×

Kitaifa

MAWAKALA WA NMB KANDA 7 WAPATIWA MAFUNZO

    BENKI ya NMB imetoa mafunzo ya kibenki kwa mawakala wake kutoka Kanda saba nchini ili kuboresha huduma kwa wateja...

READ MORE

MIILI YA WATUMISHI WATANO WALIOFARIKI AJALINI YAAGWA DODOMA

MIILI ya watumishi 5 wa Wizara ya Kilimo na Chakula waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea juzi Oktoba 21, 2018 ...

READ MORE

TIGO PESA KULIPA MPAKA MILLION 10 KWA WAKULIMA WA KOROSHO

Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo imeongeza kiasi cha kulipa wakulima wa korosho kutoka shilingi Million tatu na sasa...

READ MORE

Mo Dewji: Ninawashukuru, Mungu Awazidishie kwa Wema Wenu

MFANYABIASHARA maarufu nchini, Mohammed Dewji amemshukuru Mungu kwa kumrejesha salama kutoka kwenye mikono ya watekaji huku akiwashukuru Watanzania kwa kumuombea...

READ MORE

Rais Magufuli Ateua Wenyeviti Watano wa Bodi za Taasisi za Serikali

Rais Magufuli afanya uteuzi wa wenyeviti watano wa taasisi za Serikali.

READ MORE

KUTEKWA MO, LEMA AHOJIWA POLISI SAA 3, ATOA ‘POVU’ ZITO – VIDEO

MBUNGE wa Arusha Mjini (CHADEMA) na Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani, Godbless Lema leo Oktoba 12, 2018, amehojiwa na Kamanda...

READ MORE

RC MAKONDA ATANGAZA FURSA KWA VIJANA WATAALAM WA IT

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, anawaalika wote wenye utaalam wa Teknolojia ya Habari yaani (Information Technology...

READ MORE

INDIA: Hawa Akutwa na Ugonjwa Tofauti na Alivyopimwa Dar

IKIWA ni siku chache baada ya kuwasili nchini India kwa ajili ya matibabu ya ugonjwa unaomsumbua, msanii wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Infinix HOT 6X IFANYE IWE YAKO KWA PUNGUZO LA ASILIMIA 50

KAMPUNI ya simu ya Infinix imekuletea aina mpya ya simu ikiwa ni muendelezo wa toleo la simu za HOT na...

READ MORE

ZIDISHENI MATUMIZI YA TEHAMA MAHAKAMANI: JAJI MZUNA

 Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu- Kanda ya Arusha, Mhe. Mosses Mzuna amewakumbusha Watumishi wa Mahakama ya Wilaya Ngorongoro kuongeza kasi ya...

READ MORE

LEMA ATII WITO WA POLISI, AWASILI SENTRO KUHOJIWA – VIDEO

MBUNGE wa Arusha Mjini (CHADEMA) na Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani, Godbless Lema ameitikia wito wa Jeshi la Polisi...

READ MORE

MASWALI TATA UPATIKANAJI WA MO

SHANGWE za kupatikana kwa mfanyabishara bilionea Mohammed Dewji ‘Mo’ Jumamosi iliyopita baada ya kutekwa na wasiojulikana ziko kila mahali nchini,...

READ MORE

TUKIO LA MO DEWJI KUTEKWA, WAZIRI MAKAMBA AHOJIWA NA POLISI

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam jana usiku Oktoba 21, 2018 lilimhoji kwa saa kadhaa Waziri wa...

READ MORE

DC Kinondoni kutatua kero ya barabara inayokwenda Kliniki ya Heameda

VIONGOZI wa ngazi mbalimbali wa Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es  Salaam wamepongeza uongozi wa Kliniki ya Heameda...

READ MORE

Godbless Lema Aitwa Polisi

MBUNGE wa Arusha Mjini (CHADEMA) na Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani, Godbless Lema ameitwa na Jeshi la Polisi katika...

READ MORE

ANASWA UTEKAJI MTOTO!

WAKATI mfanyabi-ashara bilionea namba moja nchini, Mohammed Dewji ‘MO’ akifikisha siku ya tisa tangu atekwe na watu wasiojulikana, binti mmoja...

READ MORE

DKT. BASHIRU AKIWA CHINA AANIKA KAZI KUBWA ALIYOIFANYA JPM

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,  CCM Dkt. Bashiru Ally amesema serikali ya awamu ya TANO inayoongozwa na Rais Dkt....

READ MORE

MAPIGANO NA WANANCHI, POLISI 4 WADAIWA KUUAWA, ZITTO AMPA POLE SIRRO

ASKARI wanne wa Jeshi la Polisi akiwamo Mkuu wa Kituo cha Polisi Nguruka – Uvinza, Ramadhan Mdimi wameuawa na wananchi...

READ MORE

KIOJA KUKU ‘KUBAKWA’ NA WATU

ARUSHA: Wakazi wa Mtaa wa Bonny City, Kata ya Muriet jijini Arusha, wamekumbwa na hofu ya ushirikina kufuatia kuzuka kwa...

READ MORE

TUKIO LA MO DEWJI, IGP SIRRO AWATAHADHARISHA LEMA, ZITTO – VIDEO

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro, amesema Jeshi la Polisi linaumizwa na kitendo cha baadhi ya Watanzania na...

READ MORE

Silaha za Kivita Zilivyokutwa Kwenye Gari Alilotekwa Mo Dewji – Video

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amezungumzia tukio la kupatikana kwa mfanyabishara maarufu nchini, Mohammed Dewji kutoka...

READ MORE

IGP SIRRO Asimulia: Waliomteka Mo Dewji Walitaka Pesa – VIDEO

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amezungumzia tukio la kupatikana kwa mfanyabishara maarufu nchini, Mohammed Dewji kutoka...

READ MORE

BREAKING NEWS: Bongo Muvi Yapata Pigo, Muigizaji wa Filamu Afariki Dunia

BREAKING NEWS: Aliyewahi kuwa msanii wa maigizo wa Kundi la Sanaa la Kaole, Ramadhani Mrisho Ditopile maarufu kama Mashaka amefariki...

READ MORE

BREAKING: Kilichokutwa Eneo Mo Dewji Alilopatikana! – Video

IKIWA ni takribani siku 9 tangu kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu, Mohammed Dewji (MO) na hatimaye kupatikana usiku wa kuamkia leo...

READ MORE

Mo Dewji Asimulia Alivyotekwa, Kufichwa na Kujikuta Chumbani – Video

IKIWA ni takribani siku 9 tangu kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu, Mohammed Dewji (MO) na hatimaye kupatikana usiku wa kuamkia leo...

READ MORE

BREAKING NEWS: MO DEWJI APATIKANA!

Taarifa zilizotufikia alfajiri ya leo, Oktoba 20, 2018, zinasema kuwa Mfanyabiashara Bilionea Mohamed Dewji maarufu kwa jina la Mo Dewji...

READ MORE

DW Yaeleza Kifo cha Gamba Kilivyotokea Hadi Maiti Ilipokutwa – Video

NAIBU Mkuu wa DW, Mohammed Abdurahaman ameeleza kifo cha Mtangazaji Mwenzao Isack Gamba ambapo alikutwa chumbani kwake akiwa amefariki. Abdulrahaman...

READ MORE

JPM Awaalika Japan na Georgia Kushirikiana na Tanzania – Picha

Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Ijumaa, Oktoba 19, 2018 amepokea hati za Utambulisho za Mabalozi wawili kutoka nchi...

READ MORE

Basi la Ibra Line Lateketea kwa Moto Maeneo ya Nangurukulu

BASI la Kampuni ya Ibra Line linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam kwenda Masasi mkoani Mtwara, limewaka na...

READ MORE

JPM ATOA TSH 50M KWA TAIFA STARS ‘MKIFUNGWA MTAZITAPIKA’- VIDEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amekutana na kuzungumza na wachejazi wa Timu ya Taifa ya...

READ MORE

IGP SIRRO: HII NDO GARI ILIYOMTEKA MO, ILIPOTELEA KAWE – VIDEO

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema jeshi hilo kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama limefanya...

READ MORE

Sirro: Tumebaini Mmiliki na Dereva wa Gari Iliyomteka Mo Dewji – Video

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro,  amesema jeshi lake limelitambua  gari  lililotumiwa katika kumteka mfanyabiashara maarufu nchini,...

READ MORE

MWANAFUNZI KIDATO CHA TANO SENGEREMA SEKONDARI AJINYONGA

MWANAFUNZI wa Kidato cha Tano, Shule ya Secondari ya Sengerema aitwaye Ayoub Yahya Petro (19), mwenyeji wa Kyerwa mkoani Kagera,...

READ MORE

Kampuni ya Mo Dewji Yafunguka Suala la Kusitisha Uzalishaji

Uongozi wa Makampuni ya ‘MeTL’ unaomilikiwa na mfanyabiashara maarufu nchini, Mohamed Dewji umekanusha taarifa za uvumi juu ya kusitisha shughuli...

READ MORE

Mwakyembe Awateua Mwana FA, Richie Mtambalike BASATA

WASANII Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ na Single Mtambalike ‘Richie’ wameteuliwa kuwa wajumbe ya Bodi ya Baraza la Sanaa Tanzania –...

READ MORE

HEAMEDA MEDICAL CLINIC YAENDESHA KAMBI YA KUPIMA MAGONJWA

  KLINIKI ya Magonjwa ya Moyo Heameda iliyopo Bunju B jijini Dar es Salaam imeanzisha kambi maalumu ya siku mbili...

READ MORE

INASIKITISHA! Maiti za Watoto Watatu Zilivyokutwa Kwenye Gari Bovu Dar

WATOTO watatu wa familia moja walitoweka tangu Oktoba 15, mwaka huu katika Mtaa wa Njaro wilayani Temeke, Dar es Salaam wamekutwa...

READ MORE

Wakazi watano washinda Milioni 161.5 za M-Bet

  Jumla ya washindi watano wameshinda jumla ya Sh161, 467,950 baada ya kubashiri kwa usahihi droo ya kampuni ya M-Bet...

READ MORE

Sakata la Clip; Kubenea, Komu Waomba Radhi Chadema – Video

WABUNGE wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Saed Kubenea (Ubungo) na Anthony Komu (Moshi Vijijini), wamewaomba radhi viongozi...

READ MORE