×

Kitaifa

Mwenge wa Uhuru Wazindua Mirandi mbalimbali Kinondoni

MANISPA ya Halimashauri ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam umezindua miradi mbalimbali ya ujenzi ikiwemo miradi ya ujenzi...

READ MORE

TANZIA: Mbunifu wa Nembo ya Taifa Afariki Dunia Muhimbili

Mzee Francis Maige Kanyasu almaarufu Ngosha, aliyekuwa akidai kwamba ni miongoni mwa watu waliobuni na kuchora nembo ya taifa, amefariki...

READ MORE

Mwanza: Aliyemuua Mkewe kwa Risasi Kisha na Yeye Kujiua, Wote Wazikwa

MWANZA: ULE msiba mzito uliotikisa Jiji la Mwanza kufuatia mume kumuua kwa kumpiga risasi mkewe, kisha na yeye kujiua, miili...

READ MORE

VIDEO: Mary Mwanjelwa Atoboa Siri Mbili Sakata la Mchanga wa Madini

DODOMA: Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mary Mwanjelwa ametoboa siri kuwa chanzo cha kuibiwa kwa madini kupitia kwenye michanga...

READ MORE

Video: Kauli ya Kwanza ya IGP Simon Sirro Baada ya Kuapishwa

IKULU, DAR ES SALAAM: Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Nyakoro Sirro amesema kuwa lengo lake kubwa baada ya...

READ MORE

Mtoto wa Amina Chifupa: Nimebaki Peke Yangu

Stori: Boniphace Ngumije | IJUMAA WIKIENDA DAR ES SALAAM: Inauma sana! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kauli aliyoitoa mtoto Abdulrahman Mohamed...

READ MORE

PICHAZ: Mwenge wa Uhuru Ulivyowasili Wilaya ya Ilala, Dar

MAPEMA leo Mei 29, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Bi. Sophia Mjema amepokea Mwenge wa Uhuru 2017 wilayani kwake kutoka...

READ MORE

VIDEO: Waziri Ummy Mwalimu Akanusha Taarifa za Kuwepo kwa Ebola Nchini

DAR ES SALAAM: Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Ummy Mwalimu amekanusha taarifa za kuwepo...

READ MORE

VIDEO: Rais Magufuli Amuapisha Simon Sirro Kuwa IGP Mpya

  IKULU: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu Mei, 29, 2017 amemuapisha rasmi...

READ MORE

Sakata la Mchanga wa Madini… Gwajima: Watanzania Tumerogwa

STORI: BRIGHTON MASALU | IJUMAA WIKIENDA DAR ES SALAAM: Ulozi! Siku chache tangu liibuke sakata la mchanga wa madini (makanikia),...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Mei 29, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 29, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Efm Redio Kugawa Pesa kwa Wasikilizaji Wake

Efm Redio imezindua rasmi msimu wa tatu wa mchezo wa sakasaka. Mchezo huu huchezeshwa kila mwaka na mwaka huu utachezeshwa...

READ MORE

Rais Magufuli na Mkewe Watembelea Wagonjwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali...

READ MORE

Pichaz + Video: Mazishi ya Baba wa Amina Chifupa Leo Kisutu, Dar

KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kapteni Hamisi Chifupa ambaye alikuwa baba wa  aliyekuwa mbunge wa kuteuliwa (Vijana) wa...

READ MORE

Trilioni 281 Zilizoibwa Ishu ya Mchanga wa Dhahabu, Huyu…Msaliti?

STORI: MWANDISHI WETU | RISASI JUMAMOSI | HABARI DAR ES SALAAM: Wakati wananchi wakiendelea kushangazwa na kiasi kikubwa cha fedha...

READ MORE

Droo Ndogo ya Nne ya Shinda Nyumba Sasa Mei 31

DROO ndogo ya nne ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awa­mu ya Pili imewadia na sasa itafanyika Mei 31, mwaka...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya Mei 28, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 28, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

TANZIA: Baba Mzazi wa Amina Chifupa Afariki Dunia

TANZIA: Baba mzazi wa aliyekuwa mbunge wa viti maalum, marehemu Amina Chifupa, Mzee Hamiss Chifupa amefariki dunia usiku wa kuamkia...

READ MORE

Prof. Kabudi Asaini Mkataba Ujenzi Bomba la Mafuta Uganda Hadi Tanzania

Na Benny Mwaipaja, WFM. Serikali za Tanzania na Uganda zimetiliana saini Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Bomba la Mafuta...

READ MORE

VIDEO: Wahudumu wa Mochwari Mbaroni kwa Kupasua Maiti na Kuchukua Kete za Madawa

WAHUDUMU wanne wa chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma...

READ MORE

Droo ya Nne ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili Kufanyika Mwezi Huu

DROO ndogo ya nne ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili imewadia na sasa itafanyika mwezi huu kwa...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Mei 26, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 26, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

KAHAMA: Polisi Wazingira Mgodi wa Bulyanhulu

KAHAMA: Jeshi la Polisi limeuzingira mgodi wa  Bulyanhulu baada ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Tellaack kuzuiwa kuingia katika...

READ MORE

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Azuiwa Kuingia Mgodi wa Bulyanhulu

KAHAMA: Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Tellack umezuiwa kuingia katika mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu alikokwenda kukagua...

READ MORE

Mwanza: Askari wa Kike Afariki kwa Tetemeko la Ardhi

ASKARI Polisi wa kike amefariki dunia leo mchana wilayani Misungwi baada ya kupatwa na mshtuko kufuatia kutokea kwa tetemeko la...

READ MORE

Geita: Wachimbaji Wanne Wafariki Dunia Mgodini Baada ya Kufukiwa na Kifusi

GEITA: Wachimbaji wadogo wanne wamefariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi katika machimbo madogo ya Nyamalimbe yaliyopo wilayani Geita mkoani...

READ MORE

Watoto Majeruhi wa Lucky Vincent Sadia na Wilson Wataruhusiwa kutoka Hospitali Leo

CST-Sioux City IA: Watoto majeruhi wa Lucky Vincent Sadia na Wilson wataruhusiwa kutoka Hospitali (full discharge) leo saa 8 mchana(saa...

READ MORE

Majina ya Wanafunzi Kidato cha Sita Waliochaguliwa Kujiunga JKT 2017

TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu Elimu ya Sekondari Kidato cha Sita kwa mwaka 2017,...

READ MORE

CCM Yalaani Mauaji Yanayotokea Pwani

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimelaani vikali mauaji ya baadhi ya viongozi, raia na askari polisi, wanaouawa kwa kupigwa risasi katika...

READ MORE

VIDEO: Mkuu wa Msafara Serengeti Boys Alivyoangua Kilio Mbele ya Waziri Mwakiembe

Kikosi cha timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys jana walirejea Dar es Salaam na kupokelewa...

READ MORE

Joseph Msukuma: Wasukuma Tutawaloga Ng’ombe Wetu Mtakaokula Nyama Yake Mvimbe Matumbo (VIDEO)

DODOMA: Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Musukuma amesema hawezi kumsifia hata kidogo Prof. Jumanne Maghembe, Waziri wa Maliasili na...

READ MORE

Video+ Pichaz: Zimbwe JR, Msuva, Niyonzima, Manura Wanyakua Tuzo VPL

Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom zimetolewa jana na kumalizika kwa mafanikio ambapo ile iliyokuwa gumzo ikienda kwa beki wa...

READ MORE

VIDEO: Maimamu Watoa Tamko Mauaji ya Imamu Msaidizi

MAIMAMU wa msikiti wa Al-Kheri uliopo Kurasini jijini Dar es Salaam, wametoa tamko la kuliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

Video: NMB Yazindua ‘Fanikiwa Account’ Kuwasadia Wafanyabiashara

Benki ya NMB, imezindua rasmi huduma yake mpya ya Fanikiwa Accounts ambayo ni mahususi kwa ajili ya kuwasaidia wafanyabiashara wadogowadogo...

READ MORE

BreakingNews: Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Prof. Muhongo… Barua Ipo Hapa

IKULU: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini,...

READ MORE

Arusha: Watu Wawili Wanaodaiwa ni Wapenzi Wauawa kwa Kuchomwa Moto

Watu wawili wanaodhaniwa ni wapenzi,  wameuawa kwa kuchomwa moto baada ya kufungwa kamba wakiwa kitandani, katika  tukio lililotokea eneo la...

READ MORE

VIDEO: Rais Magufuli Amtaka Muhongo Aachie Ngazi, Aivunja Bodi ya TMAA na Kumfuta Kazi Mkurugenzi Wake

IKULU, DAR ES SALAAM: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatano, Mei 24, 2017...

READ MORE

VIDEO: Rais Magufuli Akabidhiwa Ripoti ya Mchanga wa Madini

IKULU, DAR ES SALAAM: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatano, Mei 24, 2017...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Uteuzi wa Naibu Katibu TAMISEMI- Elimu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 24 Mei, 2017 amemteua Bw. Tixon...

READ MORE