×

Kimataifa

Polisi Wakamata SMG, Risasi 22 na Mafuta Dar

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam CP Simon Sirro akizungumza na wanahabari kuhusu kukamata bunduki aina ya SMG...

READ MORE

Mdahalo wa Marekani: Trump Aonesha Chuki Dhidi ya Clinton

Donald Trump na Hillary Clinton. WAGOMBEA urais nchini Marekani, Hillary Clinton na Donald Trump, walikutana tena katika mdahalo mkali usiku...

READ MORE

Rais Colombia Ashinda Tuzo Ya Nobel Ya Amani

Rais Juan Manuel Santos. Rais wa Colombia Juan Manuel Santos leo ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Nobel ya amani...

READ MORE

Mkataba Wa Yanga Kukodishwa Kwa Miaka 10 Kwa Manji Huu Hapa

Kikosi cha timu ya Yanga. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMUHTASARI WA MKATABA. 1. Bodi ya Wadhamini wa Young Africans Sports...

READ MORE

Kizza Besigye Azuiwa Kutoka Nje Ya Nyumba Yake

Kizza Besigye akizungumza na ofisa wa polisi. KAMPALA: Mwanasiasa wa siku nyingi nchini Uganda, Kizza Besigye leo amezuiliwa na polisi...

READ MORE

Majeshi 10 Yenye Nguvu Zaidi Duniani

Haya ndiyo majeshi 10 yenye nguvu zaidi duniani. Nguvu ya kiuchumi, vifaa na idadi ya wafanyakazi wake. Haya ndiyo majeshi...

READ MORE

Maswali 10 Tata Kuvamiwa Kwa Kim Kardashian

Kwa nini Kim na rafiki yake kipenzi, Simone Harouche walibaki chumbani wenyewe bila mlinzi wakati wakijua wana vito vyenye thamani...

READ MORE

Wahalifu 10 Hatari Zaidi Duniani

Leo nakuletea orodha ya watu kumi hatari zaidi duniani. Wanatafutwa kutokana na matukio mbalimbali ya kihalifu waliyowahi kuyafanya dhidi ya...

READ MORE

Bondia Afariki Baada Ya Kupokea Kichapo Ulingoni

SCOTLAND: Bondia Mike Towell (25) amefariki dunia baada ya kupoteza pambano lake na Dale Evans kwenye mzunguko wa tano. Pambano...

READ MORE

Oparesheni Entebbe, Steringi Alifia Uwanja Wa Mapambano

Juni 27, 1976 ndege ya Ufaransa ‘Air France Flight 139’ ikiwa na abiria 248 ndani yake ilitekwa na magaidi  wanne....

READ MORE

Kwaheri Shimon Peres Na Safari Ndefu Ya Kisiasa Israel

Marehemu Shimon Peres enzi za uhai wake. Septemba 13, 2016 vyombo vingi vya habari duniani kote vilitawaliwa na habari ya...

READ MORE

Thomas Sankara, Rais Aliyekuwa Analipwa Mshahara Wa Dola 450 Kwa Mwezi

        Thomas Sankara (21 Desemba, 1949 – 15 Octoba, 1987). Maisha ya siasa barani Afrika ni kama tanuru la moto,...

READ MORE

Kosa Kubwa Alilofanya Jonas Savimbi Hadi Kuuawa

Vifo vya viongozi wengi duniani wa kisiasa mara nyingi huchangiwa na makosa yao wenyewe. Hufanya kosa moja kubwa ambalo hugharimu...

READ MORE

Kutoka Urais Hadi Ombaomba Mtaani

DUNIANI tunajifunza na kuona vitu vingi tofauti vya kushangaza, kuogofya na kufurahisha. Wengi hawamjui Valentine Strasser ambaye aliwahi kuwa rais...

READ MORE

Mdahalo Wagombea Urais Marekani Watawaliwa Na Kejeli Na Vijembe

Donald Trump na Hillary Clinton kabla ya kuanza kwa mdahalo huo. NEW YORK , MAREKANI: Homa kubwa nchini Marekani kwasasa...

READ MORE

Mfalme Wa Jordan Azuru Kenya, Ashuhudia Mazoezi Ya Kijeshi

Mfalme wa Jordan, King Abdullah wa II akisalimiana na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta baada ya kuwasili uwanja wa ndege...

READ MORE

Makazi Mapya Ya Angelina Jolie Haya Hapa

Chumba cha kulala wageni.Ukumbi mdogo.Chumba maalum cha mazoezi. Chumba cha kulala Angelina Jolie.Chumba cha kupumzika wageni.Pembezoni mwa bwawa la kuogelea.Sehemu...

READ MORE

Mahakama Yamtangaza Ali Bongo Rais Wa Gabon

  Rais wa Gabon, Ali Bongo. Mahakama ya katiba nchini Gabon imethibitisha kuwa Ali Bongo ndiye mshindi wa uchaguzi wa...

READ MORE

Pique: Shakira Ni Staa Akiwa Kazini Tu

Beki Gerard Pique wa Barcelona akipigwa busu na mke wake Shakira. Saleh Ally aliyekuwa BarcelonaMAHOJIANO kati ya beki Gerard Pique wa Barcelona,...

READ MORE

Mtoto Aishi Porini Siku Tatu

mtoto baada ya kuokolewa. Mtoto huyo akiwa na mama yake. RUSSIA: Mtoto mdogo mwenye umri wa miaka mitatu, Tserin Dopchut...

READ MORE

Glasi Ya Wine Yamfukuzisha Kazi Waziri

UKUʻALOFA, TONGA: Waziri wa Mambo ya Ndani na Michezo wa Serikali ya Visiwa vya Tonga, Fe’ao Vakata, ameshinikizwa kujiuzulu baada...

READ MORE

Shirika la ndege la Etihad latajwa kuwa shirika bora la ndege, baada ya kunyakua tuzo ya sekta ya usafiri wa anga New Zealand

Meneja Mkuu wa Etihad nchini Australia na New Zealand, Sarah Built akiwa na tuzo pamoja na wadau mbalimbali wa shirika...

READ MORE

Mikutano Ya Ndani Ya Vyama Vya Siasa Ruksa

Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi CP, Nsato Mssanzya . Wamahabari wakiendelea kumsikiliza Nsato Mssanzya. JESHI la Polisi nchini...

READ MORE

Angelina Jolie Aomba talaka

Angelina na Brad Pitt.Angelina na Brad Pitt enzi penzi lao likiwa moto. MAREKANI: Mwanadada gumzo kwenye ulimwengu wa uigizaji kutoka Hollywood...

READ MORE

Wabunge wa Yanga kutifuana na wa Simba

Kutoka kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Ilala,  Mussa Zungu, Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja na Mbunge wa Mbinga Mjini,...

READ MORE

Basi La Timu Lapinduka Na Kuua Wanne

Mwonekano wa basi baada ya kupata ajali likiwa bado eneo la tukio. NORTH CAROLINA, MAREKANI. Watu wanne wamefariki dunia baada...

READ MORE

Watu 29 Wajeruhiwa Kwenye Mlipuko New York, Marekani

Jose Vasquez mmoja wa majeruhi wa shambulio hilo.  Kikosi cha uokoaji kikiwa kimembeba mmoja wa majeruhi.Eneo la tukio.Baadhi ya vitu...

READ MORE

Siku Za Mwisho Za Uhai Wa Samuel Doe

Rais Samuel Doe katika moja ya ziara zake akiwa rais. Alfajiri ya Aprili 12, 1980, kikundi kidogo cha wanajeshi 17...

READ MORE

A-Z Oparesheni Ya Mauaji Ya Gaidi Osama Bin Laden 2011

Osama Bin Laden enzi za uhai wake. Mwaka 2001, mwezi desemba katika milima ta Tora Bora baada ya mapambano ya...

READ MORE

Shirika La Ndege la Etihad na mshirika wake Air Serbia wasaidia wakimbizi na yatima wa Belgrade

Kutoka Kushoto ni Rais wa Kamati ya Bunge, Mwakilishi kutoka WAHA na Balozi wa Falme za Kiarabu-Serbia wakikabidhi msaada kwa...

READ MORE

Picha za Trump na Flaviana Matata Zaibua Mambo Bongo

DAR ES SALAAM: Zikiwa zimesalia takriban siku 53 kufika Novemba 8, mwaka huu, siku ya Uchaguzi wa Urais wa Marekani,...

READ MORE

Mchungaji Akatisha Hotuba Ya Trump

Mchungaji wa kanisa moja la watu weusi katika jimbo la Michigan, Marekani amemkatisha mgombea urais wa chama cha Republican, bwana...

READ MORE

Ronaldo Avunja Rekodi, Madrid Yashinda

Madrid, Hispania. Mshambuliaji tegemeo wa timu ya soka ya Real Madrid, Christiano Ronaldo usiku wa kuamkia leo kavunja rekodi ya...

READ MORE

Wakurugenzi Manispaa, Miji Na Halmashuri Waapishwa Dodoma

Baadhi ya wakurugenzi wa halmashauri za wilaya wakila kiapo wakati  kukabidhiwa majukumu yao katika ofisi za Waziri wa Nchi, Ofisi...

READ MORE

Nwankwo Kanu Afiwa Na Mama Yake

Mshambuliaji nguli wa zamani wa klabu ya soka ya Arsenal ya nchini Uingereza na timu ya taifa ya Nigeria, Nwankwo...

READ MORE

Uingereza Lawamani Kwa Maauaji Ya Gaddafi

Ripoti ya kamati ya bunge nchini Uingereza imekosoa hatua ya Uingereza na Ufaransa kuingilia kati na kusaidia kuondolewa madarakani kwa...

READ MORE