×

Kitaifa

Nchi Gani Iliwahi Kupigwa Mnada Sababu ya Mkopo? – Video

MBUNGE wa Kawe na Askofu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo, Dkt. Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge la Jamhuri ya...

READ MORE

UWT Wamtaka Ndugai Ajiuzulu

Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi – CCM (UWT) Mkoa Arusha wamemtaka Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Gwajima: Spika Ndugai Ajiuzulu Awaachie Wengine – Video

MBUNGE wa Kawe na Askofu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo, Dkt. Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge la Jamhuri ya...

READ MORE

Utoaji wa Tuzo za Grammy 2022 Zaahirishwa

Tuzo za 64 za Grammy zilizokuwa zikitarajiwa kufanyika januari 31 mwaka 2022, zimeahirishwa kutokana na kuongezeka kwa kesi za Covid-19...

READ MORE

Wanafunzi Laki 9 Kuandikishwa Kidato cha Kwanza

WANAFUNZI 907,803 wanatarajiwa kujiunga na elimu ya kidato cha kwanza mwaka huu. Akitoa takwimu hizo leo Januari 6 ,2022 Waziri...

READ MORE

Akamatwa na Jino la Tembo Katavi

JESHI la Polisi Mkoani Katavi, linamshikilia Jilangu Seni (33) mkazi wa kijiji cha Misisi, kwa tuhuma za kukutwa na kipande...

READ MORE

Wasioandikisha Watoto Kufikishwa Mahakamani, Walioacha kwa Mimba Warudi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu amewataka wazazi wote ambao...

READ MORE

Mwanafunzi wa Sekondari Avae Hata Sare ya Shule ya Msingi

Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu, ameendelea kusisitiza kwamba wakuu wa shule kutoweka vikwazo kwa wanafunzi wataokuwa hawana sare za shule...

READ MORE

Mke Adaiwa Kumua Mume kwa Mafuta ya Petroli

Diwani wa Kata ya Kiomboi, Omary Hassan na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kinambeu, Godfrey Yohana wasimulia mkasa wa...

READ MORE

Chanzo ni Saa, Mwalimu Ampa Mimba Mwanafunzi wa Miaka 15

WAZAZI na wa mwanafunzi wa kike (15) aliyekuwa anasoma kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Kolero wilayani Morogoro (jina...

READ MORE

Radi Yauwa Watano Kigoma

WATU watano wakiwemo watoto wanne waliokuwa wakicheza chini ya mti wakati mvua ikinyesha wamepoteza maisha kwa kupigwa na radi katika...

READ MORE

Washindi 100 Wa NMB Mastabata Wanyakua Mil10

  Wateja 100 wa kwanza wa kampeni ya NMB MastaBata-Kivyako Vyako walipatikana jana nakuzawadiwa pesa taslimu TZS 100,000 kila mmoja...

READ MORE

32 Wafariki kwa Moto, 145 Wajeruhiwa

WATU 32 walipoteza Maisha na wengine 145 kujeruhiwa katika matukio ya moto 1803 yaliyotokea kati ya Januari hadi Desemba 2021....

READ MORE

Rais Samia Awalilia Waliokufa Maji Zanzibar

Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein...

READ MORE

Ajinyonga kwa Kamba ya Viatu

Edmond Sungura (53) mkazi wa mtaa wa Rungwa kata ya Kazima Manispaa ya Mpanda amekutwa amejinyonga hadi kufa chumbani kwake...

READ MORE

Kenyatta, Museveni, Samia Wakumbuka Magumu 2021

MARAIS wa nchi tatu za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) za Tanzania, Kenya na Uganda wametuma salamu za mwaka mpya wa...

READ MORE

Waliokufa Unyagoni Waongezeka

MTU mmoja miongoni mwa majeruhi wanane waliolazwa katika Hospitali ya Ndanda kwa ajali ya gari waliokuwa kwenye ngoma ya unyago...

READ MORE

Watu 9 Wamefariki Katika Ajali ya Boti Zanzibar

WATU tisa wamefariki dunia, na wengine sita wameokolewa wakiwa hai na wengine zaidi ya kumi hawajulikani walipo baada ya boti...

READ MORE

Rais Samia Amjulia Hali Mufti wa Tanzania Abubakar Bin Zubeir

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimjulia hali Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Bin...

READ MORE

Rais Samia Kuteua Mawaziri na Wakuu Wapya wa Mikoa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema hivi karibuni atafanya mabadiliko ya viongozi mbalimbali wakiwemo...

READ MORE

Rais Samia: Anayesumbua ni ‘CCM’ Mwenzio Sio Upinzani – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameonyesha kukerwa na na kile alichokisema Spika wa Bunge,...

READ MORE

Mwigulu Afafanua Matumizi ya Tsh Tril 1.3 – Video

Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba ametolea ufafanuzi ugawanyo wa fedha Sh trilioni 1.3 zilizokopwa na Serikali kutoka...

READ MORE

Rais Samia: Wapiga Kelele Hao… Lazima Tukope – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amesema lazima nchi ikope kwaajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ikiwamo ujenzi wa madarasa kwa kuwa fedha...

READ MORE

Rais Samia Ampa Makavu Spika Ndugai “Ni Stress za 2025” – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameonyesha kukerwa na na kile alichokisema Spika wa Bunge,...

READ MORE

Hakuna Atakayegongewa Mlango Kudaiwa Deni la Taifa – Video

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza kuwa deni la taifa ni himilivu na kwamba hakuna Mtanzania yeyote...

READ MORE

Serikali Yatangaza Kushuka kwa Bei za Mafuta

Mamlaka ya Huduma za Udhibiti wa Nishati na Maji (EURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta kwa mwezi Januari 2022...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi Mpya

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dk. Baghayo Abdallah Saqware kuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA).  ...

READ MORE

Wagonga Lori kwa Nyuma, Wafariki

WATU wawili wamefariki dunia baada ya pikipiki waliyokuwa wakisafiria kugonga lori kwa nyuma lililokuwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara kutokana na...

READ MORE

Mtoto Afa kwa Kunywa Dawa ya Mifugo

MTOTO mwenye umri wa miaka mitano amefariki dunia huku mwingine akinusurika baada ya kunywa dawa ya chanjo ya ng’ombe katika...

READ MORE

Ratiba ya Mazishi ya Katibu wa Kikwete, Adam Issara

Ratiba ya Mazishi ya Ndugu Adam Issara, Katibu wa Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete Leo Tarehe 04-01-22.

READ MORE

Barabara ya Kimara – Kibaha Kukamilika Kabla ya June 2022

NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameuagiza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Mkoa wa Dar es Salaam...

READ MORE

Nmb Yahitimisha Promosheni Ya Bonge La Mpango

    Kampeni ya Benki ya NMB ya kuwahamasisha wateja wake kuweka akiba ya Bonge la Mpango II ilifungwa rasmi...

READ MORE

Ombi la Sabaya Lakubaliwa Mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha imekubali ombi la mawakili upande wa utetezi kuondoa ushahidi wa picha za CCTV zilizokuwa ziwasilishwe...

READ MORE

Ishu ya Madawa ya Kulevya, Kamanda Shilla Awaonya Polisi Airport

KAMANDA wa Polisi wa Viwanja vya Ndege nchini, Kamishna msaidizi wa Polisi (ACP) Jeremiah Shilla amewaagiza Polisi katika Uwanja wa...

READ MORE

Rais Amtumbua Mkurugenzi Mkuu Shirika la Utangazaji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika...

READ MORE

Uamuzi Mdogo Kesi ya Sabaya Leo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha leo Jumatatu Januari 3, 2022 imepanga kutoa uamuzi mdogo wa pingamizi lililowasilishwa na mawakili wa...

READ MORE

Spika Ndugai Amuomba Radhi Rais Samia – Video

Spika wa Bunge, Job Ndugai amemuomba radhi Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote kwa...

READ MORE

Rais Samia Awalilia 14 Waliokufa Ajalini Mtwara

RAIS Samia Suluhu ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti kufuatiwa vifo...

READ MORE

Ndugai: Ile Clip Imetengenezwa – Video

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema katika hotuba yake aliyoitoa hivi karibuni hakukuwa na hapakuwa na jambo la...

READ MORE

Aliyemuua George Floyd Yamkuta Gerezani

ASKARI wa Jeshi la Polisi nchini Marekani, Derek Chauvin aliyemuua George Floyd kwa sasa anayaishi matokeo ya matendo yake, akipitia...

READ MORE