×

Kitaifa

Tuhuma za Kutaka Kuuawa, Muroto Amuita Musiba kwa Mahojiano

JESHI la Polisi mkoani Dodoma limemuita kwa mahojiano mwanaharakati huru Cyprian Musiba baada ya kutoa tuhuma mbalimbali za kutishiwa kuuawa....

READ MORE

Dk Bashiru Aanika Hatima ya Kinana , Makamba na Membe CCM – Video

RIPOTI kuhusu tuhuma zinazowakabili makatibu wakuu wastaafu wawili (Adbulrahman Kinana na Yusuph Makamba) akiwemo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje,...

READ MORE

Prof Lumumba Akutana na Magufuli “Tutachinjwa” – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 24 Februari, 2020 amekutana na kufanya mazungumzo...

READ MORE

Madiwani 11 wa Chadema Mbeya na Meya Wao Watimkia CCM

Madiwani 11 wa Chadema Halmashauri ya Jiji la Mbeya akiwemo Meya wa Jiji hilo wamejiuzulu na kuhamia CCM leo Jumatatu...

READ MORE

National Public Speaking Competition, Mchujo wa Pili Vipaji Kama Vyote

SHINDANO la National Public Speaking Competition limeendelea kupasua anga baada ya jana Jumapili kukamilisha hatua ya mchujo wa pili kwa...

READ MORE

Hatima ya Ubunge wa Tundu Lissu

MAHAKAMA Kuu kesho itaanza kusikiliza maombi ya aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kumruhusu kwenda Mahakama ya Rufani kupinga...

READ MORE

Halima Mdee Agoma Kumpa Mkono Dkt. Mashinji – Video

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Dkt Vincent Mashinji, amefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo...

READ MORE

NBC Klabu Ya Biashara Tanga, Yatoa Mafunzo Ya Kibiashara

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua klabu ya biashara  mkoa wa Tanga yenye lengo la kuwakutanisha wafanyabiashara wadogowadogo na...

READ MORE

Mkapa Afurahia Uamuzi Kuibinafsisha Benki ya NMB

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Benjamin Mkapa amesifu uamuzi wa Serikali yake kwa...

READ MORE

Auawa kwa Radi Akinyolewa Saluni Njombe

MARTIN NYIGU (35) mkazi wa kijiji cha Lusitu, kata ya Luponde, halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe,  amefariki dunia...

READ MORE

Mkapa Awafunda Wanagenzi Kuwa Viongozi Bora Baadae

  RAIS mstaafu Benjamini Mkapa ametoa wito kwa viongozi wa nchi za Afrika na wadau wa sekta ya biashara kutumia...

READ MORE

Chato: Baba Kizimbani kwa Kumlawiti Mtoto Wake

Jeshi la Polisi wilayani Chato mkoani Geita, limemfikisha Mahakamani, Kazimili Dotto akituhumiwa kumbaka na kumlawiti mtoto wake wa kambo, ambaye...

READ MORE

Mr. Championi Akutana na Wasomaji Championi, Awarudishia Pesa Zao

Gazeti namba moja Tanzania la Michezo la Championi jana kupitia Mr. Championi liliendelea kuwarudishia wasomaji fedha zao walizonunulia  gazeti hilo...

READ MORE

Jackline Mengi: Nimezuiwa Kufika Kwenye Kaburi la Mume Wangu

MKE wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Kampuni za IPP Media, Jacquiline Ntuyabaliwe amelalamika kuzuiwa yeye na watoto wake kutembelea kaburi la...

READ MORE

TAKUKURU Yatoa Ripoti Sakata la Lugola – Video

Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini TAKUKURU imesema uchunguzi wa sakata la manunuzi ya vifaa vya zimamoto na...

READ MORE

Abdul Nondo Afanya Maamuzi Magumu ACT-Wazalendo – Video

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo, jana Februari 21, 2020 amechukua fomu ya kugombea nafasi ya...

READ MORE

Daktari Asema Corona Haiwezi Kuishi Kwenye Damu ya Mwafrika

CORONAVIRUSES (CoV) ni virusi vinavosababisha mafua na ugonjwa unaoathiri mfumo wa hewa  wa  Middle East Respiratory Syndrome (MERS-CoV) na Severe...

READ MORE

Mwanafunzi Asimulia Alivyobakwa na Kupata Ujauzito

MWANAFUNZI wa kidato cha nne ambaye pia ni shahidi wa kwanza kwenye kesi ya ubakaji inayomkabili Boniface Malila (20), amedai...

READ MORE

Rwanda Yakataa Uchunguzi Huru Kifo cha Msanii Mihigo

RWANDA imepinga shinikizo kutoka kwa mashirika ya kutetea haki za binadamu ya kutaka uchunguzi huru kufanywa kuhusu kifo cha msanii...

READ MORE

‘Bi Kidude’ Azua Taharuki Bandari ya Zanzibar

Bibi mmoja (pichani) ambaye majina yake hayajafahamika mara moja amezua taharuki miongoni mwa wasafiri na wananchi wengine katika Bandari ya...

READ MORE

NEC Yaongeza Siku za Kujiandikisha Dar

T ume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza muda wa uandikishaji katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la...

READ MORE

Wawili Wafariki kwa Corona Iran

SERIKALI ya Iran imethibitisha vifo vya watu wawili vilivyotokana na maambukizi mapya ya virusi vya Corona na kuvifanya kuwa vifo...

READ MORE

Binti Aliyevunja Ndoa ya Wazazi Wake Ili Asome, Asimulia

NI nadra sana kwa maeneo ya vijijini mkoani Shinyanga kuona mwanamke anapewa nafasi ya kuwa kiongozi na wakati mwingine mwanamke...

READ MORE

Akimbiwa na Mumewe Kisa Unene, Hawezi Kutembea – Video

MKAZI mmoja mwanamke wa Kijiji cha Mwendakulima, Kata ya Uyoa, Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, amejikuta akishindwa kutembea na hata...

READ MORE

Mwanamke Aliyetinga Ikulu na Kumdanganya Magufuli Yamkuta

POLISI mkoani Mbeya imemrejesha mkoani humo mwanamama Atughanile Kalenga, ambaye alikamatwa  jijini Dar es Salaam kwa amri ya Mkuu wa...

READ MORE

Rapa Marekani Pop Smoke Auawa kwa Kupigwa Risasi

MSANII wa Hip-hop  nchini Marekani, Bashar Barakah Jackson maarufu Pop Smoke (20), amefariki baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana...

READ MORE

Huduma za Bima sasa Kupatikana Katika Matawi Yote ya Benki ya NMB

  Benki ya NMB imeanza kutoa huduma za bima katika matawi yake yote 224 nchini kote.Huduma hii imefuatia uzinduzi wa...

READ MORE

Mkandarasi Apigwa Miaka Saba Jela

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu mkandarasi wa majengo, Alfred Ndeka (60), kifungo cha miaka saba jela baada ya kukutwa...

READ MORE

Afariki kwa Kunywa Pombe Kupita Kiasi

MKAZI  wa Ukenyenge wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, Nkuba Mawe (27),  amekutwa amefariki dunia kwenye vibaraza vya maduka katika Mtaa wa...

READ MORE

Simbachawene: Polisi Ihoji, Iwatambue Waliombambikiziwa Kesi

WAZIRI  wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amewataka watendaji akuu wa Jeshi la Polisi wawahoji watuhumiwa waliopo katika...

READ MORE

‘Nabii wa Corona’ Aomba Radhi, Waumini Wamlilia! – Video

  Kiongozi wa Kanisa la Huduma ya Neno na Maombi lililopo Arumeru Mkoani Arusha, Moses Ibarahimu maarufu kama NabiiNamba Saba,...

READ MORE

Tito Magoti Arudishwa Rumande – Video

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka Upande wa Mashitaka kutoa maelezo yanayojitosheleza kuhusu upelelezi wa kesi inayomkabili Afisa wa Kituo...

READ MORE

Mahakama Yashindwa Tena Kutoa Hukumu ya Maxence Melo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa mara ya nne imeshindwa kutoa Hukumu juu ya kesi namba 456 inayomkabili Mwanzilishi na Mtendaji...

READ MORE

Madaktari Kukutana na Magufuli Alhamisi

CHAMA cha Madaktari Tanzania (MAT) kinatarajiwa kukutana na kuzungumza na Rais John Magufuli, ambapo miongoni mwa mambo watakayomueleza ni changamoto...

READ MORE

Betika Latinga  Mbagala Kijichi, Mgeninani Lavutia Wazee wa Kubeti

MAPEMA leo Jumatano, Februari 19, mwaka huu timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imetembelea maeneo ya Mbagala Kijichi, Mgeni...

READ MORE

Bodaboda wa Ruvuma Wafurahia Masta Boda

  Vijana nchini wametakiwa kuchangamkia fursa za NMB Mastaboda zinazoambatana na mikopo, zawadi za fedha taslimu na boda boda ili...

READ MORE

Afukuzwa Kijijini Akituhumiwa Kuwaingilia Wanawake Kishirikina

WANANCHI wa Kitongoji cha Ikonda bondeni Kijiji cha Ikonda wilayani Makete mkoani Njombe wamemfukuza mkazi aliyehamia katika kitongoji hicho akitokea...

READ MORE

Katibu UVCCM Muleba Akutwa Amekufa

POLISI  mkoani Kagera imeanza uchunguzi wa kifo cha aliyekuwa katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Kata...

READ MORE

Rais JPM Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri Ikulu DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu...

READ MORE