim Keïta, amelazwa hospitali katika mji mkuu wa nchi hiyo, Bamako. Hata hivyo bado...
READ MOREMAHAKAMA nchini Uganda imemtaka mwanasiasa wa upinzani Robert Kyagulanyi, maarufu Bobi Wine, kufika mbele yake kujibu tuhuma za kutoa taarifa...
READ MORETAKRIBAN watu tisini wamefariki na wengine karibu 400,000 kuachwa bila makao kufuatia mafuriko makubwa Sudan. Umoja wa Mataifa unasema...
READ MORESHIRIKA la Ndege la Precision Air limetangaza kusitisha kurejeshwa kwa safari zake za Nairobi nchini Kenya kutokana na uhitaji mdogo....
READ MOREBodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza kuongeza muda wa siku kumi za kuomba mkopo kuanzia...
READ MOREJULIO MORA (110) na Waldramina Quinteros (104) wenza walioana mwaka 1941, kwa ndoa ya siri baada ya familia zao kutoidhinisha...
READ MOREKAMPUNI la Sky Drive Inc. lilifanya onyesho Agosti 25, 2020, eneo la Toyota Test Field, ambalo ni moja ya makampuni...
READ MOREMWANAMKE mmoja mwenye umri wa miaka 42 nchini Kenya anashikiliwa na jeshi la polisi nchini humo kwa tuhuma za kwa...
READ MOREJANGA la virusi vya corona si tu limeathiri watu kiuchumi, lakini pia kijamii hasa namna watu wanavyoshiriki katika shughuli zinazohusisha...
READ MOREMuigizaji maarufu duniani CHADWICK BOSEMAN amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 43 jijini Los Angeles nchini Marekani kwa matatizo...
READ MOREWaziri mkuu wa Japan Shinzo Abe ametangaza kwamba amejiuzulu kutokana na sababu za kiafya. Amesema kwamba hataki maradhi alionayo...
READ MOREDEREVA wa teksi, Yaser Abdel Said (63), aliyekuwa akisakwa na Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) kwa tuhuma za mauaji...
READ MOREWafanyakazi katika sekta ya afya pamoja na elimu jijini Johannesburg nchini afrika kusini wameandamana nje ya makao makuu ya jengo...
READ MOREMSHAMBULIAJI ambaye aliwaua kwa bunduki waumini 51 kwenye misikiti miwili nchini New Zealand amehukumiwa kifungo cha maisha jela na kwa...
READ MOREHATIMAYE magari yenye kupaa yamewasili! Baada ya jitihada za kuunga mashine mbalimbali na kufanya majaribio kadhaa, Jeshi la Anga la...
READ MOREMAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imezizuia kampuni tatu za ndege kutoka Kenya, ambazo ni Air Kenya Express, Fly...
READ MORERAIS wa zamani wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo, amezuiwa kugombea urais katika uchaguzi ujao baada ya mahakama kuidhinisha uamuzi wa...
READ MOREIKULU ya Urusi, Kremlin, imewatuhumu madaktari wa Kijerumani kuwa na ‘kimbelembele’, baada ya kusema kuwa vipimo alivyofanyiwa kiongozi wa upinzani...
READ MORERais wa Marekani Donald Trump amewaonya Warepublican wenzake kwamba wapinzani wao huenda “wakaiba” uchaguzi wa Novemba, wakati chama chake kilipomuidhinisha...
READ MOREVIJANA waliojitolea kuchimba katika hazina ya kiikiolojia ya Israel wamebaini sarafu 425 ambazo zilikuwa zimezikwa kwenye chungu cha udongo kwa...
READ MORECHAMA cha Republican nchini Marekani jana kimemuidhinisha Donald Trump kuwa mgombea wake wa kiti cha urais katika uchaguzi wa Novemba...
READ MORETAKRIBAN watu 15 wameripotiwa kuuawa na wakati watu wenye silaha walipofanya mashambulio Kusini mwa Burundi. Mapigano hayo yaliyotokea katika...
READ MORE