×

Kitaifa

Rombo: Mchungaji Mbaroni Baada ya Waumini Aliokuwa Akiwabatiza Mtoni Kufariki

  Jeshi la Polisi nchini linamshikilia Mchungaji baada ya waumini wake wawili kufa maji alipokuwa akiwafanyia ubatizo kwenye mto Wilaya...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne Julai 18, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Julai 18, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

MAMA KANUMBA ASHINDWA KULA, KISA ‘KIFO CHA RAMSEY’

  MAMA wa aliyekuwa nguli wa filamu Bongo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa amefunguka kuwa, kufuatia taarifa za Mwigizaji wa Nigeria,...

READ MORE

Njemba Amchezea Sharubu JPM, Adaiwa Kumweka Kinyumba Denti Form 2

  NJEMBA aliyetajwa kwa jina moja la Sadick anadaiwa kumweka kinyumba denti wa kidato cha pili (jina la mwanafunzi na...

READ MORE

MSAMA: SERIKALI IKO BEGA KWA BEGA NA WAFANYABIASHARA

  MKURUGENZI wa Msama Promotions, wasimamizi na wasambazaji wa kazi za Muziki wa Injili, Alex Mwita Msama amesema serikali iko...

READ MORE

VIDEO: Prof. Jay Afunguka Sababu ya Kufanya Harusi Yake Mara Mbili

  Rapa nguli wa Bongo, Profesa Jay amefanya kwa mara ya pili sherehe ya ndoa yake  baada ya kufunga ndoa...

READ MORE

Jack Patrick Atajwa Jux kuachana na Vanessa

  UBUYU huu umepasua anga hadi China! Baada ya hivi karibuni penzi la mastaa wa Bongo Fleva, Juma Mussa ‘Jux’...

READ MORE

DAR: Watuhumiwa 250 Mbaroni, Wamo wa Madawa ya Kulevya

  JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limesema kuwa limefanikiwa kuwatia nguvuni watuhumiwa 250 kwa makosa mbalimbali ya...

READ MORE

Chadema Yatangaza Vita na CUF ya Lipumba

  Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS), Tundu Lissu amesema Ukawa wanatangaza...

READ MORE

Dickson Kagembe Aagwa na Mamia, Kuzikwa Bukene Tabora Kesho

  MAREHEMU Dickson Kagembe aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akisomea Sheria na baadaye akakumbwa na ugonjwa...

READ MORE

Kampeni ya ‘Magufuli Baki’, Kutikisa Nchi Nzima

  Watanzania wote bila kujali jinsia, dini wala kabila wameshauriwa kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kupigania rasilimali za...

READ MORE

Muuguzi Mbaroni kwa Kumchoma Sindano ya Usingizi na Kumbaka Binti

  MUUGUZI anayefanya kazi Kituo cha Afya Kata ya Igurubi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Damian Mgaya (26) anashikiliwa na...

READ MORE

Ruvuma: Viongozi wa Chadema Waliokamatwa, Waachiwa Huru

  NYASA, RUVUMA: Katibu Mkuu wa Chadema, Vincent Mashinji, wabunge wawili wa chama hicho na viongozi wengine sita wa chama...

READ MORE

Mwingine Auawa Ikwiriri, Maiti Yatupwa Jalalani

  Rahim Kwangaya, mkazi wa Mandela, Ikwiriri mkoani Rufiji, ameuawa kwa kupigwa riasi na watu wasiofahamika, kisha maiti yake kwenda...

READ MORE

ROMBO: Apandisha ‘Mapepo’ na Kuwaua Wenzake Wawili Wakibatizwa Mtoni

  ROMBO: Waumini wawili wa Kanisa Siloam wamekufa maji wakibatizwa katika Mto Ungwasi wilayani Rombo baada ya mmoja wao kupandisha...

READ MORE

Malinzi na Wenzake Rumande Tena Hadi Julai 31

#GlobalHabari: Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amerejeshwa rumande kwa wiki nyingine mbili baada ya kesi inayomkabili...

READ MORE

VIDEO: Hawa wa Nitarejea ya Diamond Apotezwa na Unywaji wa Gongo

INASIKITISHA! Mwanadada mwenye sauti ya kipekee, aliyetamba baada ya kushirikishwa na Diamond Platnumz kwenye wimbo wa Nitarejea, Hawa, ametopea kwenye...

READ MORE

Lowassa Atangaza Kuwania Tena Urais 2020

Waziri Mkuu wa zamani na mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa amesema licha ya changamoto nyingi anazopata akiwa...

READ MORE

Aliyetobolewa Macho na Scorpion Aanza Kugawana Mali na Mkewe!

  WAKATI lile sakata Linalomuhusu kijana Said Mrisho aliyetobolewa macho na mtu aitwaye, Salum Njwete ‘Scorpion’ kumtelekeza mkewe, Stara Sudi...

READ MORE

Said Mrisho na Mkewe Wakutana LIVE

  Kijana Said Mrisho aliyetobolewa macho na mtu anayedaiwa kuwa ni, Salum Njwete ‘Scorpion’, ambaye hivi karibuni alidaiwa kumtelekeza mkewe,...

READ MORE

Matokeo Ya Kidato Cha Sita Yatangazwa, Bofya Hapa Kuyaona

  Matokeo ya kidato cha sita nchini  yametolewa leo Jumamosi, Julai 15, yameonyesha kuwa wasichana wameongoza kwa ufaulu ambapo  kati...

READ MORE

Katibu Mkuu wa Chadema na Viongozi Wenzake Wakamatwa na Polisi

  Katibu Mkuu wa Chadema, Vincent Mashinji, mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe na wa Viti Maalumu, Zubeda  Sakuru wamekamatwa na...

READ MORE

Kibiti: Mke Aliyepigwa Risasi 5, Mumewe Kuuawa Asimulia Mazito

  INATISHA sana! Hii ni simulizi ya mwanamke ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Rwaruke, Kibiti mkoani Pwani, Tabia Mbonde...

READ MORE

LIVE: Waziri Mkuu Atembelea Kiwanda cha NIDA, Tabata

  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha NIDA na kuwapongeza wawekezaji pamoja na...

READ MORE

NECTA Yawafutia Matokeo Wanafunzi 10 wa Kidato cha Sita

  Wakati matokeo ya mitihani ya kidato cha sita yakitolewa leo, Jumamosi Julai 15, imebainika kuwa watahiniwa 10 walifutiwa matokeo...

READ MORE

Feza Girls Yaongoza Matokeo Kidato cha Sita, Shule 10 Hizi Hapa

  Matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2017 yametoka leo Jumamosi, Julai 15 huku shule ya Wasichana ya Feza...

READ MORE

Vinara wa Matokeo Kidato cha Sita Hawa Hapa

  Sophia Juma, mwanafunzi wa St Marry’s Mazinde Juu ya Tanga (picha yake haijapatikana) ameibuka kidedea katika matokeo ya kidato...

READ MORE

CCM Wahofia Kuchukua Fomu za Uchaguzi Kibiti

  Wakati hali ya wasiwasi ikizidi kushamiri kwa wakazi wa wilaya za Kibiti na Rufiji juu ya usalama wa maisha...

READ MORE

Picha: Kelvin Yondani Apata Jiko Rasmi

TAARIFA njema ikufikie popote ulipo kuhusu beki kisiki wa Yanga, Kelvin Patrick Yondani ambaye ameamua kuachana na ukapera. Mkali huyo...

READ MORE

Adha ya Kufungwa Vituo vya Mafuta Yawakumba Wateja

  BAADHI ya watumiaji wa vyombo vya moto kama vile pikipiki na magari wamezungumzia adha ambayo wamekutana nayo leo baada...

READ MORE

VIDEO: Kauli ya Kamanda Mpinga Baada ya Kuteuliwa Kuwa RPC Mbeya

  IKIWA ni siku mbili tangu ateuliwe kuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, aliyekuwa Mkuu wa Polisi Kitengo...

READ MORE

VIDEO: Said Mrisho Aliyetobolewa Macho Afunguka Sakata la Kuitelekeza Familia

  SINEMA linaendelea. Ikiwa ni siku moja tu Bi. Stara Soud, mke wa kijana alinayedaiwa kutobolewa macho na mtu mmoja...

READ MORE

Sumaye: Hatutanyamaza Hata Kidogo

  Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani na Mjumbe wa Halmashauri  Kuu Chadema, Frederick Sumaye amesema kuwa licha ya kukatazwa wasizungumze...

READ MORE

Sethi Augua, Kesi Yake na Rugemalira Yaahirishwa

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeahirisha kesi inayowakabili mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder  Singh...

READ MORE

Breaking News: Mwakyembe Azindua Bodi ya Sanaa Bagamoyo

Waziri wa habari, Utanaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe leo amezindua rasmi bodi mpya ya Taasisi ya Sanaa Bagamoyo...

READ MORE

Rais Magufuli Amteua Kamishna wa Ardhi

  Rais Magufuli amewamteua Mary Gasper Makondo kuwa Kamishna wa Ardhi na Evelyne Mugasha kuwa Mthamini Mkuu wa Serikali.

READ MORE

ACACIA Yakubali Kulipa Mirabaha Iliyomo Kwenye Sheria Mpya Madini

  Kampuni inayomiliki Makampuni ya Uchimbaji wa Madini ya ACACIA imesema italipa mirabaha iliowekwa katika sheria mpya za madini. Sheria...

READ MORE

Hatimaye Beyonce Awaanika Hadharani Mapacha Wake

  MWANAMUZIKI maarufu duniani, Beyonce Knowles kwa mara ya kwanza ameawaanika hadharani watoto wake mapacha ikiwa ni takribani mwezi mmoja...

READ MORE

Straika Mghana Anatua Simba Leo

  KAIMU Makamu wa Rais wa Simba, Idd Kajuna, Jumanne iliyopita alienda nchini Ghana kwa ajili ya kumalizana na straika...

READ MORE