×

Kitaifa

Waziri Mgumba Asema Mabwawa Yaliyopungua Kina Kutafutiwa Muarobaini

    Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba (Mb) amewahakikishia watanzania kuwa serikali imekusudia kuhakikisha kuwa mabwawa yaliyopungua kina...

READ MORE

Wakazi wa Mto wa Mbu Walia na Mafuriko

Wakazi wa mji Mdogo wa Mto wa Mbu wilayani Monduli mkoani Arusha eneo la Migungani ‘A’ wameiomba serikali kunusuru maisha...

READ MORE

DCB Yatangaza Ukuaji wa Faida wa Asilimia 43 Kwa Mwaka 2019

Benki ya biashara ya DCB (DCB Commercial Bank Plc) imetangaza kupata faida ya shilingi bilioni 2.3 katika mwaka 2019, ikiwakilisha...

READ MORE

Ndugai: Tunataka Zitto Aeleze, Kwa Nini Amezuia Mkopo Benki ya Dunia

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai ameliambia Bunge kuwa watahitaji maelezo ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kwa nini...

READ MORE

Sheria Mpya Washtakiwa wa Uhujumu Uchumi

SERIKALI imesema kuwa endapo mbunge ataona kuwa kuna haja ya kubadilishwa sheria ya makosa ya uhujumu uchumi ili watuhumiwa wa...

READ MORE

Polisi Dar Yakamata Wauza Madini Bandia – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dar es Salaam, limewanasa watu wapatao sita kwa tuhuma za kufanya biashara haramu ya utapeli...

READ MORE

Maalim Seif Ajitosa Kugombea Uenyekiti wa ACT-Wazalendo

MSHURI Mkuu wa Chama cha siasa nchini Tanzania cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amechukua fomu ya kugombea nafasi...

READ MORE

NMB Bank Plc Records The Highest Profit In the Banking Industry

NMB Bank Plc Ag. Managing Director, Ruth Zaipuna NMB Bank Plc. (“NMB”) has recorded a 52% increase in Profit after...

READ MORE

CCM Nayo Kumhoji Kangi Lugola

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mara kitamhoji aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, Kangi Lugola baada ya kutuhumiwa...

READ MORE

Lugola Amkabidhi Ofisi Simbachawene – Video

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ambaye ni Mbunge wa Mwibara kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

READ MORE

Sakata la Ununuzi wa Sare Hewa, Bunge Lamkalia Kooni Lugola

Baada ya Kangi Lugola, kuwekwa chini ya ulinzi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa madai ya...

READ MORE

TAKUKURU Yaanza Kumshughulikia Kangi Lugola

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini Tanzania (Takukuru) leo inatarajia kuanza kuwahoji viongozi mbalimbali waliohusika na mkataba wa...

READ MORE

Arusha: Polisi Yaua ‘Majambazi’ Watano – Video

POLISI mkoani Arusha imewaua watuhumiwa wa ujambazi sugu watano usiku wa saa 3:45, Januari 29, 2020, eneo la njia panda...

READ MORE

Msigwa Awasha Moto Bungeni “Tupeni Majibu” – Video

Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya hesabu za serikali (PAC) amewasilisha taarifa ya kamati hiyo leo bungeni ambapo...

READ MORE

Rugemarila Akabidhi ‘Nyaraka za Rushwa’ TAKUKURU

MFANYABIASHARA James Rugemarila ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa Januari 24, 2020,  alikutana na mwakilishi wa Taasisi ya Kupambana...

READ MORE

Spika Ndugai Azindua Kitabu cha Ugonjwa wa Kisukari

SPIKA wa bunge Job Ndugai amezindua rasmi kitabu cha ‘UGONJWA WA KISUKARI NA SULIHISHO LAKE ‘chenye lengo la kuelimisha umma...

READ MORE

Afisa Mtendaji Ampa Mimba Binti Yake wa Kidato cha Pili

MKASA wa mwanafunzi wa Kidato cha Pili kukatiza masomo yake, umechukua sura mpya, baada ya baba wa kambo, Ignas Katula...

READ MORE

Binti Auawa kwa Kipigo Akituhumiwa Kuchelewa kwa ‘Mchepuko’

POLISI  mkoani Njombe linamshikilia mwanamke aliyefahamika kwa jina la Apronia Mwinuka (35) mkazi wa mtaa wa Kikula kata ya Makambako...

READ MORE

Rais Magufuli Amjulia Hali Waziri Mkuu Mstaafu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amemtembelea na kumjulia hali Waziri mkuu Mstaafu Mhe....

READ MORE

PICHA: Kangi Lugola Bungeni Leo

Mbunge wa Mwibara(CCM) Kangi Lugola akiwa Bungeni hii leo jijini Dodoma akihudhuria vikao vya Bunge huku akitumia ‘ipad kusoma na...

READ MORE

Mtolea Aliamsha Dduee Bungeni, Waziri Amtuliza – Video

MBUNGE wa Temeke (CCM), Abdallah Mtolea ameiomba Serikali kulifanyia marekebisho gereza la Keko lililoko jijini Dar es Salaam kwa kuwa...

READ MORE

Zungu Akabidhiwa Rasmi Ofisi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu amemtaka kila mtumishi katika Ofisi...

READ MORE

Babake Amlawiti Akiwa na Miaka 3, Haja Kubwa Inatoka Yenyewe” – Mwamtoro

WAZAZI ndio walinzi wa kwanza na wakuu katika kuhakikisha usalama wa watoto wao hii inatokana na ukaribu na mahusiano yaliyopo...

READ MORE

Heche Ahoji Mkataba wa Madini Kati ya Tanzania na Barrick – Video

  WAZIRI Kivuli wa Madini nchini Tanzania, John Heche amehoji mambo manne kuhusu mikataba tisa ambayo Serikali ya Tanzania imesaini...

READ MORE

Serikali Yatenga Maeneo Maalum Kutibu Virusi vya Corona

WAZIRI ya Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema mtu yeyote atakayepata virusi vya Corona nchini atatibiwa katika maeneo yaliyotengwa yaliyopo...

READ MORE

Anne Makinda: Sikustahili Kuwa Spika, Niliazima Nguo ya Kuapishwa – Video

SPIKA wa mstaafu wa bunge, Anne Makinda, amelieleza bunge jinsi alivyoazima nguo kwa ajili ya kuapishwa ubunge kwa mara ya...

READ MORE

TMA Yatoa Tahadhari ya Mvua Kubwa

MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini  (TMA) imetoa tahadhari kwa wananchi wanaoishi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, Kaskazini na...

READ MORE

Selasini Aimwagia Sifa Serikali, Wabunge CCM Shwangwe!

PONGEZI kwa Serikali zilizotolewa na Mbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini bungeni mjini Dodoma zimeibua shangwe kutoka kwa wabunge wa...

READ MORE

Bulaya Akabidhiwa Mikoba ya Tundu Lissu Bungeni

KIONGOZI wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (Mb) amemteua Mbunge wa Bunda (Chadema), Ester Bulaya kuwa Mnadhimu wa...

READ MORE

Lusinde: Hakuna Kitu Kabisa, Barabara Nyingi Zimeoza

Mbunge wa Mtera (CCM), Livingstone Lusinde amesema hali ya barabara kuelekea hospitali ya Mvumi imeoza hivyo ni hatari kwa maisha...

READ MORE

Taharuki: Anayedhaniwa Kuwa na Virusi vya Corona, Atua Kenya

ABIRIA wa ndege mwenye dalili za virusi vya homa ya corona amepelekwa katika Hospitali ya Taifa Kenya baada ya kuwasili...

READ MORE

Waziri Zungu Akutana na Makamu wa Rais Samia Suluhu – Video

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungnao wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Jumatatu, Januari 28, 2020, amekutana...

READ MORE

Kigoma: Mganga Ahukumiwa Kifungo cha Maisha

MAHAKAMA ya Wilaya ya Kigoma imemhukumu mganga wa kienyeji, Venance Edward, kwenda jela kifungo cha maisha baada ya kumkuta na...

READ MORE

Tanzia: Mwandishi Aliyekutwa Ndani Amefariki, Polisi Yaeleza

MWANDISHI  wa habari, Douglas David, amekutwa amefariki dunia chumbani kwake eneo la Vingunguti Mji Mpya, jijini Dar es Salaam, huku...

READ MORE

Jipange na Pepa Yawaamsha Wanafunzi Sekondari ya Makumbusho

Shangwe za nguvu zimetawala katika Shule ya Sekondari ya Makumbusho iliyopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam baada ya timu ya...

READ MORE

KMC Yawapa Wajeda Dili la Ujenzi wa Uwanja Wao – Video

MANISPAA ya Kinondoni leo Jumatatu, Januari 27, 2020, imetiliana saini na Jeshi la Wananchi kikosi cha 361 KJ kilichopo Lugalo...

READ MORE

Rais JPM Mgeni Rasmi Wiki ya Sheria Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Magufuli anatarajia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Wiki...

READ MORE

Waziri Mkuu na Mkewe Wakabiliwa na Tuhuma za Mauaji

Waziri Mkuu wa Lesotho Thomas Thabane pamoja na mkewe, Maesaiah Thabane wanatakiwa kuhojiwa kuhusiana na mauaji yaliyotokea mwaka 2017 ya...

READ MORE

Rais JPM: Unanunua Drone Kwani Inazima Moto? – Video

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, leo Jumatatu, Januari 27, 2020, amewaapisha, George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mussa...

READ MORE

Kabendera Aendelea Kusota Mahabusu

  KESI ya uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick Kabendera imeahirishwa baada ya Jamhuri kudai upelelezi bado...

READ MORE