×

Kimataifa

Kabila la Wala Watu-12

Wanaokula nyama za watu waliona bora miili wale wao kuliko kuoza na kuliwa na funza! ELVAN STAMBULI NA MTANDAO |...

READ MORE

Bilionea Rockefeller Aliyejenga Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Afariki Dunia

Bilionea maarufu nchini Marekani aliyefahamika zaidi kwa kutoa pesa kuwasaidia watu wasiojiweza sehemu mbalimbali za dunuia, David Rockefeller amefariki dunia...

READ MORE

Forbes: Dangote Bilionea Namba 1 Afrika Mwaka 2017, Mo Dewji wa 20… Orodha Yote Ipo Hapa

JARIDA Maarufu ambalo hufanya tafiti na kuchapisha rekodi mbalimbali za watu kwenye tasnia kadha wa kadha duniani, Forbes limemtaja Mfanyabiashara maarufu...

READ MORE

Balozi wa Tanzania Ujerumani Amvisha Cheo Kanali wa JWTZ Berlin

Balozi wa Tanzania Mhe. Philip Marmo na Acting Colonel Joseph Bakari wakisikiliza maelezo kabla ya hatua ya kumvua cheo cha...

READ MORE

Madaktari 500 wa Tanzania Wakataliwa Kenya

UMOJA wa Madaktari, Wauguzi na Wataalamu wa Meno nchini Kenya ‘Kenya Medical Practitioners, Pharmacists and Dentists’ Union’ (KMPDU) umepinga vikali...

READ MORE

Msemaji wa Jeshi la Polisi Uganda Auawa kwa Kupigwa Risasi

KAMPALA: Msemaji wa jeshi la polisi nchini Uganda Felix Kaweesi amepigwa risasi na kuuawa na watu wasiojulikana. Taarifa zinasema Bw...

READ MORE

Meli Kubwa Ya Mafuta Yatekwa Somalia Huku Wamarekani Wakishuhudia

Meli za kupambana na maharamia za Marekani. Meli kubwa iliyokuwa na shehena kubwa ya mafuta, iliyokuwa ikitokea Djibout kwenda Mogadishu,...

READ MORE

Kombe la FA: Chelsea Yaitandika Man United, Kukutana Na Spurs Nusu Finali

Wachezaji wa Chelsea wakiompongeza N’Golo Kante baada ya kufunga bao Paul Pogba kwenye harakati zake akiwa uwanjani Ander Herrera akioneshwa...

READ MORE

Mpinzani Niger Afungwa Kwa Kuuza Watoto

Hama Amadou akiwa kwenye harakati zake za Kisiasa nchini Niger Hama Amadou akizungumza jambo kwenye harakati zake za kisias Kiongozi...

READ MORE

Askofu Mkuu Anglikana Ahitimisha Rasmi Utawala wa Askofu Mokiwa

KANISA la Anglikana leo limefanya Ibada kuu ya Kiaskofu ya kutwaa Dayosisi ya Dar es Salaam na kuhitimisha utawala wa...

READ MORE

Donald Trump Kufanya Mazungumzo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta

Rais Donald Trump atazungumza na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta hivi karibuni kwa njia ya simu. Mazungumzo yao yatakuwa ya...

READ MORE

Jay Z Na Beyonce Kununua Nyumba Ya Bei Ghali ($200 Million) Zaidi Jijini Los Angeles – (Video)

Kuwa superstar sometimes ni raha sana… why? Ukiwa kama Jay Z na Beyonce unakuwa na uwezo wa kununua kitu chochote...

READ MORE

Korea Kaskazini Yarusha Makombora Japan

Jeshi la Korea Kusini limesema Korea Kaskazini imerusha makombora yake kadhaa katika bahari ya Japan, kutoka kwenye eneo la Tongchang-ri...

READ MORE

PICHA: Wakenya Wanasema Huyu Ni Copy Paste Ya First Lady Mama Margaret Kenyatta

Kwenye zile za watu kufananishwa na mastaa au watu wengine wakubwa na maarufu duniani ongeza na hii ya huyu mama...

READ MORE

Wizkid Adondosha Wino Na RCA Records/ Sony Music International Na Kuachia Wimbo Mpya; ‘Sweet Love’ – (Video)

Staa wa muziki kutoka Nigeria Wizkid anazidi kupasua anga kulitafuta soko la muziki duniani. Mmiliki wa Starboy Entertainment Worldwide Ayodeji...

READ MORE

Afya ya Rais Mugabe Yazua Hofu.. Apelekwa Singapore

Rais wa Zimbambwe Robert Mugabe ameenda Singapore kufanya vipimo vya Afya yake, siku chache baada ya sherehe ya kufikisha miaka...

READ MORE

Trump Amtuhumu Obama Kuhusika na Maandamano Yanayoendelea Marekani

MAREKANI: Rais wa Marekani, Donald Trump amesema anaamini kuwa Rais Mstaafu wa Nchi hiyo, Barack Obama ndiye anahusika na maandamano...

READ MORE

Wala Sio Makonda; Aliyeleta Balaa Hili la Madawa ya Kulevya ni Huyu

Na ELVAN STAMBULI| GAZETI LA UWAZI| NIJUAVYO MIMI KILA kona hivi sasa katika nchi yetu, mjadala mkubwa ni vita dhidi...

READ MORE

#Trending: Kwa Ahadi Ya 45,000/= Tzs, Alichokifanya Meek Mill Kwa Huyu Ombaomba Kitakufurahisha… (Video)

Maisha ni kupambana mdau, hakuna vitu vya bure siku hizi na hiyo sio kwa sisi wabongo tu bali hata kwa...

READ MORE

Mwingine Agomea Uteuzi wa Trump

Mtu mwengine aliyeteuliwa na rais wa Marekani Donald Trump, kujaza wadhfa wa waziri wa jeshi la wanamaji amejiondoa baada ya...

READ MORE

#GlobalUpdates: WhatsApp Waleta Update Mpya Inayofanana na ‘Snapchat Stories’.

Kama wewe ni mtumiaji mzuri wa Snapchat na Instagram stories basi nina imani utaenjoy update mpya ya ‘WhatsApp status.’ Ushindanni...

READ MORE

JLo: “Siangalii Umri” – Azungumzia Tetesi Za Yeye Kuwa Kwenye Mahusiano Na Drake – (Video).

Tetesi za Jenifer Lopez (JLo) kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na rapa Drake zimezidi kuvuma na pengine hii interview inaweza...

READ MORE

#GlobalUpdates: Sayari Nyingine 7 Zinazofanana na Dunia Zagunduliwa

Wataalamu wa masuala ya anga za juu wa Marekani wakishirikiana na wengine duniani, wamefanya ugunduzi mkubwa wa sayari saba zenye...

READ MORE

Mtoto: Baba Alimuua Mama Nikishuhudia

MONTGOMERY COUNTY, Texas MTOTO wa miaka 11, amewaambia polisi tukio zima juu ya baba yake kumchoma kisu mama yake na...

READ MORE

#GlobalUpdates: Instagram Kuruhusu Posts Za Picha, Videos Mpaka 10 Kwa Wakati Mmoja!

Kwa wale watu wangu ambao hupata wakati mgumu kuchagua picha ama video gani ya kupost Instagram, usijali Instagram wana solution...

READ MORE

EU Yamuongeza Muda Mugabe

ZIMBABWE: Umoja wa Ulaya(EU) umeongeza muda wa vikwazo kwa Rais Robert Mugabe na mkewe, Grace kwa mwaka 1 hadi Februari...

READ MORE

Mzee Aliyekula Nyama za Watu, Amtaja Mnyama Anayefananaa Ladha Yake na Nyama Hiyo

Na ELVAN STAMBULI| GAZETI LA UWAZI| MAKALA Waandishi wa habari wa Uingereza waliokuwa jasiri walitembelea kisiwa hicho mwaka juzi na...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Zicheki Picha Za Mrembo Jokate Na Mastaa Mbalimbali Wa Marekani

Moja kati ya issue zinazotrend mitandaoni asubuhi hii ni Jokate kuonekana pichani na wakali wa muziki kutoka Marekani, Jay Z,...

READ MORE

Je Unakubali? Cassper Nyovest Asema Hakuna Rapa Mkali Zaidi Yake Barani Africa

Nikisema niwaulize wadau wa muziki wa Hip Hop kuwa kati ya AKA na Casper Nyovest nani mkali zaidi, tutabishana sana...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: SONY Music: “Mwaka Huu Wizkid Ni Kipaumbele Chetu Cha Kwanza!”

Kama shabiki mkubwa wa Wizkid naomba niseme hii celebrity update ni NOMA SANAA! Ni nadra sana kukuta msanii wa Afrika...

READ MORE

CHLOE: Binti wa Miaka 7 Aliyewaandikia Google Barua ya Kuomba Kazi

  KWA dunia ya sasa, kila mtu anatamani akafanye kazi katika Kampuni ya Google YA Marekani kutokana na mishahara mizuri...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Rapa Wa South Africa AKA na Mpenzi Wake Bonang Waachana!

Rapa kutoka South Africa AKA ametangza kuachana na mpenzi wake ambaye pia ni mtangazaji maarufu nchini South Africa, Bonang Matheba...

READ MORE

Pichaz: Manati ya Kurusha Dawa za Kulevya Toka Mexico Yagunduliwa Marekani

 Maafisa wa Marekani wanaoshika doria mpakani, wamegundua manati kubwa ambayo ilikuwa imefungamanishwa na ua ulio kwenye mpaka wa taifa hilo...

READ MORE

Mzungu Aliyenusurika Kupikwa Supu Asimulia Mazito, Kabila la Wala Watu-7

TUNAENDELEA kuwasimulia habari ya kweli kuhusu makabila ya jamii moja katika nchi ya Papua New Guinea inavyokula watu; endelea. Kabla...

READ MORE

TUZO: Wizkid na Drake Wapoteza Tuzo ya Grammy Kwa Adele!

Moja kati ya matukio yanayotrend kwa upande wa burudani ni pamoja na tuzo za Grammy Awards za mwaka 2017. Licha...

READ MORE

PICHAZ: Mastaa Kwenye Tuzo Za The Grammy Awards 2017.

Kama wewe ni shabiki wa muziki wa mamtoni, basi usiku wa jana Februari 12 2017 naamini ulikuwa usiku wa kipekee...

READ MORE

Uchokozi: Korea Kaskazini Yaifyatulia Kombora Japan

Korea Kaskazini kwa mara nyingine tena imefyatua kombora na kulielekeza upande wa Pwani ya Japan. Maofisa wa kijeshi kutoka Korea...

READ MORE

Defoe Akubali Mtoto Bradley Kufia Mikono Mwake

SHABIKI wa Sunderland mtoto wa miaka mitano Bradly Lowery, aliomba muda utakapo timu mauti yamfike akiwa mikononi mwa Defoe. Madaktari ...

READ MORE

Mastaa Hawa Hatarini Kutopata Watoto Kawaida

Beyonce Knowles, Mariah Carey, Jenifer Lopez, Celine Dion na mastaa wengine ambao wamefanikiwa kupata watoto mapacha huenda wakashindwa kuzaa tena...

READ MORE