×

Kitaifa

JPM: TUMEPOTEZA WANANCHI WENGI SANA, SASA INATOSHA – VIDEO

  RAIS Dkt. John Pombe Magufuli amesema Serikali kutokana na vifo vingi vya wananchi vikiwemo vingi vya watoto na akina...

READ MORE

Rais Magufuli: Mambo Haya Wabunge Hawapendi Niyaseme – VIDEO

RAIS Dkt. John Magufuli amewataka wabunge kutumia fedha za mfuko wa jimbo, kutatua baadhi ya changamoto katika majimbo yao ikiwemo...

READ MORE

KANISA LAPIGA MARUFUKU SHELA KWA WAJAWAZITO WAKATI WA NDOA

KANISA Katoliki Jimbo Kuu la Arusha, limewapiga marufuku wanawake wajawazito kuvaa shela wakati wa kufunga ndoa kwa madai vazi hilo...

READ MORE

Maajabu ya Gari Lililotumbukia Mtoni! – Video

  AMA kweli Mungu mkubwa! Dada mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, amepata ajali kufuatia gari lake aina...

READ MORE

SHEREHE ZA MEI MOSI MKOA WA DAR ZAFANA

SHEREHE za Siku ya Wafanyakazi Duniani, leo zimefana jijini Dar es Salaam ambapo Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva, ...

READ MORE

Rais Magufuli Akutana na Chief Mkwawa wa Iringa – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kiongozi wa kimila wa kabila la Wahehe...

READ MORE

EWURA YATANGAZA KUSHUKA KWA BEI YA PEROLI NA DIZELI

MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati na Maji nchini (Ewura) imetangaza kushuka kwa bei ya mafuta ya petroli, dizeli na mafuta...

READ MORE

ANTY  EZEKIEL KUZINDUA FILAMU YA ‘MAMA’ MEI 13

  Msanii maarufu wa filamu nchini, Anty Ezekiel, anatarajia kuzindua filamu yake mpya aliyoipa jina la ‘Mama’, siku ya Jumapili...

READ MORE

Rais Magufuli Ataka Mama Huyu Apimwe Kizazi – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametoa agizo kwa Mkuu wa Mkoa Iringa na Kamanda...

READ MORE

Mei Mosi: Rais Magufuli Amwagiza Waziri Mkuu Majaliwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemuagiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuwashughulikia viongozi wa serikali...

READ MORE

WAFANYAKAZI OFISI YA WAZIRI MKUU KUTOA HUDUMA KWA UFANISI

  KATIKA  kusherehekea siku ya Wafanyakazi Duniani, wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wameungana na wafanyakazi wote Duniani kwa kujumuika...

READ MORE

BAJAU: BINADAMU WA AJABU WANAOISHI BAHARINI KAMA VYURA

WATU wa kabila la Bajau wanaoishi katika visiwa vya Malay, Mashariki ya Mbali, hutumia muda mwingi wa maisha yao baharini...

READ MORE

LIVE: Hotuba ya Rais Magufuli, Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi – Video

  Rais Magufuli anaongea. -Anaanza na Salaamu kwa wote waliohudhuria mabibi na mabwana. – Nlitegemea kwakuwa kuna machifu hapa hii...

READ MORE

BILAGO: ‘Ugomvi’ wa Serikali na Shule Binafsi, ni Wivu tu – Video

SERIKALI imetakiwa kuzihudumia vyema shule zake na kuboresha mazingira na miondombinu ya kufundishia ili ziweze kushindana na shule binafsi ambazo...

READ MORE

Ajiua kwa Kunywa Sumu Kisa Kuachwa na Mke

MWANAMUME mmoja mkazi wa Katoro mkoani Geita aliyetambulika kwa jina la Maganiko Nunda amejiua kwa kunywa sumu kufuatia mgogoro ulioibuka...

READ MORE

Njemba Amuuwa Mpenzi Wake kwa Kumnyonga Shingo

Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza linamshikilia kijana aliyefahamika kwa jina la Nicholas Light (25) mkazi wa Mtaa wa Mahama, wilayani...

READ MORE

POLISI WAFUNGUKIA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA KIFO CHA MASOGANGE

WAKATI kukiwa na shauku kubwa ya kujua sababu za mwili wa marehemu Agness Gerald ‘Masogange’ kufanyiwa uchunguzi wa kipolisi wakati...

READ MORE

JACK PEMBA ASUSA MAGARI YA BILIONI 1

BAADA ya kufunguliwa kesi na tajiri mwenzake, Godfrey Kirumira wa nchini Uganda, Pedeshee Jack Marshal Pemba, ametikisa baada ya kuibuka...

READ MORE

MEYA KINONDONI AZINDUA KAMPENI YA CHANJO SHINGO YA KIZAZI

MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamini Sitta leo Aprili 30 amezindua rasmi chanjo ya kuwakinga wasichana dhidi ya saratani...

READ MORE

BASHE Apinga Vikali Walimu wa Sekondari Kuhamishiwa Msingi – Video

Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, akisoma taarifa ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, iliyoandaliwa mahususi...

READ MORE

Chadema Wakanusha Lissu Kuerejea Nchini

Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimekanusha taarifa zinazoendelea mitandaoni kuhusu uwezekano wa kurejea nchini kwa Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho,...

READ MORE

Makonda Ampokea Ahmed Aliyepooza Akitokea China

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  leo Jumatatu, Aprili 30, 2018 amempokea kijana, Ahmed Albaiti aliyekuwa nchini...

READ MORE

Dakika 4 za Prof Jay kwa Waziri wa Nishati – Video

MBUNGE wa Jimbo la Mikumi kwa tiketi ya Chadema, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ akiuliza swali alilolielekeza katika Wizara ya Nishati...

READ MORE

Breaking News: Mahakama Yaamuru Hans Pope na Lauwo Wakamatwe

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo April 30, 2018 imetoa amri kwamba Mwenyekiti wa Usajili wa Klabu ya Simba, Zacharia...

READ MORE

Hatimaye Tundu Lissu Kutua Dar

MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu (50) aliyelazwa nchini Ubelgiji anatarajiwa kurejea nyumbani siku yoyote kuanzia juzi, baada ya madaktari...

READ MORE

WAMILIKI SOBA HOUSE WAWAJIBU WABUNGE TUHUMA ZA KUWACHOMA SINDANO WAATHIRIKA DAWA ZA KULEVYA

WAMILIKI wa nyumba zinazosaidia waathirika kujinusuru na dawa za kulevya nchini maarufu kama Soba house wamejibu tuhuma za kuwachoma vijana...

READ MORE

NAIBU SPIKA AZINDUA TULIA MARATHON, MBEYA

MKURUGENZI wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson,...

READ MORE

NAIBU SPIKA AWAONYA WANAFUNZI UDSM KUHUSU MAPENZI

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, amewahimiza wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kusoma...

READ MORE

Mama Jide Aagwa Dar, Kuzikwa Bunda – Mara

  MWILI wa mama mzazi wa msanii wa Bongo Fleva, Judith Mbibo Wambura ‘Lady Jaydee au Jide’, Bi. Martha Mbibo umefanyiwa...

READ MORE

Abbas Kandoro Aagwa Dar, Kuzikwa Kesho Iringa

MWILI wa aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Kandoro umeagwa leo kwenye Msikiti wa Manyema uliopo...

READ MORE

Watatu Wafariki kwa Ajali ya Basi Kagera

WATU watatu wamefariki dunia papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kugongwa na Basi la Kampuni ya Frester lenye...

READ MORE

Rais Magufuli Amlilia Abbas Kandoro

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya aliyewahi kuwa mwanasiasa...

READ MORE

KAULI YA JOHN HECHE BAADA YA MDOGO WAKE KUUAWA NA POLISI

  KUFUATIA kifo cha mdogo wake aitwa Saguta Chacha, Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche amelishutumu Jeshi la Polisi kwa...

READ MORE

VIFO MFUFULIZO VYA WASANII VILIVYOSHTUA

WIKI ya masikitiko! Hivyo ndivyo unaweza kusema kufuatia vifo mfululizo vya mastaa wanne Bongo, ambao ni muuza sura kwenye video...

READ MORE

MAJALIWA AKUTANA NA WAJUMBE WA KAMATI YA UONGOZI YA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa vyama vya siasa wajitahidi kuwa makini na namna wanavyoendesha vyama vyao...

READ MORE

Lema Afutiwa Mashtaka, Akamatwa Tena Kesi ya Kuota Ndoto

  MBUNGE wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha na kufunguliwa mashtakata mapya kuhusu...

READ MORE

Kwa Mara ya Kwanza, Madaktari Wafanikiwa Kupandikiza Uume

JOPO la madaktari wamefanikiwa kufanya upandikizaji wa kwanza wa uume na korodani ambapo askari alijeruhiwa na bomu huko Afghanistan amefantiwa...

READ MORE