×

Kitaifa

Sadifa Akwama Kortini, Arejeshwa Rumande Hadi Desemba 19

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Dodoma imesema itatoa uamuzi wa maombi ya dhamana Desemba 19,2017 kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa...

READ MORE

Miili ya Wanajeshi Waliouawa DRC Kurejeshwa Nchini Leo

Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa Taarifa kwa Umma kuwa, Askari wake waliouawa na waasi wakilinda amani katika nchi...

READ MORE

Kheri James Anyakua Uenyekiti UVCCM Taifa

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, ambaye pia ni mjumbe wa Baraza la Wadhamini la Umoja...

READ MORE

Uhuru Kenyatta Amwandikia Barua Rais Magufuli

RAIS Uhuru Kenyatta wa Kenya amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, kupinga kitendo...

READ MORE

UKAWA Watishia Kususia Uchaguzi wa Januari 13, Endapo Serikali Haitafuata Haya (Video)

VIONGOZI wa Vyama vya Upinzania Vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wamekutana na kufanya mazungumzo na wanahabri leo Jumatatu,...

READ MORE

Mwenyekiti UVCCM Taifa Apandishwa Kizimbani Akidaiwa Kugawa Rushwa

DODOMA: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Sadifa Juma Khamis (Mb.) amefikishwa Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

LIVE: Matokeo ya Uchaguzi UVCCM Taifa Yatangazwa- Dodoma

MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), yametangazwa leo Mjini Dodoma, walioshinda ni kama ifuatavyo....

READ MORE

Simba Yailiza Yanga, Mo Asaini Miaka 2 Simba SC

KLABU ya Yanga imeshindwa kumpa kiungo Mohamed Ibrahim ‘Mo Ibra’ kile anachotaka, hivyo leo Jumatatu mchezaji huyo anatarajiwa kusaini mkataba...

READ MORE

Babu Seya, Papii Kocha Walituma Ujumbe Mzito kwa JPM

BADO mitaani kuna shangwe inayotokana na kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Joseph Magufuli...

READ MORE

Msama Ampongeza JPM Kuwatoa Babu Seya, Papii Kocha Gerezani

  SIKU chache tangu kuachiwa kwa wasanii, Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ waachie huru na...

READ MORE

NUNUA LUKU KWA NJIA ULIYOZOEA BAADA YA MAREKEBISHO SASA MAMBO POA

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) Tunawataarifu Wateja wetu kuwa, hivi sasa mifumo ya LUKU inapatikana katika njia zote za manunuzi....

READ MORE

Breaking News: Babu Seya na Papii Kocha Waachiwa Huru

Wanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na mwanawe Johnson Nguza (Papii Kocha) wametoka jioni hii katika Gereza la Ukonga jijini Dar...

READ MORE

NDUGU WA BABU SEYA WAMIMINIKA GEREZANI, WAMSHUKURU JPM

BAADA ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kutoa msamaha kwa familia ya Nguza Viking...

READ MORE

Mwananchi Waanika Kisa cha Kupotea kwa Mwandishi Azory Gwanda (Video)

KUFUATIA kupotea kwa mwandishi wa Gazeti la Mwananchi, Azory Gwanda, Ambaye leo Desemba 9, 2017, ametimiza siku 18 tangu apoteee...

READ MORE

Kauli ya Mtoto wa Babu Seya Baada ya Familia Yake Kuachiwa Huru

IKIWA ni saa chache baada ya Mwanamuziki wa dansi Nguza Viking ‘Babu  Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ kuachiwa...

READ MORE

Babu Seya, Papii Kocha Waachiwa Huru kwa Msamaha wa JPM (Video)

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri Jeshi Mkuu, ametangaza msamaha kwa Nguza Viking maarufu kama Babu Seya...

READ MORE

Ni Majonzi, Simanzi Vyatawala Kuagwa kwa Joel Bendera (Pichaz + Video)

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewaongoza mamia ya watu waliojitokeza  kumuaga aliyewahi kuwa kocha wa Taifa...

READ MORE

LIVE: Makomando Wakikinukisha Maadhimisho ya 56 ya Uhuru wa Tanzania

Leo, Disemba 09, 2017 Tanzania inaadhimisha miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara (Tanganyika) ambapo sherehe hizo zinafanyika katika Uwanja...

READ MORE

MIAKA 56 YA UHURU NA MAFANIKIO YA JPM

LEO ni siku ya kipekee kwa Watanzania wote kwani Taifa letu linaadhimisha miaka 56 ya uhuru tukiwa na amani na...

READ MORE

Siku Chache Baada ya Kuhama Chadema, Lema Aanika Siri za Wema

DAR ES SALAAM: Ikiwa ni takriban siku sita tangu mlimbwende maarufu Bongo, Wema Sepetu ang’atuke Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

LIVE: Maadhimisho ya Miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania, Dodoma

Leo, Disemba 09, 2017 Tanzania inaadhimisha miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara (Tanganyika) ambapo sherehe hizo zinafanyika katika Uwanja...

READ MORE

MAMA SAMIA AZINDUA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, baada ya kuzinduka Kampeni ya Uzalendo na...

READ MORE

Wabunge wa CHADEMA, Lijualikali na Susan Kiwanga Waachiwa kwa Dhamana

WABUNGE wa CHADEMA, Peter Lijualikali (Kilombero) na Suzan Kiwanga (Mlimba) pamoja na washtakiwa wengine 37 ,leo Ijumaa, Desemba 8, 2017...

READ MORE

Kanisa la Askofu Gwajima Labomolewa Usiku

KUFUATIA agizo la serikali kuwataka wale wote wenye nyumba ndani ya hifadhi ya Barabara ya Morogoro kuziondoa ili kupisha upanuzi...

READ MORE

JPM Atoa Onyo Uchaguzi Mkuu wa UWT – CCM (Video)

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli ametoa onyo...

READ MORE

NAIROBI: Lissu Agoma Kuhojiwa na Polisi wa Tanzania

JESHI la Polisi limekwama kumhoji Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), akiwa hospitalini Nairobi, Kenya baada ya kiongozi huyo...

READ MORE

Rais Magufuli Kuifumua Benki ya Wanawake Nchini (Video)

Rais John Magufuli, amesema watapitia upya na kuchambua uongozi wa Benki ya Wanawake nchini (TWB), ili benki hiyo iweze kufanya...

READ MORE

Breakings: Madabida Ahamishiwa Mahakama ya Mafisadi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeruhusu kesi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam,...

READ MORE

Breaking News: Mama Anna Mghwira Atangaza Kujiunga CCM (Video)

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa ACT Wazalendo na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mgwhira ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga rasmi...

READ MORE

Kesi ya Madabida Kusambaza Dawa za ARVs Vuta Nikuvute Kortini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema kuwa kesho Ijumaa, Deseaba 8, 2017 itatoa uamuzi kama mahakama hiyo inamamlaka ya kusikiliza...

READ MORE

JK AUNGANA NA WAOMBOLEZAJI MSIBA WA BENDERA DAR (VIDEO)

RAIS Mstaafu, Jakaya Kikwete, alikuwa miongoni mwa waombolezaji wengi waliofika kutoa pole katika msiba wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa...

READ MORE

Rais Magufuli Kuhamia Dodoma 2018, Samia Mwaka Huu

WAKATI wowote mwaka 2018 Rais John Magufuli atahamia makao Makuu ya Nchi, Mjini Dodoma na si mwaka 2020 kama ilivyotangazwa...

READ MORE

Mwananchi Yataka Mwandishi Wao Arudishwe Akiwa Hai (Video)

KAMPUNI ya Mwananchi Communication Ltd imekutana na wanahabri na kupaza sauti zao ikilaani kuchukuliwa kwa mwandishi wa kampuni hiyo, Azory...

READ MORE

Ecobank yasaidia kupatikana kwa maji safi shule ya Hananasif

  KATIKA kuadhimisha siku ya Ecobank (Desemba 9) ambayo hufanyika kila mwaka katika nchi 33 barani Afrika, Ecobank Tanzania imetoa...

READ MORE

JPM Aungana na Watanzania Kuomboleza Kifo cha RC Bendera

RAIS Magufuli atuma salamu za rambirambi kwa familia ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joel Bendera ambaye amefariki leo hii...

READ MORE

Wizara ya Afya yamvaa Faiza

Dunia ina mambo! Kila kukicha kwenye ulimwengu huu wa mitandao ya kijamii kunazuka jambo jipya ambapo siku chache zilipita, msanii...

READ MORE

Breaking News: Mkuu wa Mkoa Joel Bendera Afariki Dunia Muhimbili

ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Nkaya Bendera, amefariki dunia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es...

READ MORE

Madabida Afutiwa Mashtaka ya Kusambaza ARV Feki, Akamatwa Tena

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake watano wamefutiwa mashtaka ya kusambaza dawa feki...

READ MORE