×

Kitaifa

Naibu Waziri Kundo Ampongeza Rais Samia Uboreshaji Mazingira ya Tasnia ya Habari

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

RC Mgumba Akabidhi Vyandarua Kwa Shule Zote za Mkoa wa Tanga, Ni Vilivyotolewa na Rais Samia

Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan imegawa vyandarua kwa Shule zote za msingi Mkoani...

READ MORE

Chuo Cha Teknolojia Cha India Kuanzishwa Nchini Tanzania

Serikali ya India inatarajia kuazisha Chuo cha Teknolojia (Indian Institute of Technology) nchini Tanzania ambacho kitakuwa kinatoa kozi ya masuala...

READ MORE

CTI Yaomba Malighafi Zinazoingia Tanzania Zisitozwe Kodi

SHIRIKISHO la Wenye Viwanda Nchini (CTI), limeiomba serikali kupunguza au kuondoa  kodi kwa malighafi zinazotoka nje ya nchi kwaajili ya...

READ MORE

DCB Yapongezwa Kwa Mchango Wake Kuinua Sekta ya Fedha Nchini

BENKI ya Biashara ya DCB imepongezwa kwa mchango wake unaoendelea kuchangia maendeleo ya sekta ya fedha nchini. Hayo yamebainika katika...

READ MORE

Benki ya Dunia Yataja Mafanikio Matatu ya Uchumi wa Tanzania  Nchini ya Rais Samia Suluhu Hassan

Benki ya dunia yataja mafanikio matatu ya Uchumi wa Tanzania  nchini ya Rais Samia Suluhu Hassan 1. Tanzania ina mfumuko...

READ MORE

Meridianbet Yagawa Nguo Kwa Bodaboda Jiji la Dar Es Salaam

Bodaboda ni moja ya usafiri unaotumiwa sana na wakazi wa Jiji la Dar Es Salaam, Mkoa wenye idadi kubwa ya...

READ MORE

Tundu Lissu Atinga Kituo Cha Polisi Dodoma Kufuatilia Gari Lake – “Nataka Kulipeleka Makumbusho”-Video

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ametinga katika Ofisi ya Jeshi la Polisi mkoani Dodoma,...

READ MORE

Watu Saba Kusepa Dubai Kula Raha, Ni Kupitia Kampeni ya NMB MastaBata ‘Kote Kote’

  Kampeni ya kuhamasisha matumizi ya NMB mastercard na QR Code ‘Lipa Mkononi’ iitwayo NMB MastaBata ‘Kote Kote’, imefikia ukomo...

READ MORE

Waliopata Division one St. Anne Marie Academy, Kutembelea Mbuga za Wanyama

WANAFUNZI wa shule ya St. Anne Marie Academy waliofanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha nne wanaandaliwa ziara ya kutembelea...

READ MORE

Machinga, Bodaboda Wapata Ufadhili Kutoka Nmb,Kupata Mafunzo Nchini Rwanda

BENKI ya NMB imefadhili ziara ya siku nne ya mafunzo kwa Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Wafanyabiashara Wadogo (Machinga)...

READ MORE

Wizara ya Sanaa Yaja na Tatu Kubwa za 2023, Kupokea Ripoti ya Kamati Kuhusu Vazi la Taifa

Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kesho Ijumaa, Februari 03, 2023, inakwenda kuweka historia ya fungua mwaka kwa kufanya mambo...

READ MORE

DC Aipongeza Mahakama Utoaji Elimu kwa Wananchi

Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Victoria Mwanziva ameipongeza Mahakama ya Wilaya ya Ludewa kwa kutoa elimu ya Sheria kwa wananchi...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Watanzania Kuadhimisha Siku Ya Sheria

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 1 Februari, 2023 amewaongoza Watanzania...

READ MORE

Nmb Yashiriki Kilele Cha Wiki ya Sheria Dodoma

  Benki ya NMB imeshiriki kilele cha wiki ya Sheria nchini iliyomalizika leo jijini Dodoma ambapo katika kilele hicho kimehitimishwa...

READ MORE

DCB Yaingia Kwenye Mizania ya Kati, Yajiimarisha Kuendelea Kupata Faida Zaidi 2022

Benki ya Biashara ya DCB imepata faida kwa kiwango kikubwa kwa mwaka wa fedha wa 2022 ukilinganisha na faida iliyopatikana...

READ MORE

GGML Kuwapatia Mafunzo Kazi Wahitimu 50 wa Vyuo Vikuu

  JUMLA ya wahitimu 50 wa vyuo vikuu nchini wamepata fursa ya kupata mafunzo yanayotolewa na Kampuni ya Geita Gold...

READ MORE

NALA Yaungana na Vodacom M-Pesa Kuleta Urahisi wa Kutuma, Kupokea Pesa Nchi za Ulaya

Kampuni ya kimataifa iliyozaliwa Tanzania (NALA), inayoshughulika na mfumo wa malipo, duniani na kampuni ya Teknolojia na Mawasiliano ya Vodacom...

READ MORE

Nmb Yazindua Kampeni ya Umebima 2023, Elimu Zaidi Yatolewa

Katika azma yake ya kuchangia ujumuishi wa kifedha nchini kupitia huduma za bima, Benki ya NMB Jumatatu wiki hii imezindua...

READ MORE

DCI Ramadhani Kingai Atembelea Ocean Road,”Polisi nao Ni Wanajamii”

Askari Polisi alijiunga na Jeshi la Polisi na kuhudhuria mafunzo ya awali mwaka 2000/2001 leo wametembelea Taasisi ya Saratani Ocean...

READ MORE

Kuelekea ‘Grand finale ‘ NMB Kupitia Kampeni yake Ya ‘MastaBataKoteKote’ Yakabidhi Pikipiki

Ikiwa zimesalia siku 3 tu kuelekea ‘Grand finale ‘ ambapo tutashuhudia wateja 8 wakijishindia safari ya kwenda Dubai kwa siku...

READ MORE

Waziri Dkt. Dorothy Gwajima Atembelea Benki ya Nmb, Ateta na Uongozi

  Benki ya NMB imepata nafasi ya kutembelewa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum...

READ MORE

Utafiti Stadi za Maisha Na Maadili Kwa Vijana Kuzinduliwa Januari 26, Dar

  UTAFITI uliofanywa na Mradi wa ALiVE-Tanzania kupima stadi za maisha na maadili kwa vijana nchini Tanzania umebaini kuwa vijana wengi...

READ MORE

Juhudi za Serikali Zazidi Kuungwa Mkono, Nmb Yatoa Msaada Vifaa Tiba Wilaya ya Arusha

  Sekta ya afya ni sekta muhimu kwa maendeleo ya jamii zetu na kwa kulitambua hilio, Benki ya NMB imeshirikiana...

READ MORE

NMB Yaingia Makubaliano Na Serikali ya Zanzibar Uhifadhi wa Bustani ya Forodhani

Benki ya NMB imeingia makubaliano na Mamlaka ya Hifadhi Mji Mkongwe, chini ya usimamizi wa Wizara ya Utalii na Mambo...

READ MORE

Makamu Wa Rais Dkt. Mpango; Waelimisheni Wananchi Umuhimu Wa Usuluhishi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ametoa rai kwa Mahakama na Wadau...

READ MORE

Askari 78 Waliofanya Vizuri Katika Kuzuia Vitendo Vya Uhalifu 2022 Wapewa yeVti vya Pongezi

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam ACP. Muliro J. Muliro amewatunuku vyeti vya pongezi Askari Polisi 78...

READ MORE

Mshindi wa NMB Mastabata Kotekote Akabidhiwa Zawadi Ya Pikipiki Tabora

Mshindi wa shindano la NMB MastaBata KoteKote linaloendeshwa na Benki ya NMB Emmanuel Marumbo kutoka Mkoani Tabora amekabidhiwa rasmi Pikipiki...

READ MORE

TCB Bank Yashiriki Uzinduzi Ujenzi wa Reli Ya Kisasa Kutoka Tabora Hadi Isaka

  Tanzania Commercial Bank (TCB) Imeendelea kushiriki zoezi endelevu la ujenzi wa kipande cha nne cha ujenzi wa reli ya...

READ MORE

Naibu Waziri Kasekenya Aridhishwa Na Maandalizi Ujenzi Wa BRT III

  NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Eng. Godfrey Kasekenya ametembelea Ujenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka BRT na kueleza...

READ MORE

DC Mwenda Kuanzisha Mashindano Ya Mpira wa Miguu Iramba

Ili kuwakutanisha vijana pamoja kwa ajili ya kuimarisha afya zao, kutambua vipaji na kuviendeleza Wilaya ya Iramba imejipanga kuanza mashindano...

READ MORE

Usaid Kizazi Hodari Tumaini Jipya Kwa Jamii za Waathirika wa Ukimwi

  Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Jamii na Makundi Maalum, Dk Dorothy Gwajima ameagiza utekelezaji wa mradi wa Kizazi...

READ MORE

Simba Yamtabulisha Sawadogo Kiungo Mkabaji raia wa Burkina Faso – Video

ISMAEL Sawadogo kiungo mkabaji raia wa Burkina Faso ametambulishwa rasmi ndani ya kikosi cha Simba. Ni raia wa Burkina Faso...

READ MORE

Jishindie Mihela Na Kasino Ya Mtandaoni Ya Meridianbet!

Mchezo wa Blackjack Live        Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet inakuletea mchezo bomba wa Blackjack Live unaopatikana mubashara ukiwa umetengenezwa na...

READ MORE

Wafanyakazi Wa NMB Washerehekea Miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar

Katika kusherekea maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar, wafanyakazi wa Benki ya NMB kutoka matawi ya Zanzibar wameungana na...

READ MORE

Rais Samia Awapisha Viongozi Wateule Ikulu Chamwino

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan leo Januari 9, 2023  amewapisha viongozi mbalimbali  Ikulu...

READ MORE

Siku Hizi Ukijisajili Meridianbet Ukaweka Pesa Unashinda Bonasi Kubwa

Ofa za Meridianbet zinaendelea kutaradadi katika kila kona, ofa baada ya ofa, promosheni baada ya promosheni katika mwezi wenye mambo...

READ MORE

Nmb Yaanza Mwaka Kwa Kusambaza Upendo Kupitia MastaBataKoteKote

   Benki ya NMB imeanza mwaka kwa kusambaza upendo kupitia kampeni ya #MastaBataKoteKote kwa kumzawadia mshindi wa pikipiki mpya aina...

READ MORE