×

Kitaifa

Kauli ya Mambosasa Baada ya Polisi Kumshambulia Mwanahabari, Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limelaani vikali kushambuliwa kwa Mwandishi wa Habari za Michezo, Sillas Mbise...

READ MORE

LIVE: Mwili wa Mzee Majuto Wapelekwa Makaburini

Mwili wa Msanii nguli wa vichekesho nchini, Mzee Majuto umetolewa msikitini na kupelekwa katika makaburi ambako atazikwa baadaye leo jijini...

READ MORE

TFF Yalaani Mwandishi wa Habari Kupigwa na Polisi

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini(TFF), limelaani vikali kushambuliwa kwa Mwandishi wa Habari za Michezo, Sillas Mbise.   Kupitia Afisa...

READ MORE

Kuondolea Star TV, ITV, TV-E, EATV, Clouds TV Kutoka Ving’amuzi vya Azam

Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imefafanua kuhusu kuondoa Channel za Televisheni za ndani zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka Ving’amuzi vya Azam,...

READ MORE

Snura Apata Ajali ya Gari

MSANII wa Muziki wa Mduara Bongo, Snura Mushi amenusurika katika ajali ya gari mkoani Lindi alikokwenda kufanya shoo. Ajali hiyo...

READ MORE

Mtoto wa Lowassa Ajitosa Ubunge Monduli

MTOTO wa aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, Fred Lowassa, ni miongoni mwa wanachama watano wa CHADEMA waliochukua fomu za...

READ MORE

MTENDAJI MKUU MAHAKAMA AKAGUA MIRADI YA UJENZI MAHAKAMA NCHINI

Mtendaji Wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma Bw. Moses Mashaka akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi mbele ya Mtendaji Mkuu wa...

READ MORE

Mbunge Matiko na Wenzake Waachiwa kwa Dhamana

MBUNGE wa Jimbo la Tarime Mjini (Chadema), Ester Matiko, mwandishi wa habari wa Gazeti la Tanzania Daima, Sitta Tuma na...

READ MORE

Diamond Amsindikiza Mzee Majuto – Video

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz leo alikuwa miongoni mwa waombolezaji waliofika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar...

READ MORE

Rais Magufuli Amwaga Machozi Akiaga Mwili wa Mzee Majuto – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ameshindwa kujizuia na kujikuta akimwaga machozi wakati alipokuwa akiaga mwili...

READ MORE

Dereva wa Mbunge wa CHADEMA Afariki Ajalini – Video

SINGIDA: Dereva wa Mbunge wa CHADEMA Lucy Magereri, Thomas Maro amefariki baada ya magari mawili kugongana likimwemo la Mbunge huyo...

READ MORE

Mwili wa Majuto Watolewa Mochwari Muhimbili – Video

MWILI wa marehemu Amri Athumani Majuto umetolewa katika Hospitali ya Muhimbili na kupelekwa katika msikiti wa Masjid Maamur, Upanga,  jijini...

READ MORE

Rais Magufuli Amwalika Rais Museveni Ikulu – Video

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni anafanya ziara ya kikazi ya siku moja hapa nchini leo tarehe 09...

READ MORE

Rais Magufuli Ampokea Rais Museveni Muda Huu – VIDEO

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni anafanya ziara ya kikazi ya siku moja hapa nchini leo tarehe 09...

READ MORE

Steve Nyerere ‘Asusa’ Msiba wa Mzee Majuto: Sihusiki na Chochote – Video

MUIGIZAJI Steve Nyerere ambaye amekua mstari wa mbele kuwaunganisha wasanii hasa katika kipindi cha misiba au matatizo yanayowatokea wasanii wenzao,...

READ MORE

UTARATIBU WA KUAGA NA MAZISHI YA MZEE MAJUTO – Video

KUFUATIA kifo cha msanii nguli wa vichekesho nchini, Mzee Amri Athumani aliyeaga dunia jana usiku majira ya saa 2:00 usiku...

READ MORE

TAASISI YA FRIEDKIN CONSERVATION FUND YATOA MILIONI 110 KUSAIDIA ELIMU SIMIYU

    TAASISI ya uhifadhi na Utalii ya Friedkin Conservation Fund, imetoa msaada ya shilingi milioni 110 ili kusaidia ujenzi wa...

READ MORE

Breaking News: Mzee King Majuto Afariki Dunia

MSANII nguli wa vichekesho Tanzania, Amri Athuman ‘Mzee King Majuto’ amefariki dunia majira ya saa 2:00 usiku huu wa Agosti...

READ MORE

Baada ya Kusepa Chadema, Waitara Achukua Fomu Kuwania Ubunge CCM

ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam, Mwita Mwikabe Waitara aliyetangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kuhama kutoka...

READ MORE

KALANGA Awajibu CCM Walioandamana Monduli – Video

Kufuatia maandamano yaliyofanywa jana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilayani Monduli mkoani Arusha wakimtaka Mwenyekiti wa chama hicho...

READ MORE

SIMBA DAY: CHID BENZ Afunguka Baada ya Shoo – Video

RAPA maarufu Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ amefunguka baada ya ku-perform shoo yake kwenye Tamasha la Simba day linalofanyika leo...

READ MORE

DC Mwegelo Aanza na ‘Operesheni Jokate’ Kuondoa Wavamizi wa Misitu

MKUU wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo amezindua “Operesheni Jokate” yenye lengo la kuwaondoa wavamizi wote wanaoendesha shughuli za kilimo na...

READ MORE

CCM Monduli Waandamana Kupinga Mbunge Aliyetoka CHADEMA

WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Monduli wameandamana kwenye ofisi za chama hicho wakitaka aliyekuwa Mbunge wa Chama...

READ MORE

Rais Museveni Kutua Nchini Kesho

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU ZIARA YA RAIS WA UGANDA NCHINI Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mheshimiwa Yoweri Kaguta...

READ MORE

MAZITO YAFUMUKAA JALI ZA VIONGOZI

SIKU chache baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla kuje­ruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea Mdori mkoani...

READ MORE

WANAFUNZI WANNE WAFARIKI MBELE YA WALIMU

DAR ES SALAAM: Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kimbiji, Kingamboni jijini Dar es Salaam; Celestina Malipesa (18), Agneta’s Philipo (18),...

READ MORE

Fursa kwa Wahitimu Kidato cha Nne Waliofauru Sayansi

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewaagiza watendaji wa wizara hiyo kwa kushirikiana na...

READ MORE

Tetemeko Latokea Rukwa na DR Congo

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa  kipimo cha ritcher 4.4 na kina cha Kilomita 10 limetokea katika baadhi ya maeneo...

READ MORE

Kikongwe Asherehekea Miaka 100 Ndani ya Dreamliner

MZEE wa miaka 100 amesherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa kwake kwa kusafiri na ndege kwa mara ya kwanza,...

READ MORE

Mwanafunzi Chuo Kikuu Apigwa Picha za Mahafali na Mamba

MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha cha Texas A&M nchini Marekani, Makenzie Nolan, alihakikisha kuwa picha za sherehe yake ya kufuzu zitakuwa...

READ MORE

BIBI HARUSI AFIA HOTELINI

SIKU za kuaga dunia iliyowekwa na Mungu ikitimia, mja hana hiyari, ataacha vyote na kurejea mavumbini, ndivyo msichana Asha Kilimba...

READ MORE

Roma Awachana BASATA ‘Mnaua Sanaa’

MKALI wa Hip Hop Bongo, Roma Mkatoliki ameamua kuwachana Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) huku akidai kuwa taasisi hiyo inaua...

READ MORE

TAMWA YAHIMIZA MAZINGIRA SALAMA KWA WANAFUNZI SHULENI

      VIONGOZI wa shule mbalimbali nchini Tanzania wameshauriwa kuhakikisha wanazifanya shule zao kuwa na mazingira salama, yenye utangamano, ushirikiano,...

READ MORE

ESTHER MATIKO APEWA ONYO MAHAKAMANI

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuonya Mbunge wa Tarime Mjini (Chadema), Esther Matiko, kwa kushindwa kuwasiliana na mdhamini wake. Onyo...

READ MORE