KATIBU Mkuu Ndugu Daniel Chongolo amekutana na kuzungumza na Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Mzee Pius Msekwa katika Ofisi Ndogo...
READ MOREMBUNGE wa Jimbo LA Mtama, Nape Nnauye, amesimamisha bunge kwa dakika kadhaa baada ya kuchangia hoja ya wizara ya Kilimo...
READ MOREMbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo leo amezindua kampeni ya mafunzo ya ujasiriamali katika kisiwa Cha Kome Kijiji...
READ MORERais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya Uteuzi wa Wakurugenzi katika Wizara...
READ MOREHATIMAYE Jarida maridhawa la siku 100 za Mbunge wa Jimbo Buchosa, Mhe. Eric Shigongo limewafikia wananchi wa kisiwa cha Kome...
READ MOREMamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaujulisha Umma kuwa, Jumapili tarehe 23 Mei 2021, Majira ya saa 8 Mchana...
READ MOREWAZIRI wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa amehimiza Wasanii nchini kuhakikisha wanamiliki Bima za Afya ambazo zitawasaidia...
READ MOREMAREHEMU Reginald Mengi, aliyekuwa mmiliki wa kampuni za IPP, aliwekewa kifaa maalumu cha kudhibiti mapigo ya moyo (pacemaker) wiki chache...
READ MORESPIKA wa Bunge, Job Ndugai amemwapisha Kavejuru Felix kuwa Mbunge wa Buhigwe, Bungeni jijini Dodoma leo Jumatatu, Mei 24, 2021....
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameahidi kwamba hatua kali zitachukuliwa kwa wale...
READ MOREJESHI la Kujenga Taifa (JKT), linawaita vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2021, kutoka shule zote...
READ MOREZaidi ya vijana 200 wa Jiji la Dodoma wanaojishughulisha na usafishaji wa abiria kwa bodaboda na pikipiki za miguu...
READ MORESerikali imewaagiza wamiliki wa viwanda vya chuma nchini kukaa kikao cha pamoja kwa ajili ya kujadili na kukubaliana kuhusu teknolojia...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa mabolozi 23 ambao umeanza leo Mei 22,...
READ MOREMKAZI wa Kijiji cha Buchanchari wilayani hapa, Chegera Mayemba amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kubaka mtoto...
READ MOREMJANE wa Marehemu Reginald Mengi, Jackline Ntuyabaliwe ameonesha kutorodhika na uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuhusu wasimamizi wa mirathi...
READ MORESerikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yapokea msaada wa vifaa vya haraka vya kupimia COVID 19 aina ya Rapid Test, vyenye...
READ MOREKUELEKEA mchezo wa marudiano dhidi ya Kaizer Chiefs utakaopigwa leo Jumamosi, kocha Mkuu wa kikosi cha klabu ya Simba, Didier...
READ MOREBenki ya NBC kupitia huduma yake ya #NBCShambani inayowalenga wateja wanaojishughulisha na kilimo imeongoza semina ya mafunzo kwa viongozi wa...
READ MOREWaziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 21, 2021 amekabidhi jumla ya magari 184 kwa maafisa elimu wa Halmashauri ikiwa ni...
READ MOREKatibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Prof. Abel Makubi amesema ishu ya Fomu ya...
READ MORESERIKALI imesema kuwa katika kutambua wanawake wanaobebeshwa mimba na kuachwa bila matunzo, imeandaa sheria ya mtoto inayotoa maelekezo kwa wazazi...
READ MOREMAFUNZO ya ujasiriamali yanaendelea Jimbo la Buchosa ambapo ambapo hii ilikuwa zamu ya wananchi wa Kata ya Nyakasungwa ambao wamejifunza...
READ MOREJeshi la Polisi mkoani Ruvuma linamshikilia Bw. Alfred Nombo (28) kwa kosa la kuumuwa Bw. Erasto Nchimbi (28) mkazi wa...
READ MOREMKUU wa mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla amemaliza sintofahamu ya uongozi wa manispaa ilijitokeza kati ya meya manispaa...
READ MORERais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi amesema kwa sasa Zanzibar inaandaa utaratibu wa kuwawezesha Mahujaji kupata chanjo ya COVID-19 ili...
READ MOREMAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amewasihi Ndugu wa Marehemu Khatib Said Haji (Mbunge wa Konde)...
READ MOREBAADHI ya wadau wa elimu walioshiriki mkutano wa kimataifa wa elimu Bora ulioandaliwa na Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), wametoa maoni...
READ MOREHadija Iddi mkazi wa Chamwino mkoani Dodoma amekuwa mshindi wa kwanza kuzawadiwa gari aina ya TATA Ace maarufu kama...
READ MOREMOJA Stori zilizogusa mioyo ya Watanzania leo Alhamisi, Mei 20, 2021 ni kuhusu wasanii wa kizazi kipya (bongo fleva) Roma...
READ MOREIKIWA ani siku chache baada ya Msanii Diamond Platnumz kuwafokea Forbes kuwa utajiri wake waliouandika kwenye jarida lao si halisi...
READ MOREMKUU wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela amekanusha taarifa za yeye kuzindua kiwanda cha kutengeneza sehemu za siri za mfano....
READ MOREWAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema hadi sasa Magazeti ambayo yamefungiwa kisheria Nchini Tanzania ni...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan amemteua Brigedia Jenerali Rajabu Mabele kuwa...
READ MOREWAKAZI wa Kata ya Lubaga Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Mkoani Shinyanga wameiomba serikali kuwasaidia kutatua changamoto ya uwepo wa...
READ MOREMKURUGENZI wa Manispaa ya Kinondoni na Meya wamefarakana baada ya kuibuka kwa hoja kutoka kwa mmoja wa madiwani ya viongozi...
READ MOREWAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndugulile amesema huenda wakaanzisha zoezi jipya la uhakiki wa laini za...
READ MORERais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni amewasili nchini Tanzania leo Alhamisi, Mei 20, 2021 kwa ziara ya kikazi...
READ MORE