×

Kitaifa

Mkazi wa Kigoma Aibuka Kidedea Droo Ndogo ya Tano ya Shinda Nyumba

  ILE droo ndogo ya tano ya shindano la Bahati Nasibu la Shinda Nyumba linaloendeshwa na Kampuni ya Global Publishers...

READ MORE

KWA HALI ALIYO NAYO… DUA ZENU KWA MZEE MAJUTO

  MWEZI Mei, mwaka huu, gazeti ndugu la hili, Ijumaa Wikienda liliripoti habari mbaya juu ya lejendari wa vichekesho Bongo,...

READ MORE

JPM Aagiza Mil. 200 za Mradi wa Maji Jeshini Zitumike kwa Wananchi

  Rais John Magufuli ameagiza Sh. 200 milioni zilizopangwa kutumika katika mradi wa maji katika kambi ya jeshi zianze kuimarisha...

READ MORE

Mbunge wa Jimbo la Temeke Aswekwa Rupango

Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea yuko rumande tangu jana baada ya kukamatwa na Polisi akituhumiwa kuendesha gari ambalo bima yake...

READ MORE

TCU Yabadili Mfumo wa Kujiunga Elimu ya Juu

  Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imesema maombi ya kujiunga na elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2017/2018...

READ MORE

Jaji Msuya kuzikwa Jumamosi, Dar

Mwili wa aliyekuwa Jaji wa mahakama kuu ambaye amejiuzulu  hivi karibuni, Upendo Msuya unatarajiwa kuzikwa Jumamosi katika makaburi ya Kinondoni...

READ MORE

VIDEO: Rais Magufuli Awataka Wakimbizi wa Burundi Warudi Kwao

  Rais John Magufuli amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba kusimamisha kuwapa uraia raia wa Burundi...

READ MORE

JPM Mgeni Rasmi Mkutano wa 33 wa Kitaifa wa ALAT

  JUMUIYA ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) inatarajiwa kufanya mkutano wake wa 33 kitaifa katika Jiji la Mbeya Agosti...

READ MORE

Mkuu wa Usalama Barabarani Yamkuta, Afutwa Kazi

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amelitaka Jeshi la Polisi kumuondoa katika nafasi ya Mkuu...

READ MORE

Breaking News: Mama Mzazi wa Zari, Afariki Dunia!

Mama mzazi wa Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Halima Hassan amefariki dunia asubuhi hii, baada ya kuugua kwa wiki...

READ MORE

Edward Lowassa Aripoti kwa DCI Kuhojiwa

  Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amewasili leo, Julai 20 saa mbili asubuhi makao makuu ya Jeshi la Polisi...

READ MORE

LIVE: Ziara ya Kikazi ya Rais Pierre Nkurunzinza Nchini Tanzania

Rais John Magufuli amekutana na Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza mkoani Kagera ambako wanatarajiwa kuwa na mazungumzo. Nkurunziza amewasili mjini...

READ MORE

ZITTO KABWE AWAGEUKIA CHADEMA

  KIONGOZI Mkuu wa Chama Cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Mjini, katika kile kilichoonekana kuwapa...

READ MORE

Rais Magufuli Atoa Mil. 1 Kukarabati Dirisha Alilovunja Akiwa Form 2

  Mapema leo asubuhi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ametembelea Shule ya Seminari ya Mtakatifu...

READ MORE

VIDEO: Lissu Agomea Mahakamani Akihofia Kukamatwa

  Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) na Rais wa Chama cha Mawakili nchini (TLS), Tundu Lissu mapema leo amegoma kutoka...

READ MORE

Magufuli Atoa Siku 14 Vituo vya Mafuta Kutumia EFDs

  Rais John Magufuli ametoa siku 14 kwa wamiliki wa vituo vya mafuta kote nchini kutumia mashine stahiki za risiti...

READ MORE

JPM Awasili Kwenye Uzinduzi wa Barabara, Biharamulo

  Rais John Magufuli amewasili katika stendi ya Biharamulo mkoani Kagera ambapo unafanyika uzinduzi wa barabara ya kiwango cha lami...

READ MORE

Kesi ya Manji Yaahirishwa, Aendelea Kutibiwa Gerezani

  KESI inayomkabili aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji imeahirishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jiji Dar...

READ MORE

KISUTU: Kesi ya Nyerere Yapigwa Kalenda Tena

  KESI inayomkabiri mfanyabiashara, Yeriko Nyerere ya makosa ya uchochezi wa njia ya mtandao imeahirishwa tena katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Mghwira Amvaa Lowassa, Asema Kuhama Chama Ni Ufisadi Wa Kisiasa

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amesema kuwa njia aliyoitumia aliyekuwa mgombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu uliopita...

READ MORE

TANZIA: Jaji Upendo Msuya Afariki Dunia

  Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ambaye alijiuzulu  hivi karibuni, Upendo Msuya amefariki leo Julai 19 baada ya kuugua kwa...

READ MORE

SHINDANO LA MAMILIONI KWA WANAFUNZI LAIBUA WASHINDI

HATIMAYE lile shindano la uwekezaji wa hisa lililojumuisha wanafunzi wa shule na vyuo mbalimbali lililokuwa likiendeshwa na Soko la Hisa...

READ MORE

Mamia Wamzika Dickson Kagembe, Bukene Tabora

  MAREHEMU Dickson Kagembe aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akisomea Sheria na baadaye akakumbwa na ugonjwa...

READ MORE

Hofu Yatanda Hospitali ya Majeruhi Kibiti

  KIBITI: Hofu kubwa imetanda kwa wagonjwa na wauguzi wa Hos­pitali ya Mchukwi iliyopo Kijiji cha Songa, Kibiti mkoani Pwani,...

READ MORE

Wadau wa Uvuvi Bahari Kuu Wawasilisha Maoni Kuhusu Swiofish

MAMLAKA ya Uvuvi wa Bahari Kuu na wadau kutoka taasisi mbalimbali, zikiwemo Wizara za Kilimo, Mifugo na Uvuvi (Bara) na...

READ MORE

NMB Yaja na ‘Trade Finance’ Kuendeleza Uchumi wa Viwanda

BENKI ya NMB imekuja na huduma ijulikanayo kama ‘Trade Finance’ yenye lengo la kuendana na mabadiliko na kuendeleza uchumi wa...

READ MORE

Stars Kuondoka Kesho Mechi ya Marudiano na Rwanda

TIMU ya soka ya taifa, Taifa Stars, itaondoka kesho saa 4.00 asubuhi mjini Mwanza kwenda mjini Kigali, Rwanda, kwa ajili...

READ MORE

Angel Mary Kato: Nimerudi Kuwafunika Marapa wa Kike

  MSHINDI wa nne wa michuano ya Bongo Star Search (BSS) ya mwaka 2015, Angel Mary Kato, amerudi upya kwenye...

READ MORE

Viongozi Chadema Wasota kwa RPC Ruvuma

  Viongozi tisa wa Chadema akiwamo Katibu Mkuu Taifa wa chama hicho, Dk Vincent Mashinji wameripoti kwa Kamanda wa Polisi Mkoa...

READ MORE

Viongozi Walivyoungana na Mwakyembe Kuaga Mwili wa Mkewe

  Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amejumuika na viongozi, wasanii na mamia ya wakazi wa jiji  la Dar es...

READ MORE

Mwili wa Mke wa Mwakyembe Ulivyosafirishwa Baada ya Kuagwa

                    MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi...

READ MORE

MAKABURI YA WASIO NA HATIA (GRAVES OF THE INNOCENTS)- 1

    JINA langu naitwa Togolai Mahimba, ni mtoto wa mwisho kati ya watoto saba wa baba yetu, Sinai Mahimba...

READ MORE

Marehemu Linah Mwakyembe Alivyoagwa Dar

                MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi Samia Suluhu...

READ MORE

IGP Sirro Amuondoa RPC Kaganda Kinondoni

  Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro amefanya mabadiliko ya Makamanda kwa Mkoa wa Shinyanga na Mkoa...

READ MORE

Droo Ndogo ya Tano Las Vegas Alhamisi Hii

  ILE droo ndogo ya tano ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili itachezeshwa Alhamisi hii katika viwanja...

READ MORE

Wizara Yafunguka Dawa Mpya ya Ukimwi

  BAADA ya hivi karibuni dawa mpya ya kupambana na Virusi Vya UKimwi kugundulika na kuanza kutumika nchini Kenya, Wizara...

READ MORE

FLORA MBASHA ALIA NA WANAOMCHAFUA MITANDAONI

Msanii wa nyimbo za Injili Tanzania, Flora Mbasha amevunja ukimya na kutoa onyo kwa baadhi ya watu wanaomchafua kupitia mitandao...

READ MORE

Imebuma: TRA Yamkana Ngeleja na Fedha za Escrow

  Waziri wa Nishati na Madini wa zamani William Ngeleja ni mmoja kati ya watu waliopokea mgawo wa fedhazinazodaiwa kuwa...

READ MORE

LIVE: Ibada ya Kuaga Mwili wa Mke wa Mwakyembe, KKKT Kunduchi-Dar

Mwili wa aliyekuwa mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, Bi. Linah George Mwakyembe unatarajiwa...

READ MORE