×

Kitaifa

Tigo na TECNO wazindua smart phone mpya aina ya Spark 3 na Spark Pro

    Kampuni ya Tigo kwa kushirikiana na TECNO leo wamezindua simu janja mpya aina ya TECNO Spark 3 na...

READ MORE

Askofu Shoo Awaonya Viongozi, Matajiri Akemea Ubaguzi – Video

MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Mkuu Dkt. Ferdrick Shoo amewaonya viongozi wa Tanzania na kuwataka...

READ MORE

Taarifa ya Jeshi la Polisi Kuhusu Mdude Chadema – Video

  MNAMO Mei 04, 2019 majira kati ya saa 19:00 na 20:00 usiku huko Vwawa, Wilaya ya Mbozi na Mkoa...

READ MORE

DKT MENGI APUMZISHWA NYUMBANI KWAO MACHAME – VIDEO

HATIMAYE mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited, Dkt. Reginald Mengi umezikwa katika makaburi ya familia yao...

READ MORE

MAKONDA AWAOMBA MSAMAHA WACHAGGA, ASKOFU AMPATANISHA NA MBOWE – VIDEO

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Bashiru,  amemwombea msamaha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,...

READ MORE

SHIGONGO AUANGANA NA MAMIA KUMUAGA DKT. MENGI

Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo amewasili Moshi na kuungana na mamia ya waombolezaji kumsindikiza mzee wetu,...

READ MORE

Mahali Atakapozikwa Dkt. Mengi Pakamilishwa – Video

MAANDALIZI yamekamilika mahali ambapo Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi,  baada ya ibada iliyofanyika katika Kanisa la...

READ MORE

Mbowe: Sipendi Unafiki; Kwamba Kuna Makabila Hayawezi Kusaidia Walemavu! – Video

MWENYEKITI  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewataka Watanzania kutogombanishwa na kauli za viongozi hasa za kikabila...

READ MORE

MEMBE: DKT MENGI ALINIPIGA TAFU KWENYE MBIO ZA URAIS 2015

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema aliyekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Limited,...

READ MORE

WAKATI AKIZIKWA LEO MENGI AACHA FUNZO KUBWA

DAR ES SALAAM: “Jef hivi umewahi kufika katika msiba? Je, umewahi kumuona tajiri akichimba kaburi?” Tafakari kauli hii na Amani...

READ MORE

BILIONI 14 ZA DECI ZAIBUKA, DPP AZIONYA BENKI

MKURUGENZI wa Mashtaka nchini (DPP), Biswalo Mganga, ameziasa benki zote nchini, zilizotumika kuweka sh. bilioni 14 za kampuni ya kusimamia...

READ MORE

SERIKALI YAFUTA MKATABA NA KAMPUNI YA KUNUNUA KOROSHO

SERIKALI imeufuta mkataba ilioingia na kampuni ya Kenya ya Indo Power Solutions Ltd iliyopewa jukumu la kununua korosho tani 100,000....

READ MORE

Safari ya Mwili wa Dkt Mengi Kuelekea Machame – Video

Mwili wa Aliyekuwa mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi, umewasili salama nyumbani kwake Machame, leo Jumatano, Mei 8,...

READ MORE

Mwili wa Dkt Mengi Wawasili Kijijini Kwao Machame – Video

Mwili wa marehemu Dkt. Reginald Mengi tayari umekwishawasili nyumbani kwake, Nkweseko Machame ambapo mwili utalala kabla ya kesho Kwenda ibadani...

READ MORE

Betika Latetema Posta DSM

GAZETI la Betika limezidi kutikisa kila kona ya Tanzania kutokana na utofauti wake na leo timu ya maofisa masoko wa...

READ MORE

MKURUGENZI WA GLOBAL MARSHA APATA PIGO!

      Mkurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers, Marsha Bukumbi amepata pig0 ya kuondokewa na shemeji yake kipenzi aitwaye...

READ MORE

Breaking News: RCO Ilala Afariki kwa Ajali – Pichaz

Mwanga. Watu wawili wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kugongana na gari jingine...

READ MORE

Breaking: MC Pilipili Apandishwa Kizimbani, Aachiwa kwa Dhamana

Mshereheshaji maarufu nchini, Emanuel Mathias (34) ‘MC Pili Pili’ na mwenzake Heriel Clement (25) wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

‘GUTA’ ZATUMIKA KUVUSHA ABIRIA MAFURIKONI JANGWANI

    WAKATI mvua zikiendelea kunyesha mkoani Dar es Salaam na kwengine, eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam, katika...

READ MORE

MWILI WA DKT. MENGI WAAGWA KARIMJEE – VIDEO

MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi, umeagwa leo Mei 7, katika viwanja vya Karimjee...

READ MORE

Rais Magufuli Amwaga Machozi Akiaga Mwili wa Dkt Mengi – Video

RAIS  John Magufuli ameshindwa kujizuia na kujikuta akimwaga machozi wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,...

READ MORE

KESI KUPINGA UTEUZI WA RAIS MAGUFULI KUTAJWA LEO

KESI ya Katibu Mwenezi wa chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu,  ya kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali uliofanywa na...

READ MORE

Rais MAGUFULI Alivyowasili KARIMJEE Kumuaga DKT. MENGI – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, wakiwa katika...

READ MORE

Mwili wa Dkt Mengi Ulivyowasili Karimjee – (Pichaz + Video)

MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi,  umewasili  katika Ukumbi wa Karimjee, ulioko Posta jijini Dar...

READ MORE

MC PILIPILI AKAMATWA KWA MAKOSA YA MTANDAO

EMMANUEL MATHIAS,  almaarufu ‘MC Pilipili’,  anashikiliwa katika kituo cha Polisi Mabatini kilichopo Kijitonyama jijini Dar tangu tarehe 2 Mei, 2019...

READ MORE

WANANCHI, VIONGOZI WANAVYOWASILI KARIMJEE KUMUAGA DKT MENGI

                                  MACHOZI YATAKUTOKA: Mwili...

READ MORE

Kisa Mdude Chadema, Mbunge Akamatwa Dodoma

Mbunge wa Mbozi, Pascal Haonga (Chadema), amekamatwa na Jeshi la Polisi jijini Dodoma jana Jumatatu Mei 6, wakati akitoka kuhudhuria...

READ MORE

WAZIRI MKUU AUPONGEZA UONGOZI WA BENKI YA DCB

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameupongeza uongozi benki ya DCB kwa kufanikiwa kubadili muundo kutoka benki ya jamii na kuwa...

READ MORE

Maskini Jacqueline Mengi… Utamwonea Huruma – Video

HUZUNI na majonzi makubwa! Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi ambaye ni mke wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, marehemu Dkt Reginald...

READ MORE

BREAKING: WAZIRI Aagiza MSIGWA Akamatwe Popote Alipo! – Video

  Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni, ameliagiza Jeshi la Polisi kumkamata na kumhoji Mbunge wa Iringa Mjini,...

READ MORE

MZEE MWINYI: MENGI Ameondoka Dah! – Video

Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Dkt. Ali Hassan Mwinyi akiwa ameongozana na mkewe wamewasili msibani nyumbani kwa marehemu Dkt....

READ MORE

KABURI LA DKT MENGI LAANDALIWA KIJIJINI KWAO

MAANDALIZI ya kaburi atakamopumzishwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi, yanaendelea nyumbani kwao katika Kijiji cha Nkuu...

READ MORE

Mfungo wa Ramadhani Kuanza Kesho – Mei 07

Kadhi Mkuu wa Tanzania, Abdallah Mnyasi amesema mfungo mtukufu wa ramadhani utaanza kesho Jumanne ya Mei 7, 2019.   Akizungumza...

READ MORE

Watahiniwa 91,442 Kidato cha Sita Waanza Mitihani ya Taifa

Watahiniwa 91,442 wameanza kufanya mitihani yao ya kumaliza kidato cha sita leo Jumatatu, Mei 6, hadi Mi 23, 2019 ambapo...

READ MORE

Arusha: Wakili Apotea Katika Mazingira ya Kutatanisha

Mwanasheria wa Hifadhi ya Wanyamapori Arusha, Maneno Mbunda amepotea katika mazingira ya kutatanisha tangu Aprili 28, 2019. Kwa mujibu wa...

READ MORE

Hiace Yaua 7, Yajeruhi 12 Kigoma

WATU saba wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupasuka tairi la nyuma na kupinduka mkoani...

READ MORE