×

Kitaifa

IMEFICHUKA! SABABU YA MAKABURI KUFUKULIWA, MAITI KUDHALILISHWA!

WANAFUKUA makaburi na kuzifanyia udhalilishaji maiti kwa sababu gani? Ni swali ambalo wengi wangetamani kupata majibu yake; ambapo UWAZI linakuja...

READ MORE

Betika  Kugawiwa Bure Katika Maboksi Maalum Dar

  LIKIWA na takribani miezi miwili mtaani, Gazeti la Betika limezidi kutikisa kila kona  nchini  ambapoleo Aprili 17 limemwaga masanduku...

READ MORE

Betika Lazidi Kutikisa Kila Kona

  LIKIWA na takribani miezi miwili mtaani, gazeti la Betika limezidi kutikisa kila kona ya Tanzania kutokana na utofauti wake....

READ MORE

Moto Ulivyotikisa Jengo Kubwa Dodoma

Jana Jumanne, Aprili 16, 2019 ajali kubwa ya Moto ilitokea katika jengo la mfanyabiashara, Franscis Maiko Shio Jijini Dodoma lililo...

READ MORE

Hakuna MIMBA za MAGEREZANI / Wafungwa Hawaruhusiwi Kuburudika! – Video

NI kipindi cha maswali na majibu Bungeni jijini Dodoma ambapo leo ni kikao cha 12 katika mkutano wa 15 wa...

READ MORE

Ofisi Ya Bunge Yakanusha Taarifa Hizi Kuhusu CAG

Ofisi ya Bunge imekanusha kuwa Spika Job Ndugai ameandika barua inayotoa wito kwa CAG, Prof. Mussa Assad kujiuzulu ama kujieleza...

READ MORE

ARUSHA: AJICHINJA KOROMEA HADI KUFA, RPC AFUNGUKA! – VIDEO

Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limethibitisha kifo cha Mkazi Mmoja wa Simanjiro, Razaro Kiolori (53) ambaye amefariki dunia baada ya...

READ MORE

Jeshi la Sudan Lapwa Siku 15 Kung’oka Ikulu

Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika, limelitaka Jeshi la Sudan kuhakikisha linaachia madaraka kwa utawala wa kiraia...

READ MORE

Mwalimu wa Nursery Matatani Ubakaji!

  HII NI AIBU! Mwalimu siku zote amekuwa ni kimbilio kwa wazazi ambao huamini ni mlezi wa pili, lakini linapokuja...

READ MORE

MASIKINI! Mrembo wa Ini, Figo, Moyo, Kibofu Afariki!

INASIKITISHA sana! Zakia Mohammed (18), mkazi wa Tabata jijini Dar ambaye wiki iliyopita Gazeti hili la Uwazi liliandika habari yake...

READ MORE

Mashine ya Korosho ‘Yachinja Mtu, Afariki, Yajeruhi Wawili

SADA Juma (28) ni mkazi wa Kata ya Msinjahili, Manispaa ya Lindi mkoani hapa ambaye hivi karibuni alifariki dunia kwa...

READ MORE

ALIYEBOMOLEWA NYUMBA KWA JIWE LA MGODINI ALIA KUTOSWA!

WAZIRI Biteko upo? MZEE Boniphace Mhere Mgaya, (pichani) mkazi wa Kijiji cha Nyabichune, Kata ya Matongo- Nyamongo, Wilaya ya Tarime...

READ MORE

ACHA MILA ZENYE MADHARA; TOKOMEZA UKEKETAJI

Kila mwaka, Februari 6 Tanzania huungana na jamii ya ulimwengu kuadhimisha Siku ya Kupinga Ukeketaji. Historia ya ukeketaji imeendelea kuwepo...

READ MORE

USIYOYAJUA KUHUSU MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG)

MWEZI Aprili mwaka huu umeanza na mjadala mkubwa juu ya ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali baada ya...

READ MORE

Wasanii wasisitizwa kujitambua, kujithamini na kujitangaza

  WASANII nchini wamesisitizwa juu ya umuhimu wa kujijenga uwezo, kujithamini na kujitangaza iwapo wanataka kuiinua tasnia ya sanaa hiyo...

READ MORE

Gavana BoT: Fahamu Umhimu wa Elimu ya Fedha na Taarifa za Mikopo

  GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. Florens Luoga, amesema elimu kuhusu masuala ya fedha ni muhimu katika...

READ MORE

Mabehewa, Vichwa vya Treni 1,400 Kuwasili, Majaribio ya SGR Yaanza

MSEMAJI wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas amebainisha kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa Serikali inatarajia kuleta mabehewa na vichwa vya...

READ MORE

WATEJA WA TIGO MBEYA, IRINGA KUFANYA MALIPO KWA MFUMO WA KIELETRONIKI

  Wateja  wa Kampuni ya Tigo wa mikoa ya Mbeya na Iringa sasa wanaweza kufanya malipo kutumia mfumo wa Kielektroniki...

READ MORE

DAKTARI AWAPA MIMBA WANAWAKE 49 BILA RIDHAA YAO

DAKTARI wa uzazi, Jan Karbaat anayeshutumiwa kwa kupandikiza mbegu zake za uzazi kwa wagonjwa bila ridhaa yao amethibitishwa kuwa baba...

READ MORE

MKUCHIKA: Ole Wake Mkuu wa Mkoa au wa Wilaya Atakayemsweka Mtu Ndani – Video

WAZIRI wa Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, George Mkuchika amesema kuwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya wenye tabia...

READ MORE

JPM Aongoza Kikao cha NEC, Pallangyo Apitishwa Jimbo la Nassari

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi, Dk. John Pombe Magufuli pamoja na Kikao cha Kamati Kuu kimemteua, John Danielson Pallangyo kuwa...

READ MORE

NMB YATOA MSAADA WA TISHETI 250 KWA JESHI LA MAGEREZA

    BENKI ya NMB imekabidhi msaada wa flana 250 kwa ajili ya wanamichezo wa Jeshi la Magereza Tanzania ambao...

READ MORE

SERIKALI IMEDHAMIRIA KUKAMILISHA SKIMU ZOTE ZA UMWAGILIAJI- MHE MGUMBA

  SERIKALI inayo dhamira ya kukamilisha skimu zote za umwagiliaji ambazo utekelezaji wake haujakamilika kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ukosefu...

READ MORE

Mkandarasi Barabara ya Biafla Atakiwa Kuripoti Polisi – Video

  Mkandarasi alijenga barabara ya kiwango ya lami Biafla Kinondoni jijini Dar es Salaam ametakiwa kuripoti Polisi, siku ya Ijumaa kwa...

READ MORE

Mbeya: Mtekaji Aliynyonga Mtoto na Kumtupa Kwenye Mahindi Akamatwa

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mtu mmoja [Jina linahifadhiwa] kwa tuhuma za mauaji ya mtoto aitwaye JUNIOR BAKARI...

READ MORE

VYAMA NANE VYA UPINZANI VYAFUNGUA KESI DHIDI YA SERIKALI – VIDEO

Vyama nane vya Siasa nchini ikiwemo CHADEMA, CHAUMA, ACT WAZALENDO, DEMOCRATIC PARTY, CCK, UPDP vimeungana na kufungua kesi katika mahakama...

READ MORE

121 Wapoteza Maisha Katika Mapigano Nchini Libya

WATU 121 wamepoteza maisha katika mapigano baina ya makundi ya wanamgambo hasimu yanayopambana kuchukua udhibiti wa mji mkuu wa Libya,...

READ MORE

MAMA AUA WANAYE 6 KWA MAPANGA, NAYE AUAWA!

WATOTO sita wameuawa na wanne wamejeruhiwa kwa kucharangwa kwa panga na mwanamke aliyejulikana kwa jina la Nana Maganga (35 )...

READ MORE

KAJALA: REDE ILINIFANYA NIPIGWE KILA SIKU

STAA wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja ameweka wazi siri yake ambayo hajawahi kuitoa na kudai kuwa alipokuwa mdogo alikuwa...

READ MORE

Zitto Kabwe Aibua Mapya Ripoti ya CAG – Videos

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameichambua ripoti ya Mkaguzi na mdhibiti Mkuu...

READ MORE

MZEE WA UPAKO VS MCHUNGAJI MASHIMO, VITA NZITO!

VITA nzito ya kujibizana kwa maneno imeibuka kati ya Mchungaji wa Kanisa la Maombezi la GRC lililopo Ubungo- Kibangu jijini...

READ MORE

SHIGONGO Awapa Somo Wanafunzi IFM Wainama Vichwa Chini!! (Picha +Video)

 MKURUGENZI Mtendaji wa Makampuni ya Global Group na Mhamasishaji Maarufu Afrika Mashariki na Kati, Eric Shigongo  jana amewaasa wanachuo...

READ MORE

Elfu 2 Yaua Vijana Wawili

KUNA watu hudharau fedha kwa kusema: “Shilingi elfu mbili kitu gani?” Lakini ni kiasi hichohicho ndicho kilichosababisha vijana wawili wapoteze...

READ MORE

 MTOTO WA MZEE WA UPAKO AFUNGUKIA AFYA YA BABA’KE

DAR ES SALAAM: Baada ya kusambaa picha katika mitandao ya kijamii ikimuonesha Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Lusekelo Anthony...

READ MORE

Treni Yapinduka Morogoro

TAARIFA zilizotufikia hivi punde zinasma treni ya mizigo iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam imepinduka karibu na karakana Morogoro na kupelekea...

READ MORE

JPM KANALI KUWA BRIGEDIA, AAJIRI MAMIA YA WANAJESHI WA JKT – VIDEO

Rais Dkt.John Pombe Magufuli amempandisha cheo Kanali Charles Mbuge kuwa Brigedia Jenerali, zoezi ambalo limetekelezwa mara moja na Mkuu wa...

READ MORE

WAZIRI MBARAWA ATUMBUA MWINGINE TENA

Waziri wa Maji Mhe. Profesa Makame Mbarawa (Mb) amemteua Mhandisi Rejea Samweli Ng’ondya kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya...

READ MORE

MAKONDA ALIVYOWATUNUKU MAGARI MAAFANDE – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewatunuku zawadi mbalimbali yakiwemo magari  maofisa wa Jeshi la Polisi Kanda...

READ MORE