×

Kitaifa

Machangu Waanzisha Mtandao Kumthibiti Makonda

BAADA ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuelezea mafanikio aliyoyapata, changamoto alizokutana nazo na mipango inayofuata...

READ MORE

VIDEO: Mama Wema Aitolea Povu CCM Akitambulishwa Rasmi Chadema

Mama wa Malkia wa filamu Bongo, Wema Sepetu, Mariam Sepetu maarufu kwa jina la Mama Wema, leo Machi 18, 2017...

READ MORE

Makonda: Rais Magufuli Atazindua Ujenzi wa Fly-Over Ubungo, Jumatatu (VIDEO)

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amefanya mkutano na waandishi wa habari na wakazi wa Jiji la...

READ MORE

Tundu Lissu Aandika Historia TLS… Ashinda Urais kwa Asilimia 88

Wajumbe wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), leo wamefanya uchaguzi wa kumchagua rais pamoja na wajumbe wa ngazi mbalimbali...

READ MORE

Rais Magufuli Amelikubali Ombi la Kenya la Kuwapa Madaktari 500 Kuisaidia Huduma za Kitabibu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Afya kutoka...

READ MORE

Sauti ya Mama Wema Ingenitoa Roho – Steve Nyerere

IMELDA MTEMA | RISASI JUMAMOSI | Mikito Nusunusu| DAR ES SALAAM MCHEKESHAJI maarufu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amefunguka kuwa,...

READ MORE

Ridhiwani Afunguka Tena Tuhuma Dawa za Kulevya

Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amezungumzia suala la marafiki zake kuhusishwa na biashara ya dawa za kulevya huku akisisitiza kwamba...

READ MORE

Makonda Ashiriki Maadhimisho Wiki ya Maji Boko Dar

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo Machi 17, 2017 ameshiriki katika wiki ya majisafi na Majitaka...

READ MORE

LIVE: Shuhudia Washindi wa Droo ya Pili ya Shinda Nyumba Walivyopatika

ILE Droo ya Pili ya Shindano  kabambe la Shinda Nyumba Msimu wa Pili iliyoandaliwa na Kampuni ya Global Publishers, imefanyika...

READ MORE

Tundu Lissu Asomewa Mashtaka 5 Kisutu, Aachiwa kwa Dhamana, Akwea Pipa Kuelekea Arusha

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia kwa dhamana Mbunge Tundu Lissu aliyefikishwa mahakamani hapo na kusomewa mashtaka matano. Lissu...

READ MORE

Mchungaji Mbaroni kwa Tuhuma ya Ubakaji

DODOMA: Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste la Ipagala Manispaa ya Dodoma, Joshua Warioba, anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Dodoma...

READ MORE

Magufuli Afuta Agizo Vyeti vya Kuzaliwa la Mwakyembe

RAIS John  Magufuli amefuta agizo la Waziri wa Sheria na Katiba, Dk. Harrison Mwakyembe, alilolitoa jana lililotaka wanandoa za kimila...

READ MORE

Mwakyembe: Kuanzia Mei Mosi… Marufuku Kufunga Ndoa Bila Cheti cha Kuzaliwa

Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kuwa kuanzia, Mei Mosi mwaka huu ni marufuku watu kufunga ndoa...

READ MORE

Yanga yawafuata rasmi Zanaco

KLABU ya Yanga SC, leo jioni imekwea pipa kuelekea nchini Zambia, kwa ajili ya mchezo wao wa marudiano wa Ligi...

READ MORE

Rais Magufuli Asisitiza Kuhamia Dodoma

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 16 Machi, 2017 ametembelea eneo la...

READ MORE

KIPINDI MAALUM: Wamasai Wapandisha Mori Wakati wa Mazishi…

KIPINDI MAALUM: WAMASAI WAPANDISHA MORI WAKATI WA MAZISHI YA MWENZAO ALIYEPIGWA RISASI NA POLISI Facebook @Globalpublishers Twitter @GlobalHabari Instagram @GlobalPublishers...

READ MORE

EXCLUSIVE: Global TV Online Yatunukiwa ‘Silver Play Button’ Na YouTube – (Pichaz)

  CHANNEL ya Global TV Online inayokimbiza Afrika Mashariki kwa stori za Burudani, Habari za Jamii, Kitaifa, Kimataifa, Siasa na...

READ MORE

Simanzi! Maiti ya Mtoto Yafichwa Ndani ya Gari Gereji Dar

Na GABRIEL NG`OSHA & MECKION MATHEW |GAZETI LA AMANI HABARI DAR ES SALAAM: Inauma sana jamani! Mtoto Queen Carlos miaka...

READ MORE

Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Kesi Ya Kuzuia Uchaguzi TLS

Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Wakili Onesmo Mpinzila pamoja na mambo mengine akipinga Kanuni za Uchaguzi...

READ MORE

Manji Wawasilisha Ombi Mahakamani Kuhusu Kesi Yake Kwamba Sio Raia Wa Tanzania

Mfanyabiashara maarufu Yusuf Manji amewasilisha hati ya kuiomba Mahakama Kuu iwaagize maofisa Uhamiaji wamfikishe mahakamani ili kesi yake isikilizwe kwa...

READ MORE

Mwili wa George Kahama Waagwa Leo Dar

MARAIS wastaafu, Mzee Mwinyi, Mkapa na Kikwete waongoza kutoa heshima zao za mwisho Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar wakati wa...

READ MORE

DODOMA: Tundu Lissu Akamatwa na Jeshi la Polisi

ZIKIWA zimebaki siku mbili ili kufanyika uchaguzi wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS) Mbunge wa Singida Mashariki na...

READ MORE

‘Panga’ la Magufuli Latua Ofisi ya Waziri Mkuu, Katibu Mkuu Atenguliwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli atengua uteuzi na kumsimamisha kazi Katibu Mkuu, Ofisi ya...

READ MORE

TRA Wazipiga Pini Ofisi za TFF Kisa Madeni

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limepata pigo la aina yake baada ya kufungiwa kwa ofisi zake zilizopo Karume, Dar na...

READ MORE

Makamu wa Rais, Spika Mstaafu Waomboleza Msiba wa George Kahama

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania, Samia Suluhu na Spika Mstaafu wa Bunge la Awamu ya Nne,...

READ MORE

Mr Shinda Nyumba Azidi Kupagawisha Dar

Bahati na Sibu ya Shinda nyumba inayoendelea kwa sasa chini ya Kampuni la Global Publishers wachapishaji wa magazeti ya Uwazi,...

READ MORE

Makonda Achezewa Sharubu!, Vijana Wamjaribu Mchana Kweupe

Na MECKION MATHEW| RISASI MCHANGANYIKO| HABARI DAR ES SALAAM: UKAIDI! Wakati wakazi mbalimbali wa Jiji la Dar es Salaam na...

READ MORE

Siku ya Pai Yaadhimishwa kwa Shangwe Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Chama cha Hisabati nchini. Dkt. Said Sima (kulia) akisoma hotuba yake mbele ya mgeni rasmi. Mmoja wa wadau...

READ MORE

Azam FC Kwenda Swaziland Kesho

KIKOSI cha wachezaji 23 cha Azam FC, kesho Jumatano kinatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Swaziland kucheza mchezo wa marudiano dhidi ya...

READ MORE

Makonda Awatembelea Wahanga wa Mafuriko Dar (+Video)

DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda, amewatembelea wakazi wa Buguruni kwa Mnyamani waliokumbwa na...

READ MORE

Mazishi Kigogo wa Viroba Aliyejipiga Risasi Yafichua Mambo

Na MWANDISHI WETU| GAZETI LA UWAZI| HABARI DODOMA: Tukio la mfanyabiashara mkongwe mkoani hapa, Festo John Mselia (64) kujiua kwa...

READ MORE

Maisha ya Waliobomolewa Buguruni… Lazima Ulie Machozi

Na MWANDISHI WETU| GAZETI LA UWAZI| HABARI DAR ES SALAAM: Huzuni! Mwishoni mwa wiki iliyopita, zoezi la bomoabomoa ilifanyika Buguruni...

READ MORE

Kuzungumzia ujamaa kwa sasa ni kupoteza wakati!

KUNA baadhi ya Watanzania -hususan wanasiasa na mashabiki wa siasa – ambao hufikiri kwamba, ukitaka kuheshimiwa na Watanzania, jambo rahisi...

READ MORE

#GlobalUpdates: Rais Magufuli: “Nawapenda Sana hawa SHILAWADU…”

Unaweza ukadhani kuwa Rais wetu huwa hafuatilii na wala hanaga muda na haya mambo ya SHILAWADU, lakini kumbe ni shabiki...

READ MORE

G Nako auza video Sh. 300

Na WAANDISHI WETU| GAZETI LA UWAZI| SHOWBIZ MKALI wa kurap Bongo, George Mdemu ‘G Nako’ amefunguka kuwa baada ya kufanya...

READ MORE