×

Kitaifa

Mbarawa Atinga Bandari ya Dar Usiku

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amezitaka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mamlaka ya Mapato Tanzania...

READ MORE

Wanafunzi 3,404 Kuanza Kidato cha Kwanza Kwa Awamu Moja Mkalama

WANAFUNZI 3,404 waliofaulu darasa la saba katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama wanategemea kuanza kidato cha kwanza kwa awamu moja...

READ MORE

Biteko Awasimamisha Kazi Vigogo 7 wa Madini

Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amemuagiza Kaimu Mtendaji wa Tume ya Madini Mhandisi Yahya Samamba, kuwasimamisha kazi Maafisa saba...

READ MORE

Askari Aliyeshushwa Cheo Apewa Onyo

Meshack Samson anayefanya kazi Arusha alipandishwa Cheo kutoka Sajenti (Sgt) hadi Stesheni Sajenti (Ssgt) mwaka 2019 baada ya kukataa rushwa...

READ MORE

Apewa Tsh 40,000 Kutekeleza Mauaji

Jeshi la Polisi mkoani Njombe linamshikilia mkazi mmoja wilayani Ludewa majina yanahifadhiwa kwa sababu ya uchunguzi, akituhumiwa kuhusika na mauaji...

READ MORE

Rais Samia Amwondoa Dkt. Mkangara, Amteua Prof. Chande

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wafuatao; 1.Amemteua Prof. Othman Chande Othman kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi...

READ MORE

Mwanafunzi Ajeruhiwa Vibaya na Fisi

Wambua David, mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Yindundu iliyopo Mtito Andei Kaunti ya Makueni nchini Kenya...

READ MORE

Muliro: Cobra na Wenzake Tumewakamata

Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema jeshi la polisi limeendesha oparesheni maalum ya kuwasaka...

READ MORE

Kamanda ‘Nyakuanyakua’ Aja na Hii Mpya

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Musilimu maarufu Kama kamanda Nyakuanyakua amekuja na kauli mpya aliyeipa jina la “SAFISHA...

READ MORE

Aweso: DAWASA, Hili Lisijirudie Tena!

WAZIRI wa Maji Maji Jumaa Aweso, ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa jitihada...

READ MORE

RC Mtaka: Msiwarundike Walimu Shule Moja

MKUU wa Mkoa wa Dodoma nchini Tanzania, Antony Mtaka, ameuagiza uongozi wa ofisi ya mkurugenzi wa jiji na afisa elimu...

READ MORE

Mbaroni kwa Tuhuma za Kumbaka Mama Yake Mzazi

JESHI la polisi mkoa wa Dodoma linamshikilia kijana mmoja mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa kijiji cha Kinyasi kati...

READ MORE

Orodha ya Majina Walioitwa Mafunzo ya Jeshi la Zimamoto

Soma Majina ya Waliochaguliwa kuripoti Chuo cha Jeshi la Zimamoto kulichopo Chongo Wilayani Handeni, Tarehe 09/01/2022 bila kukosa.

READ MORE

Polisi: Mhitimu wa SUA Aliyeuawa, Alivutwa Shingo

Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro linamshikilia mtu mmoja kwa mahojiano kufuatia kifo cha mhitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo...

READ MORE

Wanafunzi Wasio na Sare Wasizuiliwe Shuleni

WAZIRI wa TAMISEMI Ummy Mwalimu, amewataka wakuu wa shule wasiwazuie wanafunzi kuanza masomo pale wanapokuwa hawana sare za shule, bali...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Mkutano wa EAC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Mkutano Maalum wa 18 wa Wakuu wa Nchi...

READ MORE

Simanzi Kuaga Mwili wa Mrembo wa SUA Aliyeuawa

Vilio na Simanzi vimetawala wakati wa ibada ya kumuaga Mwanafunzi ambaye amehitimu katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)  mkoani...

READ MORE

Waziri: Fedha Zimetafunwa Hapa, Aagiza Waliotafuta Wasakwe

Naibu Waziri Ofisi ya Rais tawala za Mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) anayeshghulikia Afya, Dkt. Festo Dugange ameagiza kufanyika...

READ MORE

Mamia ya Polisi Kumwagwa Mitaani Sikukuu

JESHI la Polisi mkoani Geita limejipanga kuwatumia maofisa wa jeshi hilo zaidi ya 754 waliotoka mafunzoni ili kusaidia kudhibiti matukio...

READ MORE

Mvua Yakosesha Makazi Kaya 65

ZAIDI ya kaya 65 katika Kijiji cha Imbilili Kata ya Signo wilayani Babati mkoani Manyara, zimekosa makazi baada ya nyumba...

READ MORE

Mifugo Kuanza Kuvikwa Hereni

MWONGOZO wa utambuzi, usajili na ufuatiliaji wa mifugo kwa njia ya hereni za kieletroniki zinawekwa kwa mnyama mwenye umri zaidi...

READ MORE

Mabasi Yang’olewa Namba Mwanza

Mabasi tisa ya abiria katika stendi kuu ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza yang’olewa namba na kuzuiwa kuendelea na safari...

READ MORE

Shehena ya Mionzi ya Nyuklia Haijafika Dar

Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) imesema shehena iliyokuwa na viasili vya mionzi ya nyuklia iliyokuwa kwenye meli MV...

READ MORE

100 Wapata Ajira Uwanja Unaojengwa na GGML Geita

NA MWANDISHI WETU ZAIDI ya Watanzani 100 wamepata ajira katika mradi wa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa michezo unaojengwa...

READ MORE

NMB Yashinda Tuzo ya Benki Salama Zaidi Nchini

  NMB ndiyo benki salama zaidi nchini kwa miaka miwili mfululizo baada ya leo kutangaza kupokea tuzo ya ubora huo...

READ MORE

Macho, Masikio kwa Polepole

Miongoni mwa makada watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walioitwa kujieleza mbele ya kikao cha Halmashauri Kuu, jina la Humphrey...

READ MORE

Serikali Kuifuatilia Meli Iliyobeba Taka-Nyuklia

SERIKALI imesema haina taarifa za kushikiliwa kwa meli ya mizigo iliyobeba taka za nyuklia nchini Kenya ambayo iliripotiwa kuwa njiani...

READ MORE

Viongozi CCM Mbaroni kwa Tuhuma za Kumpiga Polisi

KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Babati, Filbert Mdaki (52) na Katibu wa Jumuiya ya vijana UVCCM wa...

READ MORE

Ataka Kutapeli Familia ya Mtoto Aliyefufuka, Yamkuta

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema wanamshikilia Charles Christopher kwa kutaka kuitapeli familia ya Mtoto anaedaiwa kufufuka...

READ MORE

Mrembo Aliehitimu Chuo Kikuu SUA Auawa na Wasiojulikana

MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) ambaye amehitimu hivi karibuni aliyefahamika kwa jina la Magreth Mashue ameuwawa...

READ MORE

Mchungaji Mwanamke KKKT Auawa Kikatili

Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Iringa, Elizabeth Ng’unga (36) ameuawa kikatili kwa kutobolewa macho...

READ MORE

Waitara: Marufuku Kupandisha Nauli

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara ameagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) kuwachukulia hatua wamiliki na...

READ MORE

Aweso: Tumekwamua Miradi ya Maji Kichefuchefu 142 Kati ya 177

MBOZI-SONGWE WAZIRI wa Maji Mhe Jumaa Aweso akiwa mkoani Songwe ametoa taarifa maalumu juu ya mageuzi makubwa yaliofanyika katika kukwamua...

READ MORE

NEEC Yaitunuku GGML Tuzo ya Mwekezaji Bora kwa Watanzania

  BARAZA la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limeitunuku Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) tuzo maalumu ya...

READ MORE

Yanga Yamuwinda Kipa wa Ruvu Shooting

Mabosi wa Yanga wanafikiria uwezekano wa kumpata mlinda lango wa Ruvu Shooting Mohammed Makaka kuchukua nafasi ya kipa namba moja...

READ MORE

Lita 4,000 za Diesel Zaibiwa Mradi wa Reli ya SGR

JESHI la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata Lita 4,135 za mafuta aina ya Diesel ambazo zinadaiwa kuibiwa kutoka kwenye Mradi...

READ MORE

Halotel Yatoa Msaada Shule ya Sekondari Bonyokwa

  Kampuni ya simu za mkononi ya Halotel hapa nchini imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya masomo kwa waalimu na...

READ MORE

Ndugai: Hakuna sababu za kubishana na mamlaka”

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amesema hakuna sababu za kubishana na mamlaka juu ya...

READ MORE

Majambazi Watano Wauawa Kigoma

WATU watano wanaosadikiwa  kuwa ni majambazi wameuwawa na Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma katika Ziwa Tanganyika baada ya kutekeleza uporaji wa...

READ MORE

Askofu Gwajima ‘Roho ya Paka,’ Aijibu Mapigo CCM

UNAWEZA kusema Mbunge wa Kawe (CCM), Askofu Josephat Gwajima, ana roho ngumu au ya paka, kwani licha ya chama chake,...

READ MORE