×

Kitaifa

Waziri Mkuu Aongoza Maelfu Kuaga Miili ya Waliofariki kwa Tetemeko Kagera

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa jana ameongoza maelfu ya waombolezaji kuaga miili ya watu waliofariki kutokana na tetemeko la ardhi...

READ MORE

Wananchi Wa Singida Wapewa Mbinu Za Mafanikio Na Darasa La Fursa

DARASA la Fursa mapema leo limeendelea ndani ya Ukumbi wa Kisamaka uliyopo ndani ya Hoteli ya Aqua Vitae mjini  Singida,...

READ MORE

Kanisa la Victory Christian Centre Lazindua Tamasha la ‘Campus Night’

KANISA la Victory Christian Centre (VCCT) chini ya Mchungaji Kiongozi Dk. Huruma Nkone leo limezindua maandalizi ya kongamano la kihistoria...

READ MORE

Waziri Mkuu Kuongoza Kuagwa Waliokufa kwa Tetemeko Bukoba

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa leo anatarajiwa kuongoza waombolezaji kuaga miili ya watu 16 waliopoteza maisha kwenye tetemeko la ardhi...

READ MORE

DC Same Apiga Marufuku Kufanya Biashara Kwa Kujaza Lumbesa

Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Staki Senyamule, akikagua magunia yaliyokutwa yakiwa yamejazwa lumbesa. Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary...

READ MORE

TID ft Joh Makini – Confidence (Official Video)

https://www.youtube.com/watch?v=aDbAeTMKg-E

READ MORE

Huyu Tambwe hafai, atupi mbili Uhuru leo

  MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga leo wameichapa Majimaji FC ya kutoka Songea kwa mabao 3-0 katika mchezo...

READ MORE

Guardiola amzima Mourinho Old Trafford

TIMU ya Manchester City leo imeshinda mabao 2 – 1 dhidi ya Manchester United  katika mchezo mkali uliopigwa Uwanja wa Old Trafford....

READ MORE

Tekemeko la Ardhi Laikumba Kanda ya Ziwa, Nyumba Zaporomoka

  Leo Septemba 10, 2016, tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa Ritcha 5.7 limeikumbuka mikoa ya Kanda ya Ziwa...

READ MORE

Man United Vs Man City… Yageuka Kuwa Madrid Vs Barcelona

  Mshambuliaji kinda wa Manchester United Marcus Rashford (kulia0 akifanya yake. Saleh Ally, Barcelona MECHI ya watani na wapinzani wakubwa katika...

READ MORE

Fiesta Yafunika Ndani Ya Tabora

TAMASHA la Tigo Fiesta 2016 usiku wa kuamkia leo limeonyesha hali ya kukubalika vilivyo kwa wakazi wa Tabora baada ya kuonyesha...

READ MORE

Gondwe akamata malori saba yakisafirisha madini usiku!

Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Godwin Gondwe amekamata malori saba yakisafirisha madini ya chuma aina  dolomite yanayotumika kutengeneza...

READ MORE

Ummy Mwalimu: Marufuku Kuozesha Waliomaliza La 7

SERIKALI imewaonya wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kutowaozesha watoto wote wa kike waliohitimu darasa la saba mwaka huu wakati...

READ MORE

Rais Magufuli Ateua Makatibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa na Mara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 09 Septemba, 2016 amemteua Bw. Ado Steven...

READ MORE

Mkuu Wa Mkoa Wa Tabora Aishukuru Fiesta 2016 Kwa Kuwapelekea Fursa

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Aggrey D.J Mwanri, akitoa soma la fursa kwa baadhi ya Wananchi wake waliyojitokeza ndani...

READ MORE

Tundu Lissu : Prof. Lipumba Hana Hoja, Anawavuruga CUF

MBUNGE wa Singida Mashariki ambaye pia ni Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni,Tundu Lissu, amesema aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama...

READ MORE

Makamu wa Rais Atembelea Kituo cha Kuchakata Gesi

Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amewataka wafanyakazi wa kiwanda cha kuchakata gesi asilia kilichopo Madimba mkoani Mtwara wawe...

READ MORE

Makongo Juu, Goba waligombea Ijumaa likiwa katika muonekano mpya

BAADHI ya wasomaji  magazeti wamelichangamkia gazeti bora la Ijumaa ambalo linaongoza kwa kuandika habari za mastaa wa Kibongo na Mamtoni...

READ MORE

Wachezaji Simba waoga noti

Wachezaji wa Simba wakishangilia baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo uliopigwa juzi kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Msafara wa Makamu wa Rais Wapata Ajali Mtwara

Msafara wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Mama Samia Suluhu Hassan ambao ulikuwa unaelekea Wilayani Tandahimba...

READ MORE

Mchungaji Lwakatare Awatoa Wafungwa 78 Gerezani (Picha + Video)

Mchungaji Kiongozi, Dk. Getrude Lwakatare,  kupitia kanisa lake la Assemblies  of God (Mlima wa Moto) aliwalipia wafungwa 78 katika magereza...

READ MORE

Videos: Bifu la Mama Wema na Man Fongo Lafikia Pabaya!

MAMA wa Miss Tanzania 2016, Wema Sepetu, Bi. Miriam Sepetu ameingia kwenye headlines mitandaoni baada ya kutofautiana na mkali wa...

READ MORE

Familia ya bilionea Msuya yataka usimamizi wa mirathi

Na JANETH MUSHI, ARUSHA WAKATI mke wa marehemu bilionea Erasto Msuya, Miriam Msuya akisota rumande kwa tuhuma za mauaji ya...

READ MORE

Meya wa Kinondoni, Boniface Jacob Ahojiwa na Polisi

Pamoja na ufafanuzi huo, Jacob aliwataka baadhi yao (askari) kushiriki kwenye mkutano huo wa wanahabari kufuatilia alichotaka kuwaeleza wanahabari na...

READ MORE

Mahakama Yaizuia NHC Kupiga Mnada Mali za Freeman Mbowe

Mahakama Kuu ya Tanzania, Kitengo cha Ardhi imeliamuru Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kutouza au kupiga mnada mali za...

READ MORE

Zantel Yatoa Mbuzi kwa Watoto Yatima Kusherehekea Sikukuu ya Idd

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Benoit Janin kulia), akikabidhi mbuzi 12 kwa Kaimu Mufti, Sheikh...

READ MORE

Mamia Wachangamkia Chemsha Bongo Ya Kwenda Dubai

Dereva wa Bodaboda wa Kijiwe cha Maji Chumvi, Tabata Kisukuru, Julius akisoma Gazeti la Amani kwa umakini. Wasomaji wa Gazeti...

READ MORE

Kauli ya Kamanda Sirro Kuhusu Kukamatwa kwa Wanaolala Gesti Mchana, Dar

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum Dar Es Salaam anatoa rai kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na wageni...

READ MORE

Mama Lwakatare Awanusuru Wafungwa 12 Keko

Kanisa la Assemblies of God, Mikocheni B (Mlima wa Moto) chini ya kiongozi wake, Mchungaji Dk. Getrude Lwakatare, limewatoa wafungwa...

READ MORE

JPM Aongoza Mkutano wa 17 wa Dharula wa Wakuu wa EAC, Ikulu-Dar

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya Bw. Liberat...

READ MORE

Bungeni: Majibu ya Waziri Mkuu Kuhusu Mauaji ya Askari na Uchumi wa Nchi

DODOMA: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kukutana na wadau tofauti wanaohusika na masuala ya uchumi katika kuhakikisha...

READ MORE

Mahakimu 11 Wafukuzwa Kazi, Wengine 30 Kikaangoni

WATUMISHI 34 wa mahakama wakiwemo mahakimu 11, wamefukuzwa kazi kutokana na makosa mbalimbali ya kinidhamu. Aidha, Tume ya Utumishi wa...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akagua Makazi Yake Mapya Dodoma

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa makazi mapya ya Waziri Mkuu katika eneo la Mlimwa na...

READ MORE