×

Kitaifa

NMB Yazidikujitanua, yazindua Rasmi Tawi lake Mbogwe

    Benki ya NMB imezindua tawi jipya wilaya ya Mbogwe mkoani Geita kwa lengo la kukidhi mahitaji ya huduma...

READ MORE

Serikali Yaajiri Walimu Wapya 4,549, Orodha ya Majina Iko Hapa!

Serikali kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(OR-TAMISEMI) imepata kibali Cha kuajiri jumla ya walimu 4549...

READ MORE

JPM Amfuatilia Aliyelawiti Mtoto, Abaini Amehukumiwa Kufungwa Maisha – Video

RAIS Dkt. John Magufuli amefuatilia malalamiko kuhusu mtoto aliyelawitiwa na mzee wa miaka 53 na kubaini kwamba mtu huyo alihukumiwa...

READ MORE

BREAKING: MAGUFULI AMWAGA MIL. 5, AONYA ZITUMIKE VIZURI – VIDEO

RAIS John Magufuli ametoa  Tsh mil. 5 ili zisaidie katika ujenzi wa shule kijiji cha Charangwe mkoani Mbeya baada ya...

READ MORE

Meya wa Ubungo aishangaa +255 Global Radio

MEYA wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob,  jana  ametembelea kituo cha radio ya mtandaoni ya +255 GLOBAL RADIO na kukiri...

READ MORE

Mama Amlilia JPM: ‘Mwanangu Amelawitiwa’, Rais Ampa Mil 1, Aagiza Haya – Video

RAIS John Magufuli amempa msaada wa kiasi cha Tsh milioni 1, mama mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Swaumu ambaye amemlilia...

READ MORE

JPM Asema: Usajili Laini za Simu Kwa Vidole ‘Hilo Haliwezakani’ – Video

RAIS John Magufuli  ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano nchini (TCRA) kutowabughudhi wananchi ambao hawana vitambulisho vya taifa katika zoezi...

READ MORE

‘Wekeza Kwangu’ kufanya harambee ya walemavu kesho

WANAHARAKATI kutoka vyuo vikuu nchini, kupitia kampeni ya Wekeza Kwangu, wanatarajia kufanya harambee ya  kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwasaidia...

READ MORE

Sugu: Mhe. Rais Ninakuunga Mkono Mpaka Mwisho! – Video

MBUNGE wa Mbeya Mjini (CHADEMA), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’,  amesema yapo baadhi ya mambo ambayo viongozi wa upinzani humuunga mkono Rais...

READ MORE

JPM Atoa Msamaha kwa Wafungwa 3,530

Katika kuadhimisha miaka 55 ya Muungano wa Aprili 26, 2019, Rais Magufuli kwa kutumia madaraka aliyopewa chini ya Ibara ya...

READ MORE

JPM Aamuru Airport ya Zamani Kuwa Soko la Machinga Mbeya – Video

RAIS John Magufuli ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Mbeya kubadilisha matumizi ya uliokuwa uwanja wa ndege wa zamani kuwa eneo...

READ MORE

JPM Awateua Mpogole na Gwajima Kamati ya TASAF

Rais Dkt. John Magufuli amemteua Dkt. Moses Mpogole Kusiluka kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Uongozi ya Mfuko wa...

READ MORE

Mch. Msigwa ‘Afukua Kaburi’ la Mawazo

MBUNGE  wa Iringa Mjini, Mch. Peter Msigwa,  amesema amesikitishwa na kauli ya Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt....

READ MORE

Lugola, Ndugai Wasema CAG Muongo, Amemdanganya Rais – Video

SAKATA  la Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) liliibuka tena jana bungeni, ambapo Waziri wa...

READ MORE

MAJONZI: Mazishi ya Kikongwe wa Miaka 140, Vilio Vyatawala! – Video

HAKIKA ni simanzi, majonzi na vilio vimetawala wakati wa mazishi ya mzee kikongwe, Siliam Goda, mwenye umri wa miaka 140....

READ MORE

Ushauri wa Diwani wa Kijichi kwa Vijana Wote Bongo – Video

Diwani wa Kata ya Kijichi, Elias Mtarawanje amewasisitiza vijana kuuenzi Muungano wa Tanzania kama ulivyoasisiwa na wazee wa nchi yetu...

READ MORE

PM Majaliwa Akutana na Mabalozi wa Kenya, Kuwait

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya mazungumzo na mabalozi wa Kenya na Kuwait na kuwasisitizia kwamba Tanzania inakaribisha wawekezaji kutoka kwenye...

READ MORE

‘WEKEZA KWANGU’ WAANDAA HARAMBEE KUCHANGIA WALEMAVU

    Wanaharakati kutoka vyuo vikuu nchini, kupitia kampeni ya Wekeza Kwangu, wameandaa harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya...

READ MORE

IGP SIRRO ATANGAZA: Sasa Ukiua Bongo, Ukakimbilia Kenya, Utakamatwa Hivi – Video

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, ametoa wito kwa Watanzania na wasio Watanzania kuacha kufanya vitendo vya...

READ MORE

MAHAKAMA YA TANZANIA KUWAJENGEA UWEZO MAHAKIMU WAPYA

  Mahakama ya Tanzania kwa kushirikiana na Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto imeandaa utaratibu wa kuwapatia mafunzo maalum Mahakimu...

READ MORE

Mtoto wa Waziri Mkuu Azungumzia Miaka 55 ya Muungano – Video

VIAJANA wote nchini wameaswa kuulinda na kuuenzi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliyozaa TANZANIA ikiwa ni pamoja na kuwaenzi viongozi...

READ MORE

Wananchi Wakusanyika Airport Mtwara, Kimbunga Chatua Comoro – Video

  MVUA za wastani zisizokuwa na upepo zimeendelea kunyesha katika maneo mbalimbali mkoani Mtwara huku  wananchi wakiwa wamajikusanya katika maeneo...

READ MORE

JPM Azindua Msimu Mauzo ya Tumbaku Malawi, Anena Haya! – Video

RAIS  John Magufuli amemaliza ziara yake ya siku mbili nchini Malawi, ambapo leo Alhamisi, Aprili 25, 2019, amezindua msimu wa...

READ MORE

Mbunge: Mnasema POLISI Ugonjwa wa KANSA, Hamjalala Kwenye Handaki Nyie – Video

MBUNGE wa viti Maalum kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Anna Mwakilagi ameishauri serikali kupitia Wizara ya Fedha na...

READ MORE

Betika Laendelea Kujizolea Umaarufu Kitaa

IKIWA bado ni katika msimu wa Sikukuu ya Pasaka, Gazeti la Betika kama kawaida limeingia mtaani na wasomaji wameendelea kulipokea...

READ MORE

Wateja wa Tigo Kilolo Kuhudumiwa Kwa Kasi zaidi ya 3G

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, Philemon Namwenga  (wa tatu kulia) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mnara...

READ MORE

CCM Yampongeza Mwenezi Arusha “Hatujamfukuza Daktari” – Video

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimempongeza Katibu Mwenezi wa chama hicho katika Kata ya Kata ya Levelosi baada ya kushughulikia uzembe...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI TENA

Rais Dkt John Magufuli amemteua Prof Tadeo Andrew Satta Kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Wakala Wa Meli...

READ MORE

JPM Akwea Pipa Kueleka Malawi – Video

Rais Dkt. John Magufuli ameondoka nchini kwenda Malawi kwa Ziara Rasmi ya Kiserikali ya siku mbilli. Baada ya kurejea nchini...

READ MORE

Video: FAMILIA Inayoishi Kwenye Pango la Ajabu Lenye Umeme na TV

EXCLUSIVE: FAMILIA inayoishi kwenye pango zaidi ya miaka minane, hapa ni nyumbani kwa Nuru Lugina, almaarufu ‘Mzee wa Mapangoni. Lugina...

READ MORE

MTOTO AUAWA! MACHO, UBONGO, NGOZI VYANYOFOLEWA

LINDI: Unyama usioelezeka! Ndivyo unavyoweza kutokwa na maneno hayo baada ya kuambiwa mtoto Mutifati Abdilahi (5), Mkazi wa Kata ya...

READ MORE

BINTI AMHENYESHA MCHUNGAJI STENDI

NI mshikemshike nguo kuchanika! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia tukio la binti mmoja kumhenyesha vilivyo Mchungaji Daudi Nkuba Mashimo wa Kanisa...

READ MORE

‘Mchungaji’ Akamatwa na Madawa ya Kulevya Dar – Videos

MTU Mmoja, raia wa Latvia, Linda Mazule, amekamatwa leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) akiwa...

READ MORE

MAAMUZI MENGINE ALIYOFANYA RAIS MAGUFULI LEO

Rais Dkt John Magufuli ameiongezea muda wa miaka mitatu Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) iliyokuwa imalize muda wake leo Aprili...

READ MORE

SERIKALI YATOA KAULI KUHUSU KUMILIKI LAINI MOJA TU YA SIMU!

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Astashata Nditiye amesema Serikali haijatoa tamko la kupiga marufuku kumiliki laini nyingi za...

READ MORE

SERIKALI: HATUJAZUIA IMF KUCHAPISHA RIPOTI YA UCHUMI WETU

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango, amesema serikali haijalizuia Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuchapisha ripoti ya uchumi...

READ MORE

Mwakyembe Amjibu Musukuma Wasanii Kumiliki Madanguro, Kula Fedha za Misiba

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, amesema hoja ya Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Musukuma,...

READ MORE

MTUHUMIWA KUTEKA, KUUA MTOTO HUYU HAPA!

MBEYA: SIKU chache baada ya kukamatwa kwa kijana Mussa Mbelechamo (27) anayetuhumiwa kumteka kisha kumuua mtoto Junior Bakari Siame (8),...

READ MORE