Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni Mbunge wa Kibamba, John Mnyika jana Desemba...
READ MOREDAR: Wakati zikiwa zimesalia siku nne kabla ya kumalizika kwa muda kusajili laini za simu kwa alama za vidole,...
READ MOREKATAVI: WAKATI Watanzania wakiwa kwenye shamrashamra za kuadhimisha sikukuu ya krismasi, ukatili wa aina yake umeutikisa mkoa wa Katavi...
READ MOREWakati sikuku ya Krismasi ikiwa imemalizika jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo amesherehekea sikukuu hiyo kwa...
READ MOREBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imefanya hafla maalumu ya kuwapongeza na kuwaaga wateja walioibuka washindi katika Kampeni yake...
READ MOREMsimu wa sikukuu ni kipindi ambacho watanzania na watu wa mataifa mbalimbali hupenda kufanya manunuzi makubwa bila kusahau zawadi kwa...
READ MORETANGU Rais Dk John Magufuli aingie madarakani Novemba 5, 2015 amekuwa akiteua vijana kushika nyadhifa mbalimbali za uongozi serikalini...
READ MOREMkurugenzi wa Shule za Zam Zam jijini Dodoma nchini Tanzania, Sheikh Rashid Bura amekutwa amefariki dunia ofisini kwake eneo...
READ MOREMWANAMME mmoja amefariki dunia na wengine kumi na moja kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari lililoacha njia na kuwagonga...
READ MOREMAMBO mazuri! Mkuu wa Mkoa (RC) wa Iringa, Ali Hapi amemfanyia kufuru staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King...
READ MORESerikali imesisitiza kuwa ifikapo Desemba 31, mwaka huu, laini zote za simu ambazo hazitakuwa zimejasajiliwa kwa mfumo wa alama...
READ MOREWAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amepongeza juhudi zinazofanywa na serikali pamoja na taasisi za dini kutatua migogoro ya...
READ MOREMWANAHARAKATI na mwandishi wa habari za Uchunguzi, Bollen Netti, aliyepotea Desemba 23 mwaka huu kwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana, amepatikana...
READ MORELeo ikiwa ni sikukuu ya Krismasi ambapo wakristu kote duniani wanasherehekea kuzaliwa kwa Yesu Kristu mapema leo Jumatano, Desemba 25,...
READ MORERAIS mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, jana Desemba 24, 2019, ameshiriki mazishi ya mama mzazi...
READ MOREWAZIRI wa Ardhi Nyumba na Makazi William Lukuvi, leo Desemba 24, 2019 amemsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi wa Miliki nchini,...
READ MOREMAHAKAMA Kuu Kanda ya Iringa, imemuachia huru aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu, Abdul Nondo, baada...
READ MOREMFANYAKAZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) nchini Tanzania, Tito Magoti (26) na Theodory Giyani (36),...
READ MOREKITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimefungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Kamanda wa Polisi...
READ MOREFEBRUARI 2019, aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Magharibi visiwani Zanzibar, ACP Hassan Nassir alipiga marufuku wanaume kukohoa au...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameliagiza Jeshi la Polisi wilayani Nzega kumsaka na kumkata Karani wa Chama...
READ MOREWAFANYAKAZI wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Waziri Kindamba leo wamejitokeza kuchangia...
READ MOREHABARI zilizotufikia hivi punde zinasema mwandishi wa habari za uchunguzi, Bollen Ngetti, anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana muda mfupi...
READ MORERAIS John Magufuli ameagiza vijana 800 wenye shahada waliojitolea katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa miaka miwili waajiriwe ...
READ MOREMBUNGE wa Bunda Mjini, Estar Bulaya (CHADEMA), ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa ndoa yake na mumewe Gustavu...
READ MOREKAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Mussa Taibu, amesema hana taarifa za kukamatwa kwa ofisa wa Kitengo cha...
READ MOREMTUHUMIWA anayedaiwa kuiba kwa kutumia dawa ya usingizi anayopulizia watu usiku na kuingia ndani mwao, amepoteza maisha baada...
READ MORESIKU chache baada ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Nyakoro Sirro kuzindua dawati la jinsia na watoto...
READ MORE“TAMKO lao halina adabu, kama wanataka kutikisa kiberiti, nawaambia kiberiti kimejaa njiti,” hiyo ni kauli ya kibabe ya Waziri...
READ MOREASASI isiyo ya kiserikali ya Human Dignity and Environmental Care Foundation (HUDEFO) inayojihusisha na utu na mazingira jana iliandaa...
READ MOREJESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro limethibitisha kumshikilia mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Benson Bernard Sadala Shila (31)...
READ MOREKITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeliomba jeshi la polisi kutaja kituo ambacho anashikiliwa mmoja ya wafanyakazi...
READ MOREVIDEO liyosambaa katika mitandao ya kijamii jana Ijumaa, Desemba 20, 2019, jioni imeshtua watu wengi na kuzua taharuki huku...
READ MOREMhe Naibu waziri wa Kilimo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Omary Mgumba amemaliza ziara ya siku mbili ya kiserikali...
READ MOREBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na Kampuni ya Bima ya Sanlam imezindua kampeni ya bima ya...
READ MORESHEHE Ahmed Kandauma kutoka taasisi ya dini ya Kiislam IRSHAD ya Temeke jijini Dar amemuwakia msanii Nasibu Abdul ‘Mondi’...
READ MOREMUUGUZI wa Kituo cha Afya Mamba, mkoani Katavi, Abednego Alfred (32), anadaiwa kumbaka mjamzito aliyekuwa kwenye chumba cha kujifungulia,...
READ MOREMAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kwamba hakuna laini ya simu itakayofungwa kabla ya tarehe hiyo. Aidha, imesema wananchi...
READ MOREMFANYAKAZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Tito Magoti, anadaiwa kachukuliwa na watu wasiojulikana akiwa maeneo...
READ MORE