×

Kitaifa

Mnyika Asimikwa Kuwa Chifu wa Wasukuma – Video

  Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni Mbunge wa Kibamba, John Mnyika jana Desemba...

READ MORE

Sakata la Kuzima Laini za Simu, Serikali Kupoteza Mapato

  DAR: Wakati zikiwa zimesalia siku nne kabla ya kumalizika kwa muda kusajili laini za simu kwa alama za vidole,...

READ MORE

Undani Mume, Mke Kuchinjwa Kikatili

  KATAVI: WAKATI Watanzania wakiwa kwenye shamrashamra za kuadhimisha sikukuu ya krismasi, ukatili wa aina yake umeutikisa mkoa wa Katavi...

READ MORE

Katika Kuhitimisha Krismasi, Shigongo Asherehekea Na Wakazi Wa Pupandwa

Wakati sikuku ya Krismasi ikiwa imemalizika jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo amesherehekea sikukuu hiyo kwa...

READ MORE

NBC Yawapongeza na Kuwaaga Washindi wake Wa Kampeni Ya “Ibuka Kidedea”

  Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imefanya hafla maalumu ya kuwapongeza na kuwaaga wateja walioibuka washindi katika Kampeni yake...

READ MORE

Zawadi Wanazozitoa Infinix Kwa Wateja Wao

Msimu wa sikukuu ni kipindi ambacho watanzania na watu wa mataifa mbalimbali hupenda kufanya manunuzi makubwa bila kusahau zawadi kwa...

READ MORE

Siri ya Jokate, Makonda kwa Kung’ara Hii Hapa

  TANGU Rais Dk John Magufuli aingie madarakani Novemba 5, 2015 amekuwa akiteua vijana kushika nyadhifa mbalimbali za uongozi serikalini...

READ MORE

Dodoma: Mmiliki wa Shule Akutwa Uchi, Ameuawa, Akatwa Nyeti

  Mkurugenzi wa Shule za Zam Zam jijini Dodoma nchini Tanzania, Sheikh Rashid Bura amekutwa amefariki dunia ofisini kwake eneo...

READ MORE

Gari Laacha Njia, Laua Machinga Mwanza

  MWANAMME mmoja amefariki dunia na wengine kumi na moja kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari lililoacha njia na kuwagonga...

READ MORE

RC Amfanyia Kufuru Kiba

MAMBO mazuri! Mkuu wa Mkoa (RC) wa Iringa, Ali Hapi amemfanyia kufuru staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King...

READ MORE

Kamwelwe: Nasubiri Siku Ifike Nizime Laini Zote Zisizosajiliwa

  Serikali imesisitiza kuwa ifikapo Desemba 31, mwaka huu, laini zote za simu ambazo hazitakuwa zimejasajiliwa kwa mfumo wa alama...

READ MORE

Lowassa Ampa Tano Rais JPM – Video

  WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amepongeza juhudi zinazofanywa na serikali pamoja na taasisi za dini kutatua migogoro ya...

READ MORE

Mwandishi Ngetti Apatikana Maeneo ya Segerea Dar

MWANAHARAKATI  na mwandishi wa habari za Uchunguzi, Bollen Netti,  aliyepotea Desemba 23 mwaka huu  kwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana, amepatikana...

READ MORE

Sikukuu Ya Krismas “Wasomaji Tunasherehekea na Betika”

Leo ikiwa ni  sikukuu ya Krismasi ambapo wakristu kote duniani wanasherehekea kuzaliwa kwa Yesu Kristu mapema leo Jumatano, Desemba 25,...

READ MORE

JK Aongoza Maziko ya Mama wa Mwenyekiti CCM Moro

  RAIS mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Jakaya  Kikwete,  jana Desemba 24, 2019, ameshiriki mazishi ya mama mzazi...

READ MORE

Lukuvi Akerwa, Atumbua Mtu – Video

  WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Makazi William Lukuvi, leo Desemba 24, 2019 amemsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi wa Miliki nchini,...

READ MORE

Nondo Ashinda Rufaa Kesi Yake ya ‘Kujiteka’

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Iringa, imemuachia huru aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu, Abdul Nondo, baada...

READ MORE

Magoti na Mwenzake Wapandishwa Kizimbani – Video

  MFANYAKAZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) nchini Tanzania, Tito Magoti (26) na Theodory Giyani (36),...

READ MORE

Sakata la Tito Magoti: AG, RPC Dar Wafikishwa Kortini

  KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimefungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Kamanda wa Polisi...

READ MORE

Wametikisa na Shepu za Kuvunja Chaga

FEBRUARI 2019, aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Magharibi visiwani Zanzibar, ACP Hassan Nassir alipiga marufuku wanaume kukohoa au...

READ MORE

Aliyetoroka na Milioni 15.9 za Pamba, Aingia 18 za RC Mwanri

  MKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameliagiza Jeshi la Polisi wilayani Nzega kumsaka na kumkata Karani wa Chama...

READ MORE

Wafanyakaizi TTCL Wachangia Damu Muhimbili

  WAFANYAKAZI wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Waziri Kindamba leo wamejitokeza kuchangia...

READ MORE

Mwandishi Bollen Ngetti Adaiwa Kutekwa na Wasiojulikana

  HABARI zilizotufikia hivi punde zinasema mwandishi wa habari za uchunguzi, Bollen Ngetti,  anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana muda mfupi...

READ MORE

JPM Amwaga Ajira Jeshini

  RAIS John Magufuli ameagiza vijana 800 wenye shahada waliojitolea katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa miaka miwili waajiriwe ...

READ MORE

Wakili Ahoji: ‘Bulaya Ndoa Yako Ilivunjika Lini?’ – Video

  MBUNGE wa Bunda Mjini, Estar Bulaya (CHADEMA), ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa ndoa yake na mumewe Gustavu...

READ MORE

RPC Taibu: Sina Taarifa Tito Kukamatwa Kinondoni – Video

  KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Mussa Taibu,  amesema hana taarifa za kukamatwa kwa ofisa wa Kitengo cha...

READ MORE

Jambazi Sugu Anayetumia Dawa za Usingizi Afariki Akitoroka Polisi

    MTUHUMIWA anayedaiwa kuiba kwa kutumia dawa ya usingizi anayopulizia watu usiku na kuingia ndani mwao, amepoteza maisha baada...

READ MORE

Mama Ambipu Sirro! Amfanyia Unyama Mwanaye

SIKU chache baada ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Nyakoro Sirro kuzindua dawati la jinsia na watoto...

READ MORE

Prof. Ndalichako Anaficha Udhaifu Bodi ya Mikopo?

  “TAMKO lao halina adabu, kama wanataka kutikisa kiberiti, nawaambia kiberiti kimejaa njiti,” hiyo ni kauli ya kibabe ya Waziri...

READ MORE

Hudefo Yaendesha Mdahalo wa Nishati Jadidifu

  ASASI isiyo ya kiserikali ya Human Dignity and Environmental Care Foundation (HUDEFO) inayojihusisha na utu na mazingira jana iliandaa...

READ MORE

Baba Aliyetaka Kumuua Mtoto Mtoni, Kamanda Aeleza A-Z (Video)

  JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro limethibitisha kumshikilia mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Benson Bernard Sadala Shila (31)...

READ MORE

LHRC Yaitaka Polisi Ieleze Alipo Magoti – Video

  KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeliomba jeshi la polisi kutaja kituo ambacho anashikiliwa mmoja ya wafanyakazi...

READ MORE

Video Imeshtua Wengi, Baba Ataka Kumuua Mwanaye Mtoni

  VIDEO liyosambaa katika mitandao ya kijamii jana Ijumaa, Desemba 20, 2019, jioni imeshtua watu wengi na kuzua taharuki huku...

READ MORE

Naibu Waziri Mgumba Amaliza Ziara Ya Siku Mbili Uganda

Mhe Naibu waziri wa Kilimo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Omary Mgumba amemaliza ziara ya siku mbili ya kiserikali...

READ MORE

NBC Yazindua Kampeni Ya Bima Ya Magari Msimu Huu Wa Sikukuu

  Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na Kampuni ya Bima ya Sanlam imezindua kampeni ya bima ya...

READ MORE

Shehe Amuwakia Diamond na Tanasha

  SHEHE Ahmed Kandauma kutoka taasisi ya dini ya Kiislam IRSHAD ya Temeke jijini Dar amemuwakia msanii Nasibu Abdul ‘Mondi’...

READ MORE

Muuguzi Mbaroni kwa Kumbaka Mjamzito Akijifungua – Video

  MUUGUZI wa Kituo cha Afya Mamba, mkoani Katavi, Abednego Alfred (32), anadaiwa kumbaka mjamzito aliyekuwa kwenye chumba cha kujifungulia,...

READ MORE

TCRA Yasisitiza, Laini Ambazo Hazijasajiliwa Zitafungwa Desemba 31

  MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kwamba hakuna laini ya simu itakayofungwa kabla ya tarehe hiyo. Aidha, imesema wananchi...

READ MORE

Breaking: Tito Magoti Achukuliwa na Watu Wasiojulikana

   MFANYAKAZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Tito Magoti,  anadaiwa kachukuliwa na watu wasiojulikana akiwa maeneo...

READ MORE