×

Kitaifa

Marioo Achomoa Kusajiliwa kwa Harmo

BAADA ya kuwepo kwa tetesi kuwa huwenda msanii wa Bongo Fleva, Omary Mwanga ‘Marioo’ yupo mbioni kusajiliwa kwenye Lebo ya...

READ MORE

Mbongo Uingereza Asimulia Alivyopona Corona

WAKATI maambukizi ya Virusi vya Corona yakizidi kushika kasi nchini, Mtanzania anayeishi katika mji wa Crawley nchini Uingereza, Happy Oshea...

READ MORE

Inasikitisha! Mtoto Miaka 14 ‘Apoteza Macho’ – Video

KUPITIA kijana Ali unaweza kuamini misemo mbalimbali inayotumiwa na baadhi ya watu “Ukiumwa na ukapata nafasi ya kuwaona wanaoumwa basi...

READ MORE

Corona: Muhimbili Yashona Vazi la Watoa Huduma – Video

Hospitali ya Taifa Muhimbili imeshona vazi maalumu (coverall) ambalo ni sehemu ya mavazi ya watoa huduma (PPE) kuvaa ili kujikinga...

READ MORE

Mtatiro Ataka Walinzi Mipakani Kupambana ya Corona – Video

MKUU wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, Julius Mtatiro,  akiwa katika ziara kwenye mipaka mbalimbali ya Tanzania na Msumbiji  upande...

READ MORE

Jiji la Arusha Kufunga Maduka 400 – Video

HALMASHAURI ya jiji la Arusha imepanga kufunga maduka zaidi ya 400 ya wafanyabiashara iwapo watashidwa kulipa deni la sh. milion...

READ MORE

Corona: Sukari Yapaa, Serikali Yatoa Tamko – Video

SERIKALI imewahakikishia Watanzania kuwa hakuna upungufu wa sukari hivyo wananchi hawapaswi kuwa na wasiwasi wa aina yoyote ile.   Waziri...

READ MORE

Vigogo Madawa ya Kulevya Wanaswa na ‘Unga’ Kilo 270 – Video

MAMLAKA ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya juzi Aprili 15, 2020, imefanikiwa kumkamata kigogo wa dawa za kulevya...

READ MORE

Mbaroni Kumdanganya Waziri Ummy Ana Corona

MKAZI wa Kijiji cha Mwakitolyo Namba 2 Mkoani Shinyanga, Mussa Jackson (25) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za...

READ MORE

Serikali Kumwaga Ajira Mpya 44,000

SERIKALI inatarajiwa kuajiri watumishi wapya 44,811 katika mwaka wa fedha 2020/2021. Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya...

READ MORE

Ndugai: Wabunge Mnaonekana Baa na Corona Hii Muambiweje? – Video

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, ameiomba serikali kutolea matamko kuhusu Corona Bungeni jijini Dodoma. Aidha, Spika Ndugai amewataka wabunge kuacha...

READ MORE

Walioambukizwa Corona Tanzania Wafikia 94

Wizara ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya wa corona sita nchini na kufikia wagonjwa 24 kutoka...

READ MORE

Mazishi ya Mzee wa Miaka 100 Aliyejengea Shule Watoto Wake – Video

MWILI wa marehemu Mzee Meshuko Ole Mapi, almaarufu Mzee Laibon, mkazi wa wilayani Monduli mkoani Arusha aliyekuwa na umri zaidi...

READ MORE

Mwanza: Mahabusu 2, Mfungwa Wauawa Wakitoroka – Video

MAHABUSU wawili  na mfungwa mmoja wamefariki dunia wakati wakijaribu kutoroka katika gereza kuu la Butimba jijini Mwanza walipokuwa wakishikiliwa kwa...

READ MORE

Majaliwa: Marufuku Sunday Schools, Madrasa – Video

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kuna taarifa kuwa baada ya masomo kusitishwa kwa sababu ya Covid 19 watoto...

READ MORE

Watanzania Wahimizwa Kushirikiana na Wasaidizi wa Sheria

Jamii imehimizwa kushirikiana kwa karibu na wasaidizi wa kisheria chini ili kuwalinda wasichana na ndoa za utotoni ambazo huchochea umaskini,...

READ MORE

Baba Mbaroni kwa Akidaiwa Kubaka Watoto Wake Wawili Mapacha – Video

JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya limashikilia mkazi wa mtaa wa Rebu Shuleni, mjini Tarime mkoani Mara, Marwa Mwita...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Wafikia 88 Tanzania

Wizara ya Afya imethibitisha uwepo wa wagonjwa wapya 29 wa COVID-19 nchini. Hadi sasa Tanzania idadi ya Wagonjwa imefikia 88...

READ MORE

Vifo vya Watu 3, Simbachawene Amtia Mhandisi Ndani – Video

WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene ameliagiza Jeshi la Polisi kumkamata na kumtia ndani Mhandisi wa Kampuni...

READ MORE

Basi la Kamwana’s Lateketea kwa Moto – Video

AJALI mbaya imetokea mapema leo Jumatano, Aprili 15, 2020, baada ya basi la abiria mali ya Kampuni ya Kamwana’s Express...

READ MORE

Bahati Nasibu ya Shinda Gari Yaendelea Kuwa Gumzo Mtaani

BAHATI nasibu inayoendelea kupitia  magazeti ya Championi na Spoti Xtra imeendelea kuwa kivutio kikubwa baada ya wasomaji wa maeneo ya...

READ MORE

Corona: Wagonjwa 6 Waongezeka Zanzibar, Mmoja Afariki

WIZARA  ya Afya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya sita wa virusi vya Corona na kufikisha idadi ya wagonjwa 18 kutoka 12...

READ MORE

Mama: Polisi Wameuwa Mwanangu!

WAKATI familia mbalimbali za Kikristo duniani zikisherehekea sikukuu ya kufufuka kwa Yesu Kristo, familia ya Subira Rashid (43), mkazi wa...

READ MORE

Baada ya Pasaka Betika Mwendo Mdundo Kuwafikia Wadau

MAPEMA leo Jumatano, Aprili 15, 2020, timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imetembelea maeneo ya Temeke mwembeyanga na maeneo...

READ MORE

Rais JPM Awalilia 18 Waliofariki kwa Ajali Kibiti

RAIS John Magufuli ametuma salam za rambirambi kwa ndugu, jamaa na marafiki wa watu takribani 18 waliopoteza maisha katika ajali...

READ MORE

Breaking: Ajali Yaua 18 Kibiti Mkuranga

WATU 18 wamefariki na wengine 15 kujeruhiwa baada ya magari mawili kugongana katika kijiji cha Kilimahwewa Wilaya ya Mkuranga mkoani...

READ MORE

Corona: Wagonjwa Waongezeke? Mna Kikao na Mungu? – Mwigulu

MBUNGE wa Iramba (CCM), Dkt. Mwigulu Nchemba ameishauri serikali kuacha kutangaza visa vipya vya wagonjwa wanaogundulika kuwa #CoronaVirus, badala yake...

READ MORE

Maambukizi Corona Yafikia 53, JPM Asitisha Sherehe za Muungano

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema agizo la kufungwa kwa shule za awali, msingi, sekondari na vyuo vyote vya elimu ya...

READ MORE

PM Majaliwa Apokea Msaada wa Tsh 500M Kukabiliana na Corona

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea hundi ya mfano ya sh. milioni 500 kutoka kampuni ya Export Trading Group (ETG) zikiwa...

READ MORE

Polisi Akutwa Kwenye Mtaro Akiwa Amefariki Dunia

POLISI katika kituo kidogo cha KIA Hai, Kilimanjaro, Sajent Juma Ango, anadaiwa kuuawa na watu wasiojulikana na mwili wake kutupwa...

READ MORE

Maelfu Waanza Kurejea Kazini Hispania

MAELFU ya watu nchini Hispania leo hii wameruhusiwa kurejea kazini, ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuibuka kwa mlipuko wa...

READ MORE

Wenye Corona Kenya Wafikia 208, Wamefariki 9

WATU wengine 11 wamegundulika kuwa na virusi vya Corona nchini Kenya na kufanya idadi ya maambukizo kufikia watu 208. Mtu...

READ MORE

Corona: Serikali ya Zanzibar Yasitisha Mikutano na Wanahabari

Katika kujikinga dhidi ya virusi vya corona, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imetangaza kusitisha mikutano na waandishi wa habari na...

READ MORE

Mbaroni kwa Tuhuma za Mauaji ya Mwalimu

POLISI mkoani Dodoma inawashikilia watu watano kwa tuhuma za mauaji ya Mwalimu Eradius Lucas Mgaya wa Kijiji cha Chilungulu, Tarafa...

READ MORE

Matarajio ya Hali Mbaya ya Hewa kwa Siku Tano Zijazo

HABARI:- Mamlaka ya hali ya hewa nchini (TMA) imetoa angalizo la kunyesha kwa mvua kubwa na za wastani kwa mikoa...

READ MORE

Wagonjwa Watatu wa Corona Waongezeka TZ, Wafikia 49

WAZIRI wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid, ametangaza ongezeko la watu watatu wenye maambukizi ya virusi vya corona visiwani humo,...

READ MORE

Kesi ya Pili ya Kifo cha Ebola Yaripotiwa DRC

JAMHURI ya Kidemokrasia ya Congo imeripoti kesi ya pili ya kifo cha Ebola katika kipindi cha siku tatu baada ya...

READ MORE

Wagonjwa 14 wa Corona Waongezeka TZ, Wafikia 46

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema watu wengine 14 wamethibitika kuwa na maambukizi ya virusi...

READ MORE

Corona: Ndege za Abiria za Kimataifa Zazuiwa Kuingia Tanzania

MAMLAKA ya Usafiri wa Anga (TCAA) imefuta safari zote za ndege za abiria za kimataifa tangu juzi Aprili 11, 2020....

READ MORE

Corona: Waziri Mkuu wa Uingereza Atoka ICU

WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, ametoka hospitali baada ya kupona maambukizi ya virusi vya corona. Hata hivyo, atalazmika kupumzika...

READ MORE