×

Kitaifa

Aliyetajwa Na Mambosasa Kwa Kumiliki ATM Zaidi Ya 20 Apandishwa Kizimbani

Mwanadada aitwaye, Halima Juma  Ally  (23) mkazi wa Chalinze Mkoa wa Pwani, amepandishwa kizimbani leo katika Mahakama ya Wilaya ya...

READ MORE

Mdhamini Aieleza Mahakama: Lissu Amepona Lakini Anahofia Hili…

  MAHAKAMA ya Kisutu imesisitiza kuwa inamtaka mahakamani aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki,Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uchochezi.  ...

READ MORE

Wanaume Zanzibar Watoa Talaka kwa Njia ya SMS

WANAUME visiwani Zanzibar wanadaiwa kutoa talaka kwa njia ya ujumbe mfupi wa simu za mkononi (SMs), kitendo kinachotafsiriwa kuwa ni...

READ MORE

‘Watoto wa Ibilisi’ Wazua Balaa, Ni Mapanga na Visu – Video

  KIKUNDI cha vijana wanaojiita ‘Watoto wa ibilisi’ limekuwa tishio kwa maisha ya watu na mali zao baada ya kudaiwa...

READ MORE

Puma Yang’ara Tuzo  Za Mwajiri Bora Tanzania 2019

  KAMPUNI ya.Mafuta ya Puma Tanzania ambayo ni namba moja katika biashara ya mafuta imeng’ara  kwa kujinyakulia tuzo nne katika...

READ MORE

Mbowe Achaguliwa Tena Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

  MGOMBEA wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amechaguliwa tena katika nafasi hiyo...

READ MORE

NMB MastaBoda Ndani ya Kisarawe!

KAMPENI ya MastaBoda inayoendeshwa na Benki ya NMB kwa ajili ya kuwaunganisha waendesha Bodaboda katika mfumo wa kibenki wa kupokea...

READ MORE

TTCL Yafurahisha Wapenzi Wa Filamu, Sasa ni Movies Bila Intaneti

  WATANZANIA hususan wapenzi wa filamu nchini sasa watanufaika na huduma ya ‘T-Burudani’ toka TTCL  itakayomwezesha mteja kupakua, kuhifadhi pamoja...

READ MORE

Mbowe Apandisha Ada Chadema “Hatutategemea Ruzuku Tena” – Video

  CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimezindua mfumo wake mpya wa Kidigitali wa uendeshaji wa Chama hicho ambapo kitakuwa...

READ MORE

Magufuli Kuhusu Mafuriko: Msiishi Mabondeni, Mtailaumu Serikali – Video

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amewataka wananchi kujihadhari kujenga nyumba kwenye maeneo ambayo kuna mkondo wa maji.   Mkuu huyo...

READ MORE

Lissu: Wameshindwa, Nimepona, Narudi Tanzania – Video

  MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu ameuhutubia mkutano mkuu wa chama hicho unaoendelea katika...

READ MORE

Kabendera Kula Krismasi, Mwaka Mpya Lupango – Video

KESI ya uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa habari, Erick Kabendera, imepigwa kalenda hadi Januari 2, 2020,  itakaposikilizwa tena, ambapo upande...

READ MORE

Basi la Abiria Lafeli Breki na Kugonga Magari 7 Moshi – Video

  WATU 15 wamenusurika kifo baada ya breki za basi la abiria la kampuni ya Harambee kushindwa kufanya kazi na...

READ MORE

Madai ya Mikopo: Rais wa Wanafunzi UDSM Asimamishwa Masomo

  VIONGOZI sita wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam – UDSM, (DARUSO), akiwemo rais wao,...

READ MORE

Wafanyabiashara Kariakoo Waendelea Kulisifu Gazeti La Betika

Ikiwa ni Jumatano, ya Desemba 18, mwaka huu timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imetembelea maeneo ya Kariakoo na...

READ MORE

Serikali Yasikitishwa na Tamko la Wanafunzi UDSM

  WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, amesema Serikali imesikitishwa mno na tamko la Serikali ya Wanafunzi...

READ MORE

Anaswa Akimiliki Kiwanda cha Noti Bandia, Akutwa na Mabilioni Feki

SERIKALI imesema itaandelea kufanya oparesheni ya uhujumu uchumi ili kudhibiti utengenezaji na upatikanaji wa fedha bandia katika maeneno mengi nchini...

READ MORE

NMB Yaahidi Kushirikiana na Serikali Kukuza Utalii

  BENKI ya NMB imeahidi kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha inasaidia harakati za Serikali kukuza Utalii nchini, ili kuinyanyua...

READ MORE

CHADEMA Yapewa Saa 2 Kuondoa Bendera Zao Dar

  MKURUGENZI wa Manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic amekiandikia barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuipa saa mbili...

READ MORE

Benki ya DCB Yaziasa Familia Kushiriki Mazoezi ya Viungo

    BENKI ya Biashara ya DCB imezihamasisha familia kujenga tabia ya kushikiri mazoezi ya viungo ili kuweza kuwa na...

READ MORE

Mbowe: CHADEMA Imevunja Ndoa Nyingi

  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Mandeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema amekuwa akishangazwa na watu wanaoohoji kwanini chama hicho...

READ MORE

DAWASA Yatangaza Upungufu wa Maji Dar kwa Siku 2

  Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) nchini Tanzania imetoa tahadhari ya upungufu wa huduma...

READ MORE

Inasikitisha! Watoto Watatu Familia Moja Wafa Baharini – Video

  INASIKITISHA SANA! Vuta picha kama mzazi, umekwenda kwenye mihangaiko yako, unarudi unaambiwa watoto wako wanne wamefariki dunia ghafla, hakika...

READ MORE

T-PESA Waingia Makubaliano Kibiashara Na Halopesa

    SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL), kupitia kampuni yake tanzu ya T-PESA imeingia makubaliano ya kibiashara na HaloPesa, ambapo...

READ MORE

NMB Yatambuliwa Kuwa Mwajiri Aliyeidhinishwa na Chama cha Wahasibu ulimwenguni (ACCA)

Benki ya NMB imepokea kibali cha ithibati kuwa mwajiri aliyeidhinishwa na Chama cha Wahasibu cha Kimataifa Association of Chartered Certified...

READ MORE

Breaking: Kisa Tundu Lissu, Kubenea Ajitoa Kugombea Chadema

KAMATI  ya Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo Jumatatu, Desemba 16, 2019, imetangaza majina ya waliopitishwa kugombea...

READ MORE

Rais JPM: Nimechoka… Kazi Hii ni Mateso – Video

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesisitiza kuwa...

READ MORE

Vijana wa JKT Wadaiwa Kuua Raia Wakimtuhumu Kuiba Simu

  POLISI mkoani Rukwa inawashikilia vijana watano wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mwanakijiji...

READ MORE

Wanafunzi UDSM Wafanya Maamuzi Magumu, Watoa Saa 72

KUFUATIA wanafunzi wengi kukosa mikopo ya elimu ya juu na kudaiwa kuwepo figisu kwa wale wanaopaswa kupewa mikopo hiyo, Serikali...

READ MORE

Wanandoa Wauawa Wakiwa Wamelala

  HOFU, simanzi na majonzi zimetawala kwa wakazi wa Mtaa wa Migazini Manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi, baada ya...

READ MORE

Mwalimu Mkuu Mbaroni kwa Rushwa ya Ngono kwa Mwanafunzi

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Dodoma wanamshikilia Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Serengeti iliyopo Serengeti...

READ MORE

Akutwa Ameuawa Ndani, Mwili Umeharibika, Mjumbe Asimulia – Video

MWILI wa mke wa Dickson Ponela, Prisca John Sambu (35) umekutwa umeharibika chumbani ambapo mashuhuda waliouona kwa mara ya kwanza...

READ MORE

Waziri Ummy Apokea Msaada Kutoka NMB Wa Vitanda 15 Vya Hospitali Za Muhimbili

      Katika kutambua afya ni suala muhimu sana kwa maendeleo ya jamii, Benki ya NMB imekabidhi vitanda 15...

READ MORE

Shule za St. MARY’S Zatangaza Ofa Msimu wa Masomo 2020

KWA wazazi, inapofika Desemba kuelekea Januari kila mwaka, huwa ni kipindi kigumu sana! Ugumu wake ni majukumu yaliyopo mbele yao...

READ MORE

Tanzia: Mzee Akilimali wa Yanga Afariki Dunia

ALIYEKUWA Katibu wa Baraza la Wazee la Klabu ya Young Africans (Yanga), Mzee Ibrahim Akilimali amefariki dunia leo asubuhi, Jumamosi,...

READ MORE

Watatu Mbaroni Mauaji ya Bodaboda

MANYARA: Jeshi la Polisi Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, limewatia mbaroni watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya dereva wa...

READ MORE

Mama wa Mwandishi Kabendera Amwangukia JPM

VERDIANA Mjwahuzi (81), mama wa mwandishi wa habari za kiuchunguzi, Erick Kabendera,  amemwomba  amsamehe mwanaye wa pekee anayemsaidia katika matibabu....

READ MORE