×

Kitaifa

Irene Uwoya Aeleza Alivyoshuhudia Ajali Mbaya Masaki

      Dereva wa bodaboda anayetajwa kufariki kwenye ajali hiyo Mwanadada Irene Uwoya ambaye anafanya poa kwenye tasnia ya...

READ MORE

Rais Magufuli Apiga Simu Clouds Ampongeza Diamond

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Magufuli, amepiga simu kwenye kituo cha runinga cha Clouds...

READ MORE

Vanessa Mdee Aachiwa Kwa Dhamana

Habari zilizotufikia hii punde, zinaeleza kwamba msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Bongo, mwanadada Vanessa Mdee ‘V-Money’ aliyekuwa akishikiliwa...

READ MORE

Mafuriko Yalivyolikumba Bonde la Mkwajuni, Kinondoni Dar Leo

Taswira ya mafuriko yaliyolikumba eneo la Bonde la Mkwajuni. Taswira ya mafuriko yaliyolikumba eneo la Bonde la Mkwajuni. Taswira ya...

READ MORE

Alichoandika Adam Mchomvu kuhusu Vanessa Mdee…

Baada ya sekeseke la madawa ya kulevya linaloendelea nchini, mwanamuziki Vanessa Mdee ameendelea kushikiliwa na jeshi la polisi jijini Dar...

READ MORE

RC Makonda Azindua Barabara Iliyojengwa na Wazalendo Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amezindua barabara ya Barabara ya Bandari via Kidongo Chekundu, iliyopo Kurasini...

READ MORE

Gwajima Azidi Kukomaa na Vyeti vya Makonda

Na MWANDISHI WETU| IJUMAA WIKIENDA| HABARI DAR ES SALAAM: Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lenye makao yake makuu...

READ MORE

Lowassa Awaandikia Waraka Waliotimuliwa CCM, Awaita Mashujaa wa Kweli

Kufuatia wanachama 12 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuvuliwa uanachama kutokana na kile walichosema kuwa ni usaliti, Mjumbe wa Kamati...

READ MORE

Tuzo za Flora Lauwo Zazua Balaa

MWANZA: Mtangazaji wa Kipindi cha Flora Show ambaye ni mkurugenzi wa taasisi yake ya Nitetee Foundation Tanzania, Flora Lauwo amezua...

READ MORE

Tanzia: Sir George Kahama Afariki Dunia

Mwanasiasa, mwanaharakati na mpigania uhuru mahiri nchini Tanzania, Sir George Kahama (88), amefariki dunia leo katika Hospitali ya Taifa ya...

READ MORE

Bomoa Bomoa Dar, Bakhresa Apewa Siku Tano

BAADA  ya wakazi wa Buguruni jijini Dar es Salaam jana kuachwa na vilio wakati Kampuni ya Rasilimali za Shirika la...

READ MORE

Taarifa Kufungwa kwa Barabara Dar

KUFUNGWA barabara kwa ajili ya kuhamisha Daraja la Chuma (MABEY BRIDGE) na kuliweka kwenye barabara ya muda (DIVERSION ROAD) katika...

READ MORE

BREAKING NEWS: Sophia Simba, Madabida Watimuliwa CCM, Nchimbi, Kwirasa Wapewa Onyo Kali

  DODOMA: Habari zilizotufikia hivi punde kutoka Dodoma, zinaeleza kwamba mwanachama mkongwe wa CCM, Sophia Simba amevuliwa uanachama wa chama...

READ MORE

Machi 17 Yateka Akili ya Wasomaji

Mwandishi wetu | CHAMPIONI|  Dar es Salaam MACHI 17, mwaka huu ambayo ni siku ya kuchezeshwa droo ya pili ya...

READ MORE

BREAKING NEWS: Tazama Bomoabomoa Inavyopitia Nyumba 200 za Wakazi wa Buguruni, Dar

Wakazi wa maeneo ya Buguruni na maeneo mengine wilayani Ilala, waliojenganyumba zao pembezoni mwa reli ya kati (TRL), leo tar....

READ MORE

Dc Hapi, Miriam Odemba Waongoza Jogging Kinondoni

  Miriam Odemba akifanya mazoezi. Washiriki mbalimbali wakiwa kwenye mazoezi. Hapi na Odemba wakiwa kwenye mazoezi ya viungo. DC Hapi...

READ MORE

Hii ni Simulizi ya Maisha ya Godbless Lema Gerezani Miezi 4, Alivyopewa Cheo cha Nyapara Kuwaongoza Wafungwa

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) ameibuka na kueleza mambo mbalimbali, aliyokumbana nayo katika kipindi cha miezi minne akiwa...

READ MORE

#GlobalCelebrities: Nay Wa Mitego: “Vanessa najivunia uwepo wako kwenye game… Don’t Give Up!”

Wakati jeshi la polisi likiwa bado linaendelea na uchunguzi wake juu ya msanii wa Bongo Fleva Vanessa Mdee, msanii wa hip...

READ MORE

Mama Janeth Magufuli Ashiriki Misa ya Njia ya Msalaba Dodoma

MKE wa Rais Mama Janeth Magufuli ameshiriki Misa ya njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Katoliki la Mtakatifu Paulo...

READ MORE

Sentensi za Lema Katika Mkutano Wake wa Kwanza Arusha Baada ya Kuachiwa

Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema leo amefanya mkutano wa hadhara...

READ MORE

Makonda Apigwa Kombora Namba 2

  Na MWANDISHI WETU| GAZETI LA IJUMAA| HABARI DAR ES SALAAM: WAKATI nchi ikiwa imelipuka na kumpigia kelele za kutaka...

READ MORE

SIRRO: Tunamchunguza Vanessa Mdee

DAR ES SALAAM: Kamanda wa Kanda Maalum Dar es Salaam, Kamishna Simon Sirro amethibitisha kuwa jeshi lake linaendelea kumshikilia staa...

READ MORE

Eric Shigongo: Tengeneza Sifa Njema, Utayapata Mafanikio

MWALIMU na Mhamasishaji maarufu Afrika Mashariki na Kati, Eric James Shigongo amewaasa vijana kutengeneza sifa njema katika jamii ikiwa ni...

READ MORE

Waziri Nape Unastahili Kuwa Waziri Mkuu wa…

    JOHN JOSEPH | CHAMPIONI| MAKALA BONGO DAR ES SALAAM: NIMESHASEMA mara kadhaa katika makala zangu za nyuma lakini...

READ MORE

Jaji Warioba Atia Neno Ishu ya Njaa na Sakata la Madawa ya Kulevya

Waziri Mkuu Mstaafu. Jaji Joseph Warioba akizindua kitabu.   Waandaji wa kongamano hilo ni mtandao wa wanawake na katiba, uchaguzi...

READ MORE

GLOBAL TV LIVE: Ungana na Eric Shigongo Uzifahamu Mbinu za Kufanikiwa, Leo Ijumaa

Ninahitaji kuzungumza na Watanzania wenzangu namna ya kufanikiwa. Kila inapofika siku ya Ijumaa, nitakuwa nikizungumza na wewe kupitia YouTube Channel yetu...

READ MORE

Kama Una Roho Ngumu… Tazama Hii

GLOBAL TV ONLINE imekuwekea LIVE makala maalum kuhusiana na tukio la kusikitisha la mauaji ya vijana wawili ambao ni ndugu...

READ MORE

Hakimu Atishia Kuifuta Kesi ya Mkurugenzi wa Jamii Media

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetishia kuifuta kesi inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao wa JamiiForums, Maxence Mubyazi Melo na mwanahisa...

READ MORE

Mambo 6 Yanayomponza Paul Makonda

DAR ES SALAAM: Bado Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (36) anaendelea kutajwa kwenye vinywa vya Watanzania...

READ MORE

Mfanyabiashara Akurupushwa Porini Akichinja Mizoga ya Punda

PWANI: Kweli ni hatari kubwa! Wabongo wanakula vingi ambavyo hawavijui vilikotoka hali inayohatarisha afya zao! Hilo limedhihirika Machi 6, mwaka...

READ MORE

VIDEO: Mdogo wa Askofu Gwajima Aibuka na Kumshambulia Kaka Yake kwa Kutaka Vyeti vya Makonda

Baada ya Askofu Josephat Gwajima kutumia zaidi ya wiki tatu akizungumzia suala la dawa za kulevya na elimu ya Mkuu...

READ MORE

Uchaguzi TLS: Tundu Lissu Amshukia Mwakyembe… Aahidi Kufungua Kesi Mahakamani

MBUNGE na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeo(CHADEMA), Tundu Lissu amemshukia Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harison...

READ MORE

Hatimaye Wafugaji Waliodaiwa Kuuawa na Polisi Wazikwa

Mwili ukiwasili kwenye makazi ya marehemu. Vijana wawili wa familia moja ya wafugaji wa Jamii ya Kimasai ‘Wabarbaig’, Sainga Kambererega...

READ MORE

Usipitwe na Matukio… Tembelea Global TV Online, Tupo LIVE Kila Tukio

Unahisi unapitwa na matukio yanayoendelea kutokea kila siku kuhusu mastaa na hata mambo mbalimbali kuhusu nchi yetu? Unahisi unapitwa na...

READ MORE

LIVE: Mjadala Huru Kuhusu Mbinu Zinazotumiwa na Serikali Kutokomeza Viroba

LEO Machi 9, 2017 waandishi na wahariri wa Kampuni ya Global Publishers wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji, Eric Shigongo, wamefanya mjadala...

READ MORE

VIDEO: Tajiri Ajiua kwa Risasi Baada ya Polisi Kukamata Shehena Yake ya Viroba

Na Mohammed Masoud, DODOMA KATIKA vita inayoendelea nchi nzima dhidi ya matumizi ya vifungashio vya pombe aina ya Viroba zilizopigwa...

READ MORE

Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Yafana Dar es Salaam

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaviva akiungumza kwenye maadhimisho hayo     Wanawake waliohudhuria maadhimisho hayo.      ...

READ MORE

Mvua Yasababisha Mafuriko Makubwa Dar, Mmoja Afariki Dunia (Picha +Video)

Tazama video kujionea hali halisi ilivyokuwa MVUA zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimesababisha mafuriko makubwa katika Bonde la Mto...

READ MORE