×

Kitaifa

Rais Magufuli Achukua Shamba Jingine la Sumaye

WAKATI machungu ya kupoteza shamba lake lenye ukubwa wa ekari 33 lililokuwa Mabwepande yakiwa hayajatuliwa, aliyekuwa Waziri Mkuu Katika serikali...

READ MORE

Rais Magufuli Amteua Mkurugenzi Mkuu Mpya wa NHIF

Rais John Magufuli amemteua, Bernard Konga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF). Taarifa iliyotolewa...

READ MORE

Naibu Waziri Masauni Atoa Kauli kwa Madereva Kupunguza Ajali (VIDEO)

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Eng. Hamad Masauni amewaasa madereva wa magari na pikipiki kuzingatia sheria za...

READ MORE

WIZI WA LAPTOP UDSM, MREMBO HUYU AWATESA ASKARI

MREMBO  mmoja jijini, aliyefahamika kwa jina moja la Maisara anawatesa polisi kuhusiana na wizi wa Kompyuta mpakato (Laptop) unaoendelea katika...

READ MORE

Chid Benz, Q-Chilla Wakinukisha Tamasha la Wiki ya Usalama (VIDEO)

WAKONGWE kwenye game ya Bongo Fleva, Chid Benz na Q Chilla wamefanya makamuzi ya aina yake wakati wa Tamasha la...

READ MORE

Wanafunzi Barani Afrika Wakutanishwa Dar

WANAFUNZI wapataao 250 kutoka katika shule mbalimbali Barani Afrika wamejitokeza kushiriki katika mashindano ya mdahalo ulioanza leo katika Shule ya...

READ MORE

DPP Aondoa Shtaka Dhidi ya Mbunge Lwakatare Kuhusu Ugaidi

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ameaondoa maombi yake dhidi ya Mbunge wa Bukoba Mjini (Chadema), Wilfred Lwakatare kuhusiana na shtaka la...

READ MORE

Mbunge wa CCM Atiwa Mbaroni Akidaiwa Kugonga na Kuua Mwanafunzi

Jeshi la polisi mkoani Singida linamshikilia Mbunge Manyoni(CCM), Daniel Mtuka (51) kwa tuhuma ya kumgonga kwa gari mwanafunzi wa darasa...

READ MORE

Chadema Yashutumu Masharti ya Kibaguzi Mikopo ya Elimu ya Juu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeshutumu masharti mapya yaliyotolewa na serikali kuhusu utoaji mikopo kwa wenye kutaka kujiunga na...

READ MORE

RC Makonda Azindua Mfumo wa Tehama Usajili wa Uzazi na Vifo (VIDEO)

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ametoa wito kwa wakala wa usajili wa uzazi na vifo (RITA)...

READ MORE

VIDEO: Polisi Yaunasa Mtandao wa Vinara wa Kukwapua kwa Pikipiki Dar

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam limewakamata vinara wa wizi wanaotumia Pikipiki kuwaibia akina mama na watalii...

READ MORE

Rais Abdel Fattah Al Sisi wa Misri Kuzuru Tanzania Wiki Ijayo

RAIS wa Misri, Abdel Fattah Al Sisi anatarajiwa kufanya ziara nchini hapa kuanzia wiki ijayo. Akizungumza na wanahabari jijini Dar...

READ MORE

VIDEO: Mahakama Yaondoa Pingamizi la Maalim Seif Dhidi ya Prof. Lipumba

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaa, leo Agosti 11, 2017 imetupilia mbali maombi ya Bodi ya Baraza...

READ MORE

Breaking News: Polisi Dar Waua Jambazi Mmoja, Wengine Watiwa Mbaroni

JESHI la Polisi Kanda Maalumya Dar es Salaam limemkamata mtu mmoja anaesadikiwa kuwa ni jambazi katika msako ambao umefanyika hiyo...

READ MORE

Shigongo: Hakuna Aliyezaliwa Kuwa Maskini, Kila Mtu Anaweza Kufanikiwa (VIDEO)

MKURUGENZI wa Kampuni ya Global Publishers, Mwalimu na Mhamasishaji maarufu Afrika Mashariki na Kati, Eric Shigongo leo Alhamisi, Agosti 10,...

READ MORE

Bill Gates Akutana na Rais Magufuli, Amwaga Mabilioni Bongo!

Taasisi ya Bill and Mellinda Gates imetenga Dola za Marekani Milioni 350 sawa na takribani Shilingi Bilioni 777.084 za Tanzania...

READ MORE

DODOMA: Mganga wa Kienyeji Amchinja Kisha Kumchoma Moto Binti

Jeshi la Polisi Dodoma linawashikilia watu 11 kwa uchunguzi kutokana na mauji ambapo August 8, 2017 majira ya saa 4:00...

READ MORE

VIDEO: Waziri Ndalichako Apokea Msaada wa Vitabu vya Sayansi Kutoka India

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Joyce Ndalichako, amepokea jumla ya vitabu 1,000,030 vya masomo ya Hisabati, Baiolojia, Chemistry...

READ MORE

Mkoa wa Dar Kutoa Miguu ya Bandia 200 Kwa Wenye Matatizo

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ametoa wito kwa wakazi wa Dar es Salaam wenye matatizo ya...

READ MORE

Wafanyakazi Tanesco Waahidi Kuchapa Kazi Kufa na Kupona

  WAFANYAKAZI wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa umoja wao kupitia Chama Cha Wafanyakazi (TUICO) wametoa pongezi za dhati...

READ MORE

RC Mjini Magharibi Azindua Kampeni ya Ujenzi wa Madarasa

MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar, Ayoub Mahmoud, amewaomba watu wote kujitokeza kutoa misaada ya hali na mali ili...

READ MORE

VIDEO: Yaliyojiri Kesi ya Manji Tuhuma Madawa ya Kulevya

KESI inayomkabili mfanyabiashara na aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji, imeahirishwa leo hadi Agosti 22 katika Mahakama ya...

READ MORE

Mwanafunzi Ashinda Ubunge Kenya

Aliyekuwa mgombea wa Ubunge Igembe Kusini nchini Kenya, John Mwirigi (24) ameshinda nafasi hiyo baada ya matokeo kutangazwa na Tume...

READ MORE

VIDEO: Bilionea Namba 2 Duniani, Bill Gates Atua Bongo

BILIONEA namba mbili duniani na Mwanzilishi wa Kampuni ya Microsoft, William Henry Gates III, ‘Bill Gates’ ametua nchini kwa ajili...

READ MORE

Rais Magufuli Ateua Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. William Anangisye kuwa Mwenyekiti wa Bodi...

READ MORE

VIDEO: Makonda Agoma Kuomba Radhi Clouds Media Kwasababu Hizi Hapa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesisitiza kwamba kamwe hataomba radhi kufuatia sakata la kudaiwa kuvamia Clouds...

READ MORE

JK, Lowassa na Kinana Wakutana Mazishi Bilionea wa Ngurudoto

Rais Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete, aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowass na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana leo wameungana na...

READ MORE

VIDEO: Msimamo wa CLOUDS MEDIA Kuhusu RC Makonda

Muda mfupi baada ya Ruge Mutahaba, Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, kukutanishwa na Paul Makonda, Mkuu wa...

READ MORE

Mfumuko Wa Bei Wapungua Kwa Asilimia 5.2

OFISI ya Taifa ya Takwimu imeeleza kuwa mfumko wa bei nchini kwa kipindi cha Julai mwaka huu umepungua hadi kufikia...

READ MORE

Jukwaa la Wahariri Laondoa Zuio kwa RC Makonda

Jukwaa la Wahariri Tanzania, (TEF) leo limetangaza kuondoa zuio la kutangaza habari za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,...

READ MORE

Makonda, Ruge, Jukwaa la Wahariri Wazungumza na Wanahabari

KUFUATIA sakata la Vyombo vya Habari kusuia kuandika habari zinazomhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda miezi kadhaa sasa...

READ MORE

Mahakama Yaigomea TRA Kumhoji Manji

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imelikataa ombi la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ambao walikuwa wakiomba idhini ya mahakama hiyo...

READ MORE

Bilionea Aliyeoa Wake Wawili Dar Yamkuta!

DAR ES SALAAM: Bilionea Javan Bidogo ambaye mapema mwaka huu aliibua gumzo kubwa baada ya kuoa wanawake wawili kwa siku...

READ MORE

Daktari Anaswa Akiendesha Zahanati Kimagumashi!

  DAR ES SALAAM: Hatari! Hili ndilo neno sahihi unaloweza kuse­ma kufuatia wiki iliyo­pita, mtu mmoja aliyetambulika kuwa ni daktari,...

READ MORE

Utaratibu na Sifa za Kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)

  Nchini Tanzania kuna aina mblimbali za majeshi ambayo yanafanya kazi tofauti lakini lengo kubwa likiwa ni kuhakikisha kuwa nchi...

READ MORE

Shinda Nyumba Yanogesha Simba Day Uwanja wa Taifa

BAHATI Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili itafikia tamati mwishoni mwa mwezi huu kwa droo kubwa ambayo mshindi wake...

READ MORE

Grupu la WhatsApp Latoa Misaada kwa Wagonjwa Ocean Road

  Wanachama wa kikundi cha Watanashati, waliojiunganisha kwenye Mtandao wa WhatsApp kwa pamoja wamehamasisha matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii...

READ MORE

VIDEO: Mjeda Apigwa Avunjwa Goti

  MJEDA mmoja ambaye ni mwanajeshi mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Koplo Deus Kakuba Mkazi wa Chalinze yuko...

READ MORE