×

Kitaifa

Waziri Lukuvi: Nimeua, Ulaji Umeisha – Video

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo na Makazi, William Lukuvi, amemaliza rasmi ulaji uliokuwa unafanywa na baadhi ya maafisa ardhi...

READ MORE

Daraja la Simiyu Mwanza-Musoma Lafungwa

DARAJA la Mto Simiyu lililoko wilayani Magu katika barabara kuu ya Mwanza-Musoma limeharibika, hivyo serikali kulifunga kwa siku kumi ili...

READ MORE

Makonda: Wanaume Wakatwe 40% ya Mishahara Yao Wapewe Wake Zao

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema anatarajia kupeleka muswada binafsi bungeni, kutaka itungwe sheria ambayo itamka...

READ MORE

NMB Yafungua Tawi la 225, Yakiahidi Neema Kwa wakulima na wafugaji

    Benki ya NMB imezindua tawi jipya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu na kufikisha matawi 225 nchi nzima huku...

READ MORE

Mambo 5 Kutikisa Uchaguzi 2020

DAR: Mbio za Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar 2020 zimezidi kushika kasi na kuwaacha wanasiasa matumbo joto kutokana na uchaguzi huo...

READ MORE

Benki ya Dunia Yaitaka TZ Kutowabagua Wanafunzi Wajawazito

Benki ya dunia imeishinikiza serikali ya Tanzania kuanzisha mfumo wa elimu kwa wanafunzi wanaokatiza masomo yao kutokana na sababu kama...

READ MORE

Watu Wawili Wafariki kwa Kusombwa na Mafuriko Morogoro

WATU wawili wameripotiwa kupoteza maisha huku mmoja akijeruhiwa kufuatia mvua kumbwa zilizonyesha usiku wa kuamkila leo Manispaa ya Morogoro, baada...

READ MORE

Mshindi wa ‘Pata Simu Ya Bure’ Apatikana!

ILE ofa baab’kubwa inayotolewa na magazeti Pendwa ya Ijumaa Wikienda, Uwazi, Risasi Mchanganyiko, Ijumaa na Risasi Jumamosi ya kujinyakulia simu...

READ MORE

Katibu Mkuu CCM: Tutatumia Dola Kubaki Madarakani

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ali, amekiri chama chake kuitumia dola kuhakikisha kinabaki madarakani.   Amesema...

READ MORE

Msajili Kuhakiki Uhalali wa Vyama Kabla ya Uchaguzi

MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, amesema watafanya uhakiki wa vyama hivyo ili kuangalia uhalali wao kabla...

READ MORE

National Public Speaking Competition Wafunguka

SHINDANO la National Public Speaking Competition limeingia katika raundi nyingine ambayo washiriki 30 watawekwa kambini na kunolewa vilivyo kabla ya...

READ MORE

Unashindwaje Kumiliki Ndinga Mpya kwa Tsh 800 tu – Video

  MAMBO si ndo haya sasa, ukiwa mjanja kwa kusoma magazeti ya Championi au Spoti Xtra kila wiki, unaweza ukawa...

READ MORE

Warundi 7 Jela kwa Kuingia TZ Kinyemela

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu raia saba wa Burundi kifungo cha mwaka mmoja jela au faini ya shilingi laki...

READ MORE

Kesi J4 Anayedaiwa Kuua Wenzake kwa Risasi Yaanza Kuunguruma

  KESI ya mauaji namba 131 ya mwaka 2017 inayomkabili mfanyabiashara na mmiliki wa mabasi, Jumanne Wang’anyi, maarufu kama J4,...

READ MORE

NMB Yakabidhi Vifaa Kwa Wilaya ya Hai na Ilala

  BENKI ya NMB imekabidhi misaada mbalimbali ya vifaa tiba na vifaa vya elimu katika Mikoa ya Dar es Salaam...

READ MORE

NBC Kuendelea Kutoa Fursa za Ajira, Mafunzo Kwa Vijana

  Mkugurenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Theobald Sabi amesema kuwa kwa mwaka huu wamejipanga kuchukua vijana...

READ MORE

Kenyatta Aionya Somalia kwa ‘Uchokozi’

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta,  ameinyooshea kidole cha lawama Somalia akisema hatua ya wanajeshi wa Somalia kuingia Kenya ni kitendo...

READ MORE

Waziri Mkuu Amtumbua Mweka Hazina Korogwe

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, amemsimamisha kazi Mweka Hazina wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Subilaga Kapange,  na maafisa wengine wawili...

READ MORE

Wananchi Wapanga Kutoa Sadaka Kisa Maji, Mbarawa Awatoa Hofu

Tatizo la maji lililokuwa likiwakabili wananchi wa wilayani Moshi mkoani kilimanjaro, linatarajiwa kupatiwa ufumbuzi hivi karibuni, baada ya serikali kutenga...

READ MORE

Wahamiaji Haramu 82 Wafikishwa Kortini Dar – Video

Watu 82 raia mataifa tofauti wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kosa la kuingia na kuishi nchini...

READ MORE

Maaskofu na Mashekhe Wamuonya Askofu Gwajima

KAMATI ya Kitaifa ya pamoja kwa Maaskofu na Maashekhe ya Maadili, Amani na Haki za Binadamu kwa Jamii ya Madhehebu...

READ MORE

Janeth Magufuli Akabidhi Wheelchairs kwa Walemavu

    NAIBU Spika wa Bunge la  Tanzania,  Tulia Ackson, amemshukuru mke wa Rais Magufuli,  Janeth Magufuli,  kwa kuendelea kuwasaidia...

READ MORE

Mkutano wa Mbatia Wazuiwa

MKUTANO wa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Taifa, James Mbatia,  umezuiliwa na ametakia kuripoti kituo kidogo cha polisi Lwangwa wilayani Rungwe....

READ MORE

Singida: Lema Aachiwa kwa Dhamana

MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Arusha Mjini GodblessLema ameachiwa leo Machi 5, 2020, na ameenda kuripoti Ofisi...

READ MORE

Moro: Daraja la Kiyegea Laondoka na Meneja wa TANROADS

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), mkoa wa Morogoro, Mhandisi Godwin Andalwisye arejeshwe wizarani...

READ MORE

Lori la Dangote Lagongana na Noah, Watu 7 Wafariki Dunia

WATU saba wamefariki dunia papo hapo baada ya gari dogo aina ya Toyota Noah kugongana uso kwa uso na Lori...

READ MORE

Ahukumiwa Kunyongwa kwa Kuua, Kupora Mil 1, Chupa ya Chai na Simu

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Musoma, imemuhukumu kunyongwa hadi kufa mkazi wa Kijiji cha Kibubwa, Wilaya ya Butiama mkoani Mara, Waryoba...

READ MORE

Mke Mkubwa Arusha Mawe Ndoa ya Darleen

IKIWA imepita miezi kadhaa tangu dada wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ aolewe...

READ MORE

Makonda Kula Sahani Moja na Wakandarasi “Janjajanja” Dar

Kufuatia kuendelea kuwepo kwa wakandarasi wanaosuasua katika ukamilishaji wa miradi ya kupunguza kero kwa Wananchi, Mkuu wa Mkoa wa Dar...

READ MORE

Ndinga ya Championi, Spoti Xtra Yatikisa Tegeta, Boko & Bunju

  PROMOSHENI ya Bahati Nasibu iliyopewa jina la Chomoka na Gari Mpya, likiwa ndo kwanza kabisa bichi wakazi wa maeneo...

READ MORE

Wasomaji : ‘Tutaendelea Kulichangamkia Betika, Linatupa Fedha’

WASOMAJI wa Gazeti la Betika maeneo ya Bunju, Boko na maeneo mengine ya  jijini Dar es Salaam, wamesema kwamba gazeti...

READ MORE

BancABC Tanzania Yashinda Tuzo ya Visa Kwa Huduma Bora za Malipo Mtandaoni

BancABC Tanzania ambayo ni kampuni tanzu ya Atlas Mara, kwa mara nyingine imeshinda tuzo ya Visa maarufu kama “Visa E-commerce...

READ MORE

Wahamiaji Haramu TZ Kusakwa Nyumba kwa Nyumba

SERIKALI imetangaza kuanza operesheni, doria na misako maalumu ya kuwasaka na kuwakamata wahamiaji haramu katika sehemu mbalimbali ikiwemo katika nyumba...

READ MORE

Rais Ajiuzulu Siku Moja Baada ya Kuapishwa

ALIYETANGAZWA kuwa rais wa mpito wa Guinea-Bissau, Cipriano Cassama, amejiuzulu baada ya kukaa madarakani kwa siku moja akidai maisha yake...

READ MORE

Meya Iringa Atuhumiwa Matumizi Mabaya ya Ofisi

MEYA wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe, amepewa siku tano kujibu tuhuma zinazomkabili ikiwamo matumizi mabaya ya madaraka.   Hatua...

READ MORE

Daraja Lasombwa na Maji… Usafiri Moro-Dodoma Hakuna – Video

DARAJA la Kiyegeya lililopo wilayani Gairo,  barabara kuu ya kutoka Morogoro kwenda Dodoma, limevunjika na kutenganisha barabara hiyo kutokana na...

READ MORE

Wawili Wafariki Ajalini, 22 Wajeruhiwa

WATU wawili wamepoteza maisha na ishirini na mbili kujeruhiwa wakati basi la Kampuni ya Struggle linalofanya safari zake kutoka Arusha...

READ MORE

TMA Yatahadharisha: Mvua Kubwa Inakuja

  Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini(TMA), imetoa tahadhari ya mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha leo Machi 2-3, 2020 katika mikoa...

READ MORE