×

Kitaifa

Video: Serikali Yatoa Tamko Madereva Kutekwa DRC

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mindi Kasiga akizungumza...

READ MORE

Madereva Kutoka Tanzania Watekwa Nchini DRC

Baadhi ya magari yanayodaiwa kuchomwa moto. Chama cha Wamiliki wa Magari ya Mizigo nchini Tanzania (TATOA) kinaripoti kwamba, waasi wa Mai...

READ MORE

NIDA Yatoa Vitambulisho Vya Taifa Kwa Wabunge

 Waziri wa Nishati na Madini na Mbunge wa jimbo la Musoma, Mhe.Profesa Sospeter Muhongoakipokea Kitembulisho chake cha Taifa chenye saini kwa...

READ MORE

Watano Kortini Kwa Kumdhalilisha Rais Magufuli

Rais Dk. John Magufuli.   VIJANA watano wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumdhalilisha Rais Dk. John Magufuli na Jeshi la...

READ MORE

Huyu Ndiye Mshindi Wa 500,000/- Za Gazeti la Amani

HATIMAYE! Mshindi wa pili wa Chemsha Bongo katika gazeti hili la Amani amepatikana na kukabidhiwa zawadi yake ya Sh. 500,000....

READ MORE

Ester Kiama Atajwa Kujiuza, ang’aka (Video)

Muigizaji mrembo anayepanda kwa kasi kwenye gemu la filamu Bongo, Ester Kiama akifanya mahojiano na Boniface Ngumije (kushoto). Na Boniface Ngumije/Amani...

READ MORE

Kidoa Nusura Aachike

WIKI kadhaa tangu aingie katika uhusiano na jamaa mmoja anayedaiwa kuwa ni kigogo, muuza nyago kwenye video za Kibongo, Asha...

READ MORE

Mama Mzazi Asimulia Bintiye Alivyozikwa Akiwa Hai (Video ipo hapa)

Richard Bukos na Issa Mnally,  Risasi MCHANGANYIKO PWANI: Huu ni unyama asilimia mia! Ndivyo alivyoanza kusimulia mama wa marehemu Amina...

READ MORE

Serikali Na Taasisi Za Kiraia Zakutana Morogoro

Dr. Stephen Nindi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Mipango na Matumizi ya Ardhi Tanzania akizungumza jambo juu...

READ MORE

Prof. Ndulu: Pato la Taifa Limeongezeka

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Prof. Benno Ndulu akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Baadhi ya wanahabari wakifuatilia mkutano huo....

READ MORE

Diamond Aanza Kupoteza Umaarufu

MWANAMUZIKI Diamond Platnumz wa Tanzania, anayefanya vyema kwenye ulimwengu wa muziki Bongo kwa maana muziki wa Bongo Fleva na nje...

READ MORE

Vodacom Yaendelea Kufanikisha Wiki Ya Usalama Barabarani

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamanda Mohammed Mpinga (kulia) akikabidhiwa stika na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa...

READ MORE

Simbachawene Awapa Somo Wakurugenzi Wapya

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi), George Boniface Taguluvala Simbachawene amewapa somo wakurugenzi...

READ MORE

Wanafunzi Wadaiwa Kuwacharaza Viboko Walimu Wao

Wanafunzi wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari Usevya wilayani Mlele Mkoa wa Katavi, wanadaiwa kuwashambulia kwa kuwacharaza viboko walimu...

READ MORE

Jamhuri Yajibu Kesi Ya Dada’ke Msuya

UPANDE wa Jamhuri leo umetoa majibu ya hoja ya kutaka kufutiwa mashtaka ya mauaji inayomkabili mke wa marehemu bilionea Erasto...

READ MORE

Wakazi Wa Airport, Ukonga Walipongeza Uwazi

WAKAZI mbalimbali wa maeneo ya Air Port na Ukonga-Banana, jijini Dar, leo Jumanne wamekutana uso kwa uso na promosheni ya...

READ MORE

Majaliwa Aongoza Harambe Kuchangia Waathirika Kagera

WAZIRI MKuu mheshimiwa Kassim Majaliwa jioni hii kaongoza harambe maalum iliyofanyika jijini Dar es Saalm ikiwakutanisha mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi...

READ MORE

Jahazi, Msagasumu Waacha Historia Dar Live Jana

KUNDI la Muziki wa Taarab lisilo na mpinzani Bongo, Jahazi Modern sambamba na Mfalme wa Singeli, Msaga Sumu jana waliandika...

READ MORE

Exclusive Picha za Marehemu Tupac Zavuja

  Leo tunaungana na mashabiki wa Hiphop duniani kote kumkumbuka rapper, Tupac Amaru Shakur ‘2PAC’ kifo chake ambacho kilitokea tarehe...

READ MORE

Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar Kuanzisha Mfuko Wa Hija

Rais  wa  Zanzibar  na  Mwenyekiti  wa  baraza la  Mapindunzi, Dk. Ali  Mohamed Shein SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) iko mbioni kuanzisha...

READ MORE

Majaliwa: Nyumba za ibada zihamasishe amani

Waziri mkuu mh. Kassim Majaliwa WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewaomba viongozi wa dini zote kutumia nyumba za ibada kuwahamasisha waumini...

READ MORE

Taarifa Rasmi Ya Serikali Kuhusu Tetemeko La Ardhi Mkoani Kagera

1 Tukio la tetemeko: Tarehe 10/09/2016 saa 9 na dakika 27 mchana kumetokea tetemeko la ardhi mkoani Kagera.   Kitovu...

READ MORE

Wahitimu Shahada Za Sayansi Kupatiwa Mafunzo Wakafundishe

Naibu Waziri wa TAMISEMI Selemani Jaffo Naibu Waziri wa TAMISEMI Selemani Jaffo asema wahitimu shahada za sayansi ambao si walimu...

READ MORE

Clarence Mulisa Afiwa Na Mama Yake Mzazi

Mfanyakazi wa Global Publishers kitengo cha Habari na Mawasiliano (IT), Clarence Mulisa,  amefiwa na mama yake mzazi, Feliciana Mulisa,  usiku...

READ MORE

Wolper Na Harmonize Wala Bata Serengeti

WASANII wawili ambao ni wapenzi wanaogonga vichwa vya habari Bongo, Jaqueline Wolper na Rajab ‘Harmonize’ wikiendi iliyopita wamekula bata kwenye...

READ MORE

Rais Kenyatta Atoa Msaada kwa Wahanga wa Tetemeko la Ardhi Bukoba na Mwanza

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameto pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na...

READ MORE

Baada ya Kufananisha na ‘Sikio la Kufa’, Barabara ya Mabatini Yawekewa Changarawe

IKIWA ni takribani siku 10 baada ya Mtandao huu kuripoti kupitia Mjumbe wa Mtaa wa Polisi Mabatini, jijini Dar es...

READ MORE

NIDA Kuanza Kutoa Vitambulisho Vyenye Saini, Septemba 12

MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA) KUANZA KUTOA VITAMBULISHO VIPYA VYA TAIFA VYENYE SAINI KWA WANANCHI WOTE WALIOKAMILISHA TARATIBU ZA...

READ MORE

Mzee Mwinyi Aongoza Eid El Hajj Kitaifa Kinondoni Dar

RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, leo amewaongoza waumini wa Kiislamu katika kusherehekea sikukuu ya Eid El...

READ MORE

Tamasha la Tigo Fiesta Lafana Mjini Singida

TAMASHA la Tigo Fiesta liliendelea Mkoa wa Singida usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Namfua Stadium. Wasanii waliotoa burudani...

READ MORE

Waziri Majaliwa Aongoza Sala ya Idd El Hajj Mwembe Yanga, Dar

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa hotuba yake katika swala ya Idd El Hajj iliyoswaliwa kwenye Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke...

READ MORE

Tume Ya Mufti Yawaita Wanaojua Wezi Bakwata

Abubakar Zuberi, Mufti wa Tanzania kupitia Baraza Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata). TUME iliyoundwa na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakari...

READ MORE

Wakazi wa Bukoba Walala Nje ya Nyumba Baada ya Tetemeko Kutokea Mara ya Pili

BUKOBA: September 10, 2016 lilitokea tetemeko la ardhi Kagera kanda ya ziwa Tanzania lenye kipimo cha ritcha 5.7 na kusababisha...

READ MORE