×

Kitaifa

Kigwangalla Ataka Karantini kwa Wageni Iondolewe

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla amesema kwa kuwa #CoronaVirus tayari imeshaingia Tanzania, haileti maana kuweka masharti magumu kwa...

READ MORE

Tanzania Yapokea Dawa ya Covid 19 Kutoka Madagascar

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) kwa niaba ya Tanzania...

READ MORE

Serikali Yataja Sababu za Kuchelewa Kutoa Taarifa za Corona

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema sababu ya kutotangaza mwenendo wa ugonjwa wa Corona ni kutokana na maboresho yanayofanyika kwenye...

READ MORE

TANZIA: Katibu Mkuu wa TABOA, Mrutu Afariki Dunia

MMILIKI wa mabasi ya Kirumo Charo na Katibu Mkuu wa chama cha wamiliki wa mabasi TABOA, Ndg. Enea Mrutu ambaye...

READ MORE

OCD Maarufu kwa Kusoma Quran Afariki Dunia

MKUU wa Polisi Wilaya ya Ukerewe, Masoud Mohamed amefariki dunia. Afande Masoud hivi karibuni alijizolea umaarufu katika mitandao ya kijamii...

READ MORE

Tanzia: Mhadhiri Wa Chuo Kikuu Ardhi Dkt. Job Chaula Afariki Dunia

  Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ardhi, Dkt. Job Asheri Chaula amefariki dunia leo Ijumaa, Mei 8, 2020, asubuhi katika...

READ MORE

TAKUKURU WAMNASA ‘TAKUKURU FEKI’

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mkoa wa Dodoma inamshikilia Simon Mapunda Jumbe (43), mkazi wa Kisasa jijini...

READ MORE

Wanne Wanaswa Kwa Ujambazi Arusha!

  JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne wa ujambazi akiwemo mganga wa kienyeji wakiwa na silaha...

READ MORE

Cecil Mwambe “Sasa Narejea Bungeni Rasmi” – Video

MBUNGE wa Ndanda kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Cecil Mwambe, amesema kuwa kwa sasa amerejea Bungeni rasmi kumalizia...

READ MORE

Kanisa Katoliki: Ibada, Harusi Kuruhusiwa Kuanzia Mei 18

SERIKALI ya Italia na Maaskofu wa Kanisa Katoliki wamesaini makubaliano ya kuruhusu Ibada pamoja na mikusanyiko vya kidini kama harusi...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Zanzibar Wafika 134

Wizara ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya 29 wa covid 19 visiwani Zanzibar na kufikia idadi...

READ MORE

Parimatch Yafanya Maboresho, Yaja kibabe na Mfumo Mpya

Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch imefanya maboresho makubwa katika tovuti yao ya kubashiri, ambayo kwa sasa itawawezesha wateja wao...

READ MORE

Mahakama ya Kisutu Yatoa Uamuzi Hatma ya Rugemalira na Seth

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali hoja za pingamizi za awali za mfanyabiashara James Rugemarila na wenzake wawili ikiwemo...

READ MORE

TANZIA: Katibu Jumuiya ya Wazazi CCM Afariki

Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Lugano Mwafongo amefariki dunia leo Alhamisi, Mei...

READ MORE

Tanzia: DC Buzohera wa Nyang’wale Afariki Dunia

MKUU wa Wilaya ya Nyang’wale Mkoa wa Geita, Hamim Buzohera Gwiyama, amefariki leo Mei 7, 2020 majira ya saa 5:00...

READ MORE

CDC: Vifaa Vinavyotumika Kupima Corona Tanzania Havina Tatizo

Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (CDC) kimesema kwamba vifaa vya kupimia virusi vya corona nchini Tanzania havina shida...

READ MORE

Kiwanda cha Kahawa Chateketea Kagera

KIWANDA cha kukoboa kahawa cha Kharim Amri kilichopo Mgakorongo wilayani Karagwe, kimeungua moto. Taarifa za awali zinadai kuwa mashine na...

READ MORE

NMB, Mastercard na EYWA Washirikiana Kuleta Mfumo wa Malipo Kwa njia ya Kidijitali kwa wasafiri

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya NMB,Ruth Zaipuna.     Benki ya NMB kwa kushirikiana na Mastercard na kampuni ya...

READ MORE

Ndugai Awataka CHADEMA Wajiandae Kulipa Gharama Kesi ya Lissu

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai,  amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujiandaa kulipa gharama za kesi iliyofunguliwa na Makamu...

READ MORE

FAT Waungana na Serikali Mapambano Dhidi ya Maambukizi Covid-19

Fashion Association of Tanzania (FAT) chaendesha mchakato wa uchangiaji wa vitakasa ikiwa sehemu ya mchango wao dhidi ya maambukizi ya...

READ MORE

Ndugai Awataka Wabunge CHADEMA Warudishe Mamilioni Bungeni

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai,  jana Mei 6, 2020, amewataka wabunge wa Chama...

READ MORE

Rais JPM Ateua DC Mtwara

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Delphine Magere kuwa RAS Pwani akichukua nafasi ya Theresia Mmbando ambaye amestaafu, Rais...

READ MORE

Mbunge Adaiwa Kunaswa na Silaha 10, Risasi 536

MBUNGE wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga Suleiman Masoud Nchambi (CCM) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kumiliki...

READ MORE

Simanzi Mazishi ya Mchungaji Peter Mitimingi – Pichaz

SIMANZI na majonzi vimetawala wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mchungaji wa Ghala la Chakula cha Uzima (WCC), Marehemu Peter Mitimingi,...

READ MORE

Waziri Ummy Awataka Watanzania Kuchangamkia Fursa za Corona

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ametoa wito kwa wawekezaji wa viwanda ndani ya...

READ MORE

Mwigulu Awaponda Wabunge Waliokimbia Kisa Corona

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Mwigulu Nchemba, amesema kitendo cha baadhi ya wabunge wa upinzani kususia vikao vya Bunge kwa...

READ MORE

Makonda Atoa Saa 24 kwa Wabunge ‘Wanaozurura’ Dar – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda,  leo Mei 6, 2020, ametoa Saa 24 kwa wabunge wote waliokimbia...

READ MORE

Silinde Ajiuzulu CHADEMA

WAKATI idadi kubwa ya wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hawahudhurii vikao vya Mkutano wa 19 wa Bunge...

READ MORE

Tanzia: Sheikh Kilemile Afariki Dunia

MWANZUONI nguli wa Tanzania na Afrika Mashariki, Sheikh Suleiman Amran Kilemile, amefariki usiku wa kuamkia leo, May 06, 2020, katika...

READ MORE

CSI Yatoa Msaada kwa Kaya Zaidi ya 50 Wasiojiweza Ukonga

Shirika la kimataifa la Childbirth Survival International (CSI), limetoa msaada wa vyakula , sukari na sabuni kwa kaya zaidi ya...

READ MORE

Ajali Gari Yaua Watu 6 Pwani

WATU sita wamefariki dunia katika ajali ilitokea usiku wa kuamkia jana eneo la Vigwaza, Chalinze mkoani Pwani, barabara kuu ya...

READ MORE

Ni Mnyama Gani Aliyesambaza Virusi vya Corona?

TAFITI za Kisayansi zimethibitisha kuwa kuna mnyama ambaye alimbaza virusi vya corona kutoka kwa popo hadi kwa binadamu. Shirika la...

READ MORE

Jacob Ameshavuliwa Umeya, Aende Mahakamani – Waitara

NAIBU Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara amesema kwa mujibu wa Barua iliyodaiwa kuwa ni ya Chadema iliyoandikwa kwa Mkurugenzi wa...

READ MORE

Mama Mbaroni kwa Kutelekeza Watoto Shambani

POLISI mkoani Mwanza imemkamata Happiness Mafuru (23) kwa tuhuma ya kuwatelekeza watoto wake wawili katika majaluba ya mpunga majira ya...

READ MORE

Tanzia: Dkt. Lamwai Afariki Dunia

MWANASIASA na mwanasheria mkongwe, Dkt. Masumbuko Lamwai amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Mei 5, 2020.   Dkt. Lamwai aliwahi...

READ MORE

Mbunge Aliyetangazwa Kuwa na #Coronavirus Anaendelea Vizuri

Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Mbunge aliyetangazwa kuwa na maambukizi ya #CoronaVirus mwezi uliopita anaendelea vizuri na anasubiri vipimo...

READ MORE

Bifu Kwisha! Kusaga Aagiza Nyimbo za Diamond Zipigwe Clouds

MKURUGENZI Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga amemaliza bifu lililokuwepo kati ya chombo hicho cha habari pamoja na msanii...

READ MORE

Wabunge Chadema Wakaidi Agizo la Mbowe, Watinga Bungeni

WABUNGE watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wapo bungeni leo wakiendelea na kazi ya kuwakilisha wananchi wao bungeni...

READ MORE

RC Makonda Atangaza Vita na Wanaopandisha Bei ya Sukari – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda leo ametangaza vita na wafanyabiashara wanaouza sukari kwa bei ghali...

READ MORE

Ummy Amsimamisha Kazi Mkurugenzi Maabara ya Taifa

KUFUATIA hotuba ya Rais  John Magufuli aliyoitoa jana Mei 03, 2020, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemwagiza Katibu Mkuu wa...

READ MORE