×

Kitaifa

VIDEO: Kauli ya Kamanda Mpinga Baada ya Kuteuliwa Kuwa RPC Mbeya

  IKIWA ni siku mbili tangu ateuliwe kuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, aliyekuwa Mkuu wa Polisi Kitengo...

READ MORE

VIDEO: Said Mrisho Aliyetobolewa Macho Afunguka Sakata la Kuitelekeza Familia

  SINEMA linaendelea. Ikiwa ni siku moja tu Bi. Stara Soud, mke wa kijana alinayedaiwa kutobolewa macho na mtu mmoja...

READ MORE

Sumaye: Hatutanyamaza Hata Kidogo

  Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani na Mjumbe wa Halmashauri  Kuu Chadema, Frederick Sumaye amesema kuwa licha ya kukatazwa wasizungumze...

READ MORE

Sethi Augua, Kesi Yake na Rugemalira Yaahirishwa

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeahirisha kesi inayowakabili mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder  Singh...

READ MORE

Breaking News: Mwakyembe Azindua Bodi ya Sanaa Bagamoyo

Waziri wa habari, Utanaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe leo amezindua rasmi bodi mpya ya Taasisi ya Sanaa Bagamoyo...

READ MORE

Rais Magufuli Amteua Kamishna wa Ardhi

  Rais Magufuli amewamteua Mary Gasper Makondo kuwa Kamishna wa Ardhi na Evelyne Mugasha kuwa Mthamini Mkuu wa Serikali.

READ MORE

ACACIA Yakubali Kulipa Mirabaha Iliyomo Kwenye Sheria Mpya Madini

  Kampuni inayomiliki Makampuni ya Uchimbaji wa Madini ya ACACIA imesema italipa mirabaha iliowekwa katika sheria mpya za madini. Sheria...

READ MORE

Hatimaye Beyonce Awaanika Hadharani Mapacha Wake

  MWANAMUZIKI maarufu duniani, Beyonce Knowles kwa mara ya kwanza ameawaanika hadharani watoto wake mapacha ikiwa ni takribani mwezi mmoja...

READ MORE

Straika Mghana Anatua Simba Leo

  KAIMU Makamu wa Rais wa Simba, Idd Kajuna, Jumanne iliyopita alienda nchini Ghana kwa ajili ya kumalizana na straika...

READ MORE

ALIYEJIFUNGUA NA KUAMBIWA MTOTO KAFA, UTATA WA MAITI WAIBUKA!

Mwanamke mmoja, Anita Shayo, mkazi wa Tabata aliyejifungua hivi karibuni kwenye Hospitali ya Amana jijini hapa, kisha mtoto wake ambaye...

READ MORE

Waziri Ashutumu Fedha za Ujenzi Madarasa Kuhamishwa

  NAIBU Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Stella Manyanya,  amelaani kitendo cha fedha zilizohamishwa kutoka Shule ya Sekondari ya...

READ MORE

Yaliyojiri Kortini Kesi ya Kutumia Dawa za Kulevya Inayomkabili Masogange

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Julai 13, 2017 imekwama kuanza kusikiliza kesi kuhusu kutumia dawa za kulevya inayomkabili...

READ MORE

Manyanya Ahimiza Elimu kwa Watoto Wenye Mtindio wa Ubongo

  Naibu Waziri wa Elimu na Sayansi na Teknolojia, Mhandisi Stella Manyanya amewahimiza wazazi wenye watoto walio na mtindio wa...

READ MORE

AVEVA, KABURU WAREJESHWA RUMANDE HADI JULAI 20

Inaonekana bado mambo ni magumu kwa Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ katika...

READ MORE

TRA Yazifunga Star TV na Radio Free Africa

Ofisi za Kampuni ya Sahara Media Group inayomiliki kituo cha televisheni cha Star na cha redio cha Radio Free Africa...

READ MORE

JAMII ISIWADHARAU MAKONDAKTA WA KIKE

IMEZOELEKA kazi ya ukondakta hapa nchini Tanzania inafanywa na wanaume lakini kutokana na ugumu wa maisha na kuongezeka kwa majukumu,...

READ MORE

Balozi Mwapachu Ang’atuka Ujumbe wa Bodi ya Acacia

  Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa kampuni ya uchimbaji ya Acacia, Balozi Juma Mwapachu amestaafu nafasi hiyo baada ya...

READ MORE

Bondia Mcongo Atamba Kumkalisha Mbongo Taji la Global TV

KATIKA historia ya mchezo wa ngumi za kulipwa duniani, DR Congo inakumbukwa kutokana na kufanyika kwa pambano kubwa katika uzito...

READ MORE

Sirro Amteua kamanda Mpinga Kuwa RPC wa Mbeya

  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP SAIMON SIRRO, amefanya mabadiliko ya Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani pamoja...

READ MORE

Tuhuma za Kufumaniwa; Said Aliyetobolewa Macho Afunguka Mazito!

  UKIMWAGA mboga, mimi namwaga ugali! Siku moja baada ya kuripotiwa kwa habari ya kufumiwa na mkewe wa ndoa, jamaa...

READ MORE

Yaliyojiri Lowassa Aliporipoti kwa DCI Kuhojiwa

  Nusu saa baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuwasili katika ofisi ya mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa...

READ MORE

Said Mrisho Aliyetobolewa Macho na Scorpion Adaiwa Kufumaniwa!

  SAID Mrisho, yule kijana aliyedaiwa kutobolewa macho na mtu anayetambulishwa kwa jina la Salum Njwete ‘Scorpion’, baada ya kudaiwa...

READ MORE

Vijana Waelimishwa Mbinu za Kuendeleza Biashara

  MHAMASISHAJI mashuhuri wa kimataifa na Mwenyekiti Mtendaji wa Mawasiliano ya  Simu ya Econet  na Vyombo vya Habari na Teknolojia...

READ MORE

Lowassa Awasili kwa DCI Kuhojiwa

  Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amewasili Makao Makuu ya Polisi kwa ajili ya mahojiano na Mkurugenzi wa Upelelezi...

READ MORE

Skendo Ya Kupora Mume… Wolper Amcharukia Mwenye Mume

    SAKATA la staa wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper kudaiwa kupora mume wa mtu aliyefahamika kwa jina moja la...

READ MORE

EBITOKE: Msiba wa Mfanyakazi Mwenzetu Umetushtua Sana

  KUFUATIA kifo cha Seth Katende ‘Bikira wa Kisukuma’, aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha redio cha Efm, kipindi cha Ubaoni,...

READ MORE

OFM Yabaini Utapeli Daraja la Kigamboni!

  Wakati Watanzania wakifurahia kukamilika na kuanza kutumika kwa daraja la kisasa la Kigamboni ambalo linaitwa Nyerere Bridge, mambo ya...

READ MORE

Dua kwa Wasanii Nazo ni Kiki?

  KUMEKUWA na tabia inayozidi kuota mizizi kwa baadhi ya wasanii, watangazaji na hata wafanyakazi wa nyanja mbalimbali kuamini katika...

READ MORE

VIDEO: Magdalena Sakaya Awashukia Chadema

  Kaimu  Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) anayemuunga mkono Prof. Ibrahim Lipumba ameeleza  kusikitishwa na matamko mbalimbali yanayotolewa...

READ MORE

SIMBA NA YANGA KUKUTANA AGOSTI 23 NGAO YA JAMII, OKTOBA 14 LIGI KUU BARA

Ligi Kuu Bara msimu ujao itawakutanisha vigogo Simba na Yanga Oktoba 14 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Waziri Mpango Akifungia Kituo cha Mafuta GBP – Uwanja wa Ndege, Dar

  WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, amefanya ziara ya kushitukiza katika eneo la Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Mambo 3 ya Kumtengenezea Mwanao Njia ya Mafanikio!

  NAMSHUKURU Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema ambaye ameniwezesha kuwa na afya nzuri na nguvu za kutosha kiasi cha kunifanya...

READ MORE

Ngeleja Kurudisha Fedha za Escrow TRA Badala ya Rugemalira

Siku chache baada ya kutangaza kuwasilisha shilingi milioni 40 katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja...

READ MORE

KIBITI: Mwanamke Aliyejeruhiwa Kibiti Anatibiwa Hospitali, Hajafa!

  KIBITI: Mwanamke aliyejeruhiwa kwa risasi usiku wa kuamkia juzi katika kijiji cha Ruaruke, wilayani Kibiti, Mkoa wa Pwani, Tabia...

READ MORE

LIVE: Kuaga Mwili wa Marehemu ‘Bikira wa Kisukuma’, Leaders Club

MWILI wa aliyekuwa mtangazaji wa EFM Radio ya jijini Dar es Salaam, Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma (31)...

READ MORE

Swahiba wa Lowassa Ataitiwa Harusini kwa Prof. Jay

  MWENYEKITI wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Hamisi Mgeja ambaye ni swahiba mkubwa wa waziri...

READ MORE

Mke Yamkuta Akitoka Kwenye Ngoma!

  SOPHIA Mashala ( 29) mkazi wa Kijiji cha Kishapu wilayani Kishapu, mkoani Shinyanga amekuwa katika mateso kwa miaka mitano...

READ MORE

VIDEO: Aliyetobolewa Macho na ‘Scorpion’ Amtelekeza Mke, Watoto

  Kumbukumbu zikiwa bado mbichi vichwani mwa watu juu ya tukio la kutobolewa macho kwa kijana Said Mrisho linalotajwa kufanywa...

READ MORE

Diwani Chadema Ajivua ‘Gwanda’, Ajiunga CCM

  Diwani wa Ngabobo (Chadema), Solomon Laizer ameandika barua ya kujiuzulu udiwani na kujiunga na CCM kwa maelezo kwamba anamuunga...

READ MORE