MSANII Nyota wa Bongofleva Naseeb Abdul “Diamond Platnumz” ameompa zawadi ya bajaj mpya mama mwenye ulemavu wa miguu, Bi. Evodia...
READ MOREBenki ya Stanbic imesherehekea wiki hii ya huduma kwa wateja kwa kuwapa zawadi wateja wao na kuwashukuru kwa kuendelea...
READ MOREMTANDAO wa simu za mkononi Vodacom Tanzania imewakumbuka baadhi ya wateja wake waliojiunga siku ya kwanza na ya pili...
READ MOREJiji la Dodoma limekuwa la kwanza kati ya majiji sita hapa nchini kwa kusanya bilioni 25.5 toka kwenye lengo...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amepatwa na pigo la kuondokewa na dada yake mpendwa Bi. Mwajuma Gambo ambaye...
READ MOREKAZI ni kwako! Mkazi wa Kimara- Golani jijiji Dar, Esther Mpari ambaye ni mgonjwa wa presha amemlilia Waziri wa Nyumba...
READ MOREKAMPUNI ya Simu za Mkononi Vodacom Tanzania imebainisha kuwa imejipanga kukabiliana na matatizo ya kiushindani sokoni ili kuhakikisha kampuni hiyo...
READ MOREMUIGIZAJI wa comedy nchini, aliyejizolea umaarufu mkubwa kwenye mitandao ya kijamii, Anastazia Exavery ‘Ebitoke’ (20) ametangaza kujiondoa kwenye kundi lake...
READ MOREJANA Jumatano, Oktoba 3, 2018 kulitokea tukio la aina yake kwenye Ukumbi wa Anatoglo uliopo Manispaa ya Ilala jijini Dar...
READ MOREMoto umezuka leo katika jengo la Benjamin Mkapa, Millennium Tower – Dar ambapo unasadikiwa umeanzia kwenye ghorofa ya tatu. Wageni...
READ MOREMkuu wa Wilaya ya Longido mkoani Arusha, Frank Mwaisumbe, amezindua rasmi ofisi mpya ya Vodacom Tanzania wilayani Longido ikiwani moja...
READ MOREWAZIRI Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Pilisi nchini, IGP Simon Sirro, kupunguza vituo...
READ MOREKampuni ya uchimbaji wa madini Tanzania – Acacia inatarajia kuzindua mashindani ya mbio za baiskeli kwa lengo la kukusanya zaidi...
READ MOREChama cha ACT Wazalendo kimeduwazwa na hatua ya Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuikataa ripoti yake yenyewe...
READ MOREMKUU wa Wilaya, Lydia Bupilipili anadaiwa jana Oktoba 2, 2018 alimpigisha magoti Ofisa Mtendaji wa Kata ya Chitengule, Deus Kuliga...
READ MOREMaofisa Maendeleo na Ustawi wa Jamii, kutoka Manispaa ya Kigoma Ujiji jana walihudhuria mafunzo ya uelewa kuhusu ualbino na elimu...
READ MORESHULE ya Msingi yenye mchanganyiko wa wavulana na Wasichana, Mazinyungu iliyopo wilaya Kilosa mkoani Morogoro hivi karibuni ilifanya mahafaLi ya 42...
READ MOREKAMANDA wa Polisi Mkoa wa Mwanza, ACP Jonathan Shanna amewataka askari wa jeshi hilo mkoani humo kuhakikisha wanapima afya zao...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Arnold Mathias Kihaule kuwa Mkurugenzi Mkuu wa...
READ MOREMGAMBO wanaosimamia operesheni ya usafi Mkoa wa Dar es Salaam wamefanya tukio lingine baada ya lile la kudaiwa kuwapiga raia,...
READ MOREBARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) limezifutia matokeo ya mtihani wa taifa wa kuhitimu elimu ya msingi, shule nane za...
READ MOREMBUNGE wa Jimbo la Kilwa Kusini kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi (CUF), Seleman Bungara anapenda kujiita ‘Bwege’ anashikiliwa na...
READ MORERais Dkt. John Pombe Magufuli jana tarehe 1 Oktoba, 2018 ameahidi kutoa shilingi milioni 20 kwa ajili ya kusaidia ujenzi...
READ MOREKAMPUNI inayoongoza kwa mageuzi ya kidigitali, Tigo Tanzania leo imetangaza promosheni murwa kwa wateja wote watakaonunua vifurushi...
READ MOREMKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti Sekta ya Hifadhi ya Jamii Nchini (SSRA) Dkt. Irene Isaka,...
READ MOREOfisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara, ameamua kufunguka kuhusiana na namna kiungo wa Yanga, Ibrahim Ajib namna alivyoanzisha...
READ MOREBARAZA la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) limesema hatua ya baadhi ya viongozi na wanachama wa vyama...
READ MOREKAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imezindua mnara wa mawaliano wenye uwezo wa kutoa huduma za Intanet kwa...
READ MOREWAHAMIAJI haramu wapatao 28 ambao ni raia wa Ethiopia wamekamatwa kwenye Msitu wa Maili Kumi uliopo wilayani Handeni mkoani Tanga...
READ MOREWAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amepiga marufuku tabia ya baadhi ya askari Polisi kutoza fedha kwaajili...
READ MOREMKURUGEZNI Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, amepandikiza mbegu ya ushindi kwa madereva wa Bajaj wa kituo cha...
READ MOREMmoja wa wasomaji wa Gazeti la Spoti Xtra (kushoto) akijaza kuponi ya shindano la kujishindia jezi orijino au zawadi nyingine...
READ MOREMAMLAKA ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), imejipanga, kupitia kaulimbiu yake, kuifungua Tanzania kwa ulimwengu kupitia sekta ya utalii...
READ MOREZOPEZI la uokoaji na uopoaji wa Kivuko cha MV Nyerere limehitimishwa leo katika Kisiwa cha Ukara, wilayanai Ukerewe mkoani Mwanza...
READ MOREGHANA imeutaka Umoja wa Mataifa kutekeleza maazimio ya kuanzishwa kwa taasisi hiyo ili kuufanya uendane na maslahi ya nchi zote...
READ MOREALIYEKUWA Msaidizi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe ambaye ni Diwani wa Kata ya Temeke,...
READ MOREChama Cha Mapinduzi (CCM) kimewaonya wanachama wake wanaoendesha kampeni za wazi na za kificho za urais wa Zanzbar, na kusema kuwa...
READ MORE