×

Kitaifa

Mesen Selekta, Gutta wapagawisha Tigo Fiesta -Vibe Kama Lote Mtwara

    Msanii Jerry Boniface maarufu kama Mesen  Selekta akishirikiana na mdogo wake Gutta waliweza kuwapagawisha mashabiki kwa mtindo wao...

READ MORE

HIVI NDIYO ULINZI NYUMBANI KWA MO DWEWJI ULIVYOIMARISHWA!

GUMZO kubwa kwa sasa ni tukio la kutekwa kwa bilionea mkubwa Tanzania, Mohammed Dewji ‘Mo’ ambapo utekaji huo umesababisha ulinzi...

READ MORE

DKT BASHIRU AMJIBU LOWASSA PAPO KWA HAPO – VIDEO

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally amemjibu Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Waziri Mkuu...

READ MORE

Lowassa Adai Nchi Ina Hofu, Chuki – Video

WAZIRI Mkuu wa Zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema, Edward ngoyai Lowassa amedai...

READ MORE

NMB YAKIFADHILI KITUO CHA VIJANA DON BOSCO KWA MILIONI 15

        BENKI ya NMB imekabidhi msaada wa vitabu na udhamini wa jezi, mabegi ya michezo na mipira kwa...

READ MORE

WAGONJWA WA MACHO 300 NCHINI WAFANYIWA UPASUAJI NDANI YA SIKU TANO

  Watu wenye matatizo ya macho takribani 700 wamefanyiwa uchunguzi na kati ya hao wagonjwa 300 waliobainika kuwa na matatizo...

READ MORE

MWILI WA PANCHO LATINO WAAGWA DAR, KUZIKWA GAIRO

MASTAA, wadau wa sanaa ya muziki na waombolezaji mbalimbali wamejitokeza leo Ijumaa, Oktoba 12, 2018, kuaga mwili wa aliyekuwa Producer wa...

READ MORE

TAARIFA MUHIMU KUTOKA UONGOZI WA KLABU YA SIMBA

Uongozi wa Klabu ya Simba unapenda kuwataarifu wanachama, wapenzi na mashabiki wake kuwa mchana wa leo baada ya Sala ya...

READ MORE

SERIKALI YADAKA MATAIRI VIMEO

DAR: Ama kweli Serikali hii haitaki mchezo, hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia wachapakazi wake kuingia mitaani na kufanya ukaguzi wa...

READ MORE

Taarifa ya Acacia Kuhusu Kushikiliwa kwa Meneja Wake Tanzania

Taarifa kutoka kampuni ya Acacia kuhusu kushikiliwa kwa Meneja wake wa Biashara, Maarten van der Walt.

READ MORE

Pichaz: Hali Ilivyo Nyumbani kwa Mo Dewji – Video

HII ni taswira halisi ya nyumbani kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji (MO) maeneo ya Oysterbay jijini Dar es Salaam ambaye ametekwa leo...

READ MORE

NMB WADHAMINI MASHINDANO YA GOLF YA MKUU WA MAJESHI, JWTZ

    BENKI ya NMB imedhamini Mashindano maalum ya Mchezo wa Golf ya Mkuu wa Majeshi nchini yanayotarajia kufanyika Oktoba 13...

READ MORE

Spoti Xtra Lazidi Kutikisa Kila Kona ya Dar – Pichaz

KIKOSI kazi cha wafanyakazi wa Global Publishers leo Alhamisi, Oktoba 11, 2018, kama kawaida yake, kimeingia tena mitaani kulinadi gazeti...

READ MORE

Wabunge Walia Mo Dewji Kutekwa

WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania wameguswa kwa hisia tofauti kufuatia tukio baya la kutekwa kwa mfanyabiashara...

READ MORE

MANARA: Tusizushe Taarifa, MO DEWJI Atapatikana Mzima – Video

MSEMAJI wa KLABU ya Simba, Haji Manara amewaomba wanachama na wapenzi wa Simba watulie na kuacah vyomba vya usalama vifanye...

READ MORE

Mambosasa: Waliomteka MO ni Wazungu, Tumeweka Vizuzi Wasitoke – Video

KUFUATIA habari za kutekwa  kwa mfanyabishara maarufu nchini ambaye pia ni mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji (Mo) alfajiri...

READ MORE

BreakingNews: Mo Dewji Atekwa na Watu Wasiojulikana – Video

Mfanyabiashara maarufu nchini ambaye pia ni mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji (Mo Dewji), anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana...

READ MORE

BREAKING: Makonda Atoa Maagizo Sakata la Mwendokasi Kimara – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amezungumza na wananchi wa maeneo ya kimara na Mbezi jijini Dar...

READ MORE

Airtel kutoa 1.4TZS bilioni kama gawio kwa wateja wake wa Airtel Money

      Kampuni ya simu za mkononi Airtel Tanzania inatarajia kutoa jumla ya TZS1.4 bilioni kama gawio kwa wateja...

READ MORE

INASHANGAZA! Bajaj ya Makuti Yazua Gumzo, Haijawahi Kutokea – Video

MKAZI mmoja wa Arusha anayefahamika kwa jina la Masai amefanya ubunifu wa aina yake baada ya usafiri wake wa bajaj...

READ MORE

Makonda Atoa Maagizo: Viongozi wa Mwendokasi Niwakute Kimara Stand

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema hafurahishwi na namna mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini humo...

READ MORE

KIMARA Hali Mbaya! ABIRIA Wazimia Wakigombania MWENDOKASI – Video

Changamoto ya usafiri wa mabasi yaaendayo haraka (UDART) kutoka maeneo ya Kimara kuelekea katikati ya Jiji la Dar es Salaam...

READ MORE

Raia Wageni Wakamatwa Airport Wakitorosha Mamilion ya Fedha

ABIRIA wawili Raia wa Sudan Kusini na Syria jana wamekamatwa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) wakisafirisha...

READ MORE

WANUNUZI WA MAKAHABA WANASWA DODOMA – VIDEO

Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linawashikilia wanaume watano, kwa kosa la kujihusisha na kununua wanawake wanaofanya biashara ya ngono katika...

READ MORE

WATUHUMIWA 22 BIASHARA YA UKAHABA MIKONONI MWA MUROTO – VIDEO

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watuhumiwa 29 wakiwemo makahaba 22 waliokuwa wakifanya bishara ya ngono, wanaume watano waliokuwa...

READ MORE

RPC Muruto Aanzisha Heka Heka Vijiwe vya Madada Poa, Tapeli Mbaroni – Video

JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma limeanzisha msako maalum uitwayo Oparesheni Heka Heka kwa Vijiwe vya Madada Poa yenye lengo...

READ MORE

Lipumba: CUF Liwale Wanakamatwa, Kupigwa na Kuwekwa Ndani – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa amesema kuna njama...

READ MORE

USAFIRI WA MAFIA NI HATARI MARA MBILI YA MV NYERERE  

MAZINGIRA ya usafirishaji abiria kupitia Bandari ya Nyamisati iliyopo Rufiji kwenda Mafia mkoani Pwani, ni hatari sana mara mbili ya...

READ MORE

MV NYERERE: JPM APOKEA RAMBIRAMBI SH. 125M KUTOKA KWA RAIS KENYATTA

Rais John Magufuli amepokea hundi ya shilingi milioni 125 kutoka kwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ambayo iliwasilishwa na Balozi...

READ MORE

Kyerwa: JPM Awasimamisha Kazi RPC, OCD, Mkuu wa Upelelezi, OCS – Video

Mhe Rais John Magufuli ameagiza kusimamishwa kazi kwa RPC mkoa wa Kagera pamoja na OCD wilaya ya Kyerwa, Mkuu wa...

READ MORE

Chege, Billnas Walivyopagawisha Mashabiki Tamasha la Tigo Fiesta Iringa

    Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote 2018 limeendelea usiku wa kuamkia jumatatu kwenye uwanja wa Samora mjini...

READ MORE

Halotel kuwazawadia wateja wake maadhimisho ya miaka 3

  IKIWA katika shamrashamra ya kuadhimisha miaka 3 ya utoaji wa huduma kwa watanzania, Kampuni ya mawasiliano ya simu ya...

READ MORE

OCD Kyerwa Mikononi mwa Sirro kwa Kusindikiza Kahawa ya Magendo

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amemtaka Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera SACP Augustino Olomi kuwachukulia...

READ MORE

Breaking: AJALI ya Basi la Arusha Express, Wanne Wafariki, 11 Wajeruhiwa

Watu wanne wamefariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa ambapo watano kati yao hali zao ni mbaya baada ya kutokea ajali...

READ MORE

RAIS WA INTERPOL AJIUZULU, HAJULIKANI ALIPO

  TAARIFA  zilizotolewa na taasisi ya polisi wa kimataifa (Interpol) zimesema, rais wake, Meng Hongwei,  amejiuzulu wadhifa wake na kumtaja aliyekuwa...

READ MORE

Polepole: Wabunge Wanaohamia CCM Mwisho Mwaka Huu

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema wabunge wa upinzani wanaotaka kujiunga na chama...

READ MORE

Kinyang’anyiro cha kumsaka Tigo Fiesta Supa Nyota mjini Iringa

Wasanii wawili walipita kwenye mchujo wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2018 mkoani Iringa Ester Queen na TTP ambao itawabidi wapande...

READ MORE

MAFANIKIO TUNAYOYAPATA NI MABORESHO NA MAONI YA WATEJA – NMB

Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi Benki ya NMB, Omari Mtiga pamoja na baadhi ya wateja Benki ya NMB waliojumuika...

READ MORE