×

Kitaifa

Waliopandisha Bei ya Sukari Waiona Shughuli ya DC Sabaya – Video

  Ikiwa ni siku chache zimepita tangu serikali kutangaza Bei elekezi ya Sukari kwa kila mkoa bado Baadhi ya Wafanyabiashara...

READ MORE

Corona: Ndege za Abiria za ATCL Kubeba Mizigo

KATIKA kukabiliana na changamoto za kibiashara zinazosababishwa na mlipuko wa virusi vya corona, Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) inatarajia...

READ MORE

Moro: Kisa Dalili za Corona, Mazishi ya Naibu Meya Yasitishwa

MAZIKO ya aliyekuwa Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro na diwani wa Kata ya Kiwanja cha Ndege, Isihaha Sengo, yamesitishwa...

READ MORE

Mhandisi wa maji Ajinyonga, Serikali Kusimamia Mzishi Yake

MKUU wa wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, John Palingo (55) amesema kuwa Serikali itasimamia taratibu za mazishi ya mtumishi wa...

READ MORE

Mbaroni kwa Kusema ‘Nguo za Marehemu wa Corona China Zinaletwa Afrika’

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia JOYCE KEPHAS AKYOO MANKA (31) mfanyabiashara na mkazi wa Stereo, Jijini Mbeya kwa...

READ MORE

Utata Aliyemkata Kichwa Bibi Yake

 DUNIANI si mahali salama tena kwa maisha ya binadamu! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia utata mkubwa ambao umeibuka baada ya Eliakim...

READ MORE

Mtwara: Mazishi ya DC Mmanda – Pichaz

MAZIKO ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda,  yamefanyika asubuhi ya leo, Aprili 28, 2020,  eneo la Pemba...

READ MORE

Waziri Bashungwa Avitaka Viwanda Kutengeneza Barakoa Kwa wingi

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) ameutaka umoja wa Viwanda vya Nguo Nchini (TEGAMAT) kuangalia uwezekano wa...

READ MORE

Wizara ya Afya: Toboa Barakoa Kabla Hujaitupa

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imetoa wito kwa wananchi kuteketeza barakoa baada ya kumaliza matumizi...

READ MORE

Wakili Gaudiosus Ishengoma Afariki Dunia

WAKILI msomi wa FB Attorneys, Gaudiosus Ishengoma,  amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne, Aprili 28, 2020, katika Hospitali ya...

READ MORE

Rais Magufuli Amlilia Jaji Augustino Ramadhani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli Ameeleza Kusitikishwa na Kifo cha Jaji Mstaafu Augustino Ramadhan,...

READ MORE

Mbuge Koka Aikabidhi Jumuiya ya Wazazi Kibaha Mizinga Ya Nyuki

Mbunge wa Kibaha Mjini, Slyvestry Koka (kulia) akijiandaa kunawa mikono ili kujikinga na ugonjwa hatari wa Corona (COVID-19)  kabla ya...

READ MORE

Tanzia: Mdogo wa Lowassa Afariki Dunia

MDOGO wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa anayefahamika kwa jina la Bernard Lowassa, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne,...

READ MORE

Tanzia: Jaji Augustino Ramadhani Afariki Dunia

Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Augustino Ramadhani, amefariki dunia leo Aprili 28, 2020, katika Hospitali ya Aga Khan, jijini Dar...

READ MORE

Tulonge Afya Yazindua Kipindi Cha Uelimishaji Vijana Kwa njia ya Luninga

Ili kukabiliana na changamoto za COVID-19 ambazo zimeathiri shughuli mbali mbali Nchini Tanzania, Programu ya USAID Tulonge Afya imezindua kipindi...

READ MORE

Corona Yatibua Fumanizi la Mwaka!

MOROGORO: UKISIKIA Corona imetibua fumanizi, ndio hili lililotokea mkoani Morogoro na kuwanyima wakazi wa mji huo kushuhudia uhondo wa mshikemshike...

READ MORE

Kenya: Shule Kuendelea Kufungwa, Hoteli Kufunguliwa

KENYA imetangaza kuwa itaanza kufungua hoteli ila ni zile tu ambazo wahudumu wake watakuwa wamefanyiwa vipimo kubaini iwapo hawana Ugonjwa...

READ MORE

Mazishi ya DC Mtwara Kuhudhuriwa na Watu Wasiozidi 10

MAZISHI ya aliyekua mkuu wa wilaya wa Mtwara Evodi Mmanda yatahudhuriwa na watu 10, na serikali ndio itasimamia mazishi hayo....

READ MORE

Mrithi Mama Rwakatare ni Huyu!

DAR: Kile kitendawili cha mrithi wa usimamizi wa Makanisa ya Mlima wa Moto- Mikocheni B Assemblies Of God, yaliyokuwa chini...

READ MORE

Mama Rwakatare Aagwa Tena Kanisani, Waumini Vilio – Video

IKIWA ni siku chache tangu aliyekuwa askofu wa kanisa la Mlima wa Moto, Getrude Rwakatare, azikwe katika viwanja vya kanisa...

READ MORE

Korea Kusini: Kim Jong Un Yuko Fiti

KIONGOZI wa Korea Kaskazini Kim Jong Un yuko katika hali nzuri ya kiafya  kwa mujibu wa Moon Chung In, mmoja...

READ MORE

Airtel Yatoa Msaada Mil700/=Mapambano Dhidi  Ya Corona

  Kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel Tanzania leo imetoa kiasi cha Tzs 700,000,000 milioni (Milioni mia saba) kwa Wazira...

READ MORE

Tanzia: Naibu Meya Morogogoro Afariki Dunia

o Naibu Meya Manispaa ya Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Diwani wa Kata ya Kiwanja cha Ndege, Isihack...

READ MORE

Wafungwa Waliosamehewa na JPM Handeni Waachiwa – Video

BAADA ya Rais John Magufuli kutangaza msamaha kwa wafungwa 3,973 nchini, Wilaya ya Handeni imekuwa miongoni mwa wilaya za kwanza...

READ MORE

Tanzia: Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Afariki Dunia

MKUU wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Evod Mmanda, amefariki dunia alfajiri ya leo Jumatatu, Aprili 27, 2020, katika Hospitali ya...

READ MORE

Muhimbili Yafunga Mashine Kuhudumia Wagonjwa wa Figo, Corona Amana

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefunga mashine tatu za kusafisha damu kwa wagonjwa wenye matatizo ya figo zenye thamani ya...

READ MORE

Kocha Simba, Global Wawakumbuka Mayatima Mwanza

  Kampuni ya Global Publishers chini ya Mkurugenzi Mtendaji, Eric Shigongo wakishirikiana na aliyekuwa kocha na mchezaji wa zamani wa...

READ MORE

Washindi wa Droo ya Pili ‘Baba Lao’ Wakabidhiwa Vitita

WASHINDI wa sita waliopatikana kupitia droo ya pili ya Jishindie Gari na Spoti Xtra, iliyofanyika hivi karibuni wamekabidhiwa zawadi zao...

READ MORE

Corona Yaongeza Simanzi Mazishi ya Mama Rwakatare

    DAR: Licha ya kuwa ni desturi ya Waafrika na Watanzania kushiriki mazishi ya ndugu, jamaa, marafiki na wapendwa...

READ MORE

Tetemeko la Ardhi Lapiga Geita

TETEMEKO la ardhi limetokea majira ya saa 6:07 usiku wa kuamkia leo na kutikisa maeneo ya Kanda ya Ziwa hususani...

READ MORE

Licha ya Corona: Wanafunzi Elimu ya Juu Wafanya Mitihani ya Mwisho

  TAKRIBAN wanafunzi 52,000 wamefanya mitihani yao ya mwisho huku shule na vyuo vikiwa vinaendelea kufungwa ili kuepusha maambukizi ya...

READ MORE

Serikali Kumwaga Ajira 4000 za Polisi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto

WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imetangaza ajira zaidi ya 4,400 kwa vyombo vya ulinzi na usalama nchini. Akiwasilisha...

READ MORE

Mvua Kubwa Yaua Wawili Arusha

    MVUA zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Arusha, zimesababisha vifo vya watu wawili wilayani Arumeru. Akitoa...

READ MORE

Wagonjwa 37 Wapona Corona, Wengine 71 Wanasubiri Wako Fiti – Video

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu leo Aprili 24, 2020 amesema wagonjwa 37 wa...

READ MORE

Rufaa ya Mbowe na Wenzake Kuanza Kuunguruma Mei 13

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, inatarajia kuanza kusikiliza rufaa iliyokatwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na viongozi...

READ MORE

Simbachawene Apiga Marufuku Trafiki Kujificha Vichakani

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi ameliagiza jeshi la polisi nchini kuwa na mbinu za kistaarabu za kisimamia sheria...

READ MORE

CORNA: NECTA Yaahirisha Mtihani Kidato cha Sita 2020

WIZARA ya elimu nchini imeahirisha mtihani wa kidato cha sita mwaka 2020 hadi hapo itakapoamuliwa vinginevyo kutokana na janga la...

READ MORE

HATARI! Vifaa Vya Hospitali Vyazagaa Mtaani

WANANCHI wa Mtaa wa Makongoro uliopo katikati ya Mji wa Morogoro wako hatarini baada ya vifaa vya hospitali vilivyotumika kuzagaa...

READ MORE

Ccm Dar, Kugawa Bure Barakoa Milioni 1

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dar es Salaam, Kate Kamba amesema ofisi yake imedhamiria kugawa bure barakoa...

READ MORE

Mama Rwakatare Azikwa Kanisani Kwake – Picha

ALIYEKUWA Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Askofu Dkt. Getrude Rwakatare,  amezikwa leo...

READ MORE