×

Kitaifa

BREAKING NEWS: 17 WAOKOLEWA KUZAMA ZIWA VICTORIA

  Watu 17 wameokolewa baada ya boti ya MV Julius kuzama katika Ziwa Victoria. Jeshi la Polisi linaendelea kufuatilia kubaini...

READ MORE

MSIBA WA NDIKUMANA, MASTAA WAANZA KUMIMINIKA NYUMBANI KWA UWOYA (VIDEO)

Wasanii mbalimbali wamejitokeza nyumbani kwa msanii wa filamu, Irene Uwoya kumpa pole za kufiwa na aliyekuwa mumewe, Ndikumana Hamad aliyefariki...

READ MORE

MAMA AELEZEA MWANAYE ALIYEZAMA CHOONI, MKONO UKIJITOKEZA JUU

  ROSINA KOMAPE  aliwatia huzuni watu waliokuwa mahakamani alipokuwa akilia kuomboleza kifo cha mwanaye wa kiume, Michael Komape, aliyetumbukia katika...

READ MORE

Mapacha Walioacha Kuzungumza Kwa Miaka 20 Wajinyonga

  MAPACHA wawili wa kiume, David na Paul Mann (55) ambao waliacha kuzungumza kwa miaka 20 baada ya kugombana kuhusiana...

READ MORE

Ripoti Maalum: Usagaji Unavyowaathiri Wasichana Tanzania-2

WIKI iliyopita katika ripoti hii maalum tuliongelea maana nzima ya usagaji na sababu zinazopelekea mpaka wanawake wengi kujikuta wakitumbukia huko....

READ MORE

Mwakyembe aunda kamati ya kusimamia maandalizi ya uenyeji wa michuano ya vijana 2019

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harryson Mwakyembe leo ametangaza majina wajumbe 25 wa Kamati ya Maandalizi kuelekea...

READ MORE

Video: Watoto 29 Wafanyiwa Unyama na Wazazi Wao Mkoani Mwanza

Licha ya Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009 na Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Mtoto wa mwaka 1989 kuweka...

READ MORE

Mlipuko Waua Wanafunzi Sita Kagera

    Wanafunzi sita wa Shule ya Msingi Kihinga mkoani Kagera, wamefariki dunia na wengine zaidi ya 40 wamejeruhiwa baada...

READ MORE

Kamati Kuu ACT-Wazalendo kutuma wawakilishi polisi

    Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kamati kuu ya chama hicho haitakwenda kuripoti polisi kama ilivyoagizwa bali itawakilishwa na mwenyekiti...

READ MORE

RC WANGABO: WATAKAOWANYANYASA WAANDISHI WA HABARI KUKION

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mh. Joachim Wangabo amewatahadharisha wakuu wa wilaya na wapenda maendeleo wote Mkoani Rukwa wasiwanyanyase waandishi...

READ MORE

KANISA LA KKKT LAADHIMISHA MIAKA 500 YA MATENGENEZO

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), linaungana na waumini wengine wa kanisa la Kilutheri duniani kuadhimisha miaka 500 tangu...

READ MORE

TRA YAWAFUNGIA MADUKA WANAODURUFU CD ZA WASANII

MAMLAKA ya mapato nchini (TRA) ikishirikiana na kampuni ya Msama Auction Mart ambao ni wasimamizi na wasambazaji wa kazi za...

READ MORE

ABB KUMALIZA TATIZO LA UMEME NCHINI

  Mradi mkubwa wa teknolojia ya kisasa ya kuongeza nguvu umeme unatarajiwa kuzinduliwa na kampuni ya kutengeneza tranfomer ya ABB...

READ MORE

Halotel Yazindua Huduma ya ‘Halostudy’

KAMPUNI Ya simu za mkononi ya Halotel leo imezindua huduma mpya ya kimasomo ijulikanayo kama ‘Halostudy’ itakayowawezesha wanafunzi nchini kusoma...

READ MORE

ULEGA ABAINI MCHEZO MCHAFU WA MADALALI KUTOROSHA MIFUGO TARIME

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amewataka maofisa wa forodha ya Sirari wilayani Tarime kuongeza juhudi katika kulinda...

READ MORE

MSHINDI WA NYUMBA ATIKISA DAR, MAPOKEZI YAKE SI YA KITOTO

GEORGE Majaba, mshindi wa Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili,  Jumanne Oktoba 31, 2017 amewasili jijini Dar es...

READ MORE

Nyalandu: Ujasiri Ukaondoe Roho ya Woga, Upendo Uondoe Chuki

IKIWA ni siku mbili tangu ajiuzulu uanachama wa CCM na nyadhifa zote ndani ya chama hicho na kuomba kujiunga Chadema,...

READ MORE

Mahakama Yapokea Kielelezo cha Ukamataji Mali Nyumbani kwa Wema

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepokea kielelezo cha hati ya ukamataji mali nyumbani kwa Wema Sepetu anayekabiliwa na kesi ya...

READ MORE

Baada Kuteuliwa Kuwa Mkuu wa Mkoa, Mahakama Yamfutia Kesi Adam Malima

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemfutia kesi ya kushambulia Naibu Waziri wa Fedha wa zamani, Adam Malima na dereva wake...

READ MORE

Maisha ya Dereva wa Mwalimu Nyerere Yanasikitisha! -Video

Mzee Nassoro Rajabu mwenye umri kati ya miaka 80 mpaka 85 ambaye alikuwa ni Dereva wa kwanza wa Rais wa...

READ MORE

TANZIA: DJ Juice Hatunaye, Azikwa Dar

Msiba! Mchezeshaji maarufu wa muziki nchini, DJ Juice ambaye jina lake halisi ni Hussein Juma Amani Misana, amefariki dunia juzi....

READ MORE

Maombi Yatikisa Nyumbani kwa Lulu

Zikiwa zimesalia siku 12 tu kabla ya hukumu yake kusomwa kufuatia kesi yake ya kuua bila kukusudia inayomkabili, taarifa zinasema...

READ MORE

Makandarasi Kukutana Dar Kwa Majadiliano Novemba 17

  CHAMA cha makandarasi nchini (Contractors Association of Tanzania – CAT) kinatarajiwa kufanya mkutano wa kitaifa kwa mara ya kwanza...

READ MORE

Zitto: Nimeachiwa Huru, Naisubiri Serikali Mahakamani – Video

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameachiwa kwa dhamana leo Jumanne jioni baada ya kushikiliwa na polisi tangu alfajiri...

READ MORE

Akil The Brain Alamba Dili Specious Afrika

  MSANII aliyewahi kutamba na vibao vingi kwa staili ya Bhangra, Akil The Brain leo hii amelamba dili katika lebo...

READ MORE

Scorpion Akutwa na Kesi ya Kujibu Mahakamani

Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemkuta mshtakiwa Salum Njwete, maarufu kwa jina la ‘Scorpion’ anayekabiliwa na shtaka la unyang’anyi wa...

READ MORE

Ndugai: Sijapata Barua ya Kujiuzulu kwa Nyalandu, Huo ni Umbea

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai, amesema kwamba hana taarifa za kujiuzulu kwa mbunge wa...

READ MORE

Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Majaba Kuingia Dar Leo

KIBABE! MSHINDI wa Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili, George Majaba leo anatarajiwa kuingia jijini Dar es Salaam...

READ MORE

JPM Azindua Kiwanda cha Dawa, Atoa Wiki 2 kwa Wasioendeleza Viwanda – Video

RAIS John Magufuli ametoa wiki mbili (siku 14) kuaznia leo kwa wamiliki wa kiwanda cha nguo cha Mwatex cha jijini...

READ MORE

Meya Aliyekamatwa Mwanza Aomba Appointment na Rais Magufuli

Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza, James Bwire ameomba nafasi ya kukutana ana kwa ana  (appointment) na Rais Dkt. John...

READ MORE